"MASANDUKU YA KURA MNAYAWEKA PORINI" |ATAJE WALIOMTUMA NDANI YA SERIKALI| UCHAGUZI WETU SIYO WA HAKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 114

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 2 месяца назад +23

    Hao ndio watekaji wakubwa hata kaka yangu walimteka wakamficha kituo Cha police tazara kwa bahati tulibahatika kuona piki piki yake imefichwa pembeni ndio tukawabana lakini mwanzoni walikuwa wamekataa kwa hiyo ndani ya serikali magaidi wanaoteka watu wako humo humo na wanalindana wao kwa wao wanafanya matukio ya kigaidi ya kuteka watu halafu wanalindana shenzi kabisa hao

  • @Edwincharz-f3w
    @Edwincharz-f3w 2 месяца назад +1

    Maulied kitenge💯💯 mmenusuru sekta ya magazeti,umeinspire vijana wengi,,,, na na nafikiri ujumbe wa hii video upo mwishon kabisa"iii iishe"

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 месяца назад

    Watumishi wa Mungu unaendelea. Na maombi ili Mungu awafuchue wanaoteka watu na kuwaua na Mungu atashughulika na kila mmoja na kuwaweka hadharani

  • @JohMwita
    @JohMwita 2 месяца назад +1

    nawakubali sana saiv mnafunguka kila siku nawafatalia mko vyema sana

  • @SaidiSaidi-o6r
    @SaidiSaidi-o6r 2 месяца назад +1

    waache waseme tuzidi kujua Lana ya watanzania inaaza kuwatafuna maombi ya maskini mwenyezi mungu anaaza kuyapokea

  • @Thekidsknowledger
    @Thekidsknowledger 2 месяца назад +1

    Asanteni kwa uchambuzi watu wanguvu

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 2 месяца назад

      Siku hizi kitenge Kawa nag akili ,kashasoma alama za nyakati 😅

  • @MohamedKitenge-o9j
    @MohamedKitenge-o9j 2 месяца назад

    Wasafi oyeeeeee

  • @WitnessChristian-t7i
    @WitnessChristian-t7i 2 месяца назад +1

    G.Hando yupo wapi?

  • @emmanuellucas8584
    @emmanuellucas8584 2 месяца назад

    🧠Kila kiumbe kilichoumbwa kinamuomba Mwenyezi Mungu kwa imani zake chenyewe tuitafute nchi ya ahadi..

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 2 месяца назад +1

    Hawa watu wamewafanyia watanzania uhalifu wa kutisha iundwe tume nchi uonevu umefanyika sana na

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 2 месяца назад +7

    Mungu atabaki kuwa mungu tuu nape alisema likafunikwa kumbukeni nape alikuwa wazili kiongozi mwandamizi ndani ya serikari haya na mkuu wa wilaya nae kasema kapita mulemule kumbukeni mlikuwa munasema magufuli alipita sababu ya kupendwa lakini chama chake kilikwapua ushindi kwa mujibu wa kauli ya bwana dc kumbukeni 2015 marehemu mzee Rowassa alishinda lakini watanzania mnajua kilichotokea matokeo yakageuzwa kwa mujibu wa kauli ya nape kwamba ushindi unategemea anayetangaza sasa hii ni aibu kubwa kwa chama tawala kinachojinasibu kwamba kinakubalika *ndio maana kinakataa katiba mpya *tume huru ya uchaguzi *pia kinajitahidi kukidhibiti chama cha chadema maana ndio chama kinachokubalika

    • @robertvincentshayo
      @robertvincentshayo 2 месяца назад

      Hakuna mahali aliposema walikuwa wanaweka masanduku ya kura porini. Amesema kwamba mnakumbuka kuna watu walikuwa wanapotezwa huko maporini. Hii ni kweli wagombea wengi wa upunzani walipotezwa kimya kimya na wengine waliokotwa maporini wakiwa wamekufa. Kwa kauli hii inaonyesha wazi serikali ilikuwa na kikosi kazi kwa ajili ya kuwamaliza wagombea wa upinzana ambao walikuwa wanakubalika na wananchi ili kuhakikisha wagombea wa ccm wanashinda au kupita bila kupingwa. Halafu pia hili jambo siyo jipya sababu viongozi wengi wa serikali walishatoa hayo matambo akiwepo Nape Nauye. Raisi pia alikiri kwamba uchafuzi ambao ulitokea 2020 hautajirudia tena sababu ya 4R sasa nini kinachowashangaza!!!!

