Mimi napenda sana kumsikiliza Dr. Ellie na nafaidika mengi na hata life style yangu imekuwa bora. Mungu akubariki na family yako na akujaalie umri mrefu na afya njema na sie pia. Ntashukuru sana ikiwa hivi vipindi vikawa translated kwa lugha tofauti ili wafaidike dunia nzima. God bless you
Thanks Dr. Ellie for your unfailing dedication to educate us. You are a treasure to me and I can't thank you enough for sacrificing your time to give valuable lessons. Asante chomoza.
Jimmy habari nimekua namfatilia Dr.ell kwamuda mlefu sana kwenye temino alikuwa anatafsiri kila mwaka namaana yake vipi mbona mwaka huu kmya 2022 please mfikishie tarifa.
Mbona naona haupo sawa., unassembled wewe ni matokeo, na sio jibu. Una hoja Zurich ila unashindwa kujenga hoja na kupangilia.kila unapoona jibu lipo swali, haya uyasemayo hyana maswali yapo yaliyo fanyika ndio ukaona matokeo
We tayari ni tatizo kama hujamwelewa huyu jamaa huwezi kumwelewa mtu yeyote mwny mawazo yakinifu. Sio Kila kitu ni kucrisize ili uonekane una maarifa, make self evaluation uil be critical analyser bro
😩😩😩😩😩 guyz nahitaji hii elimu zaidi please Kama Kuna anayeweza niunganisha na groups za WhatsApp za elimu ya utambuzi naomba anisaidie Ni join huko ,,pls please I beg you

Habari hauna magroup ya WhatsApp yanayo husu elimu ya utambuzi Kama hivi ,, 😁😁😁 na Mimi natufata majibu
Mungu akubariki sana Dkt Ellie, una karama ya kipekee katika kuwasaidia watu kisaikolojia waishi maisha ambayo sio ya kukata tamaa.
Thanks Dr. Ellie for your unfailing dedication to educate us. You are a treasure to me and I can't thank you enough for sacrificing your time to give valuable lessons. Asante chomoza.
Jibu =tafiti sio tafuta utapotoshwa,God bless you Dr and all chomoza team
Dr. Ellie mungu akubariki sana ..chomoza tv upande wa wakati mgeongezea kiasi ..
Am speechless ,may Allah bless you all
Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam
MashaaAllah Mashallah Dr Ellie
Asante sana mwalimu
Dr ubarikiwe sana kweli wewe ni jibu na mimi ni jibu
Asante Doctor na Chomoza somo linajibu kwa wale wa najua majibu🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana
Mbarikiwe Chomoza kwa kutuletea wakufunzi Dr. Elly na Mzee wa neema
Mbarikiwe sana watu wa Mungu
Thank you very much Dr.
Kila kitu kina jibu kwa Jambo fulani 🎯🙏🙏🖍️🖍️ noted
Stay blessed 🙏
Habari vp SoMo la choice 20
Asante kwa somo ombi langu upatikanaji wa vitabu na kama hakuna naomba viandaliwe vitabu maana baadaako hatuna nisaidie hilo
👍
Nakuombea uishi sana doctor wewe ni wa thamani
Nakuunga Mkono
Jimmy habari nimekua namfatilia Dr.ell kwamuda mlefu sana kwenye temino alikuwa anatafsiri kila mwaka namaana yake vipi mbona mwaka huu kmya 2022 please mfikishie tarifa.
Natokea Kenya, nawaombeeni baraka team Chomeza, nawafuatilia kwa makini. Ila naomba jinsi ya kumfikia doctor, I would like to ask some questions.
TUPO nanyi DR.
ASANTENI SANA NYOTE
Kesh tutakuona Ulanga-Morogoro
This wa too hard
Amen
Majibu yapo kwa kumpata MUNGU WA KWELI
Kipindi chake saa ngapi jamani
kaka Jimmy habari,, naomba msaada wako kupata mawasiliano ya Dr Ellie
Good lesson from Dr
Katika mafundisho ninayoyakubali Chomoza ni ya Dr Elly na Mzee wa neema Mungu ibariki Chomoza
Dr. Ellie barikiwa sanaaaaa
Jamani doctor Hana magroup ya WhatsApp tupate elimu huko
Dr Ellie kwa.kwei.mwlimu wako anajivunia kuwa na mwanafunzi kama.wewe