"NCHI INAPIGWA Mnada"~Lissu na Ndugai WAUNGANA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 май 2024

Комментарии • 120

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 27 дней назад +13

    Hapa ndipo ukuu wa mungu unaonekana anayekuchimbia shimo anaingia mwenyewe

  • @JamesMatondo-fk4bh
    @JamesMatondo-fk4bh 25 дней назад +9

    🎉❤mungu akubariki sana mheshimiwa lisu tukomboe

  • @EmanueliAgape
    @EmanueliAgape 26 дней назад +6

    Hapo ndipo umeongea vizuri na umegusa sehemu nzuri tunakuamini wote

  • @kalvinemorrice
    @kalvinemorrice 26 дней назад +7

    Kinacho fanya watanzania wasiamke Ni Nini au rushwa Kama Ni rushwa hakika rushwa hupofusha macho Ni wakati wa watanganyika kuamka sasa

  • @user-eh8cy4yk3d
    @user-eh8cy4yk3d 26 дней назад +8

    Mungu akupe maisha marefu Lissu ww ni mpango wa Mungu

  • @evelina9621
    @evelina9621 26 дней назад +6

    Siasa.mchezo.mbaya.lisu.yuko.vizuri

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q 26 дней назад +16

    TUNDU LISU ni hazina PEKEE ambayo WATANZANIA tunapaswa kujivunia, TUMUOMBEE AISHI , MUNGU AMZIDISHIE MALAIKA WA ULINZI, NDIO MTU PEKEEWENYE BIDII YA KUTETEA NCHI KWA GHARAMA YOYOTE ILE MAANA AMEJITOA MHANGA

  • @diversetv74
    @diversetv74 26 дней назад +4

    Excellent speach!

  • @MohamedMjeng
    @MohamedMjeng 25 дней назад +2

    Waambie lissu, wewe ni msema kweli mungu akupe maisha marefu

  • @AgnesMgaya
    @AgnesMgaya 25 дней назад +4

    Dugai ñi mbabe mungu àtamlipa kwa ubabe wake

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 26 дней назад +4

    LIISSU NI KWELI ASEMACHO.

  • @saidkhalifa34
    @saidkhalifa34 25 дней назад +4

    Mr lissu my brother Sasa tunatokaje kwenye hili janga??

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi 26 дней назад +3

    Wanaosema kaishiwa sera sioni wakisema kwamba anayosema si kweli

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 25 дней назад

      Chadema bd sn kuongoza serekali na nchi hii wao wenyewe hawawezi kujiongoza

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 23 дня назад +2

    Mnamkubali John Pombe magufuli kiana...Yule ndio Raisi pekee Bora Tanzania

  • @lemuhdke6739
    @lemuhdke6739 27 дней назад +7

    Bora Kenya yetu na ruto wetu😂

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 25 дней назад +2

    MUNGU AKULINDE TUNDU LISSU UWE RAIS NAKUHESHIMU SANA MUNGU ATAKUPA URAIS NAAMINI HAUFI LEO NA UTAKUWA RAIS

  • @mokiaolenaputu7648
    @mokiaolenaputu7648 22 дня назад

    Mungu azidi kukusimamia Mheshimiwa Lissu, mpambanaji namba moja wa dhulma

  • @russiababawakutokomezaushoga
    @russiababawakutokomezaushoga 26 дней назад +4

    😂😂😂😂😂kwamba pamoja na ushenzi wake

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 24 дня назад +2

    Wanaomkataa lisu wamelogwa si bure

  • @nestor384
    @nestor384 23 дня назад

    M/mungu akuruzuku maisha marefu Lissu Tundu mpaka kusudi la kukuweka hai

  • @DanielSomanga
    @DanielSomanga 19 дней назад

    hamna kitu lisu unatunganya nawewe sio mkamilifu bwn

  • @user-mk6my3gb4s
    @user-mk6my3gb4s 18 дней назад

    WATANGANYIKA MSILALAMIKE MSHAKULAA SANA NEEMA YAZANZIBAR LEO KUONGOZA MZANZIBARI MNAANZA MANENO PUMBAVU ZENU MAMA KAMATA USUKANI MKIENDELEA TUTAUZA BANDARI YENU SISI MUMEUZA VYETU VINGAPI

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 26 дней назад +1

    huyu mungu hahahaha Lisu noma sana

  • @augusti5689
    @augusti5689 22 дня назад

    Siasa kweli! Huyo huyo ndiye aliyekunyima stahiki zako kama mbunge, na wewe ukiingia kuwa "mungu" kuna uhakika gani hautageuka kuwa kama yeye?