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 2 месяца назад

      Maguful haijawah shinda Kwa haki hii me nilibishana na watu mbk kesho ntabisha,na ndo hya yanayoendelea

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 2 месяца назад

      user-uj5wg9mm2t Uchagzi wa mwanzo sawa alibebwa lakin 2020 alimgalagaza vbaya hyo tundulisu

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 2 месяца назад

      ​@@LindaMbilinyi-n3nLile lilikuwa katili sana kama shetani, nandiomaana Mungu akaamua,yake

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 2 месяца назад

      ​@@personpeter22212015 magufuri aiiba kura na 2020 alifanya uchafuzi tu na siyo uchaguzi

  • @ibrahimmuzuri7868
    @ibrahimmuzuri7868 2 месяца назад

    Luka 12:1-5.

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 2 месяца назад

    Nawakubali sana hawa jamaa ya wasafi wana ujasiri sana nasema hawa ndo wazalendo nchi hii sasa sio salama kwa raia wasema ukweli kumbukeni Ben saanane naMawazo na Azori gwanda na wale ambao sio mashuhuri mamia au maelfu waloipotea " hawa wote wameangamizwa kinyama na hawa mabedui

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 2 месяца назад +1

    huyo ni DC imagine CCM na serikali yenu acheni utani na hili Taifa ninyi wakati wa uchaguzi mnaiba kura nakufanya ubabe wa kila aina ikiwemo kuumiza watu..alianza kusema Nape goli la mkono,baadae akasema lazima washinde tu kwa sababu wanaiba kura kwa nguvu,na sasa huyu,halafu mnajizima data kuwa hamuelewi kuwa DC wenu huyo anaongea nini..Mungu yupo atawafuta woteee kwa jina la YESU wanazareti,taifa hili ni la Mungu

  • @isaackmwakapala8663
    @isaackmwakapala8663 2 месяца назад

    Tunasikiriza ,pigeni kazi, ila msisahau Tena huo ndio wajibu wenu.

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 2 месяца назад +6

    Huyo DC kafukuzwa kazi sasa CCM mbona bado mpo nae hamumfukuzi uanachama?😂 au bado mnakazi nae??😂😂😂

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 месяца назад

      Hawawezi kumuumiza kwa sababu mliwasadia viongozi wote kuanzia juu mpaka chini

    • @samuelseverua
      @samuelseverua 2 месяца назад

      Anaandaliwa cheo kipya cha u RC

    • @dianaleo6067
      @dianaleo6067 2 месяца назад

      @@samuelseverua hahahaaa

  • @josephmallya5525
    @josephmallya5525 2 месяца назад +2

    Zembwela ashaelawaga 😂

  • @muddyausi8470
    @muddyausi8470 2 месяца назад +3

    Wala. haina. haja. ya kimpeleka. popote. kwanza. kumshukulu. Mungu. kwa. hilo. alilosema kuendelea. kumlilia. Mungu. tu. yeye. ndo. atapambana nao. cc. hatuwez

    • @gamc773
      @gamc773 2 месяца назад

      Kabisa yani CCM ndio mwisho wao uko jiani

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 2 месяца назад

    YESU alisema kilaliloko sirini litafichuliwa saa imefika

    • @Shalom803
      @Shalom803 2 месяца назад

      Mapambazuko yanakuja hayako mbali😂

  • @assadmajaliwa2524
    @assadmajaliwa2524 2 месяца назад

    Ni maoni yangu
    Kuwa mnapokuwa mnajadili mada kama hizo msisome kama watu wa mipasho
    Simamieni muktadha wa habar kulingana na muktadha wa tukio.
    Sijaona kama kuna lengo ka maudhui hayo kuajibisha ya kushinikiza wahausika kuwajibishwa.
    Ni maon yangu tu

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 2 месяца назад

    Kumbukeni kauli ya kwanza amesema,, mimi nijasili kwer,, porini nilishiriki,,sasa nini.

