Women Matters: Hii ndio sababu KUBWA kwanini NDOA zinakufa! *MUHIMU
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- PART FOUR
Nini kinachofanya ndoa zidumu? Au nini kinachofanya Ndoa zingine zivunjike? Dr. Chris Mauki wa UDSM, Dr Ellie Vd Waminian pamoja na Aunty Sadaka wanajadiliana na Lillian Mwasha kuhusu suala hilo.
#WomenMatters
Dr Ellie ni fireeeeeee........
I like when Dr. Elli speak English
Yaani munanielimisha Sana mungu awabariki mno, pamoja Sana Wana SNS
Mko vizuri, mtaponya nyumba nyingi sana
Brother Sky Ubarikiwe sana. (Dr.Elly, Dr.Chriss, na wengine wote elimu mliotoa ni gharama na Tunu Kubwa Mno.
Jaman alieelewa kingereza na matamshii ya dr elly 😘😘😘😘 plus namna anavoelezeaa hapaa ni vichwaa tuuu !!
Hapa ni hot 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 asanten kwa elimu nzurii 🌷👏👏👏👏
Point taken ✍️
noted
Woow this man speak out English like 🥰🥰👌👌I understood A to Z Dr and i love this show anyone else here 🤷🏻♀️🤷🏻♀️💕
Nampenda sana Dr Elly, nmebarikiwa na kipindi hiki
🔥🔥🔥My all time class
Very informative & enlightening session. Much respect & love 💖. Kindly host Dr. Ellie again.
Mapenzi sio kulalana, kulalana kuna nafasi ndogo sana ya kuimarisha ndoa watu wanatoka kulalana walimaliza wanagombana kwa sababu ndogo tu na kutupiana maneno makali na mmetoka kulalana muda si mrefu.
Kuna mtu atakuwa amemlazimisha mwingine. Huwezi kumaliza kula chakula kitamu ukawa na negative mind 😅😅😅
Ndoa bila ya tendo haiwezi kusimama km Ndoa,kwakuwa kuliendea tendo inaitaji utayari wa hisia ili kulifanya tendo Hilo, utimamu huo Sasa unapopatikana ndipo Amani itatawala ndani, ila utimamu ukiwepo ila tendo halitendeki basi hata iyo Ndoa Dosari kubwa itaanza na kumaliza sio rahisi km tendo Hilo halitatendeka ipasavyo
asante sana kwa idea kubwa ya kuanzisha this WOMAN MATTERS
thing
Wow!! 😍👏🏾👏🏾👏🏾very true Maneno Matamu sana hayo thanks guys .
Huyu Dr Elly ni hatari
Nimeelewa sana.yaan leo wanawake mmekuwa wasikivu.sio kila mmoja kupaza saut.
session nyingine mngetulia hivi tungeelewa saana.love you all DR.ELLIE UNAONGEA MAGUMU JAMAN
Yani ukifatilia uislam utakuja kujua kwamba mtume wetu Muhammad (sw)alisema kwamba mwanamke ni kitulizo sha mwanaume.karibu kwenye uislam
Sahihi kabisa dada Muniyr, yaani hata hawa watangazaji hapo kama wangeufuatilia uislam wangegunduwa kuwa hayo wanayozungumza yamefundishwa na kipenzi cha umma Mtume Muhammad s.a.w wangesilimu hawa. Ila kwa fikra zao ni eti sayansi ndo ipo hapo.
I proud to be a Muslim.
This discussion is very insightful.
Nashukuru sana nimesikiliza pia part of Manyara women Gala which is available on RUclips. Yamebeba elimu ya kutusaidia kustawi physically and mentally.
Ni muhimu kutafakari na kufanyia kazi, one step at a time. Knowledge is power.
Mimi ni mzawa wa Kilimanjaro na ninaishi London. Asanteni tena na Mungu azidi kubariki vipaji na kazi zenu.
🔥 uyo mwana psychology namkubali sana
dr elie ni 👍👍👍👍
Najifunza sana
Ahsanteni....
Nimependa sana hiki kipindi
Still a teenager but I've learned a lot...
Nakumubali sana dr
Dr. Hiko kingerenza chako khaaa i like it
Maashaa Allah kinatupa furaha kujua zaid
Dr Asante kwa kweli hili somo ndo nalisikiliza leo lkin wakat wa tendo la ndoa najihudumia mwenyewe sbbu raha ni yangu na yeye ana raha zake sipend ujinga 😂
Mimi huwa nawaeleza wanawake kuwa ukishafanya ngono na mtu tayari umeshauza utu wako.
Funguka zaidi Doctor..basata wenyewe wanapata somo hapo.
