Mahubiri haya yanachokonoa ( mi mkenya ,kiswahili si chetu) moyo. Yani, najichunguza moyo wangu sana na ninahisi machache mazuri ambayo nimeyatenda,labda sikuyatenda kwa imani ila kwa desturi. Nitafanyaje nijue nia ya Mungu kwa maisha yangu? Nili mkristo lakini am struggling with so many challenges, When I look at other believers, they are comfortable Yani heri uwe na changamoto zote LAKINI ZA UGONJWA! Eh, ....
Mahubiri haya yanachokonoa ( mi mkenya ,kiswahili si chetu) moyo.
Yani, najichunguza moyo wangu sana na ninahisi machache mazuri ambayo nimeyatenda,labda sikuyatenda kwa imani ila kwa desturi.
Nitafanyaje nijue nia ya Mungu kwa maisha yangu?
Nili mkristo lakini am struggling with so many challenges,
When I look at other believers, they are comfortable
Yani heri uwe na changamoto zote LAKINI ZA UGONJWA! Eh, ....