Ni juzi tuu nimeona mtoto yule mdogo wa Fanuel Sedekia amegraduate nilifurahi sana... watoto Mungu ndiye baba wa yatima hatawaacha...❤ Mungu awatunze amina🙏
I declare in the Name of Jesus Christ,you will succeed,you will prosper .Long life is your portion to you,your other siblings and your dear mum.You will not lack anything good in Jesus Mighty Name
In the name of the powerful lord Kwenye ulimwengu wa roho miaka ya mbelen Hawa watoto watawasha moto wa injili na kueneza wokovu kwa fujo sana 💥🔥💥 🕊️🕊️🕊️🙏🙏
Joan MUNGU akupe vipawa vya baba Yako Marco N'a vile Mungu amupe maman yenu muzazi maishi marefu awapanguze machozi na awalee katika woga wa Mungu Sasa Mungu alimupenda baba yenu Marco kuliko ninyinyi na alipemupenda kuliko watu wote Mungu Ndiye baba wa yatima n'a Ndiye Bwana wa wajane e'bu maman Joan utazame Tofauti kama vile mumeo alivyo kuimbiya FUMBO na kabla yote ilitokeya kisha kifo kyake Amini tu Mungu wako maman Joan mambo yote imekuwa Tofauti Ila Mungu hâta kuacha kamwe Watoto hawa watawa baraka kwako utalipwa usipo zimiya roho. Mimi ni mu Congo Ila mpaka Léo natoa machozi nikisema watu Wazuri wanaenda mbiyo Napokuona maman Joan najuwa Marco alikupenda sana Ila Mambo yakawa Tofauti na mawazo yake Mungu wa Mbiguni akupe nguvu mama na familiya yote Musipungukiwe kitu Siku zote za maisha yenu Ila Jophet iyiii upendo uliyo ishi n'a kuwa nayo kwa Ndugu Yoko Marco usiachiliye Karama ya hawa watoto wa Marco kwani Marco kupitiya hawa watoto ni pamoja nasi Uwashike waendeleye mbele kuimbiya mungu kama Marco baba yawo Ila Marco kwa utumishi alikuwa na zungumuza kifo chake Ila Sisi kama wanadamu hatuku tambuwa anasema Nini Lalikini alijuwa mwisho wake. Hâta iyi nyimbo ya Akida alizani atashuudiya nguvu za Mungu kumuponya lakini ilikuwa Tofauti..... Reste in pice Marco ❤❤❤❤ Tutakupenda daima
Huyu mtoto ni WA Marco j bukulu abaye alianga juzi katika Kwa zabron singers...namwobea mungu azidi kama bbake jina la bbake liendelee lisisaulika ❤❤❤❤nyimbo zenu sana 🙏 bwana piga in it....💋💋💋💋💞💞💗💞🙏🙏🙏🙏
Ooh Dear Lord protect this Angels that the legacy of Sir Joseph continue in his offsprings this hurts so deep we've cried asked questions but Lord takw control. Be the father to them
Wahoo! What an amazing children. Keep on lifting 🫴 your parents up. Stay strong 💪 for your mom. We serve an awesome God. Stay blessed. Love ❤️ your good spirit.🎉❤😮😮😮❤❤
I'm back here after this angel's 1st song 2021 God bless you baby boy 🥰😇, Shalom 😇. May God console your hearts 🙏 during this trying moments 😢💔😭, rest in eternal peace Marco 🙏.
A good lesson indeed to all married men. ensure you have left a legacy within your territory when your departure time shall come. Good work and R.I.P our brother now the fruits of your own seed ,they have taken over. Glory be to God.
UBARIKIWE SANA KIJANA MUNGU AZIDI KUKUTUMIA. MZAZI WAKE PIA MR-MARCO JOSEPH UBARIKIWE KWA KUMPATIA KIJANA WAKO MSINGI MZURI WA KUMTUMIKIA MUNGU. @Sir.Simu Tv