AIC Chang'ombe Choir (CVC) - MAWAKILI (Official Live Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • #MAWAKILI ni wimbo wa kumi na Tatu katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
    Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
    Tunaamini wimbo huu utaenda kukusaidia kuisikia sauti ya MUNGU. MUNGU AKUBARIKI.
    LYRICS
    Mtu na atuhesabu
    Hivi kuwa
    Tu watumishi wa Kristo
    Na mawakili wa siri za Mungu
    Mawakili wa siri za Mungu
    Tusiwe kwazo la namna yoyote
    Katika jambo lolote
    Ili utumishi wetu usilaumiwe
    Bali katika kila neno
    Tujipatie sifa njema
    Kama watumishi wa Mungu
    Kama watumishi wa Mungu
    Msiwe kwazo la namna yoyote
    Katika jambo lolote
    Ili utumishi wenu usilaumiwe
    Bali katika kila neno
    Mjipatie sifa njema
    Kama watumishi wa Mungu
    Kama watumishi wa Mungu
    Sisi ni mawakili wa siri za Mungu
    (Wa siri za Mungu)
    Mtu na atuhesabu sisi ni watumishi
    (Wa Kristo)
    Tuweni waaminifu
    Ili utumishi wetu usilaumiwe
    Tuweni waaminifu
    Tutumike katika Roho na kweli
    Nyinyi ni mawakili wa siri za Mungu
    (Wa siri za Mungu)
    Mtu na awahesabu nyinyi ni watumishi
    (Wa Kristo)
    Iweni waaminifu
    Ili utumishi wenu usilaumiwe
    Iweni waaminifu
    Mtumike katika Roho na kweli
    Special Thanks
    AICT CHANG'OMBE CHURCH
    Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
    CREDITS.
    Song writer - Elisha Gurlaty
    AICT Chang'ombe Church
    AIC Chang'ombe Choir (CVC)
    MUSIC DEPARTMENT
    Music Team - Emmanuel Yusuph (MAIN KEYS)
    Elisha Gurlaty (AUX 1)
    Elia Mahuna (AUX 3)
    Onesmo Peter (AUX 2)
    Benjamin Makolobela (BASS)
    Daniel (LEAD GUITAR)
    Mayala Bubele (TRUMPET)
    Charles Stenson (TROMBONE)
    Meshack Wilson (TROMBONE)
    Eliya Makaya (ALTO SAX)
    Raphael Luhende (ALTO SAX)
    Samson Mathew (DRUMS)
    Video production - CVC Media
    Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
    Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
    Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 93

  • @mayalajbubele9696
    @mayalajbubele9696 4 месяца назад +34

    Mawakili tupeane likes hapa..!!

  • @MinisterOberise
    @MinisterOberise 4 месяца назад +24

    Bass inaongea 😂😂😂🔥🔥🔥🔥 brother Ben mbinguni una mpini wako aisee🎉🎉🎉

  • @NzwallaNzwalla-t9v
    @NzwallaNzwalla-t9v 4 месяца назад +9

    tuliotoka kule tiktok na tumekutana hapa Like pls🙏🙏🙏

  • @MichaelMahona
    @MichaelMahona 4 месяца назад +16

    Wimbo umetoka vizuri,mtunzi abarikiwe sana,na wapiga vyombo pokeen Maua yenu

  • @HappyShoo-uc8cz
    @HappyShoo-uc8cz 3 месяца назад +3

    Mungu awabariki sana watu wa Mungu, kwa huo utumishi na uinjilisti kupitia nyimbo Zenu, nawapenda sana, Pia nabarikiwa sana natamani na mimi nmtumikie Mungu kwa uimbaji kama ninyi, Mungu awabariki sana sana, ila muwe na hofu ya Mungu ,msiimbe kwa mazoea, ili Mungu atukuzwa na kuinuliwa kupitia ninyi❤.

