Its so amazing, i share the same love-marriage story. Met my lovely wife on facebook june 18th 2018.. akiwa Tanzania mm nikiwa Qatar, miezi 9 baadae ambayo ni feb 16 2019 nikaja Tz kila kitu kilikua tayari ndio tulifunga ndoa. Hapa hatujawahi kuonana kwanza mm mkenya na mke wangu mtanzania. Tunapendana sana na Mwenyezi Mungu katujaalia na mtoto 1 sasa. With true love, its possible. Hongereni sana
Hongera sana mdogo wangu Dorothy. You have been a good child I have seen you growing up tukiwa shuleni. You have been cool all the way with that beauty that has never faded. Well behaved. Nakutakia heri na baraka tele. Make the man happy... treat him like a king he will make you his queen as you build your castle. Happy marriage life
Mimi pia nimeolewa kupitia tu mitandao sijawah kuonana nae nimemjua mme wangu siku tunafunga ndoa yaan ni nzur usiogope kila kitu mungu ndy anajua tumuachie
Mungu aibariki ndoa yenu. Naimani mtafurahia maisha yenu mpaka mtakapo zikana. Roho mtakatifu humuongoza mtu sehemu sahihi. Mungu akubariki sana kaka kwa kumsikiliza roho mtakatifu. Amina.👨👩👧👦💖
Nilikutana na mwanaume fulani fb 2013, leo imebaki kuwa story! Alianza na ‘mlipie mwanangu ada, sina nauli’, mama yake naye, walipie ada wajukuu wangu (watoto za binti zake), sina chakula, nataka nauli, nina jambo fulani mkoani!’ Niliwa block wote
Its so amazing, i share the same love-marriage story. Met my lovely wife on facebook june 18th 2018.. akiwa Tanzania mm nikiwa Qatar, miezi 9 baadae ambayo ni feb 16 2019 nikaja Tz kila kitu kilikua tayari ndio tulifunga ndoa.
Hapa hatujawahi kuonana kwanza mm mkenya na mke wangu mtanzania. Tunapendana sana na Mwenyezi Mungu katujaalia na mtoto 1 sasa.
With true love, its possible.
Hongereni sana
Fatuma nae anaoa c MAAJABU
Hongera Mungu hukutanisha popote don't worry Hiyo no yesu beautiful couples
Hongera
Bwana Fatuma aka Mr Fatuma nawatakieni kila la heri na Mrs Fatuma
Hongera sana mdogo wangu Dorothy. You have been a good child I have seen you growing up tukiwa shuleni. You have been cool all the way with that beauty that has never faded. Well behaved.
Nakutakia heri na baraka tele. Make the man happy... treat him like a king he will make you his queen as you build your castle.
Happy marriage life
If you don't have anything good to say to the couple it is a good idea unyamaze. Very nice looking couple, beautiful wedding ceremony, acheni wivu!
Umeongea sahihi Sana,watakie mema watu wafanikiwe, acheni kukosoa kosoa watu wanependana, hatuwez zaliwa sawa
Yes this is very true
@@dibabatv5761 you can p
Glory be to God,
I wishing you all the best ,Mungu awalinde, na kuwatunza,,na kuwafanikisha katika maisha yenu ya ndoa.
😃😃😃kwani Mahusiano yenyew yanasemaje 🙌🙌 ila everything is possible when yu trust God
Mmh niseme ya moyoni bwana na bi kharusi wameendana wamefanana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Msuwakosoe maarusi Mungu amewakutanisha. Jifunzeni kuacha wivu.
Dada wa kidimbwi huyu..mjanja kuliko jamaa..ila hongera sana..kizungu zaid
Ayeeee na ni mupyaa kweli kwelii🤩🤩nzuri mnoo👌
Waooh it's so amazing jmni,,God is great.😍
Mc hujawahi kufail
Mimi pia nimeolewa kupitia tu mitandao sijawah kuonana nae nimemjua mme wangu siku tunafunga ndoa yaan ni nzur usiogope kila kitu mungu ndy anajua tumuachie
Aswaaaah best ww kma mie tuuuh
Safi dear ukimtanguliza mungu hakuna kitakachoshindikana kwasabbu mungu ndy anatupangia kila kitu
@@habibatyntosso1436 Amina 🙏
Bora unatupa moyo
@@duhrurhhddhheud8575 yaah
Huyu mwanamke nahisi sio poa kama mcharuko kuliko mwanaume hapa
Umeona ee
@@rehemanditu686 Anakimuye muye kweli
@@masoudsalum9514 🤣🤣
Kweli Yani si kwa kihereher.amepata Kaka mstaarabu ajifunze toka kwake na atulie
Kabs 🤣
Hongera sana Dorothy usiache kuingana na mume wako katika maombi
Nimempenda Bibi harus hajaweka minywele ya bandia Kichwani, na mie cku Mungu akinijalia nikapata Mume! Cku ya harusi ctaweka nywele za bandia kichwani
Hamna ubaya na weaves,kila mtu na style yake,haimaniishi ya wengine mbaya,
Utampata
Hongera sana,lakini mbona bwana harusi mpole sana
Ameish marekan
Mpole wa juu mkali wa chini😂
😂😂😂😂😃🤣🤣🤣jaman km mie mume wangu alilosea number nakupiga kwngu ndipo tukafamihana humo
Weeee
Umepatikana kaka kwauyo mke
Kwa nn
Hapo pa roho mtakatifu
Holy spirit show me my husband too.
