Nashukuru Mungu kwa neno lako,tusaidie ili tulifanyie kazi neno lako si kuwakusikiliza tu bali kwa kutenda pia,barikiwa mjumbe wa Mungu neema ya Mungu izidi kuwa pamoja nanyi nyote
Mungu awatiye nguvu ndugu zangu tena awazidishiye kabisa kwa kazi yangu mu metenda hivyo . ila ndungu zangu Tanzanie mupo wachoyo kabisa je hakumbuke kwa sisi RDCONGO tupo ndungu zenu ? Mume baniya sana chungaji david mbaga sana ikana kwamba sisi hatuhaja naye ijapokwa tukonaye lazima sana .jama muchangaji tungiye na sisi ufike tuh kweudongo wa inchi yetu ya Congo tutarikiwa nasi wandugu.
@ wakati wa agano kale tunahesabu Haki kwa Imani AGANO LA KALE TULIKUWA KIBINADAMU YESU ALIPOKUJA TUKAONDOLEWA KWENYE MWILI TUNAONGWA NA ROHO MTAKATIFU,HUWEZI KUHUKUMIWA KWA SABABU UMEKULA NGURUWE.TUTAHUKUMIWA KWA SABABU TUMEMKATAA ROHO MTAKATIFU NAKWA AJILI YA KUMTUMIKIA SHETANI TUNAENDA KWA WAGANGA UCHAWI WIVU FITINA UKAHABA MASENGENYO SOMA KORNELIO WAKATI ALIWATUMA WAFAKAZI WAKE KWA MTU AITWAE PETRO WA SIMON WAKATI PETRO AKIONA MAONO VYAKULA VIKISHUKA MBINGUNI ALIPOSEMA NI NAJIS MUNGU ALIMWAMBIA NN,KAA SAYUNI VYEMA UTAJUA MAMBO MENGI KUHUSU MAISHA YA KIROHO AMEN.
Barikiwa sana ,poster david mmbaga, mahubiri yako yameniyenga sana kiimani Mungu ,akupe misha marefu yenye heri
Nashukuru Mungu kwa neno lako,tusaidie ili tulifanyie kazi neno lako si kuwakusikiliza tu bali kwa kutenda pia,barikiwa mjumbe wa Mungu neema ya Mungu izidi kuwa pamoja nanyi nyote
Amin
Baraka zifike kwa wote wanaojitolea kwaajili ya kazi ya Mungu 🙏💝
Amen ❤❤❤❤❤❤❤❤
Barikiwa sana baba. Mahubiri yako, kila siku na barikiwa nayo. Hata kama inamaliza myaka bado nabarikiwa sana.❤
Mungu akupe maisha marefu
Asante mchungaji nimejua siri iliyoko ktk sadaka Mungu akubariki sana
Mchungaji, Mungu akubariki sana.
Natamani Kuzungumza na Mchungaji David Mmbaga kwa simu tafadhari mnisaidie.
Pr. Yupo busy sana hata Kama nikikupa namba yake bado huwezi mpata kwa wakati mvizie kwenye vituo anavyoenda kufanya kazi
Samahani lakini
@kaitirajosephat Sawa, ahsante mtu wa Mungu.
AMEN
Mngu akupe nguvu ya loho mtakatif SK zote utufundishe kweli ya mngu🙏
❤️❤️🙏
AMINAAA
Barikiwa Sana naomba kuuliza je kujengea makaburi ni sawa
Nko kenya ...naomba kusaindia kujengea mungu kanisa ...tunatuma mchango na number gani?
Nami ningependa kuchangia
Amina
Amen
Mungu awatiye nguvu ndugu zangu tena awazidishiye kabisa kwa kazi yangu mu metenda hivyo . ila ndungu zangu Tanzanie mupo wachoyo kabisa je hakumbuke kwa sisi RDCONGO tupo ndungu zenu ? Mume baniya sana chungaji david mbaga sana ikana kwamba sisi hatuhaja naye ijapokwa tukonaye lazima sana .jama muchangaji tungiye na sisi ufike tuh kweudongo wa inchi yetu ya Congo tutarikiwa nasi wandugu.
Namuunga mkono uyo dada
Nahitaji kuingia kwenye kundi la utoaji nishiriki ujenzi wa nyumba ya Mungu pastor
Angalia namba za kutuma video ikifikia dakika hii👇
3:40
Hello ningependa kushiriki kwa kutoa millioni moja niko kenya kwa kunjenga kanisa. Direct me how to do iy
Ubarikiwe. Tuma wa account ya kanisa au safari com CHACHA HOSEA
+254724394735
Bado mnapokea sadaka ya ujenzi?
Bila shaka wanapokea mtu wa Mungu
Angalia namba za kutuma video ikifikia dakika hii👇
3:40
Kwan nimechelewa na mm nahisi nataka kutoa
Nahitaji kuingia kwenye Hilo kundi na mimi
Ubarikiwe. Lipi?
Naomba nambari ya mchango
Iko hapo kwenye video
Namba ya malipo siioni nisaidieni
Angalia namba za kutuma video ikifikia dakika hii👇
3:40
AMINA MCHUNGAJI KWA HIYO KULA NGURUWA NI MBAYA.
SOMA. Isaya. 65:5-7
Isaya. 66:17
@ wakati wa agano kale tunahesabu Haki kwa Imani AGANO LA KALE TULIKUWA KIBINADAMU YESU ALIPOKUJA TUKAONDOLEWA KWENYE MWILI TUNAONGWA NA ROHO MTAKATIFU,HUWEZI KUHUKUMIWA KWA SABABU UMEKULA NGURUWE.TUTAHUKUMIWA KWA SABABU TUMEMKATAA ROHO MTAKATIFU NAKWA AJILI YA KUMTUMIKIA SHETANI TUNAENDA KWA WAGANGA UCHAWI WIVU FITINA UKAHABA MASENGENYO SOMA KORNELIO WAKATI ALIWATUMA WAFAKAZI WAKE KWA MTU AITWAE PETRO WA SIMON WAKATI PETRO AKIONA MAONO VYAKULA VIKISHUKA MBINGUNI ALIPOSEMA NI NAJIS MUNGU ALIMWAMBIA NN,KAA SAYUNI VYEMA UTAJUA MAMBO MENGI KUHUSU MAISHA YA KIROHO AMEN.
@ wewe unasoma injili kwa ku judge but ufai ukitaka kiumbe CHOCHOTE haram inategemea ilikuwa wakati gani yesu alikamilisha yote happy Christmas
Tuta faa je ku toa
Angalia namba za kutuma
3:40
Mchungaj naomba no za kutuma ela na majina yake
Angalia namba za kutuma video ikifikia dakika hii👇
3:40
@Mahubiri Tv muwe mnapitia comment
Asante ,una shida gani tukusaidie?
Angalia hapo kwenye video utaona
Kupitia hizo no. zakutuma n majina gani yataleta?
Barikiwa mtumishi.
Angalia namba za kutuma
3:40
Weka pause uzi-nakili
@@sebastianroswe1649 mm nko Saudi from Kenya nikituma sadaka yangu n majina gani yataleta kupitia hizo no.?
@@lucymwakisuma8658 BUNJU SDA CHURCH
Amen 🙏