TOXIC AMCHANA LUNYA KWENYE FREESTYLE “HII BITI SIJUI ALIPEWA NANI ?, MBUZI AKASHINDWA KULA MAJANI”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 170

  • @SophiaChidalamai
    @SophiaChidalamai 5 месяцев назад +52

    Oaaa uyu toxic kwenye maswala ya freestyle kashindikan bhn hata haters wake wanajua ila hawana namna🔥🔥🔥

    • @ShaharaniIddi-i2b
      @ShaharaniIddi-i2b 5 месяцев назад

      @@SophiaChidalamai ameimba nn apo

    • @othmantv2654
      @othmantv2654 5 месяцев назад +1

      ​@@ShaharaniIddi-i2bhv unajua maana ya freestyle maana isije ikawa unaponda tu kumbe hujui maana ya freestyle😂😂😂😂

    • @ahmedsdk6736
      @ahmedsdk6736 4 месяца назад

      ​@@othmantv2654hajui maana yy anajua n nyimbo maana anasikia bit 😂😂😂

    • @HafidhuMkwenya
      @HafidhuMkwenya 3 месяца назад

      Ujui lap ww​@@ShaharaniIddi-i2b

    • @HafidhuMkwenya
      @HafidhuMkwenya 3 месяца назад

      Ww ndo ujui uyo kwa tanzania hii uyo nyoko​@@othmantv2654

  • @sadiqrifay5448
    @sadiqrifay5448 5 месяцев назад +31

    Rip ngwea ni kwel umetutoka ila toxic yupo anakuwakilsha.....😎😎😎

  • @pestronics4503
    @pestronics4503 5 месяцев назад +15

    best mc in tanzania much love from kenya

  • @Dokta_kuku
    @Dokta_kuku 5 месяцев назад +28

    Sema free style sio simple sana, unaweza kosa vya kuchana yan 😂

    • @demask3423
      @demask3423 5 месяцев назад +1

      Sio kwamba sio simpe sana.. yani sio simple hata kidogo.. hii kitu ni tizi na talent

    • @slimtaddy8801
      @slimtaddy8801 4 месяца назад +2

      Sahihi TIZI & Talent Zingatia TIZI

  • @NiwemugiziBatalingaya
    @NiwemugiziBatalingaya 5 месяцев назад +22

    Toxic button here

  • @GilberthRajab
    @GilberthRajab 5 месяцев назад +24

    Wap team toxic❤❤

  • @PeterTembo-e3r
    @PeterTembo-e3r 5 месяцев назад +10

    💀🔥🔥wanyooshe king of freestyle rip haters.....!!🎉

  • @Aksa-yk1dp
    @Aksa-yk1dp 5 месяцев назад +12

    Kaka umetisha achana na mbuzi wamchongo 😊

  • @HassanYassin-ju5rf
    @HassanYassin-ju5rf 5 месяцев назад +10

    Jamaa mkali sana kwa free style

  • @JafariMatimbwa
    @JafariMatimbwa 5 месяцев назад +11

    KAKA SASA HZI SIFA 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥 APA ATA CADO MWENYEW ANASUBIRI

    • @JumaHussein-d1k
      @JumaHussein-d1k 5 месяцев назад +2

      Mshamba wew

    • @thomasnachenga795
      @thomasnachenga795 5 месяцев назад

      Cado ni habar nyingine mtoe kabisa mzee

    • @JJj-s4w
      @JJj-s4w 5 месяцев назад

      Wee nae cado yupo njema kivyake2 mzee

    • @MENGO_MEDIA
      @MENGO_MEDIA 5 месяцев назад

      Walishindana Lkn cado akakaa​@@JJj-s4w

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 5 месяцев назад +2

      ​@@thomasnachenga795😂😂😂😂😂Unasemaje???? Fuatilia Freestyle Ya Wasafi Big Sunday Live Huyo Kado Alichanwa Live Na Jamaa Mpaka Akabaki Anabwabwaja TU!

