Ibraah - Nitachelewa Acoustic (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @seraphineally9739
    @seraphineally9739 4 года назад +7

    Hizi like tunazoziomba tungempatia ibrah sahiv angekuwa na 1 or 2M kwa kutupa good music

  • @emilyngugi8692
    @emilyngugi8692 4 года назад +2

    Huyu boy yuko juu tu sana ,kwa mistari na pia sauti.kudos!

  • @tonyrigha9360
    @tonyrigha9360 4 года назад +66

    So far his the best artist in konde gang family,,wagwan✊!!!

  • @feliximala5325
    @feliximala5325 3 года назад +1

    Ibrah uko on top sana #Gistoff music 254

  • @sabuyangealphonse3737
    @sabuyangealphonse3737 4 года назад +19

    Mziki muzuri unaishi congrats my bro love from 🇨🇩

  • @marywangare5305
    @marywangare5305 4 года назад

    Tangu sijawai jua kama wanaume wana saiti nzuri sana Ibraah ameni prove wrong

  • @saumumohammed9028
    @saumumohammed9028 4 года назад +26

    Kwa siku ii nyimbo nasikilizaga iyo tu..ibrah m n big fan wako..nipeni likes Kenyans na Tz...love from kenya ibraah

  • @jacklinemkota8284
    @jacklinemkota8284 4 года назад +1

    Mungu azidi kukusimamia ibrah ...nakukubali sana kutoka moyoni

  • @josemaingi7900
    @josemaingi7900 4 года назад +5

    Watching this from Meru,,,goga like mzee tukiendanga

  • @shaymahnassor5325
    @shaymahnassor5325 4 года назад +5

    The song is everything, sijui kwanini nilichelewa kukuelewa 🔥🔥 big up

  • @nyaorakevintv3518
    @nyaorakevintv3518 4 года назад +14

    Soon I repeat soon ......you will shake the world , keep that in records

  • @bangumyaalphonse6112
    @bangumyaalphonse6112 4 года назад

    Bro wewe ni fundi nakukubali sana acha washindane naweye jeshi hawamuwezi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @eidyvanny
    @eidyvanny 4 года назад +157

    I know it hasn't reached 1M in a week but trust me it's a good Music it deserves 4 Million in A week... ni vile tu watu Hawajui Music mzuri... 🐘

  • @edibiligasper1873
    @edibiligasper1873 4 года назад

    Unaingia taratibu kwa mioyo ya watu na utakaa milele ndani yao hiyo ndo tofauti yako na wao..blessed

  • @ZoomMagicPlusNollywood
    @ZoomMagicPlusNollywood 4 года назад +17

    😭😭😭😭😭😭dah!...eeh banaeeeh kakangu haya mapenzi Yana nifanya nijihisi huu wimbo n Kama ni wangu..laza yake tamu....Ina vutia na mie ishaa niacha nikitokwa na jozi la haya mapenzi...😭😭😭😭si hatia kulia juu ya maoensi6💗💗💗💗😭😭😭🙏🙏 shukran kakangu 🙏

  • @radhamannandule2525
    @radhamannandule2525 4 года назад +1

    Huu wimbo mkalisana safi chinga

  • @Machwati
    @Machwati 4 года назад +18

    my all time music bro i salute you from KENYA am a comedian .

  • @geophreyjohn3669
    @geophreyjohn3669 4 года назад +3

    Anae amin Ibraah kaandik vzr na nyimb imewagusa nusu ya Dunia ktk mapenz twend sawa kwa like

  • @nintunzeleonel8062
    @nintunzeleonel8062 4 года назад +314

    Jamani Ibraah ametisha sana naombeni like apa kama ww ni Kondegang

  • @justinerichard6823
    @justinerichard6823 4 года назад

    Ngoma kali kaka ....ila mm cna moyo wakupenda sku hzi maan mhuu ukijifanya unampenda mtot wa watu kuna sku atabanduka kma bandama alfu utachelea kupona kidond like ibrah🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wiilkabaarigabashaashka7938
    @wiilkabaarigabashaashka7938 4 года назад +25

    From Somalia tuna kupenda ibraah keep going nyimbo inaongeye mambo mengi kuhusu mapenzi....