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 27 дней назад +4

    😁😁😁HATA SIJUI NAKENYUA NINII...NI HUZUNII KWELIKWELI 😢ETI NDUGAI ALIMKOSOA MUNGU😢😢😢

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 25 дней назад

      Umejichanganya, Ni mungu sio Mungu, maana viongozi wanajifanya miungu watu. Hawataki kukosolewa wala kuambiwa ukweli. MUNGU ni MMOJA TU wa Mbinguni basi.

    • @DanielSimon-jd6ye
      @DanielSimon-jd6ye 20 дней назад

      @@TM.Sullusi katumia lugha ya kuficha akimaanisha kuwa viongozi wa kiafrika wanajifanya MUNGU hivyo hawahitaji kukosolewa na wananchi wao hata kama watakosea kiasi gani,,,,,hata hivyo huwezi elewa mchezo wa siasa hadi uwe miongoni mwa wanasiasa.

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 19 дней назад

    Mungu tenda miujiza tunaibiwa tz

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 23 дня назад

    Ninye watu mnaoshabiki vyama siasa muwe watu wenye kumuogopa mungu mwenye hadhi ya kuua ni mungu tu

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 22 дня назад

    Daaah nchi ngumu hii huyu mama anareta shida kwetu tutaishije na watoto wetu

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c 26 дней назад +1

    Ndio ujue mungu wa mbinguni anavyoumbua vitu ambavyo wanavificha wanakua wabishi kuweka sawa nchi ,sijui wanataka nchi hii ivulugike au nn, tupate katiba ndio suluhisho ,maana katiba ni ya CCM bwana, iliwekwa na CCM yaan ni ya chama kimoja tu, nashangaa eti Kuna vyama vingi walivyoweka kwa katiba hii, wakati wangebadilisha katiba iebdane na vyama vingi ndio ingekua vzr

  • @user-fn4xu2vb5r
    @user-fn4xu2vb5r 25 дней назад +1

    TUIMBE; Chama CHETU CHA MAPINDUZI Chajenga nchii.......

  • @RenatusGabriel
    @RenatusGabriel 20 дней назад

    Kweli kamanda

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 23 дня назад

    SAME STORY HANA JIPYA KUBWEKA TU 😢😢😢😢😢

  • @mr.kaporo2479
    @mr.kaporo2479 22 дня назад

    Watu kama nyinyi mnatakiwa sana duniani

  • @mwadinbakar9553
    @mwadinbakar9553 27 дней назад +1

    Akaa! Makelele, matusi munajitukana wenyewe. Nyinyi WABONGO ndio muliopanga kiila kitu, au mumesahau? au mulipiga kopo la pombe? au muna vyeti feki hamkupasi masomo? Musitukane Wazenji HAWAHUSIKI, munajitukana wenyewe!!🤣🤣🤣🤣🤣

  • @DanielSomanga
    @DanielSomanga 19 дней назад

    Sana ni tuihubiri amani tusipokee mfumo wa vyama vingi kwanamna ya kilifanya taifa like la ukimbizi hawa watu hawapo sawa natujue Kuna mataifa yanawafadhili hawa tuheshimu amani yetu ili mungu aendelee kutusaidia sio Bure Hawa Hanna mkamilifu ktk wale wote walozaliwa Kwa miili ya tamaa

  • @user-mt1fy4gp7z
    @user-mt1fy4gp7z 24 дня назад

    Ukiishiwa cha kusema kwenye chama chako lazima ubwetebwete
    Kuumwa sana akili zinahitaji 😂msaada wa Mungu

  • @user-uk3eg3uo7s
    @user-uk3eg3uo7s 25 дней назад

    Lisu machawa yenye shibe ya dhuluma Kwa wanyonge watakuskia?

