Mchungaji Mbarikiwa, punguza ukali ndugu yangu. Mbona mkali sana hivi. Naona mara nyingi unawashambulia watumishi wengine usifikiri wewe ni mwema zaidi.
Mtumishi nimekua nikifuatilia nakupenda.leo nimekuelewa vinzuri, kumbe shida Yako haujasoma ndio maana unajifanya mjuaji na mkosoaji wa Kila kitu. Naona mbali na ujinga una tatizo la kisaikolojia kama Sio Pepo. Mkabidhi bwana Yesu maisha Yako.
Kuna umuhimu watu wawnde pia chuo sometime itawasaidia kuwapanua ufahamu wa mbinguni Binafsi sijakuelewa kuhusu unyakuo maana ufunuo uko wazi juu ya ujio wa Yesu christo na mpunga christo na jinsi wafu na walio hai watakavyo nyakuliwa
Mungu akuongoze useme ndani ya taifa zima tupo papoja na we mtumishi Mimi nipo Dubai nafanya kazi lakini Bila kukusikiliza wewe siwezi kulala Wala kushinda mungu atakupigania amina
Hakika nimambo yakweli kabisa na Mungu wa mbinguni☝️ Akulinde Sana 🙏 Wengi hawatokuelewa maana mafunuo yao n madogo lkn nimekuelewa sana kbsa ndiyomaana wachungaji wengi naona kama nimachawa Mungu anataka majemedali wanguvu ukiwemo wewe hakika Mungu akulinde sana
Tena mtumishi kale kawimbo Kako la Magufuli umenikingia nilikapenda Sana ... Unayosema Yana hekima ya Mungu .... Magufuli amenifanya nimpende Sana Mungu ,na kutokuwa na hofu ya kifo.heri wafao ktk bwana.
Najua huwa unamwomba Mungu lakini mtafute Mungu tena aweze kukuerejesha kwenye njia ya haki ufunguliwe minyororo ya JAZBA maana kwa hapo ulipofikia ni vigumumu mwanadamu kukushauri na kukuonya ukaweza sikia. Ushauri wangu kwako ndg yangu maana wote tumeumbwa na Mungu. Omba Mungu akufungue na chuki, dharau na kutweza wengine. Unahitaji kuwasikiliza wengine ili ujifunze. Musa pamoja kukubalika na Mungu kuliko wote bado alikubali kuwasikiliza wengine na akasaidiwa, kazi yake ikawa nyepesi. Kabla hujajua imani na kuwa mch, ulisikia kwa hao wana-theolojia.
Siri kubwa ya kumtumaini Mungu ni “UNYENYEKEVU” mwana wa Mungu yeyote,angalia sana usiukose UNYENYEKEVU kwenye ukristo au ulokole au utakatifu wako .Asante
Asante unyenyekevu ni kitu kikubwa sana cha thamani ili Mungu atembee na wewe kama alivyo. Wengi wanatembea na Mungu kama wanavyotaka wao sio kama Mungu anavyotaka kisa wanaona matokeo/ miujiza haimaanishi Mungu yupo hapo.
Unaweza kuwa na nia njema kabisa... Ila approach yako si nzuri mbarikiwa.kwani unagombana na Nani? Control temper basi ndg, then fundisha somo ww Kama ww hiyo Ndo approach nzuri I think kuliko ku-attack watumishi wengine
@@mohameddavid552 kuna clip yake fulani nilimskia kama anadiss vyuo vya biblia sikumuelewa sababu hakuna ktk mitume aliyewahi kuanza kuhudumu pasipo kupitia uanafunzi
Kujihesabia haki ni kubaya, kuna mwisho mbaya. Na tukumbuke vita yetu si juu ya Dani na nyama. Yaani inaonyesha unapigana na mtu badala ya kupigana na shetani kitendo cha kuweka picha za watu si busara. Adui yetu ni shetani na majeshi ya pepo wa baya na si watu wa Mungu walio umbwa kwa sura na mfano wake
Ndivyo inavyotakiwa ukisoma Yesu wa Biblia utaona ni tofauti na na yule Yesu wa kwenye movie,Yesu wa kwenye movie ni mpole anaingea ka zezeta flni hv kwa jinsi wazungu walivyoitengeneza picha yake. Lakini Yesu wa kwenye Biblia ukisoma unaona alikua mjeshi aliingia hekaluni na bakora akachapa watu na kutindua meza chini juu na hata wakati amepaa malaika aliwatokea wanafunzi akawaambia jinsi alivyopaa ndivyo atakavyorudi Sasa atarudije?ukisoma ufunuo atarudi kijejeshi tena akiwa na na jeshi lote la malaika wakiwa na farasi wa moto yaani atakuja kivita kumbuka alisema kipindi yuko duniani hakuja kuleta amani ila upanga. So neema tuliyonayo wanadamu ni kulisikia neno la Mungu na kutubu sio kurudia rudia kutenda dhambi.
Kwa namna vyovyote vile mimi Joshua ninamwelewa sana na kiasi kwamba haipiti cku kusikia saut hiiii ,Mungu akubarikii sanaaaa kamanda ww ni miongoni mwa wanamageuzi duniani ,tafsir zako hazijaghoshiwa kabsaaaa cjakurupuka nimefuatilia wengi sanaaa lkn tafsir kama hizi ni wachacheee sanaaaaa dunianiii!!!
Ukoza, anajibu A, B au C? Mengi ya majibu yake kwao yalitimia huku baadhi wakiwa hawajafa. Kuna mengi anaongea vzr, ila hapangilii point, pili, hasira badala ya hoja, tatu dhiki katika maandiko aliyoyasoma ilitimizwa mwaka 70 BK wakati jemedari Tito aliposhambuloa Yerusalem. Kaka, kasome, kila kitu kinahitaji elimu. Ulichokisoma kiliishapita 70 BK. Kuna baadhi ya maneno una point lakini umejawa lugha chafu.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai, hiyo ni kweli kabisa haitakiwi kufarijiwa tu tuipiganie imani hata mwisho. Yesu ndiye mwokozi wetu. Mungu Baba akutie nguvu.
