Kiufupi Fid Q anathibitisha, CNN iliandaliwa studio ndani ya siku moja kwa freestyl na wasanii wenye uwezo wa juu zaidi wakishirikiana na producer bora kabisa kuwahikutokea.
FIDQ is a heavyweight rapper!!! Lakini huyu marehemu Ngweir alikuwa balaa kijana mwepesi kuflow anachana sana Ngweir kama BobMarley vile haitaji siku,mahali ama sijui nini...yeye mpe beat utaona akiflow. Ngweir rest in peace mazee.
Wangap tumeskiliza tena ngoma ya cnn baada ya kuangalia interview hii😁😁
Mule mule hata mimi
Mimi aseee
Nahis ni wewe pekeee
Nimo
Straight kwenye search bar baada ya hii..
Daah,nimesikiliza verses mpk nimesisimka mwili rip gwear🔥🔥
Usipitwe na hii, Pitia ufundi huu alafu nambie, ruclips.net/video/By9CmvPOy7M/видео.html
Nakumbuka 2004 nilikua narap ngoma za fid q daaah teacher alinikamata nikala bakola xana Fareed namkubali xana
Nipo around Mazeeee..... Unyamaaaa ! All time greatest rapper ever
Usipitwe na hii, Pitia ufundi huu alafu nambie, ruclips.net/video/By9CmvPOy7M/видео.html
Usipitwe na hii, Pitia ufundi huu alafu nambie, ruclips.net/video/By9CmvPOy7M/видео.html
CCN ngoma haichuji hii salute
Ngwair ni Smart Genius Rapper.
Trueee
This why hip hop is our doctrine and was created for intelligent musicians. Rapping is not the purpose, but content/lyrics is what makes you genius.
We have so many rappers who don't sound lyrical at all. Well said mate
The Regend speaking huwa nikimskiliza Fq najiona kama nipo studio kabisaaaaa live yaani namuona kabisa, RIP Ngwear
Regend ndio nini?
Mangwea alikuwa kichwa ✊✊ R I P legend
Salute sana asee uyu jamaa ni sumu
Wewe ulkua umekutana na fleg respect the legend farid
Rip legend ngwea ...bado mpaka hakujapatikana pengo lako
Love you broooooooooooooooooooooo ww ni hatarrrrrrrr mnooooo
Daaah rest in peace albert mangwear✊🏿
Cjawahi kucomment kbs kipindi hiki ila leo mhh hapana huyu jamaa mtu na nusu mnyama chuma like kama zote kwa FDQ
Fid q ni kichwa madini
..ulifuta mistari na bado ukazidiwa😂🤣😂
Roll In Peace Mangwear😭
Ngwea alikuwa na kichwa chepesi sana sio Fid Q tu hata Chid Benz alirudia mistari kwenye spedi 120
FARIDI KUBANDA( FID Q) ulikuwa unampenda sana NGWEA mpaka naona Ulivo na uchungu ndani yako !
Banae kaka,, umeona💯☝️mpka we mwenyewe malaika inasisismka😢
@@Ali-gk5mv ndio ndio kaka
Wana hip hop mungu kawabark kwa kumbukumbu
Ngwair was genius
Umetisha.
Sijui mara ya mia ngapi nairudia hii interview😀😀
Tz mangwea is the best
Rest in peace ngwea
Ungechana iyo verse ambayo uliifuta tuisikie. Km vp ingependeza sana
Hahahahahhaaaaahahahahhaahhaaah... Yani watu wana doh, mpaka sooh, na bado deile wana get moh... We miss you NGWEA
Noma sana 🔥 #FidQ 👑
R.I.P Ngwea🙏🏼❤️
Hakuna kama ngwear 😰🔥🔥
Ka-weezy #Rip Ngwair
Kiufupi Fid Q anathibitisha, CNN iliandaliwa studio ndani ya siku moja kwa freestyl na wasanii wenye uwezo wa juu zaidi wakishirikiana na producer bora kabisa kuwahikutokea.
Kweli
Nakubali fid q.
NGweya chafu isiyo chafuka wewe😢😢😢
KAMA HYO VERSE BADO IPO TUNAOMBA MUIACHIE HIYO NGOMA TUISIKIE.....dah r.I.p Ngwair
Mzee MBUZI🤭🤘
FIDQ is a heavyweight rapper!!! Lakini huyu marehemu Ngweir alikuwa balaa kijana mwepesi kuflow anachana sana
Ngweir kama BobMarley vile haitaji siku,mahali ama sijui nini...yeye mpe beat utaona akiflow.
Ngweir rest in peace mazee.
Ngwea alikuwa kiboko🔥🔥🔥
Ngwea rip 🙏🙏🙏
Kwa Godzilla pia ulikubali💥
Godzilla ilikuwa noma
Always vichwa vnavyotoka Morogoro so conscious
Mzee Mbuziii
Big respect FID Q
Rip ngwear😭
Fid wew mnyamwez
Nakubali fid q
Mbona ujasema alivokuwa mzima Ngwea.
Ngwea is big rapper rest and peace
Ngwea ni zaidi
R.I.P KaObama
Farid Kubandaaaa
R.I.P Albert Mangwair mwamba wa H.o.P Tz in Century21 like za kutosha on behalf of Albert Mangwair
Genius rapper. Rest In Peace Cow Obama
Fid q ni faza wa hiphop
Mangwear mtoto wa Dom __R I P
Napendaga kila siku media zote zimuhoji FID Q
Wana hip hop wana kuwa na kumbu kumbu sana yaan
Mnyama
👏👏👏👏👏👏
Rip Gwair😭🙏
🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Respect sana.
Big up sana kubanda
"kisa hujawahi pigwa boo basi unajiona tupaaaac"
Mlitisha
Nakubali 💪💪 xan
Usipitwe na hii, Pitia ufundi huu alafu nambie, ruclips.net/video/By9CmvPOy7M/видео.html
Ila Bado ulifunikwa tu kaka
R.I.P Ngwea the Legendary
Rest In paradise
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Fid q pia aliua
Ila bado alikalishwa
@@haroubabuu1144 verse ya fid q ni kali sana, mpe sifa akiwa ahi, usigoje mtu afe ndo useme alikuwa alikuwa
😂😂🤣🤣🤣🤣 Noma sana
Rip Mangweir..
Umelitangaza Jiji la Dodoma
Dahhhh
Fid nimekukbal umekua muwaz
Albert👑
Rest easy Albert mangawair
Hip hop huwa ina mafeelings sana basi tu bongo haijapata bahati ya kupendwa kiviiile
Musukuma mjanja Sana huyu dah fdq
Fid
fid anamzid ngwear lakin
Mangwear tutakukumbuka
Cjui kwann watu kama ngwear kama 2Pac wanaendaga mapema
Wanangu wafaida
Hata mm Rasta hapa kwa Mangweir nimemvulia kofia huyu jamaa alikua moto
Hiyo verce ya CNN kwa nini aliimba tofauti Na maudhui ya wimbo
Ashachanganyikiwa kafunikwa😂😂😂
Hakuna mtu ataliziba pengo la ngwea
rest in peace magwair
😭😭😭😭😭
Rip mangwea
Fid Q simba wami chanooo
Og
Fid Q
Rip g
Rip gwair
ngwea chumah kile
Rip ngwea
Hahaha ® 🇹🇿
Na bado ngosha ulifunikwa, jamaa alikuwa mkali mnoo
Nani ameona fid p kwenye pensi lake:
ana busha
🇧🇷🇧🇷🇹🇿🤙
😂😂😂😂