  • @chage97
    @chage97 23 дня назад

    Huyu SiO rais nani alimchagua

  • @saidkhalifa34
    @saidkhalifa34 25 дней назад

    Mimi naomba sana kuhusu suala la kuwahusisha wananchi wazanzibari kuwa wabaguzi hilo ondoeni ondooni kwenye fikra zenu maana wao wananchi wengi wa Zanzibar waliwaamshaa kitamboo kuhusu huu Muungano kuwa sio Rafiki kwa wananchi leo mimejionea wenyewe msiwahusishe kwenye hizo lawama njooni na mpango kazi nini tufanye sasa kama kweli mko Serious

  • @IsmailJafari-pe1dv
    @IsmailJafari-pe1dv 24 дня назад

    Rais samia nikama mwiz kwenye TAIFA naku2letea mikopo2 inchin namaendeleo aya2oni hapa na pia ssaiv kashakopa mpaka kwenye mitandao ndomana bei y kununua sms za mwez ni tzsh.1500 duuh

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb 24 дня назад

    MADINI YANOKWENDA ULAYA MBONA HUTAJI AU NDIO WANACHUKIA MABWANA ZAKO

  • @user-mk6my3gb4s
    @user-mk6my3gb4s 18 дней назад

    KUTESA KWA ZAMU MLIVO KUA MNAONGOZA NYIEE KIMYAA SAIVI KUONGOZA WAZANZIBARI KELELEE TULIENI TUWAONGOZE WALA UROJO PUMBAVU ZENU

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 25 дней назад +1

    Upuuzi mtupu

  • @mwalimulossilamsuya1944
    @mwalimulossilamsuya1944 22 дня назад

    Acheni upuuz hamtafani'iwa..WATAN2ANIA TULIO WENGI TUNAAKILI NA UFAHAMU..ONGEENI SAAANA LAKINI WATANZANIA WATAAMUA

  • @SaimonMrema
    @SaimonMrema 26 дней назад +1

    Bandari ya zanzi baa nayoiuzwe napiya kisiwa chapemba wahamishwe wauziwe wamaasai

  • @abdullahalkindi9673
    @abdullahalkindi9673 22 дня назад

    Lisu usipotoshe Ndugai alijiuzulu mwenyewe baada ya kukiri makosa yake.

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 26 дней назад +3

    Kuna mda mwingine we unatakiwa kuwa kabatini

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 23 дня назад +1

    Mimi ni mkenya nawaombeni sana watanzania ujanja wa maneno yaliyopangwa kwa ajili ya kunyakua uongozi wenzenu yalitukuta na tunajuta, huyu anawaingiza kwenye shimo na hamtatoka, ana marafiki huku kwetu tena ole wenu mngewajuwa.

    • @user-ri2xq6fu6w
      @user-ri2xq6fu6w 20 дней назад

      Tokaaaaa

    • @user-fn1ru4fu5c
      @user-fn1ru4fu5c 20 дней назад

      Kweli kabisa na hatafanikiwa Sisi tuko imara awaambie watu wa nyumbani kwao Ikungi wanayampaa wenzake sio Sisi tunaojua

    • @geofreatumbo4543
      @geofreatumbo4543 19 дней назад

      Wewe ni muongo huyu jamaa hanamatrial mengi hacha hujinga

  • @NassirOmary-lr9ts
    @NassirOmary-lr9ts 23 дня назад

    Poa kuliko mwaume akubali kufirwa

  • @mwalimulossilamsuya1944
    @mwalimulossilamsuya1944 22 дня назад

    Lisu vuna hoja...akili zako hazina AKILI...KALIME

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 23 дня назад

    Lissu natamani aandike kitabu

  • @augusti5689
    @augusti5689 22 дня назад

    Mamlaka hubadilisha mtu. Huenda hata CDM wakaichukua dola haya maneno yote huenda yakawa historia.