  • @marwasaid8283
    @marwasaid8283 2 месяца назад

    Mteuzi wake, kamteua mtekaji wake

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 2 месяца назад +5

    Mm Hata mnitenge niko tayari.Nalia na Magufuli,ambaye Serikali yake ndiyo muasisi wa dhuluma.Tena uchafu mkubwa

    • @corporatethugsent7380
      @corporatethugsent7380 2 месяца назад +2

      Hakuna anae kutenga wala mwenye kudiriki.ni ukweli usio pingika maana haki na dhuluma vina vinatenganishika.nikweli alimwaga damu isiyo na hatia

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 2 месяца назад +2

      Ndugu huyajui tu, ila hayo mmb yapo kabla ya Magu wakati wa Magu na baada ya Magu na hayatoondoka mpk dunia inaisha. This is Africa, so sad😢

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 2 месяца назад

      Kwa uchagzi wa 2025 lowasa aliibiwa ushindi ila 2020 alishnda licha ya kuiba ila alishinda

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 2 месяца назад

      ​@@personpeter2221magufuri alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuonekana anakubalika,aliua wapinzani na kuteka, 2020 Kila Jimbo CCm walishinda. Je kwa ushindi wa dhuluma kama hivi wanavolopoka? Lakin sisi wapenda haki tunasema asant Mungu kwa kutenda kwa mapenzi Yako,mwanaharamu yule kutuondolea

  • @mukhsinnurdin9162
    @mukhsinnurdin9162 2 месяца назад +1

    Nawapenda sana mnatufungua akili mungu awabariki

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 месяца назад

    Ccm wana sir nying sanaa na tujiandae kujua meng mchawi bando😢

  • @florianmapera4323
    @florianmapera4323 2 месяца назад +9

    Nape nae alisema habari za maporini

    • @gamc773
      @gamc773 2 месяца назад

      Siku ya kufa kwa CCM imefika matusi kumtukana JPM ndio majibu ya Mungu

  • @PatriotBee
    @PatriotBee 2 месяца назад

    Ila nyie vijamaa mnashikilia mpaka kieleweke😂😂😂

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 2 месяца назад

    Mbona mnakwepa mnakuwa na maswali mengi kwani serikali inaongozwa na wakina nani mbona jibu lipo wazi😂

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 2 месяца назад

    Intelejensia ya polisi iko wapi? Au inasubiri chadema

  • @SebastPolepole
    @SebastPolepole 2 месяца назад

    Mi ni mpiga kura nimeshutishwa na huyo DC. Swali langu. Je kweli kutumbuliwa tu inamtosha huyo DC? Je maneno aliyosema alikuwa anaongea na mtani wake? Ila namshukuru sana Mungu kila atendaye dhambi hatafanikiwa. Nawaomba wanasheria huyo DC afunguliwe mashitaka. Kwanza uhaini na mchochezi na kauli yake aje athibitishe huko porini waliua watu wangapi? Naomba usapoti ya kufuatilia jambo hili MPAKA kieleweke

  • @DaudiSanga-m5o
    @DaudiSanga-m5o 2 месяца назад

    Mwisho wa ccm umeanza kutambulika kwa kuanza kuropoka ya silini eemungu endelea kutoa uuizi waliokuwa wanaufanya

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 месяца назад

    L ahalalbaari ishawafikia kila mtu atalopoka kama nape na bado

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 2 месяца назад +2

    Mbona mnazunguka mbuyu mbona mwamba yuko sahihi anatoa ya moyon

  • @Hongkong-765ul
    @Hongkong-765ul 2 месяца назад

    Et ulipoteapote hp katkt hadi uwe na d 2

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 месяца назад

    Wakat wa Mungu huu acha waropoke tujue yote wasibakize hta moja😂😂

  • @DismasSenya-h1r
    @DismasSenya-h1r 2 месяца назад

    Nyiewatangazaji pigeni kelelemnavyoweza lakinikumbuka amesema mamboyao yanafanyika kwenye mapori kwautaratibuhuo hatauchunguzi utakua wamaporini sisiwenyekuchagua tujiongeze nenda namoja kichwani

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 2 месяца назад

    Hao washkaji wawili haooo nyuma mbn wanahofu

  • @PaulMsema
    @PaulMsema 2 месяца назад

    Kesi ya tumbili unamperekea nyani

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 2 месяца назад

    Bila mikelele huwezi tangaza inakera nashindwa,kuendelea kusikiliza

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 2 месяца назад

    Kweli hii kauli ya huyu DC imeharibu kabisa muonekano wa CCM!!