Mtumishi wa Mungu nakufatilia sana tangu nikujue umenisaidia kunilea kiimani iseme kweli ndo watakatifu inatuweka huru asante kwa kunifafanulia huu unabii
Umenena kweli mtumishi maana hao viongoz wakubwa wa dini wanavuruga mambo,na kwa vile wanasikilizwa na kuaminiwa na wengi wako hatarini kupoteza watakatifu wa Mungu!!
Cha muhimu mtumishi wa Mungu toa mafundisho namna unavyoelewa maandiko, unavyoongea ni Kama unawafoka na kuwatukana watu wengine,YESU alisema nendeni mkawafanye watu kuwa na wanafunzi wake, mkiwafundisha na sio kuwatukana,kumbuka hao ndio waliokuombea na kukulea kiroho,tumia hekima na sio hasira,
Yesu aliwaita vipofu, majoka waliomlea kiroho. Je mwingine akipotoka ni mwema kuliko wale? Lugha inayotumika ni ya kukufanya ushituke ama uone ukubwa wa kosa. Ni kiburi kinachokufanya utafsiri maonyo kuwa ni matusi.
Shetani siku zote hujifanyaga Kama anawahurumia watu kuliko aliye waumba! Hivi umesoma namna Yesu alivyokua akiwafanya watu kua Wanafunzi wake? Kama hujui kamuulize Petro
Sisi tunataka tusikie ujumbe wako shida unaweka maneno mengi lakini still unachelea kusema nini wamaanisha. Hili ni bando nifanye nijifunze niendelee na mambo mengine. Try to be specific and not too general
Mungu akuweke miaka mingi zaidi na usigeuke nyuma maana na wewe utakuwa JIWE KAMA WALIKUBALI KUGEUKA NYUMA WAKAWA JIWE mtumishi kama wewe huwa wanazaliwa mara chache Mungu akubariki sana
Tena mtumishi nasoma comments za wengine Naina hawakuelewa unaongea nini.ila haya yote uliyatabiri mwaka Jana .kwenye ule wimbo wako uliyo mwimbia Rais , Magufuli.nasasa ule mnyama uliesema sema amekwisha fanya vyake.kwa Mtetezi wetu.heri wafao ktk bwana.barikiwa.
Wanaelewa lakini akili zimelemazawa na wachungaji wanyonyaji hata bible isaya 56:10 inasema walinzi wake ni vipofu nao hawana marifa hupenda usingizi wanachoya hawashibi kamwe na hao ni wachungaji wasio weza kufahamu neno
Atapingana na wakristo wakweli na tayari ameaza kupinga wakristo wa kweli Na bathi ya. Wakristo wakweli wametekwa kwa pesa zake , Kanisa litapita kipindi Cha mpinga kristo na wakristo wakweli watakataliwa na bathi yao kukatwa vichwa ,Kama Baba zetu wa Imani waliokatwa vichwa, Wakristo wakweli msiogope maana sio mda mlefu ,unabii unatumia Kuchukiwa na Dunia,
Theolgy inatokana na neno theory yaani ni vitu vya kufikirika yaani vya kudhaniwa na si vya kweli na ndo mana wahubiri wengi wanaingia vyuoni wakiwa ba akili na wanatoka wakiwa wamechanganyikiwa.kuhubiri ni wito sio kutoka kwa Mungu na ndo maana huezi kwenda chuo ukatoka kuwa muhubiri sababu mtu anahitaji Roho wa Mungu kutafsiri kilichoandikwa kwenye Biblia na sio ufahamu wa kibinadamu.Vyuo hutengeneza wanafunzi na ni Mungu mwenyewe mwenye uwezo kutengeneza Wahubiri. Kanisani ni sehemu pekee wahubiri wanatakiwa kumuandaa mwanadamu kwa ajili ya maisha ya jayo baada ya ulimwengu huu kwa kutengeneza usihano wao na Mungu wao uwe mzur.
Kuanzia kitabu cha Mwanzo mpaka kitabu cha Ufunuo wa Yohana manabii na mitume wote waliotumwa na Mungu kwa ajili ya kuwaonya wanadamu kuacha uovu ili kuiepuka ghadhabu ya Mungu
Serikali uendelee kupiga vita uvutaji wa bangi maana athari yake ni kubwa, pia mshikeni Sana elimu watu wa Mungu na wanaotafuta umaarufu kupitia watumishi wenzao waendelee kuwajibishwa.
Nenda kasome chuo Cha biblia ukimaliza Rudi sikiliza haya unayoyasema, utatubu mwenyewe bila mtu kukuambia utubu, mtu wa Mungu hawadharau watumishi wengine.
Lugha Kali kwa kuwa anakemea dhambi. Hata Yesu alitumia lugha Kali Kama vile Enyi wanafiki,, mmefanana na makaburi, wengine aliwaita kizazi Cha nyoka, Cha zinaaa nk. aliwakemea Hadi wakapandwa na hasira Sehemu nyingine wakaokota mawe wampige. Hakuna staha kwenye uovu.
