RAIS SAMIA ASIMULIA 'SIO KUBEBA MAKINIKIA YETU, TANZANIA SIO MASKINI, WANGEPIGA PICHA WAKASAMBAZA'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024

Комментарии • 79

  • @SleepyChefHat-oq9ji
    @SleepyChefHat-oq9ji 8 часов назад +5

    Kwenye makinikia tumshukuru JPM alipambana

  • @yonaseni3945
    @yonaseni3945 41 минуту назад

    Hongera Mhe Rais wetu maono yako ni ya kuijenga Tanzania ili isonge mbele.
    Katika mkutano huo tuwaombe Mhe Rais Ibrahim Turaore awepo ili ongeze nguvu kwenye maono yake. Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu.

  • @JohnMsafiri-v8s
    @JohnMsafiri-v8s 11 часов назад +3

    Ubarikiwe sana raisi wetu mw Mungu akutangulie kwa kila ufanyalo kwa ajili ya watanzania kwa ujumla ❤❤ SAMIA SULUHU HASSAN mitano tena❤🇹🇿🇹🇿

    • @IsakaNicholaus
      @IsakaNicholaus 7 часов назад

      😂😅😂😅 haya bhana. Nafikiri tusiishie tu kumsifia ila tumkumbushe pia shida zilizopo kwa wananchi.

  • @revocatusyohana9097
    @revocatusyohana9097 13 часов назад +5

    Nimekuelewa sana pasipo shaka, ukitaka kumuelewa weka siasa pembeni,,,,,.

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 8 минут назад +1

    Nimekuelewa sana mama Samia

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u 13 часов назад +3

    Hahahaha 😂😂 ndio maana nakukubali bure Mama. ubarikiwe sana mkuu wangu wa Nchi.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 часов назад

      Siyo Kwa sifahiyo!!!!!!! Tuambie mwenzetu unatumikia wazifagani? Mwenzetu

  • @saluwatimalyeta5587
    @saluwatimalyeta5587 13 часов назад +3

    Hongera sana RAISI WANGU MITANO TENA

  • @JoshuaJoshua-b4o
    @JoshuaJoshua-b4o 11 часов назад +3

    Tanzania Tanzania munguibariki

  • @SHADRACKIHENRY
    @SHADRACKIHENRY 11 часов назад +2

    Nampendasana mamayetu samia nilaisi mpolesana mungu akulinde namabayayote yasikupate japokuwa uongozi unakazisana ila vumiliatumama

  • @MussaMarwa-r8g
    @MussaMarwa-r8g 11 часов назад +5

    Samia sema wew siy masikin

    • @IsakaNicholaus
      @IsakaNicholaus 7 часов назад

      😂😂😂😂 daaah umepiga penyewe

  • @deogratiustimoth4070
    @deogratiustimoth4070 10 минут назад

    Mama Yupo kwenye Story sisi tunahitaji Uhalisia wa maisha wewe huwezi jua Umasikini kwakuwa unakula jasho la watanzania Na kuuza Rasili mali zetu bila swali

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 16 минут назад +1

    True

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 52 минуты назад

    Dah mi sina comment

  • @Erfra-e1w
    @Erfra-e1w 2 часа назад

    Mama kuna watanzania wanakula mlo mmoja kwa cku nakuombea sana utashinda kwa kishindo 🎉🎉

  • @alishamlan7434
    @alishamlan7434 10 часов назад +1

    ALLAH Akupe afya furaha na amani.this how africans and arab lleaders should reason

  • @SHADRACKIHENRY
    @SHADRACKIHENRY 11 часов назад +2

    Eeemwenyezi MUNGU nakuomba umlinde raisiwetu mamayetu amini

  • @alishamlan7434
    @alishamlan7434 10 часов назад

    Very true this is what we call wisdom .i wish all africans and arab to learn from our wise mama solution

  • @PascalMsafiri-x1f
    @PascalMsafiri-x1f 10 часов назад

    🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲 mungu akubariki sana unafikiriya sana samia umewaelewa sana watu wamagaribu

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 10 часов назад

    Waitutishie ulaya na p did wao sisi yuna Balthazar wetu pia big cc omparson

  • @asinahussein2176
    @asinahussein2176 12 часов назад +1

    Kweli kabisa wao hawasemi shida zao ila sisi sio kelele hizo

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 12 часов назад +1

    Kumbe mama unajua arafu kuna watu wanatukana nchi ya Tanzania wanati hakuna mtanzania anae lala nje Marekani ni mamilioni walala nje

  • @shabanially7226
    @shabanially7226 7 часов назад

    Nibora uwafumbue macho wanaopotosha wasiojua ninamnagan maisha ya watanzania yalivyo hongera sana,, ujumbe wangu usipende kuamin makaratasi maana wanaoadika niwanadamu wanamappungufu yake,,tofauti na ukweli husika,,

