PART 2: BAHATI BUKUKU AWAULIZA WANAWAKE, MWENYE 'V8' NA MCHOMA MAHINDI ATAKUOA NANI? | HARD TALK
HTML-код
- Опубликовано: 7 сен 2022
- PART 2: BAHATI BUKUKU AWAULIZA WANAWAKE, MWENYE (V8) NA MCHOMA MAHINDI ATAKUOA NANI? | HARD TALK
HII ni sehemu ya pili ya mahojiano ya Mtumishi wa Mungu Lilian Mwasha na mwimbaji wa injili, Bahati Bukuku, kwenye kipindi cha Hard Talk..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline - Развлечения
Global App ni ya kwanza kwa BREAKING NEWS🗞, MICHEZO⚽ na BURUDANI🎷 *DOWNLOAD sasa👍
iOS 👉 apple.co/38HjiCx
Android 👉 bit.ly/38Lluc8
Jameni niko Kenya wapi likes za huyu mteule wa mungu,bahati bukuku umegonga ndipo!
Bahati bukuku mtumishi wa mungu nahtaji mawasiliano yako wewe ni mshauli mzuri sana napenda kujifunza kupitia wewe
Kweli ndoa inamuhitaji Mungu hii ni point kubwa sana.
I didnt know if Bahati is this intelligent...You talked the only truth
You can say that again
Dada Lilian kama unajua jinsi unavyotitengeneza katika kipindi hiki,we Acha Tu ,watu unaowaleta Kwa kweli ni madarasa muhimusana kwetu .asante sanaaaaa Sana Sana kama isingekua tambu ungekibadilisha jina kipindi ukakiita nawatengeneza maana kwakweli unatutengeneza Sana Allah akubariki
Nilisikia sauti ya bahati na Lilian mwasha nachanganyikiwa kwa muda😭🙏🙏🙏natamani nionane na nyie uso kwa uso,mungu amewainua Sana moyo wangu unazimia Sana juu yenu,muishi milele mungu anawaona🙏🙏
The interview was so fantastic
Be blessed my lovely mom
Bahati bukuku😍😍
Umeongeya ukweli wote dada Bahati Mungu akubariki
Nimependa hii interview Mungu akubariki mama Bukuku😘
Woow wonderful,this woman is a woman full of wisdom am encouraged by your message my sister be blessed
Mimi mwanangu akiniletea mwenziwe mwenye heshima na adabu inatosho,utajiri usomi siyo muhimu anaweza kuwa msomi akakosa utu.
Nimebarikiwa sana pia nimecheka sana, ubarikiwe mtumishi wa Mungu dada Bahati bukuku
Nakupenda sana Bahati wangu Mungu akutunze kipenzi changu 😘
Ila Mungu iko very strong kwa alie washagua, nyieee sikieni maneno anayo towa kinywanyi da Bahati uwii , God you’re so good kwa wanao kuamini nakukutegemea , Asante dada Liliane Ubarikiwe pia 💕👏🏾
🙏
Somo nimelipenda sana asante dada Bahati kwa somo na dada Lily
Nawapenda sana Dada zangu,hayo yapo saana kwenye ndoa tunayapitia mnoo Mungu atusaidie
Am always here to take notes, more love women of God🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
Mnatufunza mengi sana ahsante sana Dada Lilian na Bahath, Nawapenda mnooo ♥️💞🥰
Love you girl doing good job and help us
Leo nimepata chakula cha roho na sitakufa kwa dowa thanks sana bahati
Aki Bahati wewe unavyo jibu ni kama unafanya comedy vile ..akika umenichekesha sana. na nimejifuza mengi..zindi kumbarikiwa..Lillian be blessed too
Deep, very powerful, much ❤️❤️❤️❤️
Woman of wisdom ❤❤
MAMA BAHATI ni mtu muimu sana maishani mwangu MUNGU mbariki sana mama huyu nimpendae kwa sikimapenzi bali kwa maono na mashauri yake ktk neno la MUNGU kwa nyimbo na mahubiri...
Mama Bahati ana hekima sana, mimi nimekumbuka mwaka wa 2009 nilikua kituko nilipotoka kwa ndoa juu ya kuwachana na mme wangu, I thank God wapendwa wengine waliponiona mwenye Dhambi Mungu akinipa nguvu ya kuendelea Leo niko Sawa bila huyo mwanaume, ningeendelea kukaa ningeaga Dunia kitambo
Nawapenda hawa mama Mungu awatangulie katika hii huduma
I Like this mama Bahati Bukuku jmn so much brave and intelligent , thanks Mwasha kwa kutuletea such a blessed servant of GOD
M/MUNGU Awabariki Saana Wapendwa Wetu 🙏🙏🙏
I laughed the whole show😂😂😂😂congrats dada mwasha i wish to do the hard talk with you,tho am not a famous person ❤️❤️❤️
Duuuh! hii ni babu kubwa sijawahi kuisikia.nimeipenda sana hii hard talk ya leo.
Dada Bahati MUNGU akubariki sana umeongea point sana zaidi ya sana
Ukweli kabisa asante mungu akubariki sana
Congratulations mtumishi wa Mungu bahati bukuru...umeogea points...
MUNGU awabaliki Sana MAMA zetu BAHATI BUKUKU na LILIAN kiukweli mnanibaliki na kwa kipindi hiki mmeponya ndoa za watu wengi na mioyo ya watu wengi.
