Apan usimkatie tamaa binadamu anaepumua na kutembea yey anandoto ajasem yey ni tajir no.1 ivi siku akitangazwa ndo mtakuwa akin sara waliomkataa mbagala 😅
Mwijaku hujui chochote ndugu yangu. Matamanio ya mtu ndiyo humpa nguvu, ari na bidii ya kufanya Kazi kwa bidii ili kufikia ndoto. Kuhusu kumfikia mtu hata MO huwezi kumfikia kirahisi Bwana.
Mama mm nakukubali sana ila kinachoniuma sana Kuna watu unawaogopa najua Kuna mambo mengne huamui ww ila tu kwakuwa wanakupa vitisho na ndio maana unafanya maamuzi ambayo cyo yamatakwa Yako ila na Imani Kuna mtu mmoja akitoweka hapa duniani utafanya mazuri sana ila Kwa sasa ww ni ng'ombe wake tu
Ila kwa hualisia hii kitu Simba sio rahisi mfano muone tu Ronaldo lakin sio tajir hata wa 1,000 ona wasanii wa marekan ambao wanatumia pesa kama uchafu ila kwenye utajir wa dunia hata awanusi top 10,000 jifikirie xana , japo wazo lako n zur
Diamond asichanganye dini na siasa. Wote tunamuamini Mwenyezi Mungu. Lakini akumbuke hata yule tajiri wa india aliyemlipa Rema bilioni tatu kutumbuiza kwa dakika 3 na akafanya bonge la sherehe. Hata top 5 ya matajiri duniani ayupo.
Chuki binafsi ni mbaya sana...yaani mbaya sanaaaa. Ndio maana wabongo hatuendelei hapa duniani kwa sababu hatupendi kuona mtu anaendelea kimaisha kifikra au kielimu. Mifano mingi tunayo na hii mitandao siku hizi ndio wachochezi wa chuki wakubwa. I've seen it, face it, experienced it so I know what I'm talking about. Hata angekuwa Konde ndio yupo nafasi Ya Mondi, lazima angepigwa mawe, madongo mpaka matofali ili mradi tu kuchafuliwa. Show some respect to this man and if I was him, I wouldn't WASTE MY ENERGY to say a single word Kwa sababu Chakula ya Mwijaku anapata kwa kumchagua Mondi. Akimsifia hakuna anaerekodi. Msomi kuponda wasiosoma?...msomi anaheshimu asesoma kuliko msomi mwenzake. Pumba wewe VU
Tatizo la mwambino ana msaada Kwa watu...akitoka msaada anatolea sifa..moo tajili lakini anasaidia watu...Fred tajiri mzuri sana...anamchango mkubwa sana Kwa wafanya biashara..ajiongelei yeye...anawasaidia watu Kwa kuwaongelea iwapo Kuna mgomo na wanamkubari...awapi pesa...anawakilisha Kwa utetezi wa maneno...uwo ni msaada mkubwa sana Kwa Fred vunja bei...Fred kaka yangu mwache mwijaku sio kichaa anamchana huyu mwambino..Tena anamalingo sana...ACHA izo...dunia tunapita mwambino..mjifunze Kwa hari kiba na jeshi wako pis ni mtu na nusu
@@SifaEmma we Kuma lala mama akoo kumaweee uyoo baashaa wakoo ana maajabuuu ana itwajee na ccm wakatii ana keshaa kuku filaa ana maajabu kama wewe kumaweeee
Mwijaku, point,akili kubwa ushauri,but elewa Hadi hapo alipo,Kuna watu wamemfikisha,hivyo usiwabeze,ni vizuri sana umemuongezea maarifa.lakini pia,inatakiwa uthamini mtaji wako wa wali uliokufokisha hapo,nao ni watu.lakini nimekulubali, shule ipo broo
Umeongea vizuli Mwijaku ila hukutakiwa kutoa kauli kali kama hii [mpumbavu] Diamond si mdogo kias hiko hadi umtukane ivo lakin hata mtoto mdogo huwez kumtukana bila sababu chunga mdomo wako Mwijaku ya Kipanya hujayamaliza ushaanza kutafuta mengine endelea.
Anawongeyaga vibaya sanaa ata kama niukweli. na kumyoza juu ata mtoto wako nazani unawokopaga kumwambiya kauli mbaya kama ivo apana siyo vizuri...panasiku moja uyo mdomo wa masifa utampeleka pabaya.
