🔴 LIVE 19. 01. 2024 | UKO TAYARI KWA BARAKA? | PR. DAVID MMBAGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 52

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 10 месяцев назад +1

    Amen 🙏🙏🙏 Niliona familia Moja walikua wakitumia sadaka Kwa matumizi Yao ya nyumbani,waligonjeka kama ukimwi ,wakienda vipima havionyezi ugonjwa,walikufa na watoto wao wakauza shamba lao lote na kukunywa bombe,vita Kila siku,saa hii hawajulikani mahali wako maana hawana boma la kuishi tena

  • @estherboke3043
    @estherboke3043 10 месяцев назад +12

    Bwana yesu asifiwi naitwa esther, hakika nimemwona bwana mwanzoni mwa mwezi ,jaman mungu yupo naanazidi kutend mambo makuu,nilitengana namume wangu miaka nane iliyopita kwa sababu mbali mbali, pastor niliendelea kumsihi mungu kuhusu ndoa yangu na amejibu na mume wangu amebadilika na tumerudian maisha yanaendelea jina la mungu libarikiwe amen

  • @JanvierkalumbaJupson
    @JanvierkalumbaJupson 10 месяцев назад +2

    N'a shukuru Mungu kwaku ni bariki naku ni hudumia kwa neno. Asante mchungaji mimi ni janvier kalumba kutoka beni drc

  • @blandinatogolai1620
    @blandinatogolai1620 10 месяцев назад +3

    Mungu naomba na mm siku moja nitoe ushuhuda kam hawa wengine nakuamini ipo siku utatenda na nitatoa ushuhud kam wengine

  • @CatherineKwamboka-ip1gg
    @CatherineKwamboka-ip1gg 10 месяцев назад +3

    Pastor Mimi nimeshukuru kupitia hizi mafundizo za mifungo wa siku kumi hata kama zingeweza kufunga mbali mungu amenitendea penye ninafanya kazi nimeongezwa msahara ni nasema ni asantii Kwa mungu mkuu amina

  • @tukaesanatu2754
    @tukaesanatu2754 10 месяцев назад +1

    ubarikiwe baba napenda sana mafundisho yako.
    ubarikiwe sana.

  • @rosariamichael4944
    @rosariamichael4944 10 месяцев назад +2

    Tunamshukuru Mungu kutubariki kumi za maombi

  • @neemaisaac8356
    @neemaisaac8356 10 месяцев назад

    Nafurahia mafundisho yako pastar naomba nami Mungu ambariki nipate baraka zake naomba maombi yako na magonjwa nikapata kupona

  • @alicenyakawa2449
    @alicenyakawa2449 10 месяцев назад

    Oh thanks for the day’s message it reviving the Christian faith and soul really the message is touching I praise God for the word be blessed

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 10 месяцев назад

    Amina

  • @ongoribonface-dg7ed
    @ongoribonface-dg7ed 10 месяцев назад

    Pastor nashukuru kwa neema ya neno Bwana ametupa atukushwe

  • @ChantalMathe-u1z
    @ChantalMathe-u1z 10 месяцев назад

    Amen Amen 🙏 ubarikiwe pasta mmbaga Asante kwa mungu kukupatia nguvu ya kutuimiza katika safari ya kwenda mbinguni, wende mbali

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 10 месяцев назад

    Amen, barikiwa.

  • @gloriamasaka7635
    @gloriamasaka7635 10 месяцев назад

    Asante sana kwa maneno haya ya kusaidia maisha

  • @sikitugeorgette
    @sikitugeorgette 10 месяцев назад

    Amen Amen 🙏

  • @lucyjacob1293
    @lucyjacob1293 10 месяцев назад

    Mchungaji Mungu akuzidishe sana

  • @salomebutondo
    @salomebutondo 10 месяцев назад

    Mch mungu azidi kukutumia Zaid na zaidi nimebarikiwa na hili fungu la 2 wakoritho 9:6 hasa la 8

  • @evansombasa4824
    @evansombasa4824 10 месяцев назад

    God bless 🙏 you pastor

  • @MiliamSelongo
    @MiliamSelongo 10 месяцев назад

    Nabarikiwaa sanaaaa

  • @Lilly-z9j7h
    @Lilly-z9j7h 10 месяцев назад

    Pr please pray 4:27 For me

  • @SulemanChalinze
    @SulemanChalinze 10 месяцев назад

    Amina ubarikiwe

  • @pendophilipo131
    @pendophilipo131 10 месяцев назад

    Ubarikiwe sana🙏

  • @hylinem5101
    @hylinem5101 10 месяцев назад

    Amina Amina Amina

  • @kabalizasekanabomarko6063
    @kabalizasekanabomarko6063 10 месяцев назад

    Amen

  • @oman798
    @oman798 10 месяцев назад

    AMINA ubalikiwe

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 10 месяцев назад

    Amina ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU mimi naomba namba

  • @blandinatogolai1620
    @blandinatogolai1620 10 месяцев назад

    Mm nakata tamaa nisaidie maombi

  • @LewaKahozi
    @LewaKahozi 10 месяцев назад

    Niko Doha Qatar katoka kenya ni mshiriki wa Zoerani SDA nashkuru nimejengeka sana kiima naomba muniombee family yangu mungu aifungue macho tuone niyapi yanayo mpendeza mungu.

  • @SuzanaAlina-ys6kg
    @SuzanaAlina-ys6kg 10 месяцев назад

    Aman

  • @VeronicaMadafa
    @VeronicaMadafa 10 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @ReinfridaTungaraza
    @ReinfridaTungaraza 10 месяцев назад

    Atukuzwe Mungu kwa maneno yake haya yakuongeza nguvu za rohoni

  • @fedricksimkoko1132
    @fedricksimkoko1132 10 месяцев назад

    Pastor mmbaga siku hizi unabii kuuchimbua umeacha kabisa hatari inaujia ulimwengu hatuna muda .

  • @peninahmaugo8164
    @peninahmaugo8164 10 месяцев назад

    Pastor pray for my daughter fruit of the womb

  • @hildakazi
    @hildakazi 10 месяцев назад

    Nimebarikiwa na somo hili

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 10 месяцев назад

    Ninaona mama analala hapo mwambie aache usingizi mary from Kenya

  • @wittinessmbwambo5759
    @wittinessmbwambo5759 10 месяцев назад

    Je namba ya mpokeaji naweza pata kwa ajili ya mhitaji yule wa jana

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 10 месяцев назад

    AI is scary than death

  • @josphinechepchirchir109
    @josphinechepchirchir109 10 месяцев назад

    Machine ya ugali iko malawi😢😢😢😢

  • @pendophilipo131
    @pendophilipo131 10 месяцев назад

    Daddy, azidi , kukupa nguvu yaku,songa. Mbele ili,utilize makusudi yake Bwana awepmoj na weee, nakupenda San mtumishi wa Bwana Bwana awepmoj na weee 🚶☔💯

  • @mainawanjiru7819
    @mainawanjiru7819 10 месяцев назад

    Nikumbuke kwa maombi nimalize kisasi ili nisamehewe

  • @jeikary8767
    @jeikary8767 10 месяцев назад

    Huku Kenya 😂 pastor nganga upinga watu wakofi walilala kanisani😢

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 9 месяцев назад

    AMEN

  • @marywambui5518
    @marywambui5518 10 месяцев назад

    Amina

  • @nkurunzizalydia1720
    @nkurunzizalydia1720 10 месяцев назад

    AMEN 🙏🙏🙏