Nacha Ft Centana - Kesho Yangu (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 мар 2022
  • #Nacha #KeshoYangu #NgommaTzMusic
    © 2022 channel administered by ngomma vas,
    For Booking Contact: nachaousam17@gmail.com
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 82

  • @angeloelia6445
    @angeloelia6445 2 года назад +4

    Kaka from nyasubiii unatishaaaa Sanaaaa blood god bless you 🙏❤️

  • @lavostioloo1653
    @lavostioloo1653 2 года назад

    Kazi safi sana. Kama mwalimu na muwenzi wa lugha tukufu ya kiswahili, kazi yakobsi tu ya burudani na mafunzo ya kimaadili, bali pia unafunza lugha maana kwenye mistari yako. Pongezi na mwenyezi Mungu akufanyie neema tele za siku nyiangi zijazo

  • @nguzotv
    @nguzotv 2 года назад +1

    Dah! Nacha Brother Salute sana

  • @edwardcharles1618
    @edwardcharles1618 2 года назад

    Mkaguzi napita kwa NACHA hata bila kuangalia na nasema love one brother

  • @philemonkiungo69
    @philemonkiungo69 2 года назад

    Daah! Nakukubali Sana Kaka. MUNGU akuzidishie umri mrefu.

  • @panch_27
    @panch_27 2 года назад +4

    Fundi Sana my brother 🇹🇿🌟🇹🇿🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟

  • @davidngowi1534
    @davidngowi1534 2 года назад

    nimerudia mara mbilimbili kusikiliza huu wimbo big upo home boy

  • @ibrahimunyaruhawa2416
    @ibrahimunyaruhawa2416 2 года назад +1

    Jeshi languuuuu👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻

  • @fitiaswere2343
    @fitiaswere2343 2 года назад +1

    Muziki wako ni WA ulaya sioni atakayekufikia NACHA🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶

  • @farajimajaliwa3961
    @farajimajaliwa3961 2 года назад +2

    Br unaupig mwng xna but u'r tomorrow ix very beautifully day!!!

  • @Jomba-lao
    @Jomba-lao 2 года назад +3

    Dunia ina nyingi fitna thank you nacha may god bless you

  • @officialmateor97
    @officialmateor97 2 года назад +4

    Nice sign, NYASUBI NDANI YA MBANYU 🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @pascalmax5289
    @pascalmax5289 2 года назад +2

    Dah nyasubi umeweza kaka... Nairobi Kenya tunakuaminia bro...big up ....kaka braza....

  • @arexmerck2324
    @arexmerck2324 2 года назад +1

    Brother umetisha sana

  • @vittaalphonce4083
    @vittaalphonce4083 2 года назад

    Nacha Anamgusa kila mtu kwenye verse zake,huyu Rapper uwezo wake unaenda juu kila siku

  • @riwardmossi6150
    @riwardmossi6150 2 года назад

    More than ministry brother NACHA

  • @gideonkimanthi7037
    @gideonkimanthi7037 2 года назад

    Nakula nao Tungi Leo je kesho nikianguka watakuwa Nani

  • @vitalresspeter7295
    @vitalresspeter7295 2 года назад +1

    Br iyo ngoma binafsi inaniusu kabisa sema nini dua mungu ipo siku ata bless

  • @aminijuma9627
    @aminijuma9627 2 года назад

    Nkubar sana family nacha ngoma Kar San

  • @hancybeny
    @hancybeny 2 года назад +2

    Hizi ndo aina ya ngoma zako ambazo nazipendaga mno Nacha ila siyo madubwana mengine unayochanganyia hayanikai kabisa

  • @mochrissbyser2470
    @mochrissbyser2470 2 года назад +2

    Brother Nacha hujawahi tuangusha mashabiki zako

  • @kimolyjunior7736
    @kimolyjunior7736 2 года назад

    nakubali jesh sikuoni ukifeli hata siku moja

  • @Animal_hunter_
    @Animal_hunter_ 2 года назад

    Kaka Mimi huwa napita bila kusikiliza Nini umeimba leo nimesikiliza wimbo huu kiukweli nimeelewa Sana mashahiri yako' serikali yetu sijui kwanini haiwasport watu wenye uwezo Kama huu maana hizi ndizo nyimbo za kusikiliza Kama unafuture, mungu akuzidishie uvumilivu bro nacha, lazima ni subscribe

  • @alexboyofficial6295
    @alexboyofficial6295 2 года назад

    Nacha kaka good bless 🙌

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 2 года назад +1

    Bro unajua Sana pia unaweza , sema Sasa zingatia Mambo madogo madogo kwaajili ya branding , mf cover haijakaa poa , tafuta mtu wa graphics mzuri hii itakusaudia pia kwaajili ya mziki wako .

  • @mzamiruissack5931
    @mzamiruissack5931 2 года назад

    kesho yangu 🔥🔥🔥🙌🙌

  • @officialErryboy
    @officialErryboy 2 года назад

    Ngoma Kali sana hii Mzee duuu

  • @jacksonmazinge9357
    @jacksonmazinge9357 2 года назад

    What amazing masssege🇨🇲🇨🇲🇨🇲

  • @thomasmartinez786
    @thomasmartinez786 2 года назад +1

    Kaka tuishi kwenye hipa tuachene na singeli🔥🔥🔥🔥hi kali sana

  • @donougradygita1827
    @donougradygita1827 Год назад

    From Bdi🇧🇮 👂👂👂

  • @davidmwango9388
    @davidmwango9388 2 года назад +1

    NachaFlever unajua Sana mpaka unaboa

  • @hassaniswahibu3022
    @hassaniswahibu3022 2 года назад +1

    Da tulizimis saaan NGOMA ZAK kaka.