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 5 месяцев назад +9

    kado kitengo alikaa Kwa uyo mwamba wa kuitwa toxic fuvu ni noumaaaaa

  • @nestomwaup3836
    @nestomwaup3836 Месяц назад

    Kuna song naskilizia mbak unasem TMA huwa wanajizma data mda wa kutoa Tuzo. More love @appy#TMA

  • @brainsngaugula6075
    @brainsngaugula6075 5 месяцев назад +10

    Jamaa mkali kwa freestyle

  • @shekib411
    @shekib411 4 месяца назад +2

    Huyu jamaa ni nouma🔥🔥

  • @jimmycn7078
    @jimmycn7078 4 месяца назад

    nakubali.
    love from Burundi #Bujumbura

  • @Tinomsafi-kb3qz
    @Tinomsafi-kb3qz 5 месяцев назад +5

    Sanaa tuu

  • @RistoBsB
    @RistoBsB 5 месяцев назад +1

    Kali mno...

  • @DicksonBindeba-l5j
    @DicksonBindeba-l5j 5 месяцев назад +2

    Noma sana kumamake

  • @DurahRich
    @DurahRich 5 месяцев назад +3

    Mrithi wa Albert Mangwea.🫡🫡🫡🫡

  • @SNMSHABU
    @SNMSHABU 5 месяцев назад +1

    Family yako tupo hapa Toxic fuvu 🎉

  • @Comedy-r6q
    @Comedy-r6q 5 месяцев назад

    Noma sana

  • @tnumber7556
    @tnumber7556 5 месяцев назад +3

    Nice brother

  • @dullahsimbaulanga6472
    @dullahsimbaulanga6472 5 месяцев назад +2

    >>>Fuvu 🔥🔥🔥

  • @MR_BAD_SHOOT
    @MR_BAD_SHOOT 5 месяцев назад +2

    Toxic fuvu , huyu mwamba ni noma sana

  • @goramatz9488
    @goramatz9488 5 месяцев назад +2

    GORAMA WAS HERE🔥🔥

  • @duderapper98
    @duderapper98 5 месяцев назад +3

    🎉🎉🎉

  • @dizzonofficial2600
    @dizzonofficial2600 5 месяцев назад +2

    Bishoo wamotoo sana huyuuu

  • @clarencejohnngunge520
    @clarencejohnngunge520 3 месяца назад +1

    real freestyle

  • @HamisiMajoro
    @HamisiMajoro 4 месяца назад +1

    Ow bro we unajua achana na waimba tarabu hayo

  • @BarakaKassian
    @BarakaKassian 5 месяцев назад +2

    Toxic 🔥🔥🙌

  • @IssaAli-c1g
    @IssaAli-c1g 5 месяцев назад +3

    true stor ila 😊 young killer mkali

    • @C7Simulizi
      @C7Simulizi 5 месяцев назад +1

      Tuliza pumbu Fala wewe

  • @DcVoice-b9q
    @DcVoice-b9q 5 месяцев назад

    Hip hop to the next level qbal sana broda

  • @kalmaarufuofficial74
    @kalmaarufuofficial74 5 месяцев назад +1

    Wazokubwa 🔥🔥🔥🔥

  • @mujibuismail2717
    @mujibuismail2717 Месяц назад

    noma sana

  • @doneliabu6488
    @doneliabu6488 5 месяцев назад +1

    Tisha Sana jamaa👐

  • @ottiefx255
    @ottiefx255 5 месяцев назад +1

    Dogo balaa mistari inatoka kichwa the real talent

  • @mgimbajl2269
    @mgimbajl2269 5 месяцев назад +1

    Huyu dogo🙌🙌

  • @AdabuJames
    @AdabuJames 5 месяцев назад +3

    Toxic🔥🔥🔥

  • @farboy_tz.
    @farboy_tz. 5 месяцев назад +2

    RIP RIP RIP MWANZO MWISHO

  • @NassiHassan
    @NassiHassan 5 месяцев назад +2

    kuna mwana anaitwa Haydari Scodar aaaah huyo mwamba mm namkumbali sana

    • @dullahsimbaulanga6472
      @dullahsimbaulanga6472 5 месяцев назад +2

      >>>Andika RUclips Hapo CRB TOXIC NA HAIDARY SCODA, mwenyewe alikubali Kuwa Toxic Noma

