Mwandishi muulize muheshimiwa mamantilie tutatoka lini pembezoni na mitaloni kupikia wana nchi magojwa sisi wenyewe tuna zulu walaji na ss vumbi tibi vifua na watoto wetu kwenye mitalo
Tahadhari gani tumezichukua kuwa kujionyesha kwamba sisi tuna ubavu wa kulisha Afrika nzima wakati makampuni kutoka hayo mataifa ya G20 ndio vinara wa kulazimisha nchi za dunia ya tatu kama Tanzania zitumia mbegu za GMO?
Hongera
Mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani upo safi ❤❤
na kweli ni laisi
Tutafika tu mama tupo pamoja
Hakuna maswali hapo ni uchawa tu
Mwandishi muulize muheshimiwa mamantilie tutatoka lini pembezoni na mitaloni kupikia wana nchi magojwa sisi wenyewe tuna zulu walaji na ss vumbi tibi vifua na watoto wetu kwenye mitalo
Tahadhari gani tumezichukua kuwa kujionyesha kwamba sisi tuna ubavu wa kulisha Afrika nzima wakati makampuni kutoka hayo mataifa ya G20 ndio vinara wa kulazimisha nchi za dunia ya tatu kama Tanzania zitumia mbegu za GMO?
Swali la kizembe kwelikweli sasa hayomajibu au hadisi
Ungejibu wewe