NAMBA MOJA COVER

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 812

  • @chichiherself5698
    @chichiherself5698 4 месяца назад +9

    September 2024 coming to watch this banger again YESU NAMBA MOJAAA 🔥🔥🔥

  • @MilkaKeanche
    @MilkaKeanche 3 месяца назад +2

    Akuna kitu chochote kinaweza tutenga na Mungu sisi ni namba moja watu wa 2024 mko wapi jamani

  • @RichardNgao-c4g
    @RichardNgao-c4g Месяц назад +2

    December again2024 tunamaliza mwaka kwa neema za mungu.........

  • @manticha
    @manticha 6 лет назад +412

    ALIYETAZAMA HII NYIMBO 2019,gonga like hapa

  • @SayuniMakala
    @SayuniMakala Год назад +1

    Here 2023 ❤❤❤❤❤❤❤ YESU NO MOja

  • @gracemwambene5233
    @gracemwambene5233 5 месяцев назад +6

    2024 nimerudi kuitazama tena🙌❤️

  • @janetalfred7716
    @janetalfred7716 4 года назад +7

    Aliyewatch hii nyimbo,,clouds baada ya maombi ya nchi yetu 17-19/04/2020,,gonga like milion,,corana dawa yake YESU tu,,

  • @meriopek8116
    @meriopek8116 4 года назад +18

    Likes hapa 2020 bado nabarikiwa na huu wimbo

  • @rosemengo8348
    @rosemengo8348 4 года назад +1

    cjawahi kuchoka kusikiliza hii wimbo,wamemfunika mwenye wimbo saaaana...aiseeeeee

  • @zulfatkheri3002
    @zulfatkheri3002 5 лет назад +2

    Yaan nikiitazama hii nyimbo machozi yananitoka kwa furaha

  • @tinahmark4195
    @tinahmark4195 5 месяцев назад

    Who is watching in 2024 ❤❤❤❤

  • @benjaminrichard8022
    @benjaminrichard8022 4 года назад +67

    2020🙏🙏💯💯 kama unasikiliza gonga like dogo anajua

    • @mchiziboti7594
      @mchiziboti7594 4 года назад

      Tusikilize ujumbe Mungu anapata utukufu hapa

  • @zawadimakila7718
    @zawadimakila7718 6 лет назад +45

    Yaani huu wimbo naupenda sana na pia nimewapenda hawa watoto wameupendezesha zaidi wimbo huu. Vipaji vyao viko wazi kabisa, hongera Paul kazi zako ziko vizuri. Nafuatilia sana nyimbo zako.

  • @mariemdamu2004
    @mariemdamu2004 7 лет назад +2

    nzuri mno 💓💖ohhh!!!kids you gonna kill me for this song jaman.hapo mwishoni sasa uwiiiiiiii!!!!!

  • @hildakaniki8427
    @hildakaniki8427 7 лет назад +2

    Powerful song; hata malaika mbinguni wamecheza; huu wimbo na energy yenu mlioitumia unabomoa ngome zote; kwa viongozi wasasa na wajao katika maeneo yote wakiutazama hawaishii tu kumsifu Mungu; pia wanajifunza leadership skills. Mbarikiwe sana.

  • @graceseth4273
    @graceseth4273 7 лет назад +155

    woooow, this is very beautiful... watoto wazuri, wamejawa nuru, wamezungukwa na upendo!!! wamefanya vizuri sanaaaaaaaaaa, Mungu awainue in the name of Jesus, I am blessed!