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 5 месяцев назад +1

      Lkn alikalishwa na toxic ingia RUclips ujionee

    • @mdachiog5211
      @mdachiog5211 5 месяцев назад

      😂😂😂alikalishwaga na huyu

  • @HusseinKombo-q1d
    @HusseinKombo-q1d 5 месяцев назад +2

    Wakawaida sana ila anapata hipe

  • @emmanuelgasto1849
    @emmanuelgasto1849 Месяц назад

    Toxic fuvu uyu jamaa hapana😊😊😊

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 5 месяцев назад +1

    👑🔥

  • @CHUYUTV
    @CHUYUTV 5 месяцев назад +2

    Ila kijana😂

  • @HafidhuMkwenya
    @HafidhuMkwenya 3 месяца назад +1

    Temeke mabegani🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BarakaShida
    @BarakaShida 5 месяцев назад

    Poison King of battle freestyle

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 5 месяцев назад +1

    Upo fwesh ila izo l na r unavozitamka zinanikata mood ya kukuskiza kbs alaipii ndo nini

  • @xideblacktz
    @xideblacktz 15 дней назад

    Nakuhitaj tupge battle

  • @IddiZiggo
    @IddiZiggo 3 месяца назад +1

    Sounds ya bufa

  • @clementkingu963
    @clementkingu963 5 месяцев назад

    🔥🔥🔥

  • @japhsam_simulator
    @japhsam_simulator 5 месяцев назад +2

    Asee uyu jamaa unajua ku freestyle apa tz bado cjaona

  • @nirerehadidja8266
    @nirerehadidja8266 5 месяцев назад +2

    The freestyle raper

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 5 месяцев назад

    Kafanya powa sana 🤍🤍

  • @PcNice
    @PcNice 11 дней назад

    Toxic atabaki
    Kuwa toxic

  • @MrusiMweusi
    @MrusiMweusi 5 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MohamedRamadhan-fq1et
    @MohamedRamadhan-fq1et 5 месяцев назад +1

    Jifunz kunata na biti kwanza

  • @asheriseleli4821
    @asheriseleli4821 5 месяцев назад +1

    TOXIC 💥💥💥

  • @ramadhanimkomeni9515
    @ramadhanimkomeni9515 5 месяцев назад +1

    Huyuu hamn bitii inamtishaa

  • @BinPlatnumz
    @BinPlatnumz 5 месяцев назад +1

    🚀🚀

  • @MichaelMchola
    @MichaelMchola 5 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 5 месяцев назад

    Pow unyama kabisaaa

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 2 месяца назад

    #ww msenge nitishio

  • @lewhiskey145
    @lewhiskey145 5 месяцев назад +3

    Khaligraph ndiye baba yenu

    • @FrolidaDionis
      @FrolidaDionis 5 месяцев назад

      Anawashwa afu tushajua switch Iko wapi.,.😂

  • @KibatMadebe
    @KibatMadebe 18 дней назад

    Mkali xana nakubar toxic

  • @BenalKiwise
    @BenalKiwise 4 месяца назад

    Mia br

  • @OmaryMsangy
    @OmaryMsangy 5 месяцев назад

    Unajua mwana

  • @Bakibrian27
    @Bakibrian27 Месяц назад

    Huyu jamaaa mumpe mauwa yakeeee

  • @gembesimba
    @gembesimba 3 месяца назад

    Toxic Mbabe Wake Cado Kitengo Kwenye Freestyle. Nakumbuka Kwenye Rap Bato Alichanwa Mpaka Alipigwa Busu 😂

  • @Officialloughngzzo
    @Officialloughngzzo 5 месяцев назад

    We hatar kaka

  • @msolidwagalilaya6094
    @msolidwagalilaya6094 5 месяцев назад

    Zamani nilikuwa naona kama vile Cado ndiyo mkali sana lakini kwa hapa naona bado atangoja sana