Ujue ukiona mtu anawaza hivyo kuwa Tajiri anajua njia azipitazo na hara asipofka atapata kidgo kuliko kutokuwaza kabsa, kwani unaambiwa waza kikubwa Anza sasa na Fanya kidgo kidgo kuliko kutokuwaza kabsa ,huyo mwijaku Hana mpya yeye na elimu yake anabuluzwa Tu afanye yake sio kila siku mwanbino vile au hivi ujingaaa mtupu!
Usimpangie mtu cha kufanya zaidi sana kwenye mafanikio yake, 1B sh Mondi anakalia tu RR, wewe mwenyewe unajisifu kwamba umetumia 1B.3 sh, kujenga nyumba ungewekeza kwenye sabuni,mahindi,ufuta je leo ungekuwa na Billion ngapi?😂
Tatizo kubwa Duniani mwenye hela awezi kumsikiliza asiye kuwa na hela sema asiye kuwa na hela yuko na mawazo ya kira Mia yake anayo toa basi kuwa na faida ya 50
Kwer tajili ni kuwekeza sio umarufu ni utajili kwer hapa Sasa ndo nasemaga Kuna mwenye akili na mwenye elimu diamond ana akili ili aendee kusonga mbele akae na wenye elimu ili ajiongezee vitu zaid na hapate mawazo ya kuwekeza zaid ili awe tajili
Mwijaku kwa hili yuko sahihi uwezi sema unandoto ya kua tajili namba moja duniani wakati kuna watu bongo tu huwafikii kifedha simba wenu akiwa hana cha kuongea ndo kama ivo au walimloga ?
ASEE MM NLIWAH KUMILIK MILION 45 NLIJIONA NAHELA KIJIJI KIZIMA AJABU SASA KUNA MWAMBA 1 AKAJA AKAJENGA MJENGO MKUBWA SANA WA LORGE NIKIUANGALIA UNAE ZAIDI YA M100 NA POIN ASEE NIKASEMA WATU WAMEPOA2 TUNAOJIVUNIA HATUNA KITU HUO NI USHUHUDA KABISA WANGU BINAFSI KUNA WA2 WANA HELA NA HAWABONGI
🤣😁Utazani kweli utajiri ndo unapatikana kama anavyosema mwijaku😂. SHIDA YA HAWA WATU WENYE USHAURI MWINGI WANAJUAGA KUSHAURI JUU YA VITU VYA WATU TU WAO KUFANYA SASA NDO ZERO.PUNGUZA USHAURI WATU WANAMIPANGO YAO.
Kwa juu juu unaweza sema yuko sawa lkn nna imani MOND kwa level aliyoko sasa sijui kama hayo anayoongea bado MOND hajafanya, pia kwanini MWIJAKU anajimaliza hivi,ngoja tuone majibu ya MOND kwa vitendo
Ni Tanzania tu masikini anamshauri tajiri namna ya kutumia pesa
BRO UMEWEZA REO NAKUPA SALUT MWIJAKU OYEEE
Mwijaku mapoint kibao umetisha baba🎉
Huyu jamaa ni chawa ila kwa leo kaongea ukweli baadhi ya vitu
Ukwel gani........ useless mind...........ata mm nina ndoto ya kukuwa rais wa dunia
Apan usimkatie tamaa binadamu anaepumua na kutembea yey anandoto ajasem yey ni tajir no.1 ivi siku akitangazwa ndo mtakuwa akin sara waliomkataa mbagala 😅
@@ChireGriffinfact mkuu usimsemee mtu kesho yake anaandoto na anajua nn anafanya mshamba tuh uyo uwez msemea mtu ujui 24h zake anafanya nn
Namaanisha ushauri to ila ata mm naamin kupambania ndoto nijambo sahihi ata isipotimia c tatzo@@ChireGriffin
@@upendoweja6010namanisha ushauri wake baadhi ya vitu viko sawah ila kuhus ndoto lolote linawezekana
Salute Mwijaku ...sense sana
Good speech chawa nimekuelewa
Leo mwaijaku nimekukubali🔥🔥🔥🔥
watu wanaokuzunguka ndio kipimo cha utajir wako
ilaa mwinjakuuu😂😂😂😂😂 leo kaongea fact
Wewe kama huna malengo au ndoto kwenye maisha yk ni mjinga
Likiacha uchawa linakuaga na akili sometimes
Point mwijaku
Kumbukeni ndoto ni ndoto tu, ukiamka reality ya maisha yako iko palepale.
Asante mwijaku unasema kweli
Mwijaku hujui chochote ndugu yangu. Matamanio ya mtu ndiyo humpa nguvu, ari na bidii ya kufanya Kazi kwa bidii ili kufikia ndoto. Kuhusu kumfikia mtu hata MO huwezi kumfikia kirahisi Bwana.