  • @Emmanuelmasingija-w3y
    @Emmanuelmasingija-w3y 4 месяца назад +9

    Leo guitar bass nimeisikia yenyewe ya mtu mzima na mwenye mziki wake safiii sana aiseeee

  • @angelinembete7017
    @angelinembete7017 4 месяца назад +14

    Mimi hapa muongoni mwa mawakili congrats 🎉 l from kenya

  • @Bonieking
    @Bonieking 4 месяца назад +6

    Oh my goodness! What I love about AIC Chang'ombe Choir is their consistent focus on the message and excellent ministration! You are amazing. You bless us with every single song you release.
    I pray the Lord continues to refresh, nourish and Grace you more and more.
    May other music ministers emulate you.

  • @CalebLaurentkweka
    @CalebLaurentkweka 2 месяца назад +3

    Uyu solo wakiume mm nili thought ni lwaga

  • @carolinearingo8575
    @carolinearingo8575 Месяц назад +1

    Be blessed. Am an ambassador of Christ.the mysteries of God what a priviledge 2025

  • @ikongoikongo3664
    @ikongoikongo3664 4 месяца назад +9

    Hongereni sana kwa kazi ya Mungu

  • @VictorAlexValex
    @VictorAlexValex 4 месяца назад +9

    Nawapenda sana mpaka nawapenda tenaaa❤❤❤ mmebarikiwa sana

  • @caphulenbernard7458
    @caphulenbernard7458 Месяц назад +1

    Mungu awabariki

  • @gideonkiprop6283
    @gideonkiprop6283 4 месяца назад +6

    Hongereni kwa kazi njema. Mbarikiwe sana

  • @danielmahona5292
    @danielmahona5292 4 месяца назад +1

    Hongera sana mtumishi wa Mungu Grace Gasper kwa mtumishi wako huu mwenyezi Mungu akaongeze kazi yako.

  • @annmutindi1157
    @annmutindi1157 4 месяца назад +3

    Sisi ni mawakili wa siri za mungu hallelujah mubarikiwe sana from syokimau aic. Keep the fire burning in the altar.sololist ako sawa kijana indelea kumutumikia mungu.

  • @danielimalaki
    @danielimalaki 2 месяца назад +1

    Mmeiga wap hii merod waachien neema gospel mmepotea

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 Месяц назад

      Acha Hila za ibilisi wewe huna hata aibu ...kama hupendi hatua za utukufu kwa wengine hapa si mahali pako madhabahuni sio mahali pa mashindano back to sender

  • @MusaMhalala
    @MusaMhalala 4 месяца назад +5

    Chakula chetu sisi mawakili

  • @jonathanmunyoki5161
    @jonathanmunyoki5161 4 месяца назад +2

    YUle kijana kwa piano pale juu kabisa huwa Ana hisi uwepo wa malaika ambao sisi hatuwaoni😅.. Kwa kila wimbo Huwa anacheza na kufurahia kila wimbo huku anacheza kifaa chake inavyofaa👏👏👏

  • @paulolupaso8054
    @paulolupaso8054 4 месяца назад +5

    Mawakili❤

  • @sulemanmagesa2181
    @sulemanmagesa2181 4 месяца назад +2

    Mungu nisaidie niendelee Kuwa Waikili Mzuri Wa Siri Zangu. Mbarikiwe Sana.