Aki nmecheka🤣🤣🤣🤣🤣barikiwa sana dada Bahat Bukuku
Asanteni sana mimi nilijaribu ndoa nkashindwa nilivumilia nika fika mwisho nkaamua kutoka sai nko saudia natafutia watoto wangu na sirigret kutoka kwa ndowa wacha mungu anipiganie
Jameni. Unanibariki. Sana. Dadangu. Mungu. Akubariki
Baati bukuku namependa uvaaji wako . Lakin pia na mtangazaji nimempenda sana na ana tabasamu zuri. I love you kwa wote❤❤❤❤
Asante sana kwa ushauri mwema. Mungu awabariki
Umenipandisha kiwango kingine mama Bahati🙏🙏🙏 Mungu akubariki sana mama
Amina mama
God bless you the woman of God
Daah!! Bahati umeongea point saana
Mungu nipe hekima na upendo nifike na mke wangu mama happy tufike mbali tumetoka maisha Magumu Sana
Gods with you bahati ,, from Kenya . U say the truth
Ubarikiwe Mtumishi wa kwa Majibu ya kihekima
Mama Bukuku umenigusa sana mungu akubariki
Love u Lily and Bahati
great advice mama bukuku
Nawapenda Sana mungu aendelee kuwatunza ili mtupe madini adimu kama haya❤️❤️❤️nacheka huku nalia
Ameena aleluya
Weeeh mungu wangu kuwa na huruma juu ya maisha yangu.
Iyo kwer kabisa 🤝🤝🤝🤝🤝🤲🤲🤲🤲🤲🙏✍
Bahati wewe ni mama Wa Busara sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Barikiwa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amazing interview nimewapenda mno. Mbarikiwe sana
Ubarikiwe kwa ushuuda.
Barikiwa Sana mtumishi nakupenda sana
Nakupenda Dada bahati & Lilian mbarikiwe sana
Tena kwenye maisha usiombe ukakutana na mume au mke alie soma alafu akaacha elimu shule akachukua cheti kuja kutishia watu mtaani ndugu utakoma yani hana utu hana huruma nafasi ya mungu aipo utajuta heri ukutane na muuza mkaa mwenye utu utafuraiya maisha
Am pam watching from saudia l really like the way i talk be blessed dear
Salamu kwa mtumishi wa Mungu mama Bahati jamani
Asante kwa fundisho mama ndivyo ilivyo Kama umeniona
How sweet 🎊
Asanteeee sana bahat nimepata kitu hapa
umeongea point sana Mtumishi Bahati Bukuku
Bahati anazungumza kisela sana😀😀 napenda namna anavyozungumza...♥️
Sana afu points
Kweli ndoa n Mungu relationships pia inahitaji Mungu
Bahati Bukuku is so funny. Thank you Lilian for this.
Ubarikiwe sana
Hapo umesema dadangu yaani ukweli utupu waaa ubarikiwe sana na bwana
Following up from Kenya Nairobi
Wisdom from Bukuku
Amen amen
Ameen ameen
Dada Bahati nakupenda sana na unaongea point za kweli
Nakupenda sana bahati bukuku
She's so funny 😁 😂 😀 I love her 💚💚💚💚💚
Kweli kabsa
Wisdom
Asante maman yangu from Burundi. Nakupenda saana
I'm walking in the same difficult of choice that mom bahati bukuku said 🤔 and last night when I prayed I have asked God why are you tempting me? 😭
May God hear your prayers
Umenibariki Dada bahati
Nikweli kuvumiliya nwanaume akipata anakuona wewe siwa samani,nikweli mimi ya menikuta dada haudaganye
Hata Mimi dear,nmeanza na mwanaume chin mno tulivopata akauza kila kitu na kuniacha mpk imepita miaka miwil ss bado nna machoz ctak mwanaume masikin
True
Daah da bahati Mungu akueke😂😂😂
The Best👏
Kweli kabisaa mtumishi wa Mungu bahat mm niliwah omba Mungu anipe mchumba ilikuja pic ya mtu mweny Hali ngumu na kavaa kawaida, na alikuj kutokea mwingine yeye alikua vizur siku ya siku alikuj huyu mwenye maisha magum na nilimkata baadae nikamfuata aliekua amesoma mwisho wa siku nikaja kuambilia maumivu, siku ya siku nikaingia kwenye maombi nilionyeshwa Ile pic ya Yule maskini kuwa nilimktaa na ndio alikua mume wangu Acha kabisa Mungu ana makusudi anapokupa maskini
Pole sana ndugu
Shukrani sana ❤❤❤❤❤
We yesu hangalia ndoa yangu imekuwa ndoa ya machozi Na mapito magumu kama ya Dada huyu bukuku.yesu inua macho yako uturehemu.
Poleni sana
Nawapenda bure apo studio dada bukuku anatema point tu mbarikiwe
Barikiwa
Nakuelewa sana pst bukuku
Iyo ni kweli kabisa
Dada bahati barikiwa sana
Daaaaaah Mungu atu sadiye wa dada Ambao atuja olewa
Tutafute fulusi tu7
Woman full of wisdom
Nimefurahi sana
Kweli inasaidia saana❤
Ameen
Kweli kabisa Da bahati, wanaona hadhi ya mke alievumilia shida, aliekalia bomba la baiskeli hana hadhi. Ee Mungu tusaidie.