  • @doreenjessy3399
    @doreenjessy3399 4 года назад +3

    Woow,,, ibrah mie sisemi kitu achatu nije usipatwa na maradhi ya moyo duuuu,,, i love it big up boy kode all over the world jeshiiiiii👊👊👊👊💪💪💪🇰🇪🇰🇪

  • @highlightboyofficially2482
    @highlightboyofficially2482 4 года назад +34

    Blesss Blood chinga #NITACHELEWA kipaji unachooo mzeee🔥🔥🔥

  • @mukhtarsiyat4266
    @mukhtarsiyat4266 4 года назад

    Talented boy Achana na mahaters..konde gang for everybody

  • @rajohdeabdul688
    @rajohdeabdul688 4 года назад +6

    This kid is on another level ,,,go bro Ibrah..

  • @fewdaysntambi3426
    @fewdaysntambi3426 4 года назад +2

    Beautiful piece of music Ibraah thanks to Jeshi

  • @LB3TATEGERERO
    @LB3TATEGERERO 4 года назад +124

    Ibrah team from Congo. Konde boy soldier

  • @bubaboy25
    @bubaboy25 4 года назад +1

    Nimechelewa ila naomba like ata 10 tu
    Pongez kwako Ibrah hii ni qalii sana

  • @maggieheziborn3275
    @maggieheziborn3275 4 года назад +29

    This song has a direct message for me........ All what am going through 😢😢😢😢... Kweli mie ntachelewa 💔💔

    • @dianakyembeni3438
      @dianakyembeni3438 4 года назад

      Its fine atleast even after u late u will come out a better version of u....i broke up with my man last month on 7th i realy tormented myself but have learned that never force things if he dont love u let him go ...there is great men out here still exist...watch stephan speaks on his youtube channel he will touch ua heart ..you will be a better person after u watch is advice of things we go thro wen ut comes to men.

    • @thenumber4792
      @thenumber4792 4 года назад

      Allah atakufanyia wepec utaishi kwenye ndoto yako

    • @am_ddii2311
      @am_ddii2311 4 года назад

      Pole

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 4 года назад

      Mutumainie mungu wako

  • @amankassim7004
    @amankassim7004 4 года назад +1

    Utatuua jamani nakkubali sana hukoseagi

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +19

    Huu wimbo nani anaupenda kama ninavoupenda mm😍😍

  • @nicoletwanjiku9729
    @nicoletwanjiku9729 4 года назад

    Sauti mashalla ya kumtoa nyoka pangoni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakubali chinga 😍😍

  • @mesabendo4480
    @mesabendo4480 4 года назад +4

    Unanikoshaga we mkaka your voice 👌🔥🔥254 we on your back#much love

  • @shijafabiano8136
    @shijafabiano8136 4 года назад +1

    Kweli ibraah like sijawahi pata

  • @derrickzedane9442
    @derrickzedane9442 4 года назад +14

    Jamani IBRA n🔥🔥🔥 kama umeguswa gonga like twende sawa#kondegang #ibra-tz

  • @najmanajma8319
    @najmanajma8319 3 года назад

    You got the voice ibrah congrats nyimbo zako haziboeshi kwangu ningekuwa dj zingekuwa Kwa playlist yngu every single day nitachelewa my favourite my ringtone

  • @asilitzmikael3485
    @asilitzmikael3485 4 года назад +125

    Nimechelewa Kidogo Ila Naomba Like Japo Hata 50 Maana Mim Ni Shabiki Kindakindaki Was Ibrah Pamoja Timu Nzima Ya Konde gang Kama Unakubali Hili Chama Tia Like

  • @rehanasjsjjd5647
    @rehanasjsjjd5647 4 года назад

    Ime tufikia kaka tunakuka ribisha mombasa raha moto sana

  • @JourneyBook
    @JourneyBook 4 года назад +57

    You’re the next big thing in the entertainment industry. Big up lil br

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 4 года назад +2

    Watanzania tuwe wakweli hii nyimbo nitachelewa ni bora kuliko ile ya Waah huo ndiyo ukweli kwetu sisi Watanzania kofi kahemka na hii ndiyo nyimbo ilitakiwa kuwa na milions of views .#kondegang