    • @francismomo7067
      @francismomo7067 2 месяца назад

      Hilo linajlikana sema tyuu Mungu anafanya kazi Kwa wakati wake.....ccm sio...

    • @philomenastephen3364
      @philomenastephen3364 2 месяца назад

      HAIJAHARIBU MUONEKANO. KAULI YA DC IMETHIBITISHA KILE WANANCHI WALIKUWA WANAKISEMA BILA USHAHIDI

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 2 месяца назад +3

    Nijikute kwenye mstari eti napiga kura 😂.sitafaya hayo maigizo.

  • @AbasiAbdi
    @AbasiAbdi 2 месяца назад +1

    Yan nawakubali sana kitenge una mbwebwe

  • @DaudiSanga-m5o
    @DaudiSanga-m5o 2 месяца назад

    Hata wafunike yanayosemwa nawabunge wao ukweli utabaki kwawatanzania waelewa

  • @godwinnginana
    @godwinnginana 2 месяца назад

    Et mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya

  • @DaudiSanga-m5o
    @DaudiSanga-m5o 2 месяца назад

    Waandishi wahabari tunawashukuru kutufungua hawa ccm hapana niupupu gred one

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 2 месяца назад

    Anatakiwa kua mahakaman kujibu mashitaka

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 2 месяца назад

    Wana sheria mperekeni mahakamani. Wasanii toweni wimbo wenye maana ..

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 месяца назад

    Iundwe timu ya nini? DC akamatwe athibitishe kauli zake hasa ile ya Poriini.

  • @ricksonrickson2676
    @ricksonrickson2676 2 месяца назад

    R4 ndio nini??

  • @vedastmangapi3865
    @vedastmangapi3865 2 месяца назад +5

    Kuna msemo damu ya mtu hua haipotei..
    Utaua peke yako cha ajabu utaanza kuweweseka na kujitambulisha.
    Chaguzi zote tunalia na wizi wa kura, chama tawala kinakataa...!
    Huyu wa pili kajitokeza hadharani na ni baada ya Nape kuwaambia umma juu ya hayo2....
    Jamani kulinusuru taifa iundwe tu tume HURU.

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 месяца назад

      Jim guy and iioiiiiii my destiny is it going with

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 месяца назад

      Jim guy and iioiiiiii my destiny is it going with ijiiihjiiuh. y e3 em wßewßww32w2

  • @chamlilemhando7478
    @chamlilemhando7478 2 месяца назад

    Kaongea ukweli,ccm acheni kuiba kura na kuwaumiza watu wa upinzani mkumbuke malipo hapa hapa .

  • @zephaniasirikwa7495
    @zephaniasirikwa7495 2 месяца назад

    Sio kutia doa!!ameziondoa kabisa 4R za mama.ni hatari kabisa.

  • @YonahMwamwaja
    @YonahMwamwaja 2 месяца назад

    MUNGU HUWA HAFICHWAGI NAJAMBO LOLOTE AYUBU 27=11 mtapatahabari

  • @evaristosanga471
    @evaristosanga471 2 месяца назад

    Yeye ni jasiri, katika nini?ujasiri wake upo eneo gani?

  • @abdallaameir3153
    @abdallaameir3153 2 месяца назад

    Mwenda zake ndio muanzilishi wa haya yote kupiga kukaba viroba

  • @shufaaramadhan3677
    @shufaaramadhan3677 2 месяца назад

    Alikuwa polini kupamba na mahalamia waliyokuwa wakiteka watalii

    • @shufaaramadhan3677
      @shufaaramadhan3677 2 месяца назад

      Nakumbuka huyo oparetioni ilikuwa ngumu Sana kuondoa maharamia porini walionekana kuwa tishio kwa watalii na shughuri zote za kijamii ndani ya poli hivyo DC nijasili aliongoza vikosi kupambana hivyo ieleweke kuwa amesema kw uchungu akikumbuka jinsi alivyo pambani na maharamia waliyokuwa na mbinu za kivita

    • @shufaaramadhan3677
      @shufaaramadhan3677 2 месяца назад

      Kimsingi kutenguliwa kwa DC hayo ni majukumu ya rais kikatiba ambayo ni kuteuwa na kutengua