Hyo point kabsa
Mama mm nakukubali sana ila kinachoniuma sana Kuna watu unawaogopa najua Kuna mambo mengne huamui ww ila tu kwakuwa wanakupa vitisho na ndio maana unafanya maamuzi ambayo cyo yamatakwa Yako ila na Imani Kuna mtu mmoja akitoweka hapa duniani utafanya mazuri sana ila Kwa sasa ww ni ng'ombe wake tu
Ila kwa hualisia hii kitu Simba sio rahisi mfano muone tu Ronaldo lakin sio tajir hata wa 1,000 ona wasanii wa marekan ambao wanatumia pesa kama uchafu ila kwenye utajir wa dunia hata awanusi top 10,000 jifikirie xana , japo wazo lako n zur
Ronaldo utajiri wake wenyewe bado hajamgusa hata mo dewji
@@2pacFreeStyle96yaani Ronaldo inabidi awe na utajiri km ule alikuwa nao km ×10 hivi
Good point but diamond naye anamanaake kusema ivyo
Akili ya mwijaku ni kubwa sana lakn diamond achukue mawazo yake hii ni njia kwa mond
Dc big up sana mwambie mwambino
Amwambie nn kumbe na wew kichwa maji
Diamond asichanganye dini na siasa. Wote tunamuamini Mwenyezi Mungu. Lakini akumbuke hata yule tajiri wa india aliyemlipa Rema bilioni tatu kutumbuiza kwa dakika 3 na akafanya bonge la sherehe. Hata top 5 ya matajiri duniani ayupo.
KUMBE MWIJAKU KUNA MUDA AKILI huwa zinarud mahala pake. @big fact
Chuki binafsi ni mbaya sana...yaani mbaya sanaaaa. Ndio maana wabongo hatuendelei hapa duniani kwa sababu hatupendi kuona mtu anaendelea kimaisha kifikra au kielimu. Mifano mingi tunayo na hii mitandao siku hizi ndio wachochezi wa chuki wakubwa. I've seen it, face it, experienced it so I know what I'm talking about. Hata angekuwa Konde ndio yupo nafasi Ya Mondi, lazima angepigwa mawe, madongo mpaka matofali ili mradi tu kuchafuliwa. Show some respect to this man and if I was him, I wouldn't WASTE MY ENERGY to say a single word Kwa sababu Chakula ya Mwijaku anapata kwa kumchagua Mondi. Akimsifia hakuna anaerekodi. Msomi kuponda wasiosoma?...msomi anaheshimu asesoma kuliko msomi mwenzake. Pumba wewe VU
Mwejaku anaakili. Sio hater amempa fact..
From #EconomicallyGrowthMusicians Uthubutu uthubutu Familia huleta matokeo chanya let's Go🎉🎉🎉 tusikatishane tamaa tukaze kwa umoja...
🎉🎉🎉🎉🎉
Ila mwijaku kuongea point kijana atulie ajitsthimini kwanza
Mwijaku maneno yake yanzingatiwe anakitu akisikilizwa
Mjinga hawezi kuelewa
Mpumbavu tu
Kuishi karibu na mahakama sio kujua sheria. Unaweza kuwa chawa wa matajiri kama mwijaku na usiwe tajiri.
Nimeipenda sana point kweli umejibu kisomi nina la kujifunza
Kwn kuna shido? Kila mtu ana ndoto yake
Tatizo la mwambino ana msaada Kwa watu...akitoka msaada anatolea sifa..moo tajili lakini anasaidia watu...Fred tajiri mzuri sana...anamchango mkubwa sana Kwa wafanya biashara..ajiongelei yeye...anawasaidia watu Kwa kuwaongelea iwapo Kuna mgomo na wanamkubari...awapi pesa...anawakilisha Kwa utetezi wa maneno...uwo ni msaada mkubwa sana Kwa Fred vunja bei...Fred kaka yangu mwache mwijaku sio kichaa anamchana huyu mwambino..Tena anamalingo sana...ACHA izo...dunia tunapita mwambino..mjifunze Kwa hari kiba na jeshi wako pis ni mtu na nusu
Mwijakue kaongeaaaa point mamaeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂dah fact
Sawa kabisa ushauri ni mzuri sana
mwijaku nenda umshauri mamako mzaz ashndane na vunja bei
Uko sahihi Mwijaku ❤
We mshamba mwenzie ivi kabla ajafungua wasafi si mlisem ivo ivo hahah
❤❤❤
Niatari WA Tanzania
Jamaaa ameongeaa Fact sanaa Hii....
