African mtaburuzwa mpaka dunia inaisha kwa sababu fikira na uwezo kiuchumi vyote viko kwenye akili tegemezi kunusurika na haya nikubadiri mitahara yaelimu na kuwekeza kwa vijana
Wachambuzi waoga hawaoni positivity yoyote, hawasomi kwa-kina wanachambua kwakuangalia headlines za vyombo zakimataifa. Kikeke pekee anajua nini anafanya. Ila wachambuzi wengi ni waoga na hawajui kutafuta informations. Tunabaki kutamani kusikia mahojiano ya Kikeke pekee kuliko hao wachambuzi wavivu.😂
Lakini apo kwenye maswala ya kuleta madawa crime na drugs amekua anongeleya illegal migrant maranyingi huwa Mexicans na inchi jirani ila sio wafrica sababu wafrica wengi huwa wanapelekwa na un lazima huwende legal
Wanafiki tu hao marekani na ulaya bila kinyonya Africa watakufa na njaa hiyo ni propaganda za mdomo tu lkn under the carpet wanafosi uongo mtupu huyo Trump hana kitu wote ndio wale wale mimi sioni sababu ya mjadala maana alikuwepo mwanzo mbona watu waliishi
Viongozi wakuu wa Afrika wengi ni Majizi tuu. Hawawezi kutumia rasilimali zetu kujenga nchi zetu. Wengi wanaingia mikataba mibovu tuu. Rais wa Burkina Faso amewaonyesha njia
Huyu dr bhana! Anaathirije uchumi wa Tanzania kwan ss bila kutegemea wazung tutakufa? Mm nadhan trump ni mtu mzuri anajaribu kutufungua akili, Kinachotuua waafrica kiuchumi ni viongozi wetu wa kisiasa ambao bado hawajui kuzijenga nchi zet kiuchumi bila kuwategemea wazungu
Tramp is My favorite leader
Naipenda Cron Fm thats why nawaambia ukweli.
Safi sana Trump, kaza uzi hivyo hivyo ili tunyooke.
Tuna rasilimali nyingi mno, eti bado tunakuwa omba omba, ni aibu!!
Mmezidi nchi za Africa kila siku kuomba omba
African mtaburuzwa mpaka dunia inaisha kwa sababu fikira na uwezo kiuchumi vyote viko kwenye akili tegemezi kunusurika na haya nikubadiri mitahara yaelimu na kuwekeza kwa vijana
AFRIKA TUNAMALI WATAKUJA WENYEWE
Jibu lililopo trump anatufungua ubongo waafrika inatakiwa tujitambue na tupendane natuheshimiane
Ukweli ndio tusioupenda😂
AKUNA KITU MNAONGEA UPU.BAVU MSHAZOEA KUIBIWA
Wachambuzi waoga hawaoni positivity yoyote, hawasomi kwa-kina wanachambua kwakuangalia headlines za vyombo zakimataifa. Kikeke pekee anajua nini anafanya. Ila wachambuzi wengi ni waoga na hawajui kutafuta informations. Tunabaki kutamani kusikia mahojiano ya Kikeke pekee kuliko hao wachambuzi wavivu.😂
Sasa mama amezowea vikoba,, kuingia madarakani kwa Trump itakuwaje?
JPM ALIKUWA ANAJENGA NCHI NA TRUMPS RAIS WALIKUWA WANAKUJA WENYEWE
Afrika kwisha habari misada kwaeri
Nasisi afrika tujitegeme bona mashamba tunayo mapori kibao turime tujenge viwanda
tamp apendi africa sanaa na ndo walimpisha
Trump yupo sawa
Ni heri Trump asaidie kwako kuliko kusaidia watu ambao awajitambui Mpewe misada ihishe kwenye makosa ya watu
Lakini apo kwenye maswala ya kuleta madawa crime na drugs amekua anongeleya illegal migrant maranyingi huwa Mexicans na inchi jirani ila sio wafrica sababu wafrica wengi huwa wanapelekwa na un lazima huwende legal
Ndo ukweli huo wamarekani wanatujuwa sisi waafrika siyo majambazi
TUNATAKA TANZANIA RAIS KAMA JPM
Viva trump
HUYU MAMA SAMIA ATUPISHE TUNATAKA RAIS JASIRI
Wanafiki tu hao marekani na ulaya bila kinyonya Africa watakufa na njaa hiyo ni propaganda za mdomo tu lkn under the carpet wanafosi uongo mtupu huyo Trump hana kitu wote ndio wale wale mimi sioni sababu ya mjadala maana alikuwepo mwanzo mbona watu waliishi
Viongozi wakuu wa Afrika wengi ni Majizi tuu.
Hawawezi kutumia rasilimali zetu kujenga nchi zetu.
Wengi wanaingia mikataba mibovu tuu.
Rais wa Burkina Faso amewaonyesha njia
Kumbe magu aliaza kutufanya tujue kujitegemea!? Tuache kukopa nakutengemea misaada?? Sasa itakuwaje mbona pangumu????
Hasa Tanzania.Tanganyika na Zanzibar2?😅
Very good to be USA
Tramp again
Trump.yupo.sawa kabisa hatutaki kujitegemea
Trump yupo sahihi
Na sisi tumezidi kuwa tegemezi
Huyu jamaa ni ndugu wa lissu
Crown 👑 utadhani ni cnn,fox news ,dw na zingine zinavyo eneza propaganda chafu.
Athari ghanii tujitambuee afrikaa
WEWE BADO UNATAKA KUIBIWA TU
Huyu rais nyuma yake kuna nguvu mbaya
😢AFRICA WAMEKAA KUOMBA HOMBA TUU
Omba omba wote wanatia huruma saizi 😅😅😅😅😅😅 tafteni vya kwenu acheni shobo
MIAKA 60 YA UHURU NCHI ZA AFRIKA BADO OMBAOMBA! MBONA WACHINA, WAJAPANI N.K HAWAOMBI? TAFAKARI.
Hata jpm alisema 🇹🇿 kwanza
Afrika ipi? Sisi tunashukuru mashoga watapungua na misaaada yao itakoma
Watakao faidika na uhongozi wa tramp ni inchi za sahele tu kwa sababu wale sio vibaraka
Kwl
Wacha Trump atunyooshe Trump siyo mnafiki jpm alituambia hakuja mjomba wa kutusaidia hatukumuelewa wacha Trump atunyooshe