  • @ElishaMakuza-o1y
    @ElishaMakuza-o1y 3 месяца назад

    habari

  • @andrewmsinge7996
    @andrewmsinge7996 5 месяцев назад

    🙌🏽🏁

  • @josephlemi8084
    @josephlemi8084 3 месяца назад

    Rip ngwea

  • @CreatureIey-eh8nh
    @CreatureIey-eh8nh 5 месяцев назад

    Toxic ni chemical weapon lunya ni dada2

  • @Skyler141
    @Skyler141 5 месяцев назад +2

    Toxic

  • @Raq_Moh20
    @Raq_Moh20 5 месяцев назад

    Huyu toxic ni sumu ya freestyle

  • @chuckblassie5891
    @chuckblassie5891 5 месяцев назад

    Mdudu kabisa

  • @MohamedRamadhan-fq1et
    @MohamedRamadhan-fq1et 5 месяцев назад

    Bora angelufa toxc

  • @ramamabrok2523
    @ramamabrok2523 5 месяцев назад

    Toxic 👑

  • @dangomc_official
    @dangomc_official 4 месяца назад

    sumu

  • @IbrahimKambunga
    @IbrahimKambunga 5 месяцев назад

    Toxic Mzee wa hizi kazi

  • @valencevenance7338
    @valencevenance7338 5 месяцев назад

    Studio haina hata shangwe duuh

  • @XhakaDevvo
    @XhakaDevvo 5 месяцев назад

    Mwamba❤

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 2 месяца назад

    Sidhan km kuna mtu anamzid huyu jamaa kwa freestyle

  • @Kidboy-pd1sd
    @Kidboy-pd1sd 5 месяцев назад

    Uyu mwamba atengwe jaman

  • @MohamedRamadhan-fq1et
    @MohamedRamadhan-fq1et 5 месяцев назад

    Dah mchiz una vibe huna cha kuimb mpk umtaje mumeo

  • @RadhiahemedymtesaHemedymtesa
    @RadhiahemedymtesaHemedymtesa 5 месяцев назад

    Unawezaje kwani

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 5 месяцев назад

    hii Africa sijaona wakukushika

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 5 месяцев назад

    Ww nikiboko kumamae asiokukubari choko

  • @GucciJackson-sw6pg
    @GucciJackson-sw6pg 5 месяцев назад +1

    😂

  • @allyharoub-rl6rb
    @allyharoub-rl6rb 5 месяцев назад

    Noumaa mzeeeeee

  • @senkleasamwel2294
    @senkleasamwel2294 Месяц назад

    Mwamba anayefanya freestyle ionekane kitu rahisi sana

  • @monking-z2r
    @monking-z2r 4 месяца назад

    oy toxic ni kiboko

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 5 месяцев назад

    Oiiiiiiiii mbuzi wa mchongo kaa mbali na number hii balaa sana

  • @jmjaytz
    @jmjaytz 5 месяцев назад

    Tox fuvu unyamaa San mbuzi makuzi tu huyo ana jisifiya San alafu hana ujuzi

  • @MariamuMwalongo
    @MariamuMwalongo 5 месяцев назад

    💣💣💣💣💣💥💥💥💥💥💣💣💣💯

  • @ndarnationsoundtz
    @ndarnationsoundtz 5 месяцев назад +1

    Freestyle ajui uyu mwanzo mwisho gwair ndo nin sasa

  • @SamweliNgandi
    @SamweliNgandi 4 месяца назад

    huyu kumlinganisha na lunya masihara

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 5 месяцев назад +1

    Ndio freestyle za siku hizi 😂😂

    • @XaiTheFreestyler
      @XaiTheFreestyler 5 месяцев назад

      Can you do better ?!

    • @nikkimbishiunju2402
      @nikkimbishiunju2402 5 месяцев назад +1

      @XaiTheFreestyler Kwa hiyo vitu vya kitoto toto ndio mnaona ukali dah kweli akili za watu wa siku hizi hapana,hivi unajua freestyle wewe?Unafuatilia kweli huo mchezo au mtu akisema check navyoflow check navyoflow ndio mkali?Kwanza unajua maana ya freestyle au mtu akisema mbele yangu naona mic na kutaja madj na Watangazaji kwa majina ndio mkali,pendeni kujifunza sio kupenda ligi za kijinga!

    • @XaiTheFreestyler
      @XaiTheFreestyler 5 месяцев назад

      @@nikkimbishiunju2402 brother freestyle au mitindo huru hasa ya papo kwa papo kama hii si kitu kdg ,, si rahisi Ku make sense unapo freestyle bro so huo uwezo unahitaji respect pia

  • @SaidMkome
    @SaidMkome 5 месяцев назад

    Unacho mzidi lunya miwani tyuuu