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 7 часов назад

    Kwahiyo kialabu ni elimu au ni luga

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 10 часов назад +1

    Kwa kweli mama rais unatukosea haki sisi wananchi kusema eti watanzania hawaishi chini ya dola moja kwa siku.unapozungumza lazima uzungumzie asilimia 80 % hawana nyumba za kisasa,chakula chenyewe Hakuna , matibabu yenyewe hakuna,sijui tuna nini ujigambe.
    Na hayo matusi unawapa wamasai na wahadzabe huo ni
    ukabila,halafu kuhusu kilimo siyo kweli eti tutunze mazingira na vyanzo vya maji,suluhu ni kuanza kilimo cha umwagiliaji,maji yachukuliwe bahari ya hindi na sehemu zingine

    • @pascofp145
      @pascofp145 5 часов назад

      Sasa hapo inahusiana na Dola 1

  • @mzeke-r9h
    @mzeke-r9h Час назад

    Kwenye historia ya gaza waisllraeli ni walowezi walitakiwa waje africa south america Germany kitambo wakashindwa wanaenda kuwaonea wapalestina misri walishakua baadhi ya sehemu .

  • @mzeke-r9h
    @mzeke-r9h Час назад

    Namuunga mkono raisi kwa point ya organic food ni kweli bongo nashaangaa watu walivokua washamba kwa vyakula vya chemical vya supermarket,wakati ulaya organic food europe america very expensive than supermarket food and is unhealthy, ndio mana sasa hivi afrika magonjwa kibao kwa sababu ya ushamba ,sema siwalaumu elimu muhimu ila serikali yetu imechelewa kuwapa watu elimu kama kipindi cha nyerere aliogopa kupinduliwa.

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 11 часов назад +1

    Kweli kbsa

  • @LeiyoLaizer
    @LeiyoLaizer 9 часов назад

    🇹🇿🇹🇿 mama kwa Leo hi safi🎉🎉

  • @kulwamathias7680
    @kulwamathias7680 6 часов назад

    Kweli mama nakupenda sana 2025 tunakupa kula zetu

  • @WannaBe-Camper
    @WannaBe-Camper 13 часов назад +1

    Inahitaji uelewa mkubwa kwa kumelwa …..

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 5 часов назад

    Mh tuwe na ajenda ya ya maendereo ya nchi

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 12 часов назад +2

    N CHADEMA TU AMBAE HAJAELIMIKA NDO HAWEZ KUKU ELEWA ILA CHADEMA ALIE ELIMIKA HAWEZ KOSA KUKUELEWA

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 12 часов назад +1

    Dola moja ni Tsh 2700 kwa sasa

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs 13 часов назад +1

    Wewe mama mbiahi sana watu tunaishi kweli hata kwa nuau dolla har mbaya wewe unaangalia huko mjin. tu

  • @razackpaulo6375
    @razackpaulo6375 8 часов назад

    Mmmhhhhhh sijaelewa naomba kueleweshwaaa na alie elewaa

  • @deocresmodest6148
    @deocresmodest6148 7 часов назад

    Mama uchaguzi wa selikali za mitaa ukiisha viongozi waende mitaani mwao waamasishe watu kupanda miti yamatunda waache kupanda kupanda miti isiozaa matuna

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 8 часов назад

    Demokrasia hutaki sijui kwanini

  • @IsmailMalukula
    @IsmailMalukula 11 часов назад

    Saw tumekuelew mama

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 11 часов назад +1

    IRON LADY ❤

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 11 часов назад +1

    JPM rip

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 7 часов назад

    Kiukweli mi na nduguzangu uku chini tunakula mlo mmoja maisha magum kila leo bola ya jana

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 11 часов назад +2

    Jamani Adhana huwa lina heshima la kipekee, niliwahi kuona video la mwalimu kasitisha kuongea mpaka adhana likaisha ndo kaendelea..

  • @mzeke-r9h
    @mzeke-r9h Час назад

    Homeless kibao ulaya america ,tatitzo la chakula namuomba raisi azingatie taifa kwanza kabla ya kuuza ulaya wakati taifa linakufa njaa,ndio mataifa mengi ya afrika yanafeli hapo tunaangalia wazungu kushinda hata afrika yetu.

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 9 часов назад

    Hapa ilitakiwa kikeke awepo kwasababu kikeke ni bingwa wa maswali mazuri lakini ni ngumu kujibiwa.

  • @AminaKondo-fe4lc
    @AminaKondo-fe4lc 8 часов назад

    Mama tadadhali tunakuomba wasaidie wanao waliohitimu mafunzo yao ya chuo kikuu kule Sudan wapate vyeti vyao kuna madaktari na fani nyingine tafadhali mama yetu mlezi wetu

  • @Ezim2445
    @Ezim2445 10 часов назад

    Nilikuwa sijakuelewa sasa nimekuelewa mama yangu.