Mh mtawatambua kwa matendo yao ,maana Kama vitabu vimeandikwa na wazungu kwaajili ya nia zao halafu mtu asome hichohicho na kusema Kuna 1 2 3 mh ,sasa unasoma Tena hayo hayo, Kuna sura ya ulimwengu Bora kumhubiri YESU kuliko Mambo ya ulimwingu
Mtumishi wa Mungu, naona kama uko too general badala ya kuwa specific, pia ujumbe wako una opinion nyingi kuliko facts. Nashauri pia upendo uwe lengo kuu katika kila unalotaka kulifanya. Omba pia hekima na unyenyekevu ktk yote! Zaidi ya yote, kumface mtumishi ambaye kwa mtazamo wako unahisi anakosea na umrejeshe kwa upendo, badala ya kutumia social media unless Roho anakushuhudia tofauti. Huo ni mtazamo wangu mtumishi, nisamehe kama nitakuwa nimekosea
Mchungaji wangu,Ahsante kwa maneno, lakini ni vyema ukajua chukizo ,la urabifu nini,pia vizuri uelewe kifo cha yesu hakukimpa ushindi shetani,wala kanisa la Yesu halitishwi na shetan, jifunze pia nini kilitokea wakati,wakati hekalu kuvunjwa.kanisa halitanyakuliwa mpaka shetan,akose nguvu kabisa,
Aaah!!aaah!! kweli wajiitao wahubiri wanapaswa kukaa chini na kunyenyekea ili wapate shule itakayoleta UKOMBOZI wa roho za mamilioni ya watu waliodanganywa kwa habari za KUNYAKULIWA kwa kanisa kabla ya DHIKI na mafundisho mengine mengi yaliyosababisha mgando wa mawazo na fikra za waumini wao
Biblia ni muhimu Sana kuisoma, Huyu mtumishi mzuri Sana lakini anamisimamo binafsi! Lakini hana msingi sahihi wa neno la Mungu ndiomaana anaikandia theolojia , Nanimegundua saizi ndo anazidi kuharibikiwa , Unyakuo upo! Ufunuo 3:10 hapa ndipo Biblia inazungumzia kunyakuliwa kanisa, kama yeye atabaki kipindi Cha dhiki kuu sawa lakini kiukweli sikutegemea kama Mwakipesile kafikia level ya upotofu kiasi hicho
Neno:mpumbavu,mjinga,ushenzi,vipo kwenye Biblia.Cha msingi.tuchukue,kinacho tufaa kama wakristo. Lakini kanisa tufike mahali tuangalie tumetoka wapi,tuko wapi na tunaenda wapi? HASA viongozi!
Nimeishia 3:07 kati ya 53:10 dk niliposikia tu Magufuli alikuwa anazuia mpango wa mpinga kristo kuitawala dunia nikaachia hapohapo nikaona nisiendelee kuumiza Mb
Ungejua maana ya chanjo na kwa nini wanaipgia debe ungemuelewa huyu mbarikiwa anachoongea ila kwa maguful hujamuelewa na mbarikiwa huwezi kumuelewa hata kidogo
Wewe ni kinywa cha bwana yes duniani kama shetani anakinywa chenye nguvu duniani, mungu muumba mungu Na inch na vyo ote viujazavyo ulimwengu anakosaje kinywa!!!?. jipe moyo mkuu songa mbeele Bwana yu pamoja nawe mwenye masikio na asikie mm nimekuelewa.
@@millicentayangokunting3728 wahubiri wenu walituacha tukiwa wahuni wa kujichua sana na kutongoza mabinti, pamoja na wizi na kuongea uongo sana. Wewe huwezi kuzibadirisha kwamba nisimuatea KAMANDA HUYU, mbarikiwa mwakipesile NI SAUTI YA MUNGU DUNIANI, mimi ninae andika hivi sikuwa na maish ninayo ishi kwasasa kabla yakuelekea uelekeo huu wa mhubiri huyu. VIONGOZI WENU NI VIPOFU WA VIPOFU. WOOTE MTADUMBUKIA SHIMONI Msipo elewa na kubadiri njia zenu eenyi wana wa MAJOKA Mlio laaniwa. Karibu kambi kuu NA UTAELEWA TU.
Inawezekana kabisa hatawewe ukapotea kwa sababu hutembei na wito wako umewabeba watumishi wezio nakuwaona wao wamepotea wewe uko sahihi mungu akusaidie utambue wito wako hubiri Kama wewe acha kuwasema wezio unaharibu kazi ya bwana
Ndugu yangu watumishi wanashangaza sanaaa ivi kuna haja gani yaku attack watumishi wenzio.😭😭😭, Na hakuna kitu kibaya kwenye maisha Kama kuamini unajua kila kitu😭😭.but all in all Injili Isonge mbele 🤝
Yeyote anae pambana na kuchafua legasi ya magufuli ili aonekane wa maana, ajue kwa kasi ileie ajichafua mwenyewe. Sasa, ili uonekane wa maana fanya makubwa zaidi ya aliyofanya Magufuli huku ukiwatetea wanyonge na sii kuwanyonya kwa nguvu.
Makanisa mengi sana ni biashara kubwa.na wachungaji wake ambao ni feki.wakidai kwamba ukiwalosoa utalaaniwa wakati si kweli.Ahsante Sana ndugu.wajinga ndio waliwao
Asante kwa ujumbe no vizur kufundisha wewe kama wewe unavoijua biblia na unaavoongozwa na Roho mt Bila KU attack wengine af punguza hasira kwani unatufokea tunakusikiliza😂😂😂😂
Wachungaji au wahubiri na hata uayezungumza Sasa, ni vizuri ukatuhubiria Injili kuliko kuzungumzia mwingine. Mkifanya hivyo, hakuna atakayemkosoa mwenzake nasi tutafaidika kiroho na tutapenda kuwasikiliza.