  • @janethjkavishe589
    @janethjkavishe589 6 лет назад +1

    more good than original😍😍Please ubaki hukuhuku weye mutoto usiende bongofleva please. Mungu akulinde Ameni

  • @sabinasalim8199
    @sabinasalim8199 4 года назад +1

    Big up dogo

  • @ESSYQUEEN
    @ESSYQUEEN Год назад

    That's breathtaking ❤❤❤❤

  • @rechorashidi90
    @rechorashidi90 5 лет назад

    Ee MUNGU mjalie mtoto wangu Vincent awe na kipaji km uyu.....nakupenda sana mtoto mzuri....mungu awaongoze

  • @MercyMwinuka-p3s
    @MercyMwinuka-p3s 9 месяцев назад

    Naupenda huu wimbo mnoo. ❤❤❤

  • @mkamaelishatz7849
    @mkamaelishatz7849 6 лет назад

    Hakika kuna hak ya kujivunia kuwa na kristo ndani yetu awezae kufanya haya yote yye ni namba moja naitabak kuwa hivyo Mungu awabarik sana et huu wimbo kwangu kila siku nimpya::

  • @ngelaboi9724
    @ngelaboi9724 5 лет назад +1

    Daah hii cover sijawahi kuichoka sio tu kubarikiwa pekee bali na vibe nalo ni lakutoshaa 😇😇😇

  • @dicksonmbonye3833
    @dicksonmbonye3833 3 года назад

    Namuona pul anavyo enjoy na wanafunzi wake big up my young brother 🙏🙏💪

  • @kobelochande6669
    @kobelochande6669 2 года назад

    Umewaacha wapi hebu ufanye nao moja hao vijana wako hatariiiiii 👍

  • @latifaabdallah2219
    @latifaabdallah2219 7 лет назад +1

    jatimaye 2mempata Justin bieber wa bongo gud job youngboy😙👏👏👏❤

  • @WinfridaBoaz
    @WinfridaBoaz 2 месяца назад

    We mtoto unakipaji Mungu akufikishe mbali kwenye huduma yako

  • @peterkaili9343
    @peterkaili9343 2 года назад

    Yesu naambaaa moja namba mojaaa namba moojaaaaa

  • @moricerichard9279
    @moricerichard9279 6 лет назад +1

    Mungu awabariki kwa kazi nzuri Gidion na Joshua. Fatweni nyao za kaka yenu Paul Clement

  • @sumamwamalekela1069
    @sumamwamalekela1069 5 лет назад

    Utukufu na arudishiwe mmiliki,Mungu wetu ni mkuu🙏hyo ndio njia sahihi ya wokovu wenu watoto.

  • @paulinenicholous9147
    @paulinenicholous9147 6 лет назад +1

    4sure it's #1 jesus,,, & alpha na omega barikiwa xn jmn mbaka mleta raha yn mungu azidy kuwainua

  • @lusekelokijalo4480
    @lusekelokijalo4480 4 года назад +1

    U kill it😘

  • @witnesslihendeko8875
    @witnesslihendeko8875 5 лет назад

    Mwimbaji na nusu huyo dogo...big up Sana😘😘😘

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 4 года назад +2

    Mungu uwafunike kwa damu yako takatifu vijana hawa ili wakue na kukutegemea wew kila saa kila wakati kila dakika na hata kila sekunde,Shetan yupo mawindoni wasije kengeuka, wamefanya vizuri sana imekuwa nzuri kwa jinsi walivyobena uhalisia wa ujumbe zaid hata ya ile orgnl
    Be blessed young singer's

  • @amonikiango752
    @amonikiango752 6 лет назад

    nawapataje hawa vijana naomba majibu yenu jamani hata nikiwa meneja wao tufanye kazi kwa kweli naomba majibu

  • @VeronicaLeyana
    @VeronicaLeyana Год назад

    Watoto waliifanyia kazi cover

  • @PelesVenas
    @PelesVenas 8 месяцев назад

    Dàaàaaaaaaaaaaaaaaaah safi sana watoto wa Yesu Mungu awasaidie mnakitu mtafika mbali kama mtashikwa mkono amina

  • @elizabeth.uwimana
    @elizabeth.uwimana 4 года назад +5

    I’m waiting for this song to reach a million views. It deserves it!! Truly Jesus is #1 ❤️

  • @cecilialukas2342
    @cecilialukas2342 2 года назад

    Huu wimbo hats niusikiloze kila siku hauchuji Yesu namba moja!