  • @iddimohamed1975
    @iddimohamed1975 3 года назад +4

    Love from Kenya.....💕💕💕 That song 👍👍

  • @Gistoff
    @Gistoff 4 года назад

    I like it music tamu sana toka moyoni mapenzi yanatesa

  • @ameenajumah7335
    @ameenajumah7335 4 года назад +4

    Huu wimbo Chinga 🤴ni 🔥🔥Yani umetulia vizuri sana .

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 4 года назад +1

    So nice song God blesse you more bro we l Love you Kenya 🔥🔥🔥❤❤❤😘😘😘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @elijahkinama1099
    @elijahkinama1099 4 года назад +50

    Mziki mzuri ni kama mimba haifichiki kamwe. This is one of the best songs I love from him. Much love from Kenya.

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 4 года назад

    Uko vzr Sana Ibra nakuelewa Sana Kama tuko pamoja nikuone

  • @jollykingkenya9878
    @jollykingkenya9878 4 года назад +3

    Incredible... jollyking ke 🇰🇪🇰🇪

  • @rojasmbondo2754
    @rojasmbondo2754 4 года назад

    Daaaa udogoo ni nyooko aisee nipeni like namm nijione kama kua team jeshi sjakosea

  • @Tiwiniankid
    @Tiwiniankid 4 года назад +10

    Oyaaaa team konde music world wide gonga lke hpa tukisonga

  • @IsaacNgolo
    @IsaacNgolo Год назад

    Nivizuri sana Ibrahim'napenda nyimbo zako kutoka DRC

  • @tijtvlive5233
    @tijtvlive5233 4 года назад +274

    Kama unamkubali ibra gonga like za kutosha

  • @easyvoicetz7934
    @easyvoicetz7934 4 года назад +1

    Daaaaaah aiseee tishaaa guys yaaan unaimba kama mim mdogo wangu yaaani najiisi nikotrend japo bado naaso but one day tutafanya kitu mdogo wangu
    Konde gang for every thng

  • @salehesalmn4845
    @salehesalmn4845 4 года назад +18

    Keep pushing young king.

  • @lamumachacharicomedy1364
    @lamumachacharicomedy1364 4 года назад +1

    Ibrah mm ni ARman Boy naomba msaada wako niko na kipaji cha kuimba nisachi kwa RUclips katika talented pals kuna song zangu hapo naomba ushauri wako

  • @dayanapastor2322
    @dayanapastor2322 4 года назад +16

    2021 nan bado anaangalia nyimbo hiiii gonga like mbn kama unankumbusha mbali mwenye kukumbuka mbali weka like twende wote pamoja🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tariqmtahu8555
    @tariqmtahu8555 4 года назад +1

    Chinga kama chinga nakubali sanaaaaaa ila hili chupa mbona kama umelikamia sanaaaaa😀😀😀😀

  • @ramadhansadallah9894
    @ramadhansadallah9894 4 года назад +21

    Ur talented bro

  • @jamesyahya2897
    @jamesyahya2897 4 года назад +1

    Kubwaaaa sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥napenda kazii zako bureee tuu,# ibrah#kondeG,#nitachelewa.

  • @Maokototv100
    @Maokototv100 4 года назад +3

    IBRAh kama sauti mungu kaku bless, afu *Song kal sana bro, mchawi mungu tuombee litembee mabara yote!💪💪*

  • @mcabrahamomoding
    @mcabrahamomoding 4 года назад

    chingaaaaaaaa.....fundi wa mafundo big up

  • @1THEBRAIN
    @1THEBRAIN 4 года назад +3

    Best song for the year

  • @janetwairimu9192
    @janetwairimu9192 4 года назад

    Wooo sio mbya bro nakubali mia kwa mia

  • @weeckyleecky
    @weeckyleecky 4 года назад +4

    Great 💪💪naipenda sana nasikiliza mara kathaaa
    Our love from 🇰🇪 kijana u are top