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 Месяц назад

    Hahaha kuna chanel moja ya katuni huwa naiangaliaga ile katuni inavyotikisa kichwa kugeukageuka ni kama kitenge anavyofanya

  • @EliakasomangilaEliaMelikas-w5b
    @EliakasomangilaEliaMelikas-w5b 2 месяца назад +1

    Mkuwawilaya alindwe

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 месяца назад +1

    Hajasema masanduku amesema watu

  • @IGANASCOSMAS
    @IGANASCOSMAS 2 месяца назад

    Hakuna aliye juu ya MUNGU. Ni wakati wa kila nafsi kujinyenyekeza Mbele yake YEYE Aliye MKUU Wa Wakuu. MUNGU MUWEZA WA YOTE.SIMBA WA YUDA. ALFA NA OMEGA.MWANZO NA MWISHO.

  • @knight6757
    @knight6757 2 месяца назад

    Campaign ya kupanda 🌳 🙆‍♂️

  • @isaackemanuel3712
    @isaackemanuel3712 2 месяца назад +1

    Sasa hivi siamini mtu aisee. Ukipigiwa simu hujui nani usiende

  • @LauraBiseko
    @LauraBiseko 2 месяца назад

    😂jamani

  • @kobelovitus6337
    @kobelovitus6337 2 месяца назад

    Wazee wa inteleginsia wako wapii?

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 месяца назад

    Zembwela acha kuzunguuka mambo huyu ashitakiwe kuna siri watanzania tunataka kujua

  • @abdulsalaamkahttan1037
    @abdulsalaamkahttan1037 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂🤸🤸🤸🤸🔥🔥🔥🔥

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 2 месяца назад

    MUNGU wa Isaka na Yakobo na wa BWANA WETU YESU KRISTO HAPENDI DHURUMA. WOTE WANAO PANGA KUDHURUMU ATAWAIBISHA WAO BILA KUJUA. ALIYEREKODI NA KUTUMA NAJUA NI MWANA CCM MPENDA HAKI MUNGU AMBARIKI. MALIP O YA DHAMBI NI MAUTI. TUNATAKA TUME HURU NA KATIBA MPYA.

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 2 месяца назад

    Na Bado tu watasema yote

  • @MTEULETVONLINE
    @MTEULETVONLINE 2 месяца назад

    Yaani ninyi watangazaji, hata mkitekwa na Ccm, wataachia tu si kwa vituko hivyo.

  • @alexsakilu2650
    @alexsakilu2650 2 месяца назад

    Nyie wote wapambe tu

  • @lucasmganga2811
    @lucasmganga2811 2 месяца назад

    Kwa kauli zile za huyo DC m! Ukweli nimepata maswali mengi sana yasiyo kuwa na majibu kichwani mwangu

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 2 месяца назад

    Laana haitawaaccha mpaka jahanamu

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 2 месяца назад

    Acheni ukomedi wenu wehu nyie. Kundi la majambazi watachunguzanaje? Saana majambazi wenzake watekaji wasiyojulikana, watampoteza.

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 месяца назад

    Ng,umbi amewaaibisha wahehe

  • @FidelisiKidungu
    @FidelisiKidungu 2 месяца назад +1

    Hajaaibisha WAHEHE Bali amesema uwazi na ukweli

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂daaah

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 месяца назад +3

    Kabila zingine wanaenda jandoni porini

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 2 месяца назад

    EE MUNGU ENDELEA KUWAFICHUA MAFISADI NA WABABE WA NCHI HII
    CCM INAKALIA NCHI KWA MABAVU HAWAJAWAHI KUSHINDA UCHAGUZI TANGU 1995
    MNAIBA KURA
    NA MUNGU ATAWALIPA KWA UOVU WENU

  • @MustapherSamson-s6l
    @MustapherSamson-s6l 2 месяца назад

    MUONGO HUYO

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 2 месяца назад

    Wana sheria mperekeni mahakamani. Wasanii toweni wimbo wenye maana ..

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 2 месяца назад +6

    Wana sheria mperekeni mahakamani. Wasanii toweni wimbo wenye maana ..

    • @ga2revocatus91
      @ga2revocatus91 2 месяца назад

      Tz wasanii ni wawili2 __Roma vs Ney wengine machawa2