Bongo musicians owes a lot to Mr. Nice.....they should give him maximum respect....this is the guy that introduced the good Bongo music to East Africa and especially Kenya.......hapa Kenya ukienda kwa majumbani, vilabuni, arusini......nyimbo ni za diamond, Rayvanny, Harmonize etc......long Live Mr. Nice
unafiki mbaya ...,Ulikuwa miongoni mwa wasanii wangu pendwa nikiwa mtoto ,ubarikiwe sana broo nyakati zinabadilika,hata wasanii wanawika leo kuna wakati watapitwa ,sasa kwanini watu leo wakusimange ?, Blessed broo Mr Nice
Mr Nice ni kweli Duniani hutajutia na kila kitu umekifanya lkn kuna moja kvbwa umelisaha kaka ni KUMPOKEA YESU AWE BWANA NA MWEOKOZI WA MAISHA YAKO Hilo ni jambo kubwaa kumbuka kuna maisha baada ya maisha Yesu kristo anakupenda sana MPE maisha yako kaka na wewe itakua salamaaa yeye ni yote katika yote ameeen
One of my best interview kiukweli huwa nairudia mara nyingi sn hii interview kuiangalia na kuickiliza coz najifunza kitu kupitia hii video ni vizuri ktk safari ya maisha kila mtu aishi maisha anayoyataka yy, wengi wanaishi maisha ya kuigiza ila Mr Nice ameweka wazi kabisa maisha aliyojichagulia hii inanifundisha kuwa duniani hapa tunapita so you better live your life, ninachoamini kutoka kwa Mr Nice ni mpambanaji na kikubwa bado Mungu amemjaalia afya njema atarudi tu na kuzikamatia km zamani coz maji hayasahau mkondo wake @millardayo
Mr nice nilikalili nyimbo zako kama zote na nilitamba nazo kijijini kwetu na nikapata umaarufu kwa nyimbo zako huko kijijini.... Well done mr nice!.. still legend brother!.
...but unajuaje km haombi mungu wake na kutubu??, kwani lazma aonyeshe hadharani kwamba amemkumbali mungu, si hata David was sinner but when it comes to God he is serious like nobody's business.. stop judging people on social media, it's just a short minutes clip, you don't spend time with them in real life to know them... Remember God hates hypocrisy, kuonyesha watu ati wewe unamwabudu, do it for your own good, without even announcing to us...
Mr Nice nilikutana naye mahali akatumia Kama laki tatu usiku mmoja ,wakati wanadai mhudumu akawa anadai kifujo maana aliambiwa amefulia jamaa akasema nalipa kwa mpesa ,mhudumu akawa haamini kumpa namba akalipa laki nne na kusema laki ongeza vinywaji kaunta nzima afu akaaga ,ni mpole sana na anatabasamu muda wote na ongea yake ya kinyrnyekevu sana
Mr Nice where exactly r you?people r terribly missing u, usimply melted and evaporated,come back on stage ...man .I have personally felt ok to see u and hear ur voice
Happy to see you again Mr nice...it's been so long time...Rwanda tuna ku miss sanaaaaa 💓💓💓💓, happy new year by the way bro....sauti lako..moyo wako mwema..utulivu...wako, nyimbo zako zote siwezi sahau..kikulacho, lakini nilipenda collabo yako na harmonize..( sina)...we mtu wa watu, blessed man..
Mr. Nice kiukweli umepotea lkn kama ungejiwekeza mpk leo ungekuwa bado upo 🔥 🔥 🔥 🔥 lkn ulibugi mbona wakina propfesa mpk leo yupo juu wewe unajisifu ujinga eti starehe
Kuna moja usipofanya utajuta milele,mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi waaisha yako.ili ukifa akukaribishe kwake,huo ulimwengu mwingine hatuna machaguzi ulicho amua huku ndicho kutakuamulia kule ulae wapi.kule hakuna free will kama huku.
Bongo musicians owes a lot to Mr. Nice.....they should give him maximum respect....this is the guy that introduced the good Bongo music to East Africa and especially Kenya.......hapa Kenya ukienda kwa majumbani, vilabuni, arusini......nyimbo ni za diamond, Rayvanny, Harmonize etc......long Live Mr. Nice
Uyo noma wakat wake ⏰ ulipo kuw 🔥🔥🔥🔥
Mimi kabisa
I really love this guy..... He is a Hero
He was a good guy ... Songs that l liked from the start to date .... You are a legend Mr nice .,, Keep it up man
Your music still played here in Zambia. You're the best Mr nicr
unafiki mbaya ...,Ulikuwa miongoni mwa wasanii wangu pendwa nikiwa mtoto ,ubarikiwe sana broo nyakati zinabadilika,hata wasanii wanawika leo kuna wakati watapitwa ,sasa kwanini watu leo wakusimange ?, Blessed broo Mr Nice
Atanasi Francis
Chars Mwaimu Naam,niambie
Wanasahau kuwa siri ya #Mtungi aijuaye ni #Kata.....!