  • @ebenezermabotja8438
    @ebenezermabotja8438 4 года назад +1

    Wow this kids may God grow ur music 😭😭😭😭

  • @irencebraty8134
    @irencebraty8134 5 лет назад

    Naenjoy sanaaa much lop nyie😘😘😘😍

  • @annamike8711
    @annamike8711 6 лет назад

    Wooow 🙏🏽nabarikiwa Mwenyezi Mungu awasimamie Na mtumie Sauti kumuimbia naona kitu ndani yenu Hiyo Ni karama ambayo Kwa kwakupitia Sauti mtaweza kutoa mapepo Na kuponya kwasababu amewapa kipaji🙏🏽

  • @sweetyjanne255
    @sweetyjanne255 3 года назад

    Jamani mimi Naupenda Huu Wimbo Kila Siku Lazima Niingie youtube Kuusikilizaaa🥰

  • @laminedaniel7829
    @laminedaniel7829 6 лет назад

    woooo tisha saana boy s moyo wangu umefunguka baada tu ya kuskia na kujiskia fureheshi

  • @rehemasamwel1596
    @rehemasamwel1596 7 лет назад +13

    My son Mungu azid kukuinua G i love yuuu❤

  • @racheljaphetic9260
    @racheljaphetic9260 7 лет назад +11

    i Will born a son like Gideon in Jesus name

  • @gracereborn2150
    @gracereborn2150 2 года назад

    Wow! Blessings upon Blessings 🙌

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 7 лет назад +9

    Gidion aka JOTTA wa Tanzania. Sari sana na mtegemee Mungu utafikambali sana kama karama kweli umepewa

  • @rapstarkroz3124
    @rapstarkroz3124 5 лет назад

    Wow blessed kids. Napenda hii. Paul clement nature this kids wana huduma kubwa 🙏

  • @sim_simmer__
    @sim_simmer__ 2 года назад +4

    I’m so happy that you can use your angelic voices to glorify God! Love from Kenya 🤍 🇰🇪

  • @tumainiamenye2037
    @tumainiamenye2037 6 лет назад

    Yesu Namba moja,zaidi yake hakuna maana we Yesu ni Alfa and Omega

  • @priscillahjumaa3023
    @priscillahjumaa3023 5 лет назад +1

    mbarikiwe jameni mtoto anasifu vizuri tu

  • @shilarivasha1348
    @shilarivasha1348 5 лет назад

    Hey guys Aki God awabless 2 Sana yani hyo sng iko pouwa Sana mungu awape nguvu ya kuendelea na hicho kipaji yani mko poa hata cjui nsemeje acha God awabless 2

  • @ceciliachahasi7763
    @ceciliachahasi7763 2 года назад

    Paul Clement you are such a good mentor. Kudos to you

  • @deliciafortunatus5145
    @deliciafortunatus5145 2 года назад

    Dah!! I love it, is very amazing Mungu saidia Amen

  • @samsonngogo3899
    @samsonngogo3899 5 лет назад +5

    I never tired of watching this one.Ni nzuri mnooo.Asante sana Paul Clement kwa project nzuri.Be blessed.Nani yupo hapa May 2019?

  • @victorymalima5539
    @victorymalima5539 6 лет назад

    Wow kumbe watoto Wana sauti keep it up 😏😏😎😎

  • @catherinemussa2098
    @catherinemussa2098 5 лет назад

    Sichoki kusikiliza hatari kweli Yesu namaba moja💞

  • @kipronochepchirchir
    @kipronochepchirchir 7 лет назад +25

    When God decides to use different ages to spread His word....Baraka tele Gideon ❤ and thank you Paul Clement for this beautiful song.....

