ALIYESABABISHA VIFO VYA WATU SABA ADAKWA GESTI/ ALIJIFICHA KUKWEPA SHERIA/ MKAMA ASIMULIA TUKIO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro, limefanikiwa kumtia mbaroni Samsoni Uwingirimanya (35), dereva na raia wa nchi ya Rwanda ambaye aliondoka eneo la tukio mara baada ya kusababisha ajali iliyotokea Mei 14, 2024 na kuua watu saba.
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #polisitanzania #morogoro #ajali

Комментарии •