Mchungaji kauli zuri zinakufnya ueleweke lakin hayo masimango na kuwadharau wezio hata km wewe unajua zaidi hiyo haikubliki unafok km ugomvi!!??homa hiyo si zuri
Wewe umemuelewa maana mtu afanyae kazi ya Mungu ana Roho wa Kristo ndani nae humhubiri Kristo nakufundisha watu yapasayo uzima, huhubiria watu waokolewe na kuwafundisha watu kudumu katika kweli ,Amos 3:3 watu wawili hawaendi pamoja wasipopatana ,ukiona mtu Yuko kinyume na wengine hata Kama anasimamia mistari ya biblia na Tena kusema imeandikwa na wazungu , jihoji hata kuendelea kumsikiliza
Mchungaji Mbarikiwa, punguza ukali ndugu yangu. Mbona mkali sana hivi. Naona mara nyingi unawashambulia watumishi wengine usifikiri wewe ni mwema zaidi.
Kichwa cha habari kina professional kubwa xana## xafi kabisaaa 💓💓💓💓🔥🔥🔥🔥🔥
Mtumishi nimekua nikifuatilia nakupenda.leo nimekuelewa vinzuri, kumbe shida Yako haujasoma ndio maana unajifanya mjuaji na mkosoaji wa Kila kitu. Naona mbali na ujinga una tatizo la kisaikolojia kama Sio Pepo. Mkabidhi bwana Yesu maisha Yako.
Huwezi kupenda mtu na aliyeathirika kisaikolojia, hayo uliyoandika chini ndio moyo wako wala humpendi.
Bishop Mbarikiwa lazima nije nikuone mbeya## big up xana tuondolee giza hili❤❤
Tuchangie tuchangiavyo,lakini tukumbuke jinsi Bwana wetu Yesu Kristo(Bwana wa Kanisa) alivyotuonya mbele katika Mathayo 12:31-32.
Wewe kijana nilitaka wakati fulani kukuelewa, lakini kwa hili la mpinga kristo na unyakuo umechemka saaaaana. Unahitaji msaada sana. Pole.
Mmmh huyu ameingiwa na nini jamani?
Kuna umuhimu watu wawnde pia chuo sometime itawasaidia kuwapanua ufahamu wa mbinguni
Binafsi sijakuelewa kuhusu unyakuo maana ufunuo uko wazi juu ya ujio wa Yesu christo na mpunga christo na jinsi wafu na walio hai watakavyo nyakuliwa
Jamani tuende chuoni ili tupate ufahamu mzuri pia wakulijua neno na kulifundisha kama lilivyo wanaopotosha neno ole inawajia
Mungu akuongoze useme ndani ya taifa zima tupo papoja na we mtumishi Mimi nipo Dubai nafanya kazi lakini Bila kukusikiliza wewe siwezi kulala Wala kushinda mungu atakupigania amina
Hakika nimambo yakweli kabisa na Mungu wa mbinguni☝️ Akulinde Sana 🙏
Wengi hawatokuelewa maana mafunuo yao n madogo lkn nimekuelewa sana kbsa ndiyomaana wachungaji wengi naona kama nimachawa Mungu anataka majemedali wanguvu ukiwemo wewe hakika Mungu akulinde sana
Niko pamojanawe mtumishi natamani mungu akinirudisha salama nijiungenawe usiogope sema kweli mungu akuumbie imanimpiya utuongeze
Baba sema nchi ipone wachungaji siku hizi ni wa chungaji wa matumbo wakusema ukweli hakuna nakuunga mkono mpaka mwisho huo ndio ukweli
Yaàni Mungu akusaidie sana kapime akili mtumishi hauko sawa kwahiyo wewe ndo ukosawa mtizame mdomo
Kemea ,onya wala usiogope Mungu akupe ujasiri zaidi. Wote walio upande wetu niwetu
Na mwakasege kweli si dhani mwakasege namkubali sana
Tena mtumishi kale kawimbo Kako la Magufuli umenikingia nilikapenda Sana ... Unayosema Yana hekima ya Mungu .... Magufuli amenifanya nimpende Sana Mungu ,na kutokuwa na hofu ya kifo.heri wafao ktk bwana.
Najua huwa unamwomba Mungu lakini mtafute Mungu tena aweze kukuerejesha kwenye njia ya haki ufunguliwe minyororo ya JAZBA maana kwa hapo ulipofikia ni vigumumu mwanadamu kukushauri na kukuonya ukaweza sikia. Ushauri wangu kwako ndg yangu maana wote tumeumbwa na Mungu. Omba Mungu akufungue na chuki, dharau na kutweza wengine. Unahitaji kuwasikiliza wengine ili ujifunze. Musa pamoja kukubalika na Mungu kuliko wote bado alikubali kuwasikiliza wengine na akasaidiwa, kazi yake ikawa nyepesi. Kabla hujajua imani na kuwa mch, ulisikia kwa hao wana-theolojia.
Nikweli!!!
Siri kubwa ya kumtumaini Mungu ni “UNYENYEKEVU” mwana wa Mungu yeyote,angalia sana usiukose UNYENYEKEVU kwenye ukristo au ulokole au utakatifu wako .Asante
Asante unyenyekevu ni kitu kikubwa sana cha thamani ili Mungu atembee na wewe kama alivyo. Wengi wanatembea na Mungu kama wanavyotaka wao sio kama Mungu anavyotaka kisa wanaona matokeo/ miujiza haimaanishi Mungu yupo hapo.
Unaweza kuwa na nia njema kabisa... Ila approach yako si nzuri mbarikiwa.kwani unagombana na Nani? Control temper basi ndg, then fundisha somo ww Kama ww hiyo Ndo approach nzuri I think kuliko ku-attack watumishi wengine
Ni kama mtumishi wa kujikweza sijui kama hua namtafsiri vibaya au!!
Well said
Sioni sbb ya kuatack watu instead of preaching!
Na pia sijaona sababu ya kutumia picha ya baadhi ya watumishi!