Chidiomari. 😁😁😁😁😁😁😁 dah watu mmepinda, kwamba basata nao wanapata somo😋😋😋😜😜😜😜
Ubarikiwe sana
Thank you for such an outstanding education!
Jamani this time nitajihudumia mwanzo mwisho.
Hii ndoa ijue Nina elimu yakutosha
Belinda Giliard ahahaha
Kweli sana
Ahsant sana kwakwel najifunza ving
That's interested thank you so much guys
nimeipenda mpaka nimeishea kwa mke wangu
nimeipenda sanaa
Education for days
Shangazi sadata, liliani, na doctor punguzeni kingereza sisi ni waswahili hatuwaelewi kabisa kuweni Kama Cris.
Ni kweli kbxa xecx inatuliza hasira
Ni kweli kabisa
Braaavooo
Kweli doctor Elly nimekuelewa
Nimekifumza mno,natamani hiki kipindi kingeendelea taklibani kila mwezi 😢
nimeelewa sana mpaka siamini nilichokuwa nasikia na kuona.
Dr ellie🙌
I love this😍
Mzee nimekuelewaaa
Mtupangie kuanzia y kwanza hadi ya mwisho ,namaanish session ya kwanza tuonyeshwe 1,the same ya pili hivohivo
LIGHTNESS MVUNGI
Ipokwenye description.. ingewekwa kwenye caption..👌👌👌
Aloooh! Somo lirudiwe
Nxt time.mtupangie. 1,2 iwe rahisi ku follow
ivoh!
Nimempenda dokt al bure
#Womenmatters#$n$...Lilian Mwasha Unanimaliza na huo mdomo wako jamani😎
Jamani jamani😭😭😭😭🙌kipindi kizuri mpk basi
Doctor yaani hapo si coment sahihi
Ivo vingereza vingi wengine mnatuacha nyuma
Kabisa kigereza mnatuuza mengine yanatupita
Uff ni moto kabisa issue hii ya leo🤣🙈🤭
Kulia sawa😁😁🔥🔥🔥🔥👏👏👏
PATAMU HAPO😂😂😂😂
3x😃😃
Mtangazaji inaonekana Kuna magum ya kimapenzi kapitia.
Hapana,yeye anawasemelea wanaopitia changamto...na anafanya ivo kuwapa challenge wageni ili wafunguke
kun sehem sijaelew,,,, sas mwanamke atajiudumiab mwenyew, docter naomb jib😅😅😳
Makubwa hayo ujumbe mzuri
Uyu doctor kabarikiwa
Hpo kwenye maziwa nimecheka sanaaaa ila lily umecheka snaa kiswahl 🤣🤣🤣
😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣😂😆😆😆😆😆😁
Dr.... Punguza kinge
Dr ELLY n dawa asie kuelewa basi ni bonzo....
Host unakera sana, wape watu uhuru wa kujielezea, kila kitu unakuwa wa kwanza kucomment au urged. What was the reason yo invented the panelists. Jifunze kuwa msikilizaji na sio muongeaji zaid kuliko uliowaalika
Lili umenichekesha et inauma jamani msiongee haya maneno
Jamani host wa kipindi usipandishie disk unatukata bwana hatupati in full
Najifunza kitu
🔥🔥🔥🔥👏👏👏❤❤❤❤
huhuhu!
@@mnzavachris5423 😁😁😁
@@asinathasinath5090 fny bhs tudumishe y kwetu!
@@mnzavachris5423 soon 😊😊😊
@@asinathasinath5090 ushanitia muwasha washa mwenzio
lili acha kimbelembele tulia mama
Dada Lilian Mambo! Tunapata contact zenu jamani?
😍💪
Uwezi kukomoa shimo kwa kuchimba shimo!!!
Mafunzo mema
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Upuuzi wa kuongea kingereza kwenye mada za kiswahili siupendi sana niushamba sana
Samahani dct VIP kwa mwanamke amba haitaji kuguswa kabisa au hataki kabisa kusikia kufanya tendo LA ndoa zaidi ya wiki mbili adi tatu na yupo kwenye ndoa
ᴅʀ ᴇʟʏ' sʜɪɪɪᴅᴀ ᴍᴇɴ
Wanaume selfish
Isaya 30:20b... Na waalimu wako hawatafichwa tena, Bali macho yako yataona waalimu wako. Wakisema njia ni hii ifuateni..) Kipindi ni kizuri na mafundisho ni bombaaaaa.Wadau tunaomba Mpesa/Tigo pesa ya kutuma maji ya waalimu wakiwa studio.
Safi dor shukran
jamani