  • @abdunewton6376
    @abdunewton6376 4 года назад

    Mbk Leo ata wa2 million 1 awajafk kwel fany utoke kwenywe lebo uchul zuch nyimbo sik 3 million 1 na upumbav

  • @mulla_g6982
    @mulla_g6982 4 года назад +54

    Mtoto wa Tembo anaimba na mafeelings....watoto wanzuri wote wanalia na sauti yako😂😂🔥🔥

  • @hanifaathman269
    @hanifaathman269 4 года назад +1

    My hands r u up from Kenya uko sawa ibraahh mashaAllah big up

  • @salehesalmn4845
    @salehesalmn4845 4 года назад +183

    Soon as possible you're going to be international artist.

    • @marynjuguna60
      @marynjuguna60 4 года назад +6

      I love it watching from Kenya. 🇰🇪🇰🇪

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 4 года назад +1

      @@marynjuguna60 Thank you

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 4 года назад +1

      International Artist?🙊🙊🙊🙊🙊❌❌❌❌❌❌//// Do you being international Artist is an easy thing? Time and investment is needed

    • @majaliwaenoszacharia8648
      @majaliwaenoszacharia8648 4 года назад +1

      Kakore jr Boyz but he has started working with international artists like Joeboy & Sikiibii 🔥

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 года назад +1

      True

  • @happynesskwayu9442
    @happynesskwayu9442 4 года назад +2

    ♥️♥️♥️😍hii nymbo Ibra kaua Kama unaamin gonga like👍

  • @jaymondkenyofficial3832
    @jaymondkenyofficial3832 4 года назад +3

    Safi Bruh 🔥🔥🔥

  • @mukamyinyaweofficial551
    @mukamyinyaweofficial551 4 года назад +2

    Wow 😳 my favorite artist ya kill me!!!

  • @djafrokimoda3739
    @djafrokimoda3739 4 года назад +119

    Chiga songa na like wanangu Alrriiiiight 🎤🇰🇪🇰🇪

    • @radicalljinari3863
      @radicalljinari3863 4 года назад +3

      Ai Dj Afro ziko wapi action za kijeshi bro ....waiting. ,.....

    • @Vetexenterprise
      @Vetexenterprise 4 года назад +1

      Tunakupenda, Tunakudhamini na Tunakujali.
      Kwa kukupenda tunakupa machaguo ya bidhaa nyingi Zaidi tena zenye ubora kama vile bidhaa za watoto, urembo, vitabu, camera, tvs, computer, vyombo, nguo na viatu n.k
      Kwa kukudhamini tunakupa punguzo la bei hadi asilimia 50%.
      Na kwa kukujali tunakuletea popote ulipo na kwa muda husika.
      Agiza nasi ufurahie huduma zetu bora na za uhakika.
      Unasubir nini sasa!!!?
      Ingia sasa www.dukakuu.com kupata kilicho bora kwa bei nafuu
      Unaweza pia kudownload app yetu kwenye IOS app store or google play store kufurahia offer zetu.
      --------------------------------------------------------------------------------------------------------
      We love you, we value you also we care about
      For the love; we give you varieties of products with the high quality.
      For the value; we give you discount up to 50% of the original price
      For the care; we make delivery to wherever you are under specified time.
      What are you waiting for!!!?
      Click now www.dukakuu.com for the best quality of all products you like.
      You can also download our app in google play store to get more offer from us

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 4 года назад +1

      ruclips.net/video/Ny8_jLIzw8g/видео.html

    • @aishamartin7597
      @aishamartin7597 4 года назад +1

      Waooo

    • @mammymasibomammy5004
      @mammymasibomammy5004 3 года назад +1

      Mziki mkali yani 💯 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @TsammyBreezy_Beats
    @TsammyBreezy_Beats 4 года назад

    Zidi Sana bro

  • @emmanuelcricently690
    @emmanuelcricently690 4 года назад +19

    Keeps struggle @ibraah u never knows when u will be famous in whole world good music