Atanasi Francis k
Umemaliza kabisa
Tokeya mwaka 2000 tungali watoto n'a tchapa mistari yote ya mister Nice Paka sasa 2023 najuwa kuimba album nzima ya mister Nice 🔥🔥🍻🍻🍻🍻🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mr Nice ni kweli Duniani hutajutia na kila kitu umekifanya lkn kuna moja kvbwa umelisaha kaka ni KUMPOKEA YESU AWE BWANA NA MWEOKOZI WA MAISHA YAKO Hilo ni jambo kubwaa kumbuka kuna maisha baada ya maisha Yesu kristo anakupenda sana MPE maisha yako kaka na wewe itakua salamaaa yeye ni yote katika yote ameeen
Hata ukapata pesa ngapi, huwezi kuwa kama Mr. Nice. Ligi yake tofauti sana
Mr nice can never be replaced , He remains the legend forever
Wow Mr nice..... You are a legend..... Mad respect 🇰🇪
One of my best interview kiukweli huwa nairudia mara nyingi sn hii interview kuiangalia na kuickiliza coz najifunza kitu kupitia hii video ni vizuri ktk safari ya maisha kila mtu aishi maisha anayoyataka yy, wengi wanaishi maisha ya kuigiza ila Mr Nice ameweka wazi kabisa maisha aliyojichagulia hii inanifundisha kuwa duniani hapa tunapita so you better live your life, ninachoamini kutoka kwa Mr Nice ni mpambanaji na kikubwa bado Mungu amemjaalia afya njema atarudi tu na kuzikamatia km zamani coz maji hayasahau mkondo wake @millardayo
Piga Like Tukienda.....
Mr Nice Is A LEGEND
I'm happy to see Mr Nice ,I remember his songs I love so mush, God bles him,here in Mozambique I anjoy his songs.
• Mr Nice we miss you a lot here in Mozambique! God bless you. 😇
Morreu?
@@sheylagoncalves8568 no he is alive
Kulikuwa hakuna mitandao ila ulijulikana kila mahali hata cm zilikuwa shida, respect broo all time
Mr Nice give us one more song. You are a Legend.
Cha kujutia kipo Mr Nice
kutokumkubali Yesu kama mwokozi wa maisha yako na kuishia kuabudu starehe!
Mda unaisha na mlango wa Rehema unafungika.
Aliye kwambia yesu aingiza watu peponi n nani
Yesu mshikaji tu kama wewe...
Aliye kwambia hamjui mwenyezi mungu Nani??wacha kujifanya unamjua, hujui undani wake ila mungu Tu....tena pengine yesu kamkubali kukuliko hata wewe.
@@silviapamba3756 make my day bitch!
Siyo kila kikufaacho wewe kila mtu pia kitamfaa.... Kwani alikwambia anataka kwenda huko Mbinguni?😂😂😂😂
Nimependa kujiamini kwako mr Nice.
"Sometimes, to be silent is a good answer to fool people"
Legent i salute you 👍
Mr nice nilikalili nyimbo zako kama zote na nilitamba nazo kijijini kwetu na nikapata umaarufu kwa nyimbo zako huko kijijini.... Well done mr nice!.. still legend brother!.
Legend uyu jamaa ndo alifyeka nyasi pakawa na njia
Kabisa
The right msg all times...... your work life is different from your normal life...all through since 2000
Me just love,we got married through yr songs utabaki juuuu
Umebaki uokoke sasa juu kunahasara kabisa unapo kaa bila YESU mkubali awe Bwana namokozi wa maisha juu umekula rahaa bali huzuni iko mbele
...but unajuaje km haombi mungu wake na kutubu??, kwani lazma aonyeshe hadharani kwamba amemkumbali mungu, si hata David was sinner but when it comes to God he is serious like nobody's business.. stop judging people on social media, it's just a short minutes clip, you don't spend time with them in real life to know them... Remember God hates hypocrisy, kuonyesha watu ati wewe unamwabudu, do it for your own good, without even announcing to us...
