HARMONIZE anamuhitaji mtu mwenye ubongo wa SALLAM SK ili aweze kutoboa kimataifa na sio kutegemea...
HTML-код
- Опубликовано: 9 ноя 2024
- Please subscribe now on our RUclips channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#harmonize
❤❤❤❤ 👌👌✌️ middle simba🎉
Me wabashele ❣️❣️
Wa kwanza leo🔥🔥
Grammy hata tukiikamata mara 1 tu ili watutambuue ili na sisi ma king tunaokuja tuweke machupa on treding international 💥🔥💯
WA Kwanza Leo 🦁
Bangi konde zina mchanganya ndomana siku zote anazidi kushuka kiwango
Aache kwanza kufirana na kupenda makalio makubwa na mibangi atanishukuru badae 😂😂😂😂
Mwambino nduo alimfanyia zuchu hadi hakachafuka ikawa aibu
Makario anapenda babayako
@@merinakassembe118 siyo makario bhana hebu juwa kwanza kutofautisha L na R🤣🤣🤣
Harmonize Mzee Popo analaana ya uchawi...Majini ya Baba ake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wakwanza leo❤
Safi sana mwamba Kwa kutusogezea habar za burdani Kwa wakti tunajivunia kua na ww
Dogo upo vizur ata kwenye soka utawafunika wengi ukijaribu
Wewe ulitamani harmo apotee ila wapi ndo maana una beef naye na ataendelea kukumiza kichwa Hadi mwisho
Sasa hiyo ndo mihemko,mahaba na pendapenda kupita kiac ,pole sana😂😂😂
Middle Simba on air 🔥🔥🔥
Middle Simba kila kitu kina wakati wake so usimkandamize saana harmo coz humpendii tunajua
Kati ya watangazaji wote Tanzânia msema kweli ni wewe pekeako tu Mungu akulindi daima meddle simba
🔥🔥🔥🏆
Bro unamjukia harmonize
Na ww middle Simba unafeli wapi hufiki kimataifa??
Bona were autoki
Uyu jama ni mjinga sana harmonize ni msanii mkubwa tena sana
How,au ndo mahaba naww,ila ukweli hata mm huniuma sana😂😂😂
Wangwana naomba munisaidie jina la wimbo huo unaotumika kweny video za middle simba plz
Daimondi amefanya show ipi kimataifa sasa we Fala kwel afu mnafki 😂😂
😂😂 umeona e
Nyinyi wagonjwa unauliza daimond kufanya shoo njeeee nyinyi sim zenu hazishiki data mpaka mje daresalam nni na sijui kama hamupo mikoa 60
Upo sahihi
Wew Middle Simba tunakujuw vizuri wew ni Timu WCB,So kwa hio ongea unacho kitaka kuhusu Harmo tulishakuzowea
Kwani diamond Alisha Fanya Nini na uyo rayvanny Tanzania IPO nyuma kimataifa tusi fishane
shida yako unajicompare na nchi gan unavyosema flan mfup unamlinganisha na nani na ww useme tupo nyuma kimataifa unatulinganisha na nani
Middke simba achana na hamonize aluwkwambia abafelli nani mtafutie wewe mtu kama dalaam
Harmonize hukuwa na kipaji but anakuwaga na ufalla sana😊
Middle unajua Sana kuongea
Wewe ndie haumtegemei Konde lakini sisi Tunamjua international wewe sikiliza Ngoma za ufala Harmonize Yuko sawa bana
Apo umeferi big harmonize anapambana sana achaa unafikii
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amukubali mupo kama wachawi nye
Shame on yu yu do hate harmonize chawa WA diamond wew
Wewe ni munafiki unachuki zaidhi ya wachawi😢😢😢
Shida bongo ukisema ukweli wanaona unawivu ila ukweli ndo huo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bro we uko na wivu na harmonize
❤❤
haaaaaaa haaaaaaaa middle simba
Sisi tunao ujua mziki tunaungana na wewe midde😊
Mimi hua nakubali sana maana tokea useme komasava itafika mbali kweli ilifika
Middle your my favorite person but I think you don’t like konde and understand why ? You should be proud of konde bc upata content, from konde
Sasa hivi ni sauti+sigara+posh matako
Fuck .....