Kabsaa watu waanaokuzunguka ndio kipmo cha utajiri wako,,,upo na wacheza kamari unazani utamburia nn upo na warevi unazani utavuna nn
Hahaha, my dear Bana, you are good at art
Kwanini CCM inasapoti Harmonize Mzee Popo kuharibu kazi za Diamond Platnumz na Wasanii wake youtube na uchaw?????i... Aibu Tz❌😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿
@@SifaEmma we Kuma lala mama akoo kumaweee uyoo baashaa wakoo ana maajabuuu ana itwajee na ccm wakatii ana keshaa kuku filaa ana maajabu kama wewe kumaweeee
Eti mlinganishe mali😂😂😂2024🙄🙄🙄going 2025😳😳there is no need&no point in that.
Mwijaku, point,akili kubwa ushauri,but elewa Hadi hapo alipo,Kuna watu wamemfikisha,hivyo usiwabeze,ni vizuri sana umemuongezea maarifa.lakini pia,inatakiwa uthamini mtaji wako wa wali uliokufokisha hapo,nao ni watu.lakini nimekulubali, shule ipo broo
😅😅😅😅 nchii hiii bhna yaani masikini anamshauri tajiri 😅😅😅
Leo mwijaku umeongea point
Hahaha save clip 😂😂
Mwijaku mwenywe alisema sema myonge mnyonge haki yake mpeni diamond anapesa kuliko fred
Mbona asiseme Mo Daugjy
Ngozi lana hatutaki ushauri wako hupeleke mama yako diamond tajiri one
Imetiwa injection dozi kubwa kwa boss kubwa Mwijaku ungeanza na dozi ndogo ndogo kwanza
😅😅mwijaku et rosiros ni ya mburahati eti Moro haifiki
Simba achana na huyo njaa Kali Hana unsure a naitaji atutapeli bando zetu huyo mwija😅😅😅😅
Utakata kiuno kwenye mziki mpaka kiuno kivunjike ila kua namba moja duniani sahau, nani mkata viuno ashawahi kua tajiri duniani hufikir
Umeongea vizuli Mwijaku ila hukutakiwa kutoa kauli kali kama hii [mpumbavu] Diamond si mdogo kias hiko hadi umtukane ivo lakin hata mtoto mdogo huwez kumtukana bila sababu chunga mdomo wako Mwijaku ya Kipanya hujayamaliza ushaanza kutafuta mengine endelea.
Anawongeyaga vibaya sanaa ata kama niukweli. na kumyoza juu ata mtoto wako nazani unawokopaga kumwambiya kauli mbaya kama ivo apana siyo vizuri...panasiku moja uyo mdomo wa masifa utampeleka pabaya.
Uyo mjanja wake Doto Magari
mwijaku enyew anatafuta upepo saiv kakubali yaishe baada ya boss wake kumkana
Mwijaku ubarikiwe utafika mbinguni umesema kweli
Acha roho mbaya Mwijaku
Kaongea point sana huyu hata kama ni chawa
Ujue ukiona mtu anawaza hivyo kuwa Tajiri anajua njia azipitazo na hara asipofka atapata kidgo kuliko kutokuwaza kabsa, kwani unaambiwa waza kikubwa Anza sasa na Fanya kidgo kidgo kuliko kutokuwaza kabsa ,huyo mwijaku Hana mpya yeye na elimu yake anabuluzwa Tu afanye yake sio kila siku mwanbino vile au hivi ujingaaa mtupu!
kafa mombasa cement analisha watu elfu 50 kwa siku amechomwa moto kma sio tajir
Kabisaa
Usimpangie mtu cha kufanya zaidi sana kwenye mafanikio yake, 1B sh Mondi anakalia tu RR, wewe mwenyewe unajisifu kwamba umetumia 1B.3 sh, kujenga nyumba ungewekeza kwenye sabuni,mahindi,ufuta je leo ungekuwa na Billion ngapi?😂
Huyu Mwijaku Ana akili Sana Sana
Atumie Akili yake kutafuta pesa na sio kuingilia maisha ya watu
Kama yako tu...mtu amesema ana ndoto ya kuwa tajiri namba 1 mapovu yamewatoka chuki tu kwa mafanikio yake...hajasema yeye ni tajiri🙄🙄
Tatizo kubwa Duniani mwenye hela awezi kumsikiliza asiye kuwa na hela sema asiye kuwa na hela yuko na mawazo ya kira Mia yake anayo toa basi kuwa na faida ya 50
Mm niseme tu huyu mwinjaku mbn mpumbavu sana ww kuma ww mepeleke mkeo akaajiriwe
Kwer tajili ni kuwekeza sio umarufu ni utajili kwer hapa Sasa ndo nasemaga Kuna mwenye akili na mwenye elimu diamond ana akili ili aendee kusonga mbele akae na wenye elimu ili ajiongezee vitu zaid na hapate mawazo ya kuwekeza zaid ili awe tajili
Masikini bhana uwezi kuona mambo Kama haya kwa kinarostam au mo... Sasa Masikini waliokotoa hela sasa wanavyojigamba mhhh
Mbona mwijaku hauna ata bajaji hatuongei
Hahahahaha sema iyo ndoto itamsaidia pia akiwa anapambana awe n moja akapanda mpk wa mia mbili au tatu apa tz
Domo hana lolote hawezi kuwa tajiri namba one duniani subutu
Uko na Imani ndogo,,kwani nyinyi ndo mumefanya ,,hawe msani bora EAST Africa?