Well SAID
@@mohameddavid552 kuna clip yake fulani nilimskia kama anadiss vyuo vya biblia sikumuelewa sababu hakuna ktk mitume aliyewahi kuanza kuhudumu pasipo kupitia uanafunzi
Kujihesabia haki ni kubaya, kuna mwisho mbaya. Na tukumbuke vita yetu si juu ya Dani na nyama. Yaani inaonyesha unapigana na mtu badala ya kupigana na shetani kitendo cha kuweka picha za watu si busara. Adui yetu ni shetani na majeshi ya pepo wa baya na si watu wa Mungu walio umbwa kwa sura na mfano wake
Nikuite mtoto mchanga jichunge Sana pia omba musamaha kwa watumishi wa Mungu hawa ulio weka picha zao na kunena upuuzi wako huo
Pia ukitaka musada zaidi nitafutie nitakusaidia juu ya Jambo hilo la mpinga Kristo na unyakua pia dhiki kuu la sivyo unaenda kumaliza vibaya mtoto
Huyu anatumiwa na shetani
Hapa ndipo nimeweza kutambua kuwa unauwezo wa juu wakutuelimisha wale tunao mtaka Mungu mwenyewe.BARIKIWA SANA NA MUNGU AKUTIE NGUVU
Barikiwa Sana mtumishi wa Bwana kanisa razima liingie kwenye mateso ya mpinga kristo
Bwana asifiwe mtumishi wa Mungu ktk Kristo Yesu Kazi kweli kweli
Mungu aendelee kukuongeza hekima sema Sana na Mungu yupo akupiganie.
Kaka imba tu,wakati inaendelea kumsubiri mpingakristo kwa Doctrine Hizi Atakukuta
Huyu ana hasira ya kimungu, maana tumepotoshwa vya kutosha japo approach yake haifurahishi lkn acha afanye hivyo ili tufunguke
Ndivyo inavyotakiwa ukisoma Yesu wa Biblia utaona ni tofauti na na yule Yesu wa kwenye movie,Yesu wa kwenye movie ni mpole anaingea ka zezeta flni hv kwa jinsi wazungu walivyoitengeneza picha yake.
Lakini Yesu wa kwenye Biblia ukisoma unaona alikua mjeshi aliingia hekaluni na bakora akachapa watu na kutindua meza chini juu na hata wakati amepaa malaika aliwatokea wanafunzi akawaambia jinsi alivyopaa ndivyo atakavyorudi
Sasa atarudije?ukisoma ufunuo atarudi kijejeshi tena akiwa na na jeshi lote la malaika wakiwa na farasi wa moto yaani atakuja kivita kumbuka alisema kipindi yuko duniani hakuja kuleta amani ila upanga.
So neema tuliyonayo wanadamu ni kulisikia neno la Mungu na kutubu sio kurudia rudia kutenda dhambi.
Amen
Tubarikiwe wote mtumishi mbarikiwa tu pa1.
Mbarikiwa umekurupuka sana tulia ujifunze hiyo roho itakutesa
Kweli kabisa
Machozi mengi yamenitoka 😭😭😭😭😭 nani ataniokowa na mwili huu wa kufa? Barikiwe Mbarikiwa hii ndio sababu Mungu akakuleta duniani 🙏
Kwa namna vyovyote vile mimi Joshua ninamwelewa sana na kiasi kwamba haipiti cku kusikia saut hiiii ,Mungu akubarikii sanaaaa kamanda ww ni miongoni mwa wanamageuzi duniani ,tafsir zako hazijaghoshiwa kabsaaaa cjakurupuka nimefuatilia wengi sanaaa lkn tafsir kama hizi ni wachacheee sanaaaaa dunianiii!!!
Toa picha ya Mwakasege apo
Mhubiri una wivu ninakushauri uhubiri injili ya upendo wa Bwana Y
Ukosahiitumishi
Poleni sana mnaocoment bila ujuzi wa biblia. Swali la wanafunzi kwa Yesu lilikuwa na A B C. Ukoza, anajibu
Ukoza, anajibu A, B au C? Mengi ya majibu yake kwao yalitimia huku baadhi wakiwa hawajafa. Kuna mengi anaongea vzr, ila hapangilii point, pili, hasira badala ya hoja, tatu dhiki katika maandiko aliyoyasoma ilitimizwa mwaka 70 BK wakati jemedari Tito aliposhambuloa Yerusalem. Kaka, kasome, kila kitu kinahitaji elimu. Ulichokisoma kiliishapita 70 BK. Kuna baadhi ya maneno una point lakini umejawa lugha chafu.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai, hiyo ni kweli kabisa haitakiwi kufarijiwa tu tuipiganie imani hata mwisho.
Yesu ndiye mwokozi wetu.
Mungu Baba akutie nguvu.
Abarikiwe kwa kukupotosha soma mwenyewe maandiko uujuwe ukweli
Mwakipesele unasema hii Bibilia imeletwa na wazungu kutudanganya na kutuibia madini,LAKINI UNAPOTETEA HOJA YAKO UNAIFUNGUA HIO HIO BIBILIA KUJENGA HOJA.