  • @MadaleLawrence-i3e
    @MadaleLawrence-i3e 4 месяца назад +7

    Haleruyaa

  • @MadaleLawrence-i3e
    @MadaleLawrence-i3e 4 месяца назад +5

    Mie muwakilishi pia wa Kiristo

  • @NeemaJoseph-s2e
    @NeemaJoseph-s2e 4 месяца назад +2

    Mimi niwakili wa Mungu wangu nampenda sana

  • @dorcasmanda1793
    @dorcasmanda1793 4 месяца назад +5

    The song is on another level!Keep it up guys

  • @mandidavidmdlalose9929
    @mandidavidmdlalose9929 4 месяца назад +3

    Eish I'm blessed with this song Ooooh God give Africans Praise

  • @ezekielmasaga258
    @ezekielmasaga258 4 месяца назад +3

    Sisi ni Mawakili wa siri za Mungu

  • @Regan_Venance
    @Regan_Venance 4 месяца назад +5

    What a song 😊😊😊

  • @DennisMutangili
    @DennisMutangili 4 месяца назад +2

    Mungu azidi kuwalinda wezetu wa chang'ombe choir ❤❤❤❤

  • @Pauloedwad-ug9xo
    @Pauloedwad-ug9xo 4 месяца назад +1

    Bass imeimba sana kongole kwako brother Benja hakika unaubariki sana moyo wangu

  • @solomonnthenge7229
    @solomonnthenge7229 28 дней назад

    Im blessed in kenya machakos

  • @IsackPaulo-k8q
    @IsackPaulo-k8q 4 месяца назад +3

    Kazi zurii Sana watumishi wa mungu

  • @drsewe2507
    @drsewe2507 27 дней назад

    I love you all ,from 🇰🇪

  • @NaahZephania
    @NaahZephania 4 месяца назад +2

    Amen!!🎉Good song me piah Ni Wakili wa siri za Mungu❤❤

  • @elikanamusa
    @elikanamusa 4 месяца назад +1

    Amina@mawakili wa safari ya mji wa raha 🎉🎉

  • @ChristopherSibilike-h2y
    @ChristopherSibilike-h2y 4 месяца назад +2

    Mungu awabariki sana..watumishi🙏🙏🥰

  • @ezekielmasaga258
    @ezekielmasaga258 4 месяца назад +3

    Hongereni sana familia yangu

  • @Mageta425
    @Mageta425 4 месяца назад +5

    Mimi ni wakili wa MUNGU nimekaa kusubiri 😊

  • @rahabkabuta4778
    @rahabkabuta4778 4 месяца назад +1

    Mungu awainue zaidi,wimbo ni mzuri kweli❤❤❤❤❤❤

  • @Magreth-v5h
    @Magreth-v5h 4 месяца назад +2

    Na mim hapa kama wakili❤

  • @agnessboaz7349
    @agnessboaz7349 4 месяца назад +4

    Faithful

  • @MariaEnock
    @MariaEnock 4 месяца назад +3

    Haleluyah Mimi ni miongoni mwa mawakili la Mungu! Eee Mungu kupitia wimbo huu linda uwakili wangu kwako🙏🏾✝️

  • @polyjoh549
    @polyjoh549 4 месяца назад +1

    ❤❤❤❤ tu mawakili wa Siri za Mungu hallelujah 🔥🔥🔥

  • @EmanuelMabula-bj1ru
    @EmanuelMabula-bj1ru 4 месяца назад +1

    May God bless you more and more for your good ministry. (1 Corinthians 4:1-2)

  • @geofreygervas2969
    @geofreygervas2969 4 месяца назад +4

    🎉🎉🎉 fantastic

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 4 месяца назад +2

    Wimbo mzuri 🎉❤mbarikiwe

  • @magambaniofficial300
    @magambaniofficial300 4 месяца назад +1

    ambaye sija like coment yake aje a like coment yangu...🎉🎉

  • @firstkenyan8833
    @firstkenyan8833 4 месяца назад +3

    God is good.

  • @PriscaIbengwe
    @PriscaIbengwe 4 месяца назад +1

    Utukufu kwa Yesu

  • @amosbinzi1452
    @amosbinzi1452 4 месяца назад

    Kwa huu wimbo , CVC siwadai ,😊😊 mbarikiwe na Mungu,, maridadi saana

  • @philipezekiel2886
    @philipezekiel2886 4 месяца назад +2

    And finally the waiting is done ✅ 🎉❤🎉🔥🫶🏾💪🏾🙏🏾

  • @Joseph-o2i
    @Joseph-o2i 4 месяца назад +2

    Haleluyaaaa,

  • @festosolomon5625
    @festosolomon5625 4 месяца назад

    Huu wimbo nilitamani muda sana kaka Elisha Mungu Akubariki kwa utunzi mzuriii Nawapemda Taasisi

