BILIONEA AANZA KUTANUA MGODI, ATOA AJIRA MPYA 150 "NATAKA NIONGEZE UZALISHAJI WA MADINI YAPO MENGI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 сен 2024
  • Mbunge wa Jimbo la Ulanga na mfanyabiashara ya madini Mhe Salim Alaudin Hasham ameanza mkakati wa kutanua eneo lake la machimbo lililopo mahenge ili kuongeza uzalishaji na kutoa ajira kwa wingi kwa vijana.
    Almas amesema lengo lake Ni kuongeza uzalishaji wa madini tofauti na awali na anategemea baada ya upanuzi huo kukamilika basi atakuwa na uwezo wa kupata madini kwa kila mwezi jambo litakaloongeza mzunguko wa biashara.

Комментарии • 26

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 года назад +8

    Mtu Mwenye Akili huonekana siku zote!! God bless u

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 года назад +5

    Mahojiano mazuri Sana,nategemea kutaleta tija pande zote.

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 3 года назад +6

    Itabidi niingie kwenye madini naona kuna fursa kubwa sana, mjomba wangu ananisumbua kila Siku.

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 года назад +3

    Waziri wa Madini na Waziri wa Nishati fanyeni ziara kwenye huu Mgodi, Serikali naomba apewe ushirikiano huyu Mwekezaji Mzalendo sababu ni mlipakodi na anahitajika apanue mgodi zaidi

  • @lizzyderick3325
    @lizzyderick3325 3 года назад +2

    Good🖐🏾

  • @godmercyilluminatus51
    @godmercyilluminatus51 3 года назад +4

    Nice taarifaa za ukwelii mwonee milard ayoo

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 года назад +1

    Sawa chimba madini lakini pia kumbuka kuhifadhi mazingira maana unaharibu msitu ambao ni chanzo kikubwa cha kuzia madhara mengi yahusuyo mabadiliko ya tabia dunia.

  • @thomasansigar-002
    @thomasansigar-002 Год назад

    verynice mmheshimiwa....🤫 ilaa hakuna mtandao(internets) biashara itapanukaje abroad apo????

  • @yeyeofsound2850
    @yeyeofsound2850 3 года назад +2

    Ilove u milad ayo

  • @p.alexii6170
    @p.alexii6170 3 года назад +3

    Mbosso junior atesa tazama apo

  • @mohameda.i.baranyikwa6551
    @mohameda.i.baranyikwa6551 3 года назад +3

    Je upo uwezekano wa kushirikiana kibiashara nanyi wachimbaji wadogo? mchango wangu ni kukutengenezeeni drone ambayo itakusaidieni kufanya Airborne (kujuwa aina ya madini yaliyopo chini ya ardhi na kwa kina gani). Kwa kuwa nitatengeneza Military drone, itabidi wizara ya ulinzi na jeshi waturuhusu kutengeneza na kurusha drone hiyo. Kwa kuwa Drone hii ynatumia Infra-Red Camera/Radar, yaweza pia kutumiwa na jeshi, polisi na immigation ktk duria na kazi zao nyingine, iwe mchana au usiku.

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 3 года назад +5

    Kwenye jambo lakuniambia unavibarua natena unawalipa kwa kutokana na faida unayo pata kwa mm binafsi sijakuelewa naona kuna watu wanapata shida hapo?

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 3 года назад

      Wee Unaweza kumlipa mtu bila.faida hakunaga Hiyo biashara

    • @rejobu9723
      @rejobu9723 3 года назад

      @@shangwekamando2599 umekielewa alicho kisema kwanza au uncomment kitu ambacho hukijui mzee??

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 3 года назад

      @@rejobu9723kweli Wee mjinga Yani unakomenti Vitu usivyovijua😳😳😳😳

  • @harkhard7479
    @harkhard7479 3 года назад

    English subtitle please

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 3 года назад +1

    Duhhh kumbe kazi c mchezo yaani fusi lote hili lkn hayo madini apo empty duhh kazi kama kutia mkono kizani

  • @alexmtimbi4083
    @alexmtimbi4083 Год назад

    Safi ila barabara mbunge mbovu Sana ya ipanko

  • @harithtahir4398
    @harithtahir4398 3 года назад +2

    I'm second persons

  • @Love4Ril
    @Love4Ril 3 года назад +2

    Mgodi wa madini gani? Mtangazaji anaruka ruka tu.. hasemi

  • @juniorjulius825
    @juniorjulius825 3 года назад +1

    U

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 3 года назад

    Sorry nahisi kama kichaka hivi cha kujifichia ,ama kweli kule kunalipa

  • @frankekolongo4509
    @frankekolongo4509 3 года назад

    nakukubal mbunge we2