Mungu akuinue zaidi na zaidi,na kitu nachokipenda n mtu kusema ukweli,,wacha tuhubiri injili Yesu aokoe watu,
Cjakuelewa Mbarikiwa punguza hasira eleza vzr ujumbe wako mzuri Elimisha
Fundisho ni Zuri
Mtumishi wa Mungu nakufatilia sana tangu nikujue umenisaidia kunilea kiimani iseme kweli ndo watakatifu inatuweka huru asante kwa kunifafanulia huu unabii
Asante kwa ujumbe mtumishi wa Mungu
Amen mchungaji ,naomba namba yako
Mh baba nimekuelewa sana mungu akubariki
Ameen mbarikiwa najifunza mambo mengi sana kupitia wewe
Huyu kiumbe anapotosha tafuta watumishi walio tulia huyu Ana kiburi Cha utakatifu anajihesabia haki mwenyewe
Yesu akubariki mbarikiwa , nafuata nyayo zako nikiwa hapa Kenya
Kenya kazi unayo lakini ukifuata nyayo za baba utavunja miamba
Kill mtu asimamie wito usifanye Kama flani aligawa Hawa kuwa wachungaji Hawa manabii na kadhalika
Mtumishi ubarikiwe mungu azidi kukutumia kusema kweli
Dàaa mungu atusaidie kwakwelii, chanjo kwelii haifai, sana
Aliyenifia ni Yesu tu.. No one else
Tuko sawa tu. Hata mimi aliyepima mapapai ili kuiumbua corona feki na hatimaye akapoteza maisha yake ili makanisa yasifungwe ni Magufuli.. No one else
Hwiiiiiii lolyeee ujobhie mwana gwa KYALA, ubarikiwe sana
Msalaba ni alama ya mpinga kristo
@@seasonepisode3328 duh! Warohoni kiboko
Umenena kweli mtumishi maana hao viongoz wakubwa wa dini wanavuruga mambo,na kwa vile wanasikilizwa na kuaminiwa na wengi wako hatarini kupoteza watakatifu wa Mungu!!
Kweli kabisa
Ubarikiwe mtumishi
Hakika huu ndo ukweli wapendwa ubarikiwe Mtumishi ubarkiwe sana
Cha muhimu mtumishi wa Mungu toa mafundisho namna unavyoelewa maandiko, unavyoongea ni Kama unawafoka na kuwatukana watu wengine,YESU alisema nendeni mkawafanye watu kuwa na wanafunzi wake, mkiwafundisha na sio kuwatukana,kumbuka hao ndio waliokuombea na kukulea kiroho,tumia hekima na sio hasira,
Yesu aliwaita vipofu, majoka waliomlea kiroho. Je mwingine akipotoka ni mwema kuliko wale? Lugha inayotumika ni ya kukufanya ushituke ama uone ukubwa wa kosa. Ni kiburi kinachokufanya utafsiri maonyo kuwa ni matusi.
HUO NI MTAZAMO WAKO!.
Shetani siku zote hujifanyaga Kama anawahurumia watu kuliko aliye waumba! Hivi umesoma namna Yesu alivyokua akiwafanya watu kua Wanafunzi wake? Kama hujui kamuulize Petro
@@modestapeter2997 😂😂😂petro alie fanywa kuwa mwanafunzi aliitwa (SHETANI) na haikutosha akaa ambiwa arudi nyumaaa nahapo atasemaje???
Sisi tunataka tusikie ujumbe wako shida unaweka maneno mengi lakini still unachelea kusema nini wamaanisha. Hili ni bando nifanye nijifunze niendelee na mambo mengine. Try to be specific and not too general
Mungu akuweke miaka mingi zaidi na usigeuke nyuma maana na wewe utakuwa JIWE KAMA WALIKUBALI KUGEUKA NYUMA WAKAWA JIWE mtumishi kama wewe huwa wanazaliwa mara chache Mungu akubariki sana
Mbarikiwa, Watu ni wavivu kusoma Neno la Mungu na vipofu halisi. Rahisi kupotoshwa. Move on.
Aseeee Nakosa lugha nzuri...inshort najuta kutoa view yangu ....
Unajuta bure. Kwani haipunguzi wala haiongezi kitu.
@@Mbarikiwa_Mwakipesile wasema maana hujui taratibu za youtube
Tena mtumishi nasoma comments za wengine Naina hawakuelewa unaongea nini.ila haya yote uliyatabiri mwaka Jana .kwenye ule wimbo wako uliyo mwimbia Rais , Magufuli.nasasa ule mnyama uliesema sema amekwisha fanya vyake.kwa Mtetezi wetu.heri wafao ktk bwana.barikiwa.
Wanaelewa lakini akili zimelemazawa na wachungaji wanyonyaji hata bible isaya 56:10 inasema walinzi wake ni vipofu nao hawana marifa hupenda usingizi wanachoya hawashibi kamwe na hao ni wachungaji wasio weza kufahamu neno
Atapingana na wakristo wakweli na tayari ameaza kupinga wakristo wa kweli
Na bathi ya. Wakristo wakweli wametekwa kwa pesa zake ,
Kanisa litapita kipindi Cha mpinga kristo na wakristo wakweli watakataliwa na bathi yao kukatwa vichwa ,Kama Baba zetu wa Imani waliokatwa vichwa,
Wakristo wakweli msiogope maana sio mda mlefu ,unabii unatumia Kuchukiwa na Dunia,
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
BASI HASIRA YA NINI????FUNDISHA SOMO LAKO TU.
Kwakweri baba asante Kwa ujumbe hii siwezi kutetemeka kwaduia hii ntafia mukononi wamungu mimi
Fukapunonge mbarikiwa lipuaaa wewe ni sauti ya wengi
Theolgy inatokana na neno theory yaani ni vitu vya kufikirika yaani vya kudhaniwa na si vya kweli na ndo mana wahubiri wengi wanaingia vyuoni wakiwa ba akili na wanatoka wakiwa wamechanganyikiwa.kuhubiri ni wito sio kutoka kwa Mungu na ndo maana huezi kwenda chuo ukatoka kuwa muhubiri sababu mtu anahitaji Roho wa Mungu kutafsiri kilichoandikwa kwenye Biblia na sio ufahamu wa kibinadamu.Vyuo hutengeneza wanafunzi na ni Mungu mwenyewe mwenye uwezo kutengeneza Wahubiri.
Kanisani ni sehemu pekee wahubiri wanatakiwa kumuandaa mwanadamu kwa ajili ya maisha ya jayo baada ya ulimwengu huu kwa kutengeneza usihano wao na Mungu wao uwe mzur.