Amesema ndoto hayo ni malengo,wewe ili ujenge mpaka uwe chawa kwa wanaume wenzio,acha wivu bila diamond huish
HIYO NI PROMOTION YA TAMASHA LA WASAFI KAONA ALIBUSTI LIZUNGUMZIWE
Mondi una akili Sana, achana na kina mwijaku.
Daimond hana kawaida ya kujbu
Fact
Aaalaaah❤❤❤
unamshauri nini mbona hakuna ulichomzidi zaidi ya digrii 😂😂😂
Mwijaku kunawakati unatakiwa uwe naheshima ya namawazo yamtu Kila lakheli diamond
Maneno tu, utajiri namba moja autoe wapi , gari lenyewe used la kuokota hilo
Tuoneshe lako
alafu watu walio soma wameajiriwa na watu hpae hawajasom
Mwijaku kwa hili yuko sahihi uwezi sema unandoto ya kua tajili namba moja duniani wakati kuna watu bongo tu huwafikii kifedha simba wenu akiwa hana cha kuongea ndo kama ivo au walimloga ?
Diamond kashafanikiwa ww huo ndio Utajiri ulisema ooooh et fake ww mwijaku huna unsure
Akamtafute babaake kwanza izo promo za kijinga azitusahidii 🙌🙌 roho mbaya
Dishi leo limetulia halija yumba hhhhhh
Degree VS Standard 7
ASEE MM NLIWAH KUMILIK MILION 45 NLIJIONA NAHELA KIJIJI KIZIMA
AJABU SASA
KUNA MWAMBA 1 AKAJA AKAJENGA MJENGO MKUBWA SANA WA LORGE NIKIUANGALIA UNAE ZAIDI YA M100 NA POIN ASEE NIKASEMA WATU WAMEPOA2 TUNAOJIVUNIA HATUNA KITU
HUO NI USHUHUDA KABISA WANGU BINAFSI KUNA WA2 WANA HELA NA HAWABONGI
Yenyewe diamond ni mtu madawa miaka 40 hata ndege pekeake hauna unasema tajiri dunia ata Africa hawezi kwa wasanii pekeake
🤣😁Utazani kweli utajiri ndo unapatikana kama anavyosema mwijaku😂.
SHIDA YA HAWA WATU WENYE USHAURI MWINGI WANAJUAGA KUSHAURI JUU YA VITU VYA WATU TU WAO KUFANYA SASA NDO ZERO.PUNGUZA USHAURI WATU WANAMIPANGO YAO.
🙏🙏🙏🙏🦁🦁🦁💯💯💯
We jaku mseng San kumbe Hilo gar unajua mond imempa madili mangap kupitia Hilo gar hile senge kweli
Ivi kuzunguluka ni nini
Yan ww ungekuwa upo znz ww naamn ungekuwepo kiwanda kwa halfani haba unasaga fuc diamond tuachie wenyewe tuliomkubali toka anaanza had leo
Mwijaku 😂😂leo utaniuwa na chek
Ilo choko lanini kubishana nalo
Kumekucha😅😅😅
Kwa juu juu unaweza sema yuko sawa lkn nna imani MOND kwa level aliyoko sasa sijui kama hayo anayoongea bado MOND hajafanya, pia kwanini MWIJAKU anajimaliza hivi,ngoja tuone majibu ya MOND kwa vitendo
Bro soma vizuli comment,,mwijaku kashajibu tayari,,soon atamupita Simba ki hela,,sasa kama chawa ako nandoto yakushinda simba kwann mond asiweze kuwa tajiri Duniani?tayari mwijaku amesha jipa jibu
Kwanini anamwita mwambino😅
Hili jamaa mwijaku lina akili sana