Hiyo ya tatu nimeielewa sana na nikweli kwa sababu na mm ni miongoni mwa watu ambao akiba imenifungulia amani na kifanya fulsa zenye kuhitaji pesa nyingi kwa kutumia akiba .thanks sana broh mungu akuzidishie uzima utupe elim coz unatumia elim yako vizuri kuelimisha watu
Nimejifunza kitu nashukuru Kaka Joel natakiwa kuweka akiba Ila hapo kwny utulivu wa akili imenigusa mpaka nimecheka ukiwa huna akiba....unahisi kufakufa tuu Kama dunia inakuangukia kweli Kaka yang
Presentation zako zipo powa sanaa nazidi muomba mungu nionane na wewe a keep studying book ila vitabu vyako viko vizurii sanaa kaka joel nanauka naitwa Paulo kazuba niko chuo cha DuCe .. nagifunzaa public speaker wwe unaifupatia knoweledge naongezea pia kwa vitabu navyo somaaa asantee kwa kusoma ujumbe huu
Kaka uko vizuri Sana aiseee nataman siku moja nifike hapo ulipo nikuletee zawad yako unastahili kupokea zawad yangu maana umeyabadilisha maisha yangu kwa asilimia 1000%
sababu zote ulizozitaja hapo ni muhimu sana kaka joel...kila sababu moja inabeba nyingine na mwisho wa siku zote zinakuwa za muhimu..baraka ziwe juu yako na juu yetu pia kama tutazingatia ulichotoa katika somo
Joel umeniamsha akili yangu sana ni ponface maruti kutoka Kenya nitakutempelea Sikh moja Tanzania mungu akupariki sana uziti kusaitia wengi na kipawa chenye mungu alikupa asandi
Wakenya tuisukume hii video kwa status ili wenzetu nao waelimike,,kwa kweli kaka anatuelimisha tumuombeeni kwa pamoja mungu ampe afya na moyo zaidi apate kutuelimisha kwa pamoja.Mimi mkenya lakini niko Oman natizama kila video yako unavoiweka,,kwa kweli kwanzia nianze kutizama video zako nimefika mbali sana.Mungu akueke kaka akupe na afya tuseme amiin🤲
Akiba kwa ajili ya utulivu ni namba moja kwani unakuwa na uhakika wa kukabiliana na dharura inayohitaji pesa kwa kiasi fulani. Lakini kuweka akiba tu wakati dharura ikitokea unaweza kuitumia yote nayo inakuwa bado si vyema sana. Sasa kama una akiba na fursa imetokea na ukaitumia vizuri inaweza badilisha maisha yako. Somo nzuri sana mkuu,,,,👍
somo zurii sana kwahakia ..ijapokuwa nimechelewa kuanza kukufatilia kupitia video zako.. lakin ninashukuru maeke naanza kubadili mwenendo wa maisha yangu
Kwangu nimeona ni muhimu zaidi kuweka akiba kwa ajili fursa zinazojitokeza , mara papu nyumba inauzwa hapahapa ninapofanyia biasha halafu ananunua mwingine itakuwa ni zaidi ya maumivu
Masha Allah!!!Broo uko vizuri kwa kuelimisha jamii.Mungu akujaalie moyo huo huo wa kujitolea kutuelimisha🔥🔥. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Mombasa.Mimi wa kwanza umenielimisha...
Kweli kaka bila ya kuweka hakiba maisha utayaona magumu hata kama unalipwa million sita kwa mwezi, Asante sana kaka kwa somo zuri.
Hiyo ya tatu nimeielewa sana na nikweli kwa sababu na mm ni miongoni mwa watu ambao akiba imenifungulia amani na kifanya fulsa zenye kuhitaji pesa nyingi kwa kutumia akiba .thanks sana broh mungu akuzidishie uzima utupe elim coz unatumia elim yako vizuri kuelimisha watu
Somo zuri Sana, akiba inatupa utulivu wa akili, Akili ikiwa imetulia unaweza fanya mengi sana
ni kweli kabisaaa
Nimejifunza kitu nashukuru Kaka Joel natakiwa kuweka akiba Ila hapo kwny utulivu wa akili imenigusa mpaka nimecheka ukiwa huna akiba....unahisi kufakufa tuu Kama dunia inakuangukia kweli Kaka yang
Presentation zako zipo powa sanaa nazidi muomba mungu nionane na wewe a keep studying book ila vitabu vyako viko vizurii sanaa kaka joel nanauka naitwa Paulo kazuba niko chuo cha DuCe .. nagifunzaa public speaker wwe unaifupatia knoweledge naongezea pia kwa vitabu navyo somaaa asantee kwa kusoma ujumbe huu
Kaka uko vizuri Sana aiseee nataman siku moja nifike hapo ulipo nikuletee zawad yako unastahili kupokea zawad yangu maana umeyabadilisha maisha yangu kwa asilimia 1000%
Karibu,nakusubiri
sababu zote ulizozitaja hapo ni muhimu sana kaka joel...kila sababu moja inabeba nyingine na mwisho wa siku zote zinakuwa za muhimu..baraka ziwe juu yako na juu yetu pia kama tutazingatia ulichotoa katika somo
Yani unanipoza sana kaka hasa nikiwa nakosea
Kaka uko vizuri Yani hapo kwenye akiba nimejikuta namiliki Mali nyingi Sana kupitia akiba ..asante sana
Shukran sana hapo kwa fursa na nidhamu nikweli kabisa.