God bless your marriage
Mungu aibariki ndoa yenu. Naimani mtafurahia maisha yenu mpaka mtakapo zikana. Roho mtakatifu humuongoza mtu sehemu sahihi. Mungu akubariki sana kaka kwa kumsikiliza roho mtakatifu. Amina.👨👩👧👦💖
Ni nzuriii nimeipenda naomb nam nipate
Wale wanawake wote mnaotukana wanaume wakija fb au mesenja ndoa mtaisikia kwa wenzenu tuuuuh upooo 👌 mwenzenu nami nimepata stara fb 😂😜😜🙈
😅😅weeee
@@prettyh7509 🤔🤔
😆😆😆😆
Hongera kwako
@@m.mmarckus6298 asante my
That is True Love congratulation❤❤❤❤
Kazi ya Mungu haina makosa,mbarikiwe kwa ndoa yenu.
Jaman nataman kuolewa wananipa wivu daah,Bwana Yesu ahsante na meme yangu itafika.
Hongera nyingi kwenu mpendanao wote
Rey vp tena
Rey vp tena
Nimempenda bi harus kavaa simple mno
Kapendeza san
mbona kama ana sura yakike hongerani sana mnapendexan
Jamn na mm mungu si anioneshe the right person 😢😢
You want the right person that's my contact +27848885287
@@nyamangaking6608 😂😂😂
@@nyamangaking6608 nitajuaje km ni right person
Omba Mungu atakwambia lakini najua kila aliyeokoka kweli kweli is a right person
Let's talk in box +27848885287 but we must have enough time to know each other
The same thing happened to me, met the love of my life online in 2019
Mc uko vizuri
Hawa wanandoa wakaishi vyemaaa
Bro una talent kinoumaaa
Nlipata mume Facebook sasa tuna miaka 8 kwa ndoa na watoto wa3 na tuna Amani na maelewano kabisa tena nchi tofauti
Nawapongeza saana MUNGU babaa awajaliee daima
Nmegundua kitu😅😅😅😅Bibi kachachuka bwana mpole
Then bwana mcha Mungu haswa apo kwa kidawa !?!?!so watasaidiana kuchange all the best
Hahahaha mchachuajii
We mungu nisaidie nami nipate mime kama huyu
Mwanamke mdangaji sana uyo
Mh vipi kuhusu w
It's a matter of prayers and God will do the rest. be blessed Guys
Bibi harusi upo vzuri huna mambo mengi na umependeza sana
Mbona comment zimejaa za kiinglishi tu😂 kwani wenzangu namimi wabuza kwa lulenge hatupo
Hahahahahaha
So fantastic 😍😍😍
God's plan are always real 🙏🙏🙏❣️
Mwanamke hamna kitu jmn mpaka naona aibu kama nipo karibu vile
Kila la kheri comments nyingi mnasema mwanamke mcharuku wivu tu watu hupendana sio wngine huishia kuonywa kama mboga
Hahahaah kuonywa kama mboga
@@matundumgweno4533 kabsa mtoto wa shangazi 😄😄😄😄🤠💯
Mwanamke hamna kitu hapo mcharuko balaaa
Nyimbo waloingilia ukumbini hawa inaitwaje na kaimba nani please
Nilicho gundua kuna watu wana roho ya kwa nini kila kitu anapanga mwenyenzimung acheni wivu😏😏
Kbsaaa kipenz
Cheese huyu mwanamke mungu saidia
We unayesema cjui bwana harusi lastborn mara kama siyo rizki ndo nini
Wow congrats Doroth
Natamanii nami iwe like
Welcm to me
Heeh!
Npo If u like my dear
Njoo kwangu bibie
@@nilansaid2927 thanks
Glory to god
Hii nayo mupya!!!
