"Nakuita uje uwe wangu ili tuishi pamoja kwenye shida na raha" I couldn't understand any word in neither English nor kiswahili back then. I thank me for having made the efforts to learn the two. Mr. Nice, utakuwa moyoni mpaka mwisho. Mungu awabariki na awalinde wote
Wimbo huu naupenda sana...macho hayana pazia....oh my God...ya zamani ni dhahabu kwa kweli...huyu jamaa alikuwa mwana mziki kabisaa.nani ana watch namimi october 2018
Mr Nice, memories are made of this. It reminds me nostalgically how my friend used to invite us in his house we dance to it. Unfortunately, he went mad.
Bonge moja la ngoma, 2021 hii namskiliza huyu fundi alowahi kutokea miaka ya 2000, Lucas Mkenda (Mr Nice) na style yake ya TAKEU (Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 and Uganda 🇺🇬 😃
Watu wengi najua wanataka kujua Umri wangu , Iko hivi hii nyimbo wakati inatoka mwaka 2003 Nilikua Darasa la 4 kwahyo unaeza ukapiga hesabu mpaka Sasa Nina Umri gani 2024
I know almost all his songs, I remember them all when listen to them but I never knew till today that I do😭 you a legend... I remember my wonderful childhood dancing on your song such a fagilia(my fav) You da best man
ilove this song very great bcz it made to bring mine mind working for reall yall ;;; especially when imiss my baby girls ;;; im young c from A.M.C for life................
Inanikumbusha kipindi hicho naingia studio kuimba kumbe mashairi mengine niliyatoa kwenye wimbo huu basi producer akanitimua nikajiona siwez kuimba nusu nikate tamaa ila nashukuru natunga za kwangu now
I'm still watching this song in 2024.., all God bless you..
"Nakuita uje uwe wangu ili tuishi pamoja kwenye shida na raha" I couldn't understand any word in neither English nor kiswahili back then. I thank me for having made the efforts to learn the two. Mr. Nice, utakuwa moyoni mpaka mwisho. Mungu awabariki na awalinde wote
mashabiki wako tunakukumbuka sana Mr nice nyimbo zako zilibeba ujumbe mzr sana
Siwezi sahau na huu jamaa Ni legend wangu
twenty twenty nan yuko kalibu na mr nice
Leo tarehe 8 mwezi wa 5 mwaka 2019 namaliza MB zangu kwa ajili ya hizi nyimbo za kitambo yaani daaah.
Wimbo huu naupenda sana...macho hayana pazia....oh my God...ya zamani ni dhahabu kwa kweli...huyu jamaa alikuwa mwana mziki kabisaa.nani ana watch namimi october 2018
Who still watching 2019?
Kama ulimkubali Mr Nice ngonga like twende Sawa...
👍
Suis ici le 07/04/2024
💪💪💪💪
qui est là aussi !!!
Mr Nice, memories are made of this.
It reminds me nostalgically how my friend used to invite us in his house we dance to it. Unfortunately, he went mad.
Unfortunately he did what!!!!
Bonge moja la ngoma, 2021 hii namskiliza huyu fundi alowahi kutokea miaka ya 2000, Lucas Mkenda (Mr Nice) na style yake ya TAKEU (Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 and Uganda 🇺🇬 😃
namkubali sn Huyu jamaa anajua sn kwasasa yupo Kenya
Any body still watch and listen to mr Nice's song like me in 2019..🕊🕊🕊
daaa ama kwel ya kale ni dhahabu bado nauthamin uu wimbo wa takeu master u dd ur job nicely
Mr Nice 🇧🇮 tunakukumbuka 2020🇧🇮👊🏽💪🏾
Hii nyimbo kwangu mm huwa haichuji.2017 still watching this..
My friends! This song was one my favorite songs in 2003
This song is a vibe🎉😊skippng 2024 wth t❤😊
Kama wakati ungerudishwa nyuma...tungerudi katika hizi enzi za utotoni.
Kweli kabisa
Legends live forever, thanks for all the memories and timeless music mr nice! Much love for you wherever you are 🔥🔥❤️.
Leo tarehe 15mwezi 12,2019 nani tuko pamoja like👇👇
Jaman Leo 2 October bado naipenda sana.hii nyimbo nakuombea Mungu akurinde popote ulipo😊
Tz kuna best wasanii 2 bora wa mda wote. Mr nice A.K.A Diamond wa Analogia na Diamond wa kidigitali A.K.A Simba
Honey macho hayana pazia sina la kukuhaidi zaidi ya pendo langu
Umenigusa sana
Nina nina
Watu wengi najua wanataka kujua Umri wangu , Iko hivi hii nyimbo wakati inatoka mwaka 2003 Nilikua Darasa la 4 kwahyo unaeza ukapiga hesabu mpaka Sasa Nina Umri gani 2024
13/3/20 bado naskiza wimbo huu.
Kazi nzuri Mr Nice
Legendary, nasikiliza till now 2019
kweli old is Gold many memories back
Diamond wa enzi zilee
Kabisa yani.