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb 24 дня назад

    NDEGE ZETU MIG 21 REJESHENI BASI

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 25 дней назад

    WOTE NYIE NI WAHUNI TU HAMNA LOLOTE

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 25 дней назад

    😮

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 27 дней назад

    Ukitaka kumuua jiandae wewe kwani kuua TU Bilal atia ni ujinga kwani wewe nikipi usicho kielewa na nikigeni labda wewe ni baila au zombi lakini kama ni mwenye akiki sana timamu uwezi kusema ujinga

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 17 дней назад

    Nchi inapigwa mnada vp?? toa sera za chama chako na sio kuleta mada za taharuki, tafuta njia nyingine ya kuomba kura na sio kuleta mada za sintofaham, kama wewe ni mkweli tupe takwimu ya wawekezaji hapa Nchini wametokea Nchi gani mana ugomvi wako ni wawekezaji Waarabu tu ili kuleta mtafaruku Nchini, tunapenda Amani hizi siasa zako za kuleta chuki zimepitwa na wakati

  • @2BRAND_MUSIC
    @2BRAND_MUSIC 23 дня назад

    mimi nasoma comments tuuu 😂😂

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb 24 дня назад

    MWISHO MASHEKHE ZETU MUMEWAFUNGA MIAKA MINANE MBONA HYUSAEME HAYO SHOGA WEWE

    • @petermwenda6470
      @petermwenda6470 22 дня назад

      We hujielewi, watu wanazungumzia nchi we unaleta Udini.

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d 25 дней назад +1

    Lisu wewe Muongo huna Leo ndugai amekuwa mzuri Wewe huna shukraani

    • @geraldgedi4657
      @geraldgedi4657 25 дней назад +1

      Hivi kwa akili yako ikitokea mtu hata hamkubaliani lakini akaja kuongea jambo la maslahi kwa wote kwanini usimuunge mkono?

    • @renatustinsimile5410
      @renatustinsimile5410 25 дней назад

      Usamehewe

  • @frednyangwechi774
    @frednyangwechi774 25 дней назад

    Uongo huo

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 25 дней назад

    MNAISHIA KUPIGA KELELE BARABARANI TU NA HATA NYIE CHADEMA NI VIBARAKA WA MBOWE NDIO MAANA ANAWATAWALA MIAKA 20 KAMA MWENYEKITI NA HATA HAMUHOJI....

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 21 день назад

    Lisu unakubalika sana na watanzania, ila umesababisha wewe mwenyewe watanzania wengi wakupinge kwa sababu ya kauli zako za haki za mashoga. Likiwekwa sawa hilo hakuna mpinzani maana watanzania wengi wanakerwa sana na suala la ushoga. Na hata hao wanaokuunga mkono, ni basi tu maana wafanyeje, yaani wanaona bora wewe unaekubali ushoga kuliko CCM wakandamizaji kwenye kila nyanja ingawaje na wao wanaukubali ushoga kwa kificho na ndio maana harakati za ushoga zinazidi kuongezeka nchini. Hili CHADEMA LINAWAGHARIMU kumwendekeza mgombea ambae anatamka wazi kukubali haki ya ushoga.

  • @crayonmaze9970
    @crayonmaze9970 22 дня назад

    MAMA PIGA KAZI, ACHANA NA HAWA MANENO MENGI, MAMA APEWE MIAKA 20

  • @user-fn1ru4fu5c
    @user-fn1ru4fu5c 20 дней назад

    Lisu muongo wewe sana misitu ya, wali ha 8,000,000, zimegawa kwa Waarabu? Eti mama ameuza bandari zipi unawambia wajinga sio werevu. Eti leo unamsifia Magufuli kuwa ni mzuri kuliko Mama yaani Chadema siwezi kuwaamini sana. Ha za misitu vingapi kula mahali ni vurugu wapi. Mmeshindwa Sera mnaona Watanzania wote ni wajinga hamna kitu nyie