  • @eddytzonlinetvTallMan
    @eddytzonlinetvTallMan 4 года назад

    WATATUELEWAAA TUUU IBRAAH KIPAJII KIMEJAAAA

  • @phillischinyani1301
    @phillischinyani1301 4 года назад +13

    Love from Zimbabwe🇿🇼, beautiful song there, I’m touched. We need translated lyrics 😊

  • @margratepete6507
    @margratepete6507 4 года назад

    Huyu kijana Ana kipaji Ana sauti nzuri yani the best of all love you ibraa

  • @Elassrii12
    @Elassrii12 4 года назад +26

    Your voice is amazing brother best of luck anyway I'm from Morocco ❤❤❤🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦

  • @aishahamismabugmashaalluh3255
    @aishahamismabugmashaalluh3255 4 года назад

    Yani mm nakupenda tuu wewe Ila cjaumizwa nakupenda jamni wee IBRAHIM unaimba vizur 🌷🌷🌷🌷🌷💞🎤🎤🎤🎤🎧🙌

  • @Ashley_family123
    @Ashley_family123 4 года назад +5

    Wow like it 🔥🔥🔥🔥💣💣

  • @faithkwamboka1630
    @faithkwamboka1630 4 года назад +2

    Much love 💚 chiga from 254🇰🇪🇰🇪

  • @letopplers1080
    @letopplers1080 3 года назад +3

    U made me Wana explore my talent more💕

  • @ratifaommary1648
    @ratifaommary1648 4 года назад +1

    Asante kwa ujumbe mzr ww ni bonge la star

  • @hosseinmackson9847
    @hosseinmackson9847 4 года назад +25

    Even l don't understand his language Swahili but this song is nice keep it up Ibrah

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 4 года назад +2

    Goooooo my best 1st comer artist l will never regret why l am ur no.1 fan 👌👌👌👌

  • @halloummasuod3722
    @halloummasuod3722 4 года назад +3

    Congrats 👏 👏 💣💣

  • @neemalucas6996
    @neemalucas6996 4 года назад

    Yn ibraah dah ad nmelia asee nyimbo nzuri sana

  • @dhuluufiklihassan537
    @dhuluufiklihassan537 4 года назад +6

    His vocals always on point 👑

  • @frankjohn6945
    @frankjohn6945 4 года назад

    Unatisha mzee pambana don't give up

  • @felixmulenga9619
    @felixmulenga9619 4 года назад +4

    Ibra I like you bro anything can happen brother

  • @laizerbiin7912
    @laizerbiin7912 4 года назад

    No. 1 Konde Boy
    No. 2 Ibraaa
    Wengine balaa...
    Love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Ukiwashwa kalilie kwa chooo...
    #teamkonde
    #kondegangforever
    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @rahmaali8044
    @rahmaali8044 4 года назад +13

    He dont need no auto tune 😍🔥🔥💪🏼
    Favorite song 🥰🥰

  • @rosanabayarose7677
    @rosanabayarose7677 4 года назад

    Umeua kakangu kazi nzur😍😍😍

  • @athumanmuharami2571
    @athumanmuharami2571 4 года назад +3

    Gonga like kama zote kwa mtoto wa buza kumbe na sisi buza tunaweza kutoa vipaji Bhana 👍

  • @alphaxadomosa9964
    @alphaxadomosa9964 4 года назад

    From Kenya ....bro man Ibrah napenda ushairi wako kaka unajongea kama tsunami big up

  • @hajjsabur93
    @hajjsabur93 4 года назад +11

    Nice melody🔥

  • @daudidaudi7398
    @daudidaudi7398 4 года назад

    Nakupa Big up Iburaah kazi yako ipo poa sana ww sasa unaitwa Kiboko brother mkubwa ni Tembo

  • @bakaribakari_
    @bakaribakari_ 4 года назад +4

    Tuweke uteam kando tumsupport huyu dogo. Anajua sana

  • @salhaoman5002
    @salhaoman5002 4 года назад

    Nyimbo mzuri Sana hii, ujumbe umenifikia mdogowng

  • @marym4864
    @marym4864 4 года назад +3

    Wow, I love this song❤️

  • @martingichovi5521
    @martingichovi5521 4 года назад +2

    Moto xana bro, keep up