  • @ombenithomas516
    @ombenithomas516 2 года назад

    Nacha bigp brother

  • @landiismollel4075
    @landiismollel4075 2 года назад +1

    Daaanh, Brother NACHA, ujengewe Sanamu tu.

  • @joharijassonmwasambili1958
    @joharijassonmwasambili1958 2 года назад

    nakukubali sana mwanangu Nacha🔥

  • @Paplick9
    @Paplick9 2 года назад +1

    Umeniangusha sana kaka ulitakiwa u stick kwenye mziki ambao watu wamekujua

  • @martinnjiru500
    @martinnjiru500 2 года назад

    Ile siku nakuja Tz lazima nitafutane na wewe Nacha, lazima

  • @onesmomarco230
    @onesmomarco230 2 года назад +2

    Keep on moving my brother NACHA

  • @iddimbwambo69
    @iddimbwambo69 2 года назад

    Keep teach us Mr nacha

  • @jacktambala7529
    @jacktambala7529 2 года назад

    Big up nacha

  • @dwere9460
    @dwere9460 2 года назад +2

    🙏🙏🙏

  • @laurencelucas3931
    @laurencelucas3931 2 года назад

    GOOD WORK NACHA

  • @yasiniabeidi1687
    @yasiniabeidi1687 2 года назад

    Daaaaahh we jamaa nifundi aisee

  • @edsonsimon1030
    @edsonsimon1030 2 года назад +1

    #KeshoYangu @nacha your always smart and genius 🔥👏🏾

  • @barakachacha999
    @barakachacha999 2 года назад

    Nyasubi ...!!❤🙌

  • @dogonacha525
    @dogonacha525 2 года назад +2

    Respect my bro

  • @dakyatv5112
    @dakyatv5112 2 года назад +1

    Makin sana

  • @odenmasebo9777
    @odenmasebo9777 2 года назад +1

    Hujawahi kutuangusha , Unajua sana Bro

  • @championgm9311
    @championgm9311 2 года назад +1

    Hatar bro 🥉🥉🥉

  • @ezekielmugeta2427
    @ezekielmugeta2427 2 года назад

    Nacha✔🙏

  • @fitiaswere2343
    @fitiaswere2343 2 года назад +1

    N. A. C. H. A í salute you ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @dstarofficially725
    @dstarofficially725 2 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @mashakayella9058
    @mashakayella9058 2 года назад +1

    Nouma sana

  • @patriciamien9231
    @patriciamien9231 2 года назад +1

    Men, this is dope. Your lyricall prowess is on another level. Looking forward to your collabo with Kenya's king kaka.

  • @kizaziogtv3486
    @kizaziogtv3486 2 года назад +1

    Ngoma kali san

  • @officialErryboy
    @officialErryboy 2 года назад

    Sana nacha

  • @silvertv8083
    @silvertv8083 2 года назад +1

    💪💪💪 Nachaaaaaa

  • @jonaselisha1100
    @jonaselisha1100 2 года назад

    Kaliiii

  • @hassaniswahibu3022
    @hassaniswahibu3022 2 года назад

    Da asee Kwel

  • @anoldmmari8675
    @anoldmmari8675 2 года назад +1

    Broo more respect

  • @musasadikimusasadiki8520
    @musasadikimusasadiki8520 2 года назад

    Umeupiga mwingi umemfunika hadi conde

  • @evaristjulius8715
    @evaristjulius8715 2 года назад +1

    Kaka nacha

  • @kilayogeyejakobo6688
    @kilayogeyejakobo6688 2 года назад

    Huyu ndo nacha ninayemfuata

  • @javanuzaj7
    @javanuzaj7 2 года назад +2

    N-A-C-H-A 🔥

  • @sbkide8624
    @sbkide8624 2 года назад +1

    Nilikusubiri Sana brother ,nakusikiliza Sana Nacha keep it moving forward brother

  • @salumumohamedi9182
    @salumumohamedi9182 2 года назад +1

    Keep it up BRO

  • @vitusvedastus3781
    @vitusvedastus3781 2 года назад

    👍👍🔥🔥🔥

  • @kingsanya6860
    @kingsanya6860 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅🔥🔥

  • @mrrobotitz
    @mrrobotitz 2 года назад +1

    🔥🔥 keep going brooh

  • @gideonkimanthi7037
    @gideonkimanthi7037 2 года назад

    Nacha watema kweli🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mussa076
    @mussa076 2 года назад

    Rapa mkali bongo

  • @chibungupaul7925
    @chibungupaul7925 2 года назад

    Nachacetamol💥💥

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 2 года назад

    Good music 🎶🎶🎶🎶🎶

  • @kulwadeus7513
    @kulwadeus7513 2 года назад

    Good

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko 2 года назад

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖

  • @PASSWORD-026
    @PASSWORD-026 2 года назад

    ✅✅✅✅

  • @borntowntz7582
    @borntowntz7582 2 года назад

    Kuna watu wanakata shina ukishika tawi

  • @martinnjiru500
    @martinnjiru500 2 года назад

    Nipee contacts za Kirri records haswa Bear na Kitunzo