Kuanzia kitabu cha Mwanzo mpaka kitabu cha Ufunuo wa Yohana manabii na mitume wote waliotumwa na Mungu kwa ajili ya kuwaonya wanadamu kuacha uovu ili kuiepuka ghadhabu ya Mungu
Serikali uendelee kupiga vita uvutaji wa bangi maana athari yake ni kubwa, pia mshikeni Sana elimu watu wa Mungu na wanaotafuta umaarufu kupitia watumishi wenzao waendelee kuwajibishwa.
Nenda kasome chuo Cha biblia ukimaliza Rudi sikiliza haya unayoyasema, utatubu mwenyewe bila mtu kukuambia utubu, mtu wa Mungu hawadharau watumishi wengine.
Samahani mtushi Wa Mungu Mbona unatumia muda kuwasema wenzako unaonaje huu muda ukautumia kuwaambia watu waokoke waache dhambi
Hao nitakaowaambia waokoke sio wenzangu?
Endelea ndugu yangu. Natamani kuwasiliana nawewe .
Injilii iliyonyooka....kazi yako imenihamisha sehemu nakupenda baba..Mungu azidi kukupa afya njemaa
Mh,nimekusikilza mtumishi wa Mungu. Kabisa nimekupenda.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Ninakuelewa 100%
Safi sana hii mtumwa wa Mungu aliye hai
Nitamkie neno la baraka tu baba angu nakupenda naku amini natamani siku nikuone uni shike tu kichwa changu
Unaweza tumia ukali kufundisha lakini tumia lugha ya staha bas kwani wanakuskiliza watu tofautitofauti
Watu ni walewale isipokuwa huyu ni mnene, mwingine mfupi n. k. Ila wote ni watu na wana roho ya Mungu hata kama ni wapagani.
Lugha Kali kwa kuwa anakemea dhambi. Hata Yesu alitumia lugha Kali Kama vile Enyi wanafiki,, mmefanana na makaburi, wengine aliwaita kizazi Cha nyoka, Cha zinaaa nk. aliwakemea Hadi wakapandwa na hasira Sehemu nyingine wakaokota mawe wampige. Hakuna staha kwenye uovu.
Mh mtawatambua kwa matendo yao ,maana Kama vitabu vimeandikwa na wazungu kwaajili ya nia zao halafu mtu asome hichohicho na kusema Kuna 1 2 3 mh ,sasa unasoma Tena hayo hayo, Kuna sura ya ulimwengu Bora kumhubiri YESU kuliko Mambo ya ulimwingu
Mmmh. Hivi unaelewa kitu hapo mtumishi?
Huyu naona amevamiwa
Mtumishi wa Mungu, naona kama uko too general badala ya kuwa specific, pia ujumbe wako una opinion nyingi kuliko facts. Nashauri pia upendo uwe lengo kuu katika kila unalotaka kulifanya. Omba pia hekima na unyenyekevu ktk yote! Zaidi ya yote, kumface mtumishi ambaye kwa mtazamo wako unahisi anakosea na umrejeshe kwa upendo, badala ya kutumia social media unless Roho anakushuhudia tofauti. Huo ni mtazamo wangu mtumishi, nisamehe kama nitakuwa nimekosea
Hakika ni ushauri mzuri sana
Mchungaji wangu,Ahsante kwa maneno, lakini ni vyema ukajua chukizo ,la urabifu nini,pia vizuri uelewe kifo cha yesu hakukimpa ushindi shetani,wala kanisa la Yesu halitishwi na shetan, jifunze pia nini kilitokea wakati,wakati hekalu kuvunjwa.kanisa halitanyakuliwa mpaka shetan,akose nguvu kabisa,
Mhubiri, wewe ndiyo kipofu hujui lolote. Soma 2 Theso. 2:1-7
@@myself4128 😂😂😂😂😂muulize
nakuelewaga Sanaa mtumishiii wa Munguu
HEKIMA YA MUNGU YAHITAJIKA SANAAA.
Umesema hujasoma ndio maana unachanganya Mungu na siasa
Uliyesoma umechanganya Mungu na utapeli.
Aaah!!aaah!! kweli wajiitao wahubiri wanapaswa kukaa chini na kunyenyekea ili wapate shule itakayoleta UKOMBOZI wa roho za mamilioni ya watu waliodanganywa kwa habari za KUNYAKULIWA kwa kanisa kabla ya DHIKI na mafundisho mengine mengi yaliyosababisha mgando wa mawazo na fikra za waumini wao
Biblia ni muhimu Sana kuisoma,
Huyu mtumishi mzuri Sana lakini anamisimamo binafsi! Lakini hana msingi sahihi wa neno la Mungu ndiomaana anaikandia theolojia ,
Nanimegundua saizi ndo anazidi kuharibikiwa ,
Unyakuo upo!
Ufunuo 3:10 hapa ndipo Biblia inazungumzia kunyakuliwa kanisa, kama yeye atabaki kipindi Cha dhiki kuu sawa lakini kiukweli sikutegemea kama Mwakipesile kafikia level ya upotofu kiasi hicho
Nakuelewa sana mkuu mungu ni mwema
Aliyetufia ni Yesu tu.
Na tupo nyakati za mwisho!
Corona ni gadhabu kutoka kwa Mungu!,ili tumrudie
KWELI.HATA YEYE ALISEMA.mtanikumbuka kwa mzuri na si kwa mabaya
Duuuuhh jamani Mungu atusaidie!!!
Neno:mpumbavu,mjinga,ushenzi,vipo kwenye Biblia.Cha msingi.tuchukue,kinacho tufaa kama wakristo. Lakini kanisa tufike mahali tuangalie tumetoka wapi,tuko wapi na tunaenda wapi? HASA viongozi!