Msanii wa kwanza Tanzania kuimba kiingereza 😀😃😄😁😆😅🤣
kitu kali sana kongole kwa mr nice na wadau wote wa music
2019 and still here! Miss my childhood life. GongA like
Daaaah heshima kwako saana Mr nice kitambo sana yaaani
I know almost all his songs, I remember them all when listen to them but I never knew till today that I do😭 you a legend... I remember my wonderful childhood dancing on your song such a fagilia(my fav)
You da best man
23/4/2021.... Mr nice aya mashair nan alikunyang'anya au mziki wa sasa hv unataka kiki sana
I can't understand KiSwahili but the vibe makes me fall in love with Mr Nice's songs
Wherever you are may God be with Mr. Nice
A hit is a hit. Timeless music 👌🏾 2022
Mwakahuyo nilikuanikokonda wabac 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wote waliimba bongo Mr nice aliwatishia Wote sio mchezo wakati wake
Enzi hizo natafuta mchumba niliona kama Nice akinitungia mimi
Kitambo jamn... Naicheki apa 2018..
qaliiii
this remind me far back in the days....thank God for everything
Eishhhh memories hii song unikumbusha mbali ingawa nilikua mdogo sanaaaaaa ❤️
Haniii macho hayana paziiiiiiia sina la kukuaid zaid ya pendo languuuuuuuu.
respect sanaaa kwa yeye alikuwa anajua
2020 still a living Legend, I got nothing but love for you nakumbuka the first time we meet with Lucas Mukenda and the girl in da video NoMa!
🎉tangu 2002 up 2023 bado navutwa hisia na yalio pita
keep it up man I love the accent
keep in touch
nakumbaka mbali SNA enz hizo nikiwa na miaka 3
big up for ma boy mr.nice, love the music...
2024 my song ever ❤
Nani tupo pamoja?2020 i still listening this song
Wanawake jamanii...hatuishii bila ninyii
Kizungu jameni Mr.Nice😂😂. 2018??
Tinnie Nattie kizungu hicho jaman... hahaa
Tina Mwanga kipindi hicho nilikua na myaka 2
Leo trh 16 novembar 2020 saa 23 kamili
Nakumbuka nilikua darasa la 5 wakati inahiti hii ngoma.leo nina mke na mtoto mmoja.duuh miaka inaenda haraka na kifo kipo karibu zaid.
30th June 2020....this was my childhood hit.
Nakumbuka mbali sana nahc mpka machoz yananilenga
Watoto wa Corona hawajui hizi...wamezoea zile za inama inuka...2021
ngoma yenye mafunzo na mistari ya mapezi unapoitaji mshikaji
Huyu jamaa angekuwa anaendelea na Muziki angetisha sana
ilove this song very great bcz it made to bring mine mind working for reall yall ;;; especially when imiss my baby girls ;;; im young c from A.M.C for life................
woh!!!wimbo mtamu kweli
Nafika mbali sanaa
Ni wimbo mzuri sana
2017 still on top Mr Nice.Afrikan beat Hoyee!!
Naukubali sanaaa wimbo huu
God bless you in wat ever you touch
Nipo nacheki nani anaicheki ngoma hii tarehe ya leo 10/03/2019 time ni 22:10 ucku agonge like twende sawa
Mr Nice please Rudi kwenye game,still here in December 2021
5:6:2020 nko hapa nko niki ngoja lockdown iishe kesho na curfew
2019 imeweza sana tu ju its taking m back when music was real music
Here again I liked this song frm beginning Mr Nice fan
wazee humbuka moyo wangu
mbali sana jamani Nani anacheki sahz 2016
masikine wana damou dounia li setra
Up to now am still watching
This song
At least bring a remix
Who is here 2019 August?
Ooh Gosh this song...naupenda sana
iyo dé yimbo dzouzouri sana ta paka comores watru djouwa yimbo iyo marahaba mr nice
Quelle belle époque ❤❤
Mr nice my favorite musician of all time
Kubl sana Mr nice
Cant someone upload this song complete?
vzr unatisha
This is the man I like and his a legend big up my big brother! We need something new sir
l still love your songs Mr nice,love nakuita
Wababe wa kumbukumbu corona na mr.nice
2021 nani nae anaicheki😂😂
Love the song Dpd
nakmbk mbal sana buseresere ntuzu cinemax
nice
Ntuzu disco sound! Na dj Nandy
Where Mr. Nice gone someone to him to back 🤔🤔🤔
Nommamama sana sio kwa hisia hzo kama zote
Inanikumbusha kipindi hicho naingia studio kuimba kumbe mashairi mengine niliyatoa kwenye wimbo huu basi producer akanitimua nikajiona siwez kuimba nusu nikate tamaa ila nashukuru natunga za kwangu now
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hii sikuwahi kuisikia wala kuijua dah!
Goat 🐐 2023 🔥
Nani anacheki kama mm 2018 tar 18_05_2018
Nassoro Ramadhan mimi nachec saizi 3-10-2018 inabamba kaka
2021🔥🔥🔥❤️❤️🙌 kwenye shida na raha
September 2019 likes
I remember dedicating this song to my then high school girlfriend... back in the days...
Good well done job
Ngoma zakibabe ganga laiki kwa mwaka 2020 Kama bdo unaiskiliza