  • @elishaalexander
    @elishaalexander 4 месяца назад +1

    Sisi ni Mawakili wa Yesu

  • @PeterKayuni-oh1mp
    @PeterKayuni-oh1mp 4 месяца назад +1

    🎉🎉🎉watumishi wa mung tujuan

  • @EmmanuelThomas-ym8vw
    @EmmanuelThomas-ym8vw 4 месяца назад +2

    Mawakili

  • @sanggroupofcompanylimited.
    @sanggroupofcompanylimited. 4 месяца назад +2

    Amina

  • @LugaloveMgunany
    @LugaloveMgunany 4 месяца назад +5

    💫💫🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏😍😍😍

  • @JenniferMaduhu
    @JenniferMaduhu 4 месяца назад +1

    MUNGU awabariki❤

  • @NeemaEmmanuel-fz6ok
    @NeemaEmmanuel-fz6ok 4 месяца назад +2

    🔥🔥

  • @TekraImaja
    @TekraImaja 4 месяца назад

    Mungu awabariki Sana nimebarikiwa Sana watumishi wenzangu🙏🙏🌹

  • @paulseneda
    @paulseneda 4 месяца назад +1

    Wakili 🙌🙌🙌

  • @ErickDavidMuya
    @ErickDavidMuya 4 месяца назад

    🙏🏾🙏🏾👏👏

  • @Isack-dr3ol
    @Isack-dr3ol 4 месяца назад

    Bass ya maana kabisa kuwahi kutokea🔥🔥

  • @stevensempire
    @stevensempire 4 месяца назад +1

    Powerful song 🔥

  • @zephaniapaul9592
    @zephaniapaul9592 4 месяца назад

    ❤❤❤

  • @Brightonychristopher
    @Brightonychristopher 4 месяца назад +1

    Amen

  • @magerodeogratias8582
    @magerodeogratias8582 4 месяца назад

    MUNGU awabariki sanaaa CVC ❤️❤️

  • @nurusaid2088
    @nurusaid2088 4 месяца назад

    Hongereni sana barikiwa❤❤

  • @mandidavidmdlalose9929
    @mandidavidmdlalose9929 4 месяца назад

    This is wonderful n lovely Eish what a song

  • @salomethomas-cv3zn
    @salomethomas-cv3zn 4 месяца назад +2

    🙌🙌

  • @stephenmumo194
    @stephenmumo194 4 месяца назад

    nakubali kabisa CVC

  • @SafenathPanea
    @SafenathPanea 4 месяца назад

    Hallelujah 📢

  • @sophiariwa4707
    @sophiariwa4707 4 месяца назад

    GOD bless you ❤

  • @johnjames8162
    @johnjames8162 4 месяца назад

    Be blessed🔥

  • @barakaallen5901
    @barakaallen5901 4 месяца назад +3

    Hiyo bass mmmmh🙆‍♂️🙆‍♂️😂😂😂

  • @Ethan-yi8gg
    @Ethan-yi8gg 4 месяца назад

    Wow❤

  • @geofreymfello
    @geofreymfello 4 месяца назад +1

    💥

  • @paulseneda
    @paulseneda 4 месяца назад +1

    😊❤

  • @joycelubinza4538
    @joycelubinza4538 4 месяца назад

    💥💥💥

  • @mayalajbubele9696
    @mayalajbubele9696 4 месяца назад +2

    🎉

  • @edwinjustin8600
    @edwinjustin8600 4 месяца назад +2

    20.9.2024

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 4 месяца назад

  • @bensonjoas4782
    @bensonjoas4782 4 месяца назад

    uimbaji safi.. ila drums haijatulia vzr

  • @DanielMapuli
    @DanielMapuli 4 месяца назад

    Hallo bassist 😂👏

  • @marystephen1183
    @marystephen1183 4 месяца назад

    Nilijua anaimbisha Joel luaga aisee..
    Ila bass imelia nyie

  • @SamwelSospeter-ei3vj
    @SamwelSospeter-ei3vj 4 месяца назад +1

    🔥🔥🔥

  • @mayalajbubele9696
    @mayalajbubele9696 4 месяца назад

  • @desmondmbasha8404
    @desmondmbasha8404 4 месяца назад

    Amen