  • @denismulungu1420
    @denismulungu1420 5 лет назад

    kupitia wimbo huu nimekua nabarikiwa sana na nimekua namkumbuka mungu kwa kila kitu..hakika yesu ni no moja

  • @officialjamhurizachariagos2797
    @officialjamhurizachariagos2797 7 лет назад +88

    Unajua nikikuangalia bwana Paulo Clement we ni mtu wa tofaut sana, watoto wanafanya cover ya nyimbo yako rakini unaonekana ni mtu wa fraha sana, MUNGU akuinue kaka YANGU, Hira mnapokua mnatupia video zenu toen maeleza mnavyo patikana vipaji vipo vingi sana mtahani

  • @kendythestylist9086
    @kendythestylist9086 5 лет назад +30

    Still watching 2020 gonga like

  • @hollolinabago
    @hollolinabago 7 лет назад +2

    Very nice!!sichoki kuangalia hii video.
    Kazi nzuri sana.
    Am blessed with this kids.
    Mungu azidi kuwatumia.

  • @ahadikasekwa5385
    @ahadikasekwa5385 6 лет назад

    very nice madogo mpo juu.... Mr. PAUL kuza vipaji hivyo MUNGU akukumbe kazi yako ni njema saana .... FISHER RECORDs mmetulia music, sauti safii.... very nice nmependa kazi yenu

  • @elisiachilongani7042
    @elisiachilongani7042 5 лет назад

    Dah yani ww mtoto😘🙋🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @stephenonyango9596
    @stephenonyango9596 3 года назад

    Who's still watching. Can't stop listening 💯💯

  • @asimwetibaijuka7318
    @asimwetibaijuka7318 7 лет назад +6

    Duuu yan siku haipiti cjatazama wimbo huu na sichoki kuangalia nyimbo hii mana inanibariki Sana ,Mungu wa mbinguni awabariki Sana aisee

  • @lysterrichard8417
    @lysterrichard8417 2 года назад

    anaye tazama this april 2022
    Mungu akakufungile milango yako yote ya riziki ikawe wazi kwako akusimamie kwa kila jambo baraka zikamiminike kwako siku zote

  • @حسن-ح7م1ق
    @حسن-ح7م1ق Год назад

    Nkiomba mkate huwez nioa jiwe...

  • @edwardjerome7323
    @edwardjerome7323 5 лет назад

    Gideon ni mdogo Wang ambaye nakukubali sana japo una kipawa cha hatari ila huna makuu upo normal tofaut na wengine

  • @nahashonmumo2636
    @nahashonmumo2636 4 года назад +1

    Wonderful 😊...la best 🔥

  • @helenkapinga2333
    @helenkapinga2333 6 лет назад +18

    Penda sana Joshua na Gideon sichoki kutizama .stay blessed boys

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz 4 месяца назад

      Sasa hivi sijui wapo wapi Hawa watoto jaman, God bless them...happy for them❤

  • @Lameckjoh
    @Lameckjoh 5 лет назад

    Barikiwa sana napenda ujumbe na zaidi aliye Fanya bass guitar kaitendea haki sana

  • @Southafricapolitics
    @Southafricapolitics 7 лет назад

    Khaaa!! huyu dogo anaimba sana mnaweza mkamtumia mkafanya makubwa mno! muda ndo huohuo alionao

  • @stephaniejoseph3545
    @stephaniejoseph3545 6 лет назад +1

    Ak feel so smiling for this song it's so fantastic I lov u singers (happy happy ooh ooh ooooooh, Yesu no. Mojaaaaaaa

  • @juliusmkwiji283
    @juliusmkwiji283 7 лет назад +13

    Yani hii ni zaidi ya zaidi! Nashindwa hata cha kuandika, haka kadogo kanajua kuremba nyimbo!