Very good
Mdada anajishaua weee😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣adi raha
Acha afurahie, wengi wametamani hawakufanikiwa
😂😂😂
This is what we call trust,
Nilikutana na mwanaume fulani fb 2013, leo imebaki kuwa story! Alianza na ‘mlipie mwanangu ada, sina nauli’, mama yake naye, walipie ada wajukuu wangu (watoto za binti zake), sina chakula, nataka nauli, nina jambo fulani mkoani!’ Niliwa block wote
🤣🤣🤣
😂😂😂ntakua single forever
Ungetoa tu peaa makaratasi
@@shangwehubert5838, yaani nilishe familia kabla pete? Nitumie tigo kwa vile pesa ni makaratasi 😂
Hahahahahaha khaaa
Mwanamke anaonekana kama Govinda vile hapa ndgu wa Mme mmepatikana.
Kvp tena
Yes
GOD IS GOOD
Wamependeza sana
Wanapendeza
mbona kama mwanamke ana kitete kuolewa na kaka wa marekani
😂😂😂
Yote furaha hiyo..
Sasahv hao waowaji walivyokuwa hawapo unafanya mchezo nn?.
Waowaji wenyewe hakuna siku hizi hata ningekuwa mimi ningechangamka balaaa
@@alikutenga3303 😁😁😁😁😁
☺️☺️☺️ nzuri
Huyu mwanamke ana mawengeflan just msikilize vzr nikama jamaa kaokota zagabov
😅😅😅
Eti ZAGABOVU
@@user-ot2io4cy6w sindio mawengeflani iv mcharuko mcharuko iv yaki istergram flani
Mwanamke anashughulika
True Love still Exist 💓💓💓 Love bird's 👍🎉
Uyu mwanamke anaonekana wamoto kwer alafu kinajishauwa kumshika shika mwanaume iyo kwiyo
Kbs ani kanabwebwe
Hongera
Yes sir
Gara B kama Gara B,congrats
Hapa kaashwa mtoto m2
Waoooh so nice
Hata Sina mpango wa kuolewa na jini mim😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
How did you know what she is right person?, did you deeply investigate her much???.
Mkaka mpole ❣️
Yes
Mbona mwamba hayupo concrete maana Kuna wakurungwa wa buza kwa lulenge na mzee mparange wanamtazama tu
Hahaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
Unataka awaje
Kwamba Bibie ndiye wa kutoka mamtoni.
Beautiful ❣️❣️
hamna ndoa hapo. anaibiwa huyo
🤣🤣🤣🙆🙆
Inapendeza
Namm natafuta mume atakaye nipenda km nilivyo pindi atakapojua maisha yangu.namm nitampenda pia
Karibu kwangu
@@rogermomodesty3568 🤣🤣🤣🤣
Unasema kweli
@@LisaLisa-wd8oy Mambo
@@rogermomodesty3568 safi
Distance is not a barrier
Mwanamke mapepe
Nimependa
Very nice couple
Na mm kuanzia leo ntakuwa nsjibu sms za dm isikute nitapata mme
Hahahahah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waume tupo mbona,tunahitaji wanawake makini tu sio mawenge
Mimi nahitaji mke.plz that's my contacts mahari yangu awe ameokoka,and aslo she must be beautifully in all.ninamanisha mrembo sio tu mke
My contacts +27848885287looking for wife
Hongeren
Nzur
Subiri muendelezo na mwisho wa hiyo ndoa ndo nitakuja cu comment apa napita tu
Mke hakuna
Haki huyo dada kwa mwonekano tu labda tuone wataishia wapi ngoja ninyamaze
Nilichogundua hawa Wote ni Mademu nadhani Wakubwa Mmenielewa 😂😂😂😂😂😂😂
😁😁😁
Ha ha ha ha
Acheni mapepo shetani ninyi
True love 💪🏻
True love waits
Bibi harusi mcharuko yaweza kuwa karoga huyu siyo roho mtakatifu ni roho mtakakitu looo cyo kwa mcharuko huo
samira samira samira😂😂😂
Duuuh mmmmh haki alikuwa hanyandui wazungu
Dada mjuajii
Kumb inst kn wame😄😋
Aaaaahhhhh wapo ndiyo
Mmmmh hogera sanaaaaaa.nlmpata mmja uko uko kube freemason.jameni nigemezwa sai nmekoma kusaka mitadaoni.😃😃😃😃
😂😂😂😂
@@berthajonathan1211 😃😃😃😃😃😃aki nigemezwa aswaa
Hahahahaha pole
@@المهلهلالحراصي 😃😃😃😃nishapoa mdau.
😁 😁 😁 I storry haina part 2
Wooo💕
mwanamke kachangamka kama kazaliwa marekani
Saluni
Mmmh ni atr
Amen
Hatwaar
I need that roho mtakatifu to tell my future wife
She is here😅lol
😍😍😍😍😍😍😍🤩👌👌👌