  • @robertokasike4824
    @robertokasike4824 23 дня назад

    Usiwe msahaulifu kumbuka ulisema vibaya ndugai na leo unamsifia

    • @Worldunite
      @Worldunite 23 дня назад

      Ndo siasa ilivyo, huwa haitabiriki

  • @jerrysonjulius7106
    @jerrysonjulius7106 23 дня назад

    Ukiwa Rais utawafanyia nn watanzania

  • @josephdimosopantaleomadegh7599
    @josephdimosopantaleomadegh7599 24 дня назад

    acheni maneno yule kajiuzuru bahada yakuona majonzi ni mingi kuliko ufanyaji kazi akaoba bola atoke ili taifa liendelee ndugai ni mzalendo

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 26 дней назад +1

    Sasa huyo mungu aliyekupa uhuru wa kutanua mdomo ndani ya Tanzania na yule mungu aliyekunyima uhuru huu nani Bora

    • @user-rj2kt5qg5y
      @user-rj2kt5qg5y 26 дней назад

      Mmmmh kazi kweli

    • @willygwaikana
      @willygwaikana 26 дней назад

      Kuna miungu mingi ambayo hupambanuliwa kwa hulka zao kama ambavyo kuna dini nyingi zinazobainisha miungu mingi zikitofautiana mafundisho.

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d 25 дней назад +1

    Acha uongo mzeee wewe unazeeka vibaya kwa uchu wa madaraka

  • @user-lh9xp4cr4h
    @user-lh9xp4cr4h 27 дней назад +3

    Imeuzwa bei gani lisu umekosa Sera mzee

    • @drtobias_
      @drtobias_ 26 дней назад +1

      Mpe za Kwako kenge Wewe

    • @masubimhoja3713
      @masubimhoja3713 26 дней назад

      Fualia mambo ya nchi yako sio kuona Lisu hana sera anayosema ni kukuamsha usingizini

    • @user-ri2xq6fu6w
      @user-ri2xq6fu6w 20 дней назад

      Siku zote uneducated ndio wanamuona lisu Hana Sera , lisu he's best political in Tanzania, just Imagine amepigwa Risasi Mungu kampambinia kapona angekuwa mwengine angeacha siasa but he stand up n continue na kusema ukweli so wake up

  • @user-xz9cm8yk6h
    @user-xz9cm8yk6h 26 дней назад

    Ongea point kila cku n kusema watu tu na matusi mzee hatuhitaji matusi wala kebei wala polojo eleza ukipewa uongozi utafanya nn ndan ya nchi

    • @user-gr9wc7bc2m
      @user-gr9wc7bc2m 24 дня назад

      Huyu hatukani labda ujamsikia vizuri huyu anaamsha watanganyika

  • @salimmuhamed1601
    @salimmuhamed1601 26 дней назад +2

    Kwa hio bora ndugai alokufanyi ushenzi. Kuliko mzanzibari alokutendea wema.

    • @Ernestlaiza
      @Ernestlaiza 26 дней назад

      Wacheni ujinga weka gani

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 27 дней назад +2

    Huyu atakufa vibaya huyu lisu

  • @DanielSomanga
    @DanielSomanga 19 дней назад

    Lisu sio mheshimiwa Bali mpotoshaji2

  • @twalhamnyira5318
    @twalhamnyira5318 26 дней назад +2

    Mbon unaongea umbea tu malengo ya chama chenu ni yap?

  • @alisuleiman303
    @alisuleiman303 27 дней назад +1

    Naona kaishiwa huyu jamaa

  • @user-fn4xu2vb5r
    @user-fn4xu2vb5r 25 дней назад

    TUIMBE; Chama CHETU CHA MAPINDUZI Chajenga nchii......

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb 24 дня назад

    DOUBLE STANDARD HIYO NYIE WATANGAYIKA MUMECHUKUA VINGAPI VYA ZANZIBAR

  • @user-mt1fy4gp7z
    @user-mt1fy4gp7z 24 дня назад

    Ukiishiwa cha kusema kwenye chama chako lazima ubwetebwete
    Kuumwa sana akili zinahitaji 😂msaada wa Mungu