  • @hessionmwanguo168
    @hessionmwanguo168 3 года назад

    Madogo wamerelax ...unakitu cha kuchota toka kwao Relaxation very fundamental

  • @marymakumbi6008
    @marymakumbi6008 7 лет назад +42

    yan nakosa cha kusema jins walvyoubark moyo wangu hawa vjana Gideon na mwenzako,,,,I like this

  • @bupegwamaka3613
    @bupegwamaka3613 5 лет назад

    Mungu awabariki watoto wazuri Mzidi kumtumikia yeye siku zote za maisha yenu

  • @bathshebamchuza2648
    @bathshebamchuza2648 6 лет назад

    natamani na mi nngefnya kava hu wmbo....unanibark sana...😘😘,ila swez kuimba 2😜😜😜😜

  • @janethlwanzali2668
    @janethlwanzali2668 4 года назад

    Wale tunaongalia july 2020 tujuane ,, madogo wapo na talent sanaa👏👏

  • @MJ-ye7dd
    @MJ-ye7dd Год назад

    Where are Joshua and Gidion ? we need another cover from them please

  • @juliusjengo4164
    @juliusjengo4164 3 года назад +1

    Very very nice Paul Clement your songs blessed me may God be bless you bro keep going on

  • @consolatamedard2777
    @consolatamedard2777 5 лет назад

    Naisi kupaa apa jaman mmejua kunibariki hakika Yesu namba Mojaaaaaaaaa

  • @pendomazengo9753
    @pendomazengo9753 3 года назад

    Nampenda sana huyu mtoto ananibarki sana anapatika wapi jaman

  • @freemankalalu3531
    @freemankalalu3531 7 лет назад

    Huu wimbo ni mzuri sana umeboreshwa mpaka nabarikiwa hswa dogo ameitumia vizuri sauti aliopewa na Mwenyezi Mungu Mbarikiwe sana

  • @consolatamedard2777
    @consolatamedard2777 5 лет назад

    Duuuh Adirahaa Jaman Mungu awabariki nyie watoto

  • @josephsamson341
    @josephsamson341 7 лет назад

    Napenda wanapombeba huyo dogo, wana kipaji, MUNGU awainue zaidi

  • @kemilembekamugisha4765
    @kemilembekamugisha4765 4 года назад

    2020 bado yesu ni number moja haijalishi corona wala nini ,Joshua na Gidion wapi 2020

  • @robjotechinswahili4581
    @robjotechinswahili4581 7 лет назад +1

    tukuze vipaji.. big up #Paul Clement, big up #Fisher
    wakumuimbia Mungu wapo wengi sana.

  • @goarigabrieli2774
    @goarigabrieli2774 7 лет назад +1

    wimbo huu unanibariki sana.yaani haunichoshi kila mda nauangalia.well done gidion and joshua

  • @hakikalugalata6763
    @hakikalugalata6763 7 лет назад

    Kila siku sichoki kuitazama hii cover huyu dogo kweli kaitendea haki zaidi ya original,Paul clement dogo amekuwa zaidi.

  • @ashleyjoy8516
    @ashleyjoy8516 4 года назад +14

    No matter how many times I listen it just doesn't grow old love the voices

  • @calebkiptoo8734
    @calebkiptoo8734 4 года назад +1

    GREAT ONE from tz this kids are going far for realll

  • @theodoraregnald8288
    @theodoraregnald8288 7 лет назад

    Uwiiii Paul usimwache huyu mtt aisee ,Mungu azidi kuwainua,yan anaimba unaona kabsa usoni yuko na furaha.May God bless You for his work aise😘👏🏻👏🏻👏🏻

  • @geralddisbord8191
    @geralddisbord8191 6 лет назад +8

    This one sinks deeper than the original..
    Wooow wooow wooow

  • @jeps.e4305
    @jeps.e4305 7 месяцев назад

    I am here again in 2024❤

  • @ainealazaro7321
    @ainealazaro7321 6 лет назад

    Hakika MUNGU hatoacha kujizihilisha kwa watumishi wake lov it and big my young brother from another mother

  • @convinemukidanyi864
    @convinemukidanyi864 2 года назад

    Yesu ni namba moja, hata tunapojiandaa 🇰🇪 Kwa ajili ya uchaguzi 2022 Still the best jam 🔥🔥🔥👌

  • @salomegwimo6278
    @salomegwimo6278 4 года назад

    Daaah! Sina cha kusema juu ya hawa watoto n balaa