Ahsante kwa kufuatilia
Utulivu ktk kupangilia biashara zaidi pale ntakapoweka Akiba nikweli kabisa
Kweli umeongea hapa vizur asante
Kk akiba ni mtaji kwanza kabisa
Asante Sana mwalimu ,, video hii naamini itabadilisha maisha yangu ,,,
Ahsante kwa kuendelea kufuatilia kila
Wakati 🙏🏼
Ahsantee sanaaa 🙏
😂😂😂 najifunza pia nafurahi Joel ukikosa akiba unahis kama mwisho wa dunia unakuja..that made my day 😂. Umenifunza mengi Asante Mungu kwa uzima wako 🙏🏽
Ni kweli kabisa
Joel umeniamsha akili yangu sana ni ponface maruti kutoka Kenya nitakutempelea Sikh moja Tanzania mungu akupariki sana uziti kusaitia wengi na kipawa chenye mungu alikupa asandi
Jambo muhimu Sana jinsi ya kuweka akiba hongera unasaidia watu
Ni kweli kabisa
Mr Joel
Unatutengeneza kwa mambo mengi sana
God bless you!!!
Ahsante kaka hapo kwenye kuweka akiba kabla ya matumiz
Nimependa zaidi ktk kusaidia kutumia fursa zinazojitokeza bila kuzitarajia na kukuongezea kipato!Barikiwa sana braza
Sante kaka kwa mafunzo mazuri
Nilifanikiwa kutatua jambo muhimu sana kwa kujiwekea akiba,nimekuelewa vizuri sana shukrani.
Wow hongera sana Devotha🙏🏼
@@joelnanauka nashukuru kwa mafundisho Yako ubarikiwe.
Nimesaidika sana na masomo mazur, ahsante sana
Wakenya tuisukume hii video kwa status ili wenzetu nao waelimike,,kwa kweli kaka anatuelimisha tumuombeeni kwa pamoja mungu ampe afya na moyo zaidi apate kutuelimisha kwa pamoja.Mimi mkenya lakini niko Oman natizama kila video yako unavoiweka,,kwa kweli kwanzia nianze kutizama video zako nimefika mbali sana.Mungu akueke kaka akupe na afya tuseme amiin🤲
Nakushukuru sana kwa kuendelea kufuatilia na kujifunza. Tuendelee kushare na wengine pia🙏🏼
Imei gundua kitu
Muhimu sana Mungu akuba rik
Akiba kwa ajili ya utulivu ni namba moja kwani unakuwa na uhakika wa kukabiliana na dharura inayohitaji pesa kwa kiasi fulani. Lakini kuweka akiba tu wakati dharura ikitokea unaweza kuitumia yote nayo inakuwa bado si vyema sana.
Sasa kama una akiba na fursa imetokea na ukaitumia vizuri inaweza badilisha maisha yako.
Somo nzuri sana mkuu,,,,👍
SoMo zuri sana hta mini kuna wakati fursa zinajitokez najijuta sin akiba na wenye akiba wanazchkua
Sure...akiba haiozi,weka akiba kwa malengo👍
Kweli ndugu Joel, Mungu amekubariki. Kuhusu akiba umenipa muelekeo mzuri sana. Hasa kwenye swala la utulivu wa akili.
somo zurii sana kwahakia ..ijapokuwa nimechelewa kuanza kukufatilia kupitia video zako.. lakin ninashukuru maeke naanza kubadili mwenendo wa maisha yangu
nakubalisan kaka tuelimshe tu mungu atakujaliya milele ilavtabutuelekezenamna yakuvipata
Nimekuelewa sana una masomo mazuri sana mungu akubaliki ila naomba kujua vitabu vyako vinapatikana wapi
Ameen, karibu sana kupata vitabu tuwasiliane 0762 31 21 71
Asante sana Sir Joel nanauka
Big up my Kaka upo makini Sana Ahsante Sana kwa ujumbe mzuri
Pamoja sana🙏🏼
Shikamoooo... Nimekusoma vizuuuriii
Kaka tunashukuru Sana kuelimisha Watanzania.