Ndio ndio😂😂😂
Wewe jamaa humpend konde
Kwl kbs,huyu jamaa ni Timu WCB
Kwani wew nani hakujui kuwa upo team wachafu wew middle simba? ndio maana hata ukimuongelea harmonize kwa mabaya gani siwezi kushangaa nishakuzoea....😏😏😏
Kashatoboa kimataifa
Wewe ni mojinga sana,,,haumpendi harmonize ndo maana na huendi mbali
Jifunze kuandika vizuri 😅 "mojinga ndo nn😢😅😅😅
Pengine angebakia wcB
Umeongea vyema sana 🎉🎉
Sasa uyo mond amefika wapi ndo uje hapa kutuambia ujinga akajaze arena kama hao unao mlinganisha nao
Mimi sio mtanzania ila wacha niseme hili. Kusema ukwel tanzania kwa sasa bila mondi hamna mziki and kingine ukiangalia vizuri kila mtu anamtazama mondi kama icon wa tanzania maana ni kama vile kimataifa wamemuachia yeye ili awawakilishe maana wasanii wengine naona kama wanafanya masihala, na istoshe kusema kuwa mondi ana management nzuri maana na wao wenyewe wanampambania afu na yeye hawaangushi bali anazidi kuwaonyesha uwezo wake na kweli hawafelishi kwa hilo.Diamond platnumz right now ni namba nyingine . Hapa south Africa nilishangaa nilikwa napiga ngoma ya nataka kulewa ya mondi ,mzee flani kaniambia Sametime kuwa huyo diamond platnumz na tunamkubali sana, nilishangaa afu ngoma ya zamani sana, akasema anapenda anavyo dance .aisee mond basi kashatoboa, akina konde baso sana , ile management yake amna kitu ila ni kijana mwenye talent na anaandika vizuri kwel.
Wewe utakua mtanzania was tandale kabisa so kwa m barua huu mrefu😂😂acha uongo
@@barbiepixie92 je natanze igitekerezo canje , nimba bitagushimishije singombwa unyishure, ndumva unashaka kungira umutanzaniya, ugabanye umunwa
Et kabahatisha wee ni umaaa kabisa
Kumamako middle
sema nn mwamba huwa unaongea Sana kuliko unacho tujuza mpaka unaboa
Mm kutoka Burundi lakini uko na wivu sana harmonize mkali sana acha unafiki bahati imba ata ww tuone
Wivugani bruh mbona ukweli mtupu
Sema wewe unamapezi na mondi kwani yeye ni wamataifa?
Uyo mondi nae katoboa
Umechambua vzr but I think best way of advising someone to be successful don't base on someone did this and that you need to give him or her the strategy to get it😂😂😂 so improve your uchambuzi very well
Huyo uchambuzi wake kuenda mjini mpaka amchane harmonize so Konde Boy ndio maji lazima wayatumie tuu in any way
Hana advice zozote ni kumponda harmo na kumkuza mondi wake coz ni shabiki wa wasafi huyu
He said Harmonize lacks appropriate management that would be able to guide him to international level. And he suggested probably Harmonize needs someone like Sallam SK in his management
@@johnmwasilu7087 yeah but is crushing him instead of advising harmonize to do something profitable he started by saying diamond and rayvanny success while when you're advising someone on important issues you should not make comparison showing that you are basing on one side 😁😁
Wachana na harmonize kabisa, si muwakilishwe na Chino kid, muwakilishwe na harmorapa ama timbulo? C uachane na harmonize just for once? He has his team that listens and loves him, hapo wasanii wako unaowataja waliisha. Rayvanny tangu 2022 ana hit gani? Hata hit za east Africa lazima atafute diamond ama atafute harmonize ama remix za underground! Just leave him na ukiamka kila cku hebu ongelea wasanii wako pendwa and don't mention him anywhere. Sns, Rick media and Millard Ayo will talk about him, not you
Wewe ni kama unachukizwa tu na kazi ya Harmonize kwa sababu wewe ni shabiki mkuu wa Diamond.....sasa huyu Diamond wako kimataifa ..... Ngoma gani yake imepenya kimataifa....kwanza Diamond hajui kuongea ama he don't understand English....so non of Diamond's songs can't be listened by anybody world wide maybe for a while..... Harmonize anajituma bana....
Acha wivu mze baba
Weeee kwel n mshamba 😂😂😂😂😂😂
Ww n bonge Moja la mshamba walai Hjaskia Komasava
Harmonize Ako na tuzo ya kuvuta bangi😂😂
K wewe
Wewe ndo kavuta bhangi ....
😂😂😂😂 you know that I'm single harmoniza ni msanii wa east Africa bado hajafika level za kupenya Hadi international level.
But why do u hate on someone like that😢, how many International songs does rayvanny have 🤔
Hapo umefeli uwezi kufananisha watu elewa mtu anae pambana na anaepambaniwa be proud kwa anayejipambania mwenyewe aunajipya pita huko
Umeshuka wewe sio konde
Demu aliyenaye hana nyota anampulula
Albamu ya mama 😂😂😂
Nmecheka nkaangukia masufuria
Mm nikuulize middle kwan mondi ashatoboa kimataifa 😂😂
We kima angalia maisha yako
Kitambo sana
Amesema angalau Diamond anaonekana kupambana kufikia hiyo hatua lakini yuko peke yake na labda kidogo Rayvanny. Kwahiyo anamshauri Harmonize azingatie kipaji chake na kupata uongozi bora
@@johnmwasilu7087 👏