Ameeeeen umbarikiwe semasana wasikiye
Nimeishia 3:07 kati ya 53:10 dk niliposikia tu Magufuli alikuwa anazuia mpango wa mpinga kristo kuitawala dunia nikaachia hapohapo nikaona nisiendelee kuumiza Mb
Ungejua maana ya chanjo na kwa nini wanaipgia debe ungemuelewa huyu mbarikiwa anachoongea ila kwa maguful hujamuelewa na mbarikiwa huwezi kumuelewa hata kidogo
Mungu azidi kukutunza Mubalikiwa kwani uliyosema nitakweli waache wenye mioyo migumu wakubeze ila Mungu atawalaluwa malamoja kwa kukaidi
Shika sana ulichonacho mwovu asikunyang'anye
Ni ugomvi????lihubiri neno sio kusema wengine
Safi mtumishi mungu akubariki
Mtoto wa yesu hubiri injili angaliaga wenzio wakina mtalemwa wanafaliji mamilion ya watu
Hallelujah MUNGU akubariki mchungaji
Wewe ni kinywa cha bwana yes duniani kama shetani anakinywa chenye nguvu duniani, mungu muumba mungu Na inch na vyo ote viujazavyo ulimwengu anakosaje kinywa!!!?. jipe moyo mkuu songa mbeele Bwana yu pamoja nawe mwenye masikio na asikie mm nimekuelewa.
Kweli baba mpinga Kristo atajipinga mwenyewe.hao walituharibu sana sasa tumeshtuka .
Wewe soma mandiko wacha kufeata kila mhubiri
@@millicentayangokunting3728 wahubiri wenu walituacha tukiwa wahuni wa kujichua sana na kutongoza mabinti, pamoja na wizi na kuongea uongo sana. Wewe huwezi kuzibadirisha kwamba nisimuatea KAMANDA HUYU, mbarikiwa mwakipesile NI SAUTI YA MUNGU DUNIANI, mimi ninae andika hivi sikuwa na maish ninayo ishi kwasasa kabla yakuelekea uelekeo huu wa mhubiri huyu.
VIONGOZI WENU NI VIPOFU WA VIPOFU. WOOTE MTADUMBUKIA SHIMONI Msipo elewa na kubadiri njia zenu eenyi wana wa MAJOKA Mlio laaniwa.
Karibu kambi kuu NA UTAELEWA TU.
@@millicentayangokunting3728 we mwenyewe umekfuata Mbarikiwa hapa! Halafu mwenzio unamwambia asifuate kila mhubiri
Endelea kusmsubiria mpinga KRISTO brother uone kama utatoka katika eneo hilo
Inawezekana kabisa hatawewe ukapotea kwa sababu hutembei na wito wako umewabeba watumishi wezio nakuwaona wao wamepotea wewe uko sahihi mungu akusaidie utambue wito wako hubiri Kama wewe acha kuwasema wezio unaharibu kazi ya bwana
Isaya 58:1-2
Nani amsemi mwenzie? Si ungeacha kwanza wewe ili uonyeshe mfano? Mbona wewe umenisema!!!!
@@Mbarikiwa_Mwakipesile 😂😂😂😂
Ndugu yangu watumishi wanashangaza sanaaa ivi kuna haja gani yaku attack watumishi wenzio.😭😭😭, Na hakuna kitu kibaya kwenye maisha Kama kuamini unajua kila kitu😭😭.but all in all Injili Isonge mbele 🤝
@@williamgeorge150 🤣🤣
Yeyote anae pambana na kuchafua legasi ya magufuli ili aonekane wa maana, ajue kwa kasi ileie ajichafua mwenyewe.
Sasa, ili uonekane wa maana fanya makubwa zaidi ya aliyofanya Magufuli huku ukiwatetea wanyonge na sii kuwanyonya kwa nguvu.
USIJARIBU KUKATA TAMAA KATIKA. UTUMISHI MAANA UMEITWA ILI UTUMIKE KATIKA SEHEMU HIYO.
Ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU hakika uyanenayo ni ukweli kabisa
Nimekuelewa sanaaà mungu akulinde🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Ameen hii imeeleweka kabisa kabisa
Amina mimi nilikuwa pamoja na magufuli
Mbarikiwe unafoka sana mbona nakuelewa
Hivi bila kumsema mtumishi neno halifundishwi jaman fundisha neno sio kumsema mtumishi mwenzio sio k uhesabiwa Hali jamani
Makanisa mengi sana ni biashara kubwa.na wachungaji wake ambao ni feki.wakidai kwamba ukiwalosoa utalaaniwa wakati si kweli.Ahsante Sana ndugu.wajinga ndio waliwao
May God of heaven bless you .
I support you 99%
Asante kwa ujumbe no vizur kufundisha wewe kama wewe unavoijua biblia na unaavoongozwa na Roho mt Bila KU attack wengine af punguza hasira kwani unatufokea tunakusikiliza😂😂😂😂
Kwani nani alihubiri Yesu atakuja kunyakua kanisa kabla ya mpinga Kristo?? Maana naona mtumishi anafoka sana.
Wachungaji au wahubiri na hata uayezungumza Sasa, ni vizuri ukatuhubiria Injili kuliko kuzungumzia mwingine. Mkifanya hivyo, hakuna atakayemkosoa mwenzake nasi tutafaidika kiroho na tutapenda kuwasikiliza.
Mchungaji kauli zuri zinakufnya ueleweke lakin hayo masimango na kuwadharau wezio hata km wewe unajua zaidi hiyo haikubliki unafok km ugomvi!!??homa hiyo si zuri
nani mkweli sas wew mwenyew unasema theologia hukusoma then unakosoa walisoma
Haya makanisa ya Leo ni mataasisi tu. Ya kukusanya fedha za waamini kwa manufaa yao
Bado hajalielewa neno,anahitaji msaada