  • @sadotkyabuguta3700
    @sadotkyabuguta3700 9 часов назад

    Hawa Wahzabe mbona wao wanakula Wanyama bila kutiwa kashikashi na dola?.

  • @richardmwangabula5706
    @richardmwangabula5706 7 часов назад

    Jaman ukiwa unakula vizur utaisi umaskin haupo raha ngoma ingia kucheza

  • @mzenji
    @mzenji 4 часа назад

    Sawa Basi kama kuishi msituni ni utajiri nyie muacheni kupanda magari ya 500M mkiumwa msiende nje. Na udokta wa heshima utoe kwenye majina yenu. Kazi kujitoa fahamu tu.

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 9 часов назад

    Umeme Bei juu, gesi Bei juu Sasa hiyo nishati Safi tutaipata kwa Bei ya juu Ndiyo sahihi?

  • @msafiridavid704
    @msafiridavid704 7 часов назад

    Mama samia sio masai pekee havayi bukuta......mbona hujapuga picha kwa kina dadada zetu wanao vaa vijora mbona pekuu......😮

  • @jumakimu2329
    @jumakimu2329 14 часов назад +1

    Mama nimekuelewa. Maua yako mama

  • @MajaliwaLechipya
    @MajaliwaLechipya 13 часов назад +1

    Misli hawategemei mvuwa nchi za majangwa wanatumia kuvuna maji navisima kuhakikisha kilimo Cha umwagiliaji sisi hatuwek kipaumbele kilimo tunasema lakin bajet haisemi Kama tunavyo sema wanatafsil nimaskin sababu tunaomba kwao tuwache kuomba ndipo hawatasema cc nimaskin

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 7 часов назад

    Kama hao wazabe ni matajili wambie wayanunue hayo matunda ata kama ni kwa miamia kwasiku uone kama wataweza

    • @pascofp145
      @pascofp145 5 часов назад

      Nakama marekani ni matajiri wambie wakae na hayo matunda mjini na hao wanyama

  • @Oissoemit-u7s
    @Oissoemit-u7s 11 часов назад

    JAMANI RAISI WETU WEWE NI KICHWA UKO MAKINI SANAAA! ASANTE KWA KUIPAISHA TANZANIA ULIWAJIBUKIUSAHIHI SANA HAPOULIWAWEZA,HONGERA SANASANA MUNGU AKUZIDISHIE,NINAKUTABIRIA MIAKA MITANO TENA YA USHINDI MKUBWA UTAKAOKUSHANGAZA HATA WEWE.

  • @HenrymodestKipesha
    @HenrymodestKipesha 12 часов назад +1

    mama mama mama hupoTzau.

  • @PascalMsafiri-x1f
    @PascalMsafiri-x1f 10 часов назад

    Wewe nirais wakwanza kuongeya ukweli

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 11 часов назад

    Sasa hapo umeanza kujitambua ulikua wap tangu kafa magufuli ulikua,unazngua

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od 12 часов назад +1

    Mama tunayo nguo za ndani bana

  • @musarashid3482
    @musarashid3482 9 часов назад

    Maskini kwa sheria ya kidini ni kila ambae hamiliki chakula chake na cha famili yake kwa siku Yan ajui atakula wap

  • @Ezim2445
    @Ezim2445 10 часов назад

    Ndio tupo bana usibishe

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 11 часов назад

    Traore mkweli wa maneno....

  • @husseinbakar2358
    @husseinbakar2358 8 часов назад

    Tanzania ni ni masikini watu hawana hata maji ya kunywa,watu wa mwituni wanakula kima

  • @PauloLaizer-c7f
    @PauloLaizer-c7f 10 часов назад

    Acha dharau mama

    • @Mwana-k2g
      @Mwana-k2g 7 часов назад +1

      Kwamba mnatembea mapumbu Wazi au sio...?

  • @laurian27
    @laurian27 8 часов назад

    Yaan nashindwa kukuweka ktk kundi gani ambayo imenifana kwa speech yako! Nadhan tukitoa urais ww ni mwalimu mzuri ambaye hata hao wajinga unaowaongelea wanakuelewa kwa jinc unavyotoa elimu kwa upole! Chukua mapema yangu ya 2025 Mama

  • @burnmotto1876
    @burnmotto1876 10 часов назад

    Njaa inakwisha mama sema Tu wew hujui kulima

  • @noeldaudi-y1l
    @noeldaudi-y1l 12 часов назад

    Anajua organic au Wanazungumza tu ovyo

  • @PauloLaizer-c7f
    @PauloLaizer-c7f 10 часов назад +1

    Acha dharau mama