Ipo sawa kabisa
Asante Kwa SoMo lako Kila siku napata ujuzi mpya kupitia wewe
Hakika yote ulio ongea ni kweli na yana faida, MUNGU akubariki sana
Ni ukweli ukiwa na nidhamu ya fedha,utaweza kuwa na nidhamu maeneo mengine kwa hakika imenigusa
Peace of mind kazi kubwa ya akiba aisee
Umenena Vema MAANA hatamimi Upandehuo Wa Akiba unanisumbuwa. Vitabu hivyo Vinauzwa beigani
Ubarikiwe sana kaka Joel. Hivyo vitabu napataje hard copy na ni kiasi gani kwakila kitabu. Me Niko Manyara.
Hongera Kwa Somo zur
Kaka umetisha yote tu yako pw
Asante kaka joel kwa kujitoa kwako kutuelimisha Mungu akubariki sana
Nimekupata vizuri .ubarikiwe kwa kutuelimisha
Kwangu nimeona ni muhimu zaidi kuweka akiba kwa ajili fursa zinazojitokeza , mara papu nyumba inauzwa hapahapa ninapofanyia biasha halafu ananunua mwingine itakuwa ni zaidi ya maumivu
Ni mwaka wakumi nipo kazin, ndo nmejifunza kuweka akiba. Point yako namba 3 ni kwel kabsa
Kaka nashukuru sana
Ni kweli kaka Joel
Asante kaka, kwa elimu nzuri, nitaanza kuweka akiba.
Hakika nimeelewa kitu broo
Asante kwa somo zuri bro
J Nanauka umenibadilisha sana maisha yangu kwa videos zako Mungu akubariki sana
Ameen namtukuza Mungu kwa hilo
Nimekuelewa sna bro
Kuna fursa nyingi zimenipita kwa kutokuwa na akiba.
Mafunzo mazuri mimi kila siku nafuatilia mada zako miaka miwili mfululizo sasa, nimejifunza mengi. Pia nimeongeza kujiamini
Hongera sana Happy, nashukuru kwa kuendelea kunifuatilia🙏🏼
Upo vizuri mkuu
Nakuelewa sanaa kaka
Nimekuelewa sana bro ubarikiwe
Hapo kwenye akiba ikitokea fursa unaitumia hapo nami ndipo nilipotobolea
Ahsante Sana ubalikiwe Joel nan
nakuelewa vizuri mentor wangu
Nataka hicho kitabu cha kuweka akiba kwa kiswahili
Nakushuru sana ,umenifungua akil ,navipataje hivyo vitabu
Karibu sana 0762 31 21 71 utavipata
Asante bro true
Ubarikiwe sana mtumishi.
br am proud of you...
Thanks bro
Nashukuru kaka
Kaka naanza kuweka akiba
Zeto lakini zaidi
(Ni utulivu wa akili)
Asee bro ubarikiw kutokan na masomo yako unatufanya tutimize malengo
Uko vizuri kwa kutuelimisha aise
Ahsante nimeaza kuweka Akiba
Toka nikiwa Skuli
Wakatihuo kulikuwa na Bank ya Posta unapeleka kitu cha posta
Ubarikiwe
Kweli akiba inaleta utulivu wa akili
Nakubali
Vitabu vyako kaka napataje
Mungu akubariki sana
Kwa nini hivi vitabu vyako havipatikani huku kwetu Mombasa jamhuri ya Keny?
Ni nouma.
kaka nikweli kabisa akili inatulia kabisaukiwa na akiba
THANKS KAKA
thank you so much
Asante kaka nakufatilia sana
Okay! Good idea
Nakubali kaka
Ahsante
Good 😊
Nimependa mafunzo yako mr
Pastor Joel nakutafuta
Ni kweli
That is true brother
Joel nije unipunguzie Vitabu basi😂😂😂😂
Masha Allah!!!Broo uko vizuri kwa kuelimisha jamii.Mungu akujaalie moyo huo huo wa kujitolea kutuelimisha🔥🔥. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Mombasa.Mimi wa kwanza umenielimisha...
Ameen, ahsante sana sana🙏🏼
fursa zinazo jitokeza apo imenigusa sana
Umeshawahi kukutana na hiyo hali
Mm ni shuhuda WA I'lo skuwa naweka akiba awal ila now naweka naimenisaidia
Sawaaa
Asante sana ndugu yangu Joel,nabarikiwa na elimu Yako,..ila nauliza can I download your series