YEREMIA// BIBLIA TAKATIFU// SWAHILI BIBLE
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- HIKI NI KITABU CHA YEREMIA, AGANO LA KALE.
MUNGU ANA KUPENDA SANA KUKU KUONGOZA MPAKA HAPA. TUMIA MUDA HII KUSIKILIZA NENO LAKE MWENYEZI MUNGU LABDA NA MUDA INGALI.
SIKILIZA NENO LAKE NA UJITAYALISHE KURUDI KWAKE.
UNAWEZA SIKILIZA KWA ENGLISH UKIPENDA AMA UNACHANGIZA WENGINE AMBAO WANA SIKIA ENGLISH.
BONYEZA LINK HIYO KU FUATA BIBLIA KWA ENGLISH: • 1 CORINTHIANS// KJV// ...
ASANTE SANA TENA USISAHAU KU KUSAMBAZA HABARI NJEMA HII UKI CHANGIZA WENGINE NAKU SUBSCRIBE.
TUNA WAOMBEA MWISHO NJEMA TENA NZURI KWENU NYOTE MUKI SIKILIZA NEN0 LA MUNGU.
KITABU YA LUKA: • LUKA// AGANO JIPYA// B... - Развлечения
Amen glory be to God
Asante sana balikiwa sana 🙏
Naomba namba yako mtumishi wa MUNGU BABA wambinguni
Oh my god
Sasa si uku kwako Ni kusoma tu vile biblia inavysema huna lolote
Rafiki, wewe ulitaka sasa afanyeje? Au hujui Kwamba kuna watu ambao ni vipofu na hawajui kusoma lakini wanaouwezo wa kusikia? Wewe unayeweza kusoma, ni wangapi wasionauwezo wa kusoma umewasomea neno la Mungu?