Sasa umejuaje hapo alipo sasa hivi
Amina
Safi sana sarah kwa msg nzur .huwo ndio ukwel hakuna cha ziada .yesu ndiye njia na kweli na uzma hayo mengine yana toka kwa muovu
Mr.#kikulachooo daaaah your the best come back again brother
Tu es uneLégende 🇨🇩🇨🇩tokeya congo🇨🇩🇨🇩✌️✌️wewe djo Simba wa kweli
Ayo Respect;!!! Unawapa mudaaa kabsaaa!!! Wajua... @dochmuzik confirmed!!!
Loved yo songs since my childhood
Were is this guy anyway Mr nice.... We mis your music 🎵 give us new album. We love your music here in zambia.
Mr Nice nilikutana naye mahali akatumia Kama laki tatu usiku mmoja ,wakati wanadai mhudumu akawa anadai kifujo maana aliambiwa amefulia jamaa akasema nalipa kwa mpesa ,mhudumu akawa haamini kumpa namba akalipa laki nne na kusema laki ongeza vinywaji kaunta nzima afu akaaga ,ni mpole sana na anatabasamu muda wote na ongea yake ya kinyrnyekevu sana
Duuuuuuu
Duuh😀🙌🏽 sem usiam san mitandao naamn sasa maan wanamuita kafulia kumbe mwamba hajamua kuw high key tu kwny media
Aiseee 😭😭😭😭 sio fresh kabisa binadamu bana. Naisi hyo mhudumu Aliona Abi Sana. Pande zioi hapo tujuze
Daah noumaaa😂😂
We love u Mr nice🇰🇪🇰🇪
Millard jamani c kila mtu ana Mike yake...
Zaitun Abdalla Umeonaa eehh!!!????
@@paulalphonce5848 bwana weeee... Ajichokesha yani
@THE GREAT AFRICA bwana weeee... Mi hata namuonea huruma
Ayo ashazoea kuwasogezea
😂😂😂
Nakukubali wewe sio mnafiki unaishi unavyo taka na sio watu wanavyo taka keep it up nice
Much love from Kenya Mr nice
Mr Nice was top in 2002 in kenya🇰🇪fagilia song and kikulacho.
Waaah ila we Mr Nice hahaa nyimbo zako zilikua juu sna
Bosi Wangu Nakukubari Sana 🙏🏾Mungu Azidi Kukubariki Inshallah 🙏🏾 Mr Nice
Mlitisha sana
Good point broo hakuba bongo fleva kama Mr nice😍😍
All n all Mr nice ni legend ndio mwenye bongo fleva na ndio msanii east Africa alieshika more money kwenye tasnia ya mziki
Aika mmbee.
Umeburuza Sanaa life bro nakubali
Nampenda sana Mr nice jina bado IPO tena sana jina kubwa hiyo
Mr Nice where exactly r you?people r terribly missing u, usimply melted and evaporated,come back
on stage ...man .I have personally felt ok to see u and hear ur voice
Rhio Phiri mwambie 🤔🤔🤔
Subuhannnallah...
Huna cha kujutia dah
Mnyez Mungu akupe uelewa na uanze kujijutia kable haijakukuta sakaratul-mauti 😭😭😭
Wewe ndio mpumbavu, kila mtu na maisha yake.
Yeah! Tembea na pesa kwa booty ya Gali! Big up to you! Nilikua napendo nyimbo zako wakati nilikua Primary school I love you from Burundi !
Kama umemuelewa Mr nice gonga like
Mr. Nice am your fan since you've started your music carrea I like you
Big up bro nakumbuka sana nilikuwa mdogo wako mtaani
Nimekumisss sana mr. Nice
Big up Mr nice you will be always a legend
Bless your heart brother
Big up legend...time yangu nilienjoy Sana nyimbo zake
I love this guy really so much I wish could meet Mr nice one day big up bro
Sijawahi sikia skendo ya kipuuzi juu ya Mr.Nice.
Ofcoz you deserve to be Mr.Nice.
The king 🤴 Ever 🇧🇮 East-Africa alituburudisha sana.
King of King Mr. Nice
Happy to see you again Mr nice...it's been so long time...Rwanda tuna ku miss sanaaaaa 💓💓💓💓, happy new year by the way bro....sauti lako..moyo wako mwema..utulivu...wako, nyimbo zako zote siwezi sahau..kikulacho, lakini nilipenda collabo yako na harmonize..( sina)...we mtu wa watu, blessed man..
R.I.P brother "Mapinduzi" still I'm watching on the interview of your favorite artist, Mr. Nice.
Hahahahaaaa, Mr Nice umenifurahisha sana, salute kwako nakukubali sana
Big up bro ulisomeka sana na unasomeka sana wew ndio uliosafisha njia ya mziki wetu wa bongo
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏😊
Our mentor Mr nice we love u
Iyoo point yakutoa bila sifa ❤❤❤❤ salutii sn
Aisee nimependa sana maneno yako kila kitu kinawakati wake upo sawa kabisa
Leo Mimi ni wa 1kuona vidéo Yako ♨️♨️from burundi
Chakujutia kipo kaka, hujampa YESU maisha yako, unatakiwa uokoke ndo ujue utamu wa maisha haya
Umejuwaje sasa wewe kama hajampa yesu maisha au unataka afanye matangazo
Kuokoa siyo show off kuji tangaza
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Mr. Nice kiukweli umepotea lkn kama ungejiwekeza mpk leo ungekuwa bado upo 🔥 🔥 🔥 🔥 lkn ulibugi mbona wakina propfesa mpk leo yupo juu wewe unajisifu ujinga eti starehe
I love you Mr nice...
I love mr nice One love bro
Cha kujutia kipo achana na mziki na mastarehe rudi kwa mola wako aliekuumba kabla hujafa mungu akuongoe amiin
Hakika atajuta kila mtu...mwema na mbaya kujuta lazima mbaya atajuta kwa kua 0 na mweme atajuta kua kwann hakuzidisha wema bc
Ukielewa maana ya fungu la kumi ndiyo utajua jamaa anamungu
Him the king him self
Uko vizur Mr Naic kweli haunaga majivuno
Ally Anthony
Umefulia maneno ya mkosaji hayo
I love Mr Nice
Acha hizo Nice umefulia hukujua kesho itakuwaje acha kupotosha vijana
Sura yako na yeye nani aliyechoka zaid
Sasa hivi yuko vizuri Uganda analindwa kama rais
Sura yako mbaya hadi roho
Superb interview ever by homie celeb.
Rugeh alikumaliza kimziki nakumbuka akitaka urudi kwake ndio urudi kwa game. ..big up sana Mr nice rest in peace ruge
Tunakutambua Kenya ...usidharau mwezie maisha fumbo
His true 👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻💜💜🙏🏼Goodbless
Ako na mic 🎤 yake bro. mbona wampa yako aongelee?
Endelea na mziki wako MR NICE. Watu wengi baado wana kupenda.
Kbsaaa
Mtu asimdharau Mr Nice ni jamaa mwenye busara sana mimi napenda anacho kiongea
Nikweli kabisa UKITAKA kusaidia mtu usijioneshe ndivyo anavyo penda mungu
Uneongea vizuri Mr Nice
Nakumbuka wimbi wako .kikulacho
story nzuri sana na nimeipenda sana .. tatizo inapoteza ladha kwa kuwa na ADDS nyingi mno
Kaka bado Mungu huja mweka mbele kwahyo unacho chakujutia huhu
We love you mr nice😘
Mr nice is always younger ...
I'm good spend! Safi kabisa Mr Nicw
Watu wemepitia mengi......Jamaa 2004 huko alitisha sana
@ v
Mr Nice is da truth!!!
umebakiza kujikoboa mwili tuu ka mkongo man, hongera
Fuck you coz wa congo viwanda vya cream ni bya baba yazo. Wekuma aise wa bongo wangapi wana jichubua
Milad nimependa sana jinsi unaviouliza masuali #Mtangazaji bora kwangu #From Comoros tunakusiliza sana #
East Africa Respected 🇰🇪
Kuna moja usipofanya utajuta milele,mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi waaisha yako.ili ukifa akukaribishe kwake,huo ulimwengu mwingine hatuna machaguzi ulicho amua huku ndicho kutakuamulia kule ulae wapi.kule hakuna free will kama huku.
Naomba Kufany kolabo na brother Mr Nc Nimemtafut San bro naomba unisaidia
legend👏
Mwana wakat ule Bata tumeinjoy acha tu mista nice hata Mimi nimeinjoy mzee mbunge aawe nikilia tu mpunga huo
Yes bro kwny kusadia hpo umesema kwel
tunakumbuka zamazil ulikuja Burundi bujumbura ilikuwa nisherehe kwakwel likuwanamyak 15 :2007
Daah! Umenena vema brother
Nakueshim bro ulitisha miaka izo mwenyenzi mungu akubariki akupe Maisha marefu.
Duh!!!aisee mpaka arusha kwenda kwenye starehe kweli pesa ina jeuri aisee
Haha pesa mpaka inawekwa kwenye butiii...
Noma sana
Mr nice nikweli unavyosema mambo yamtu siyo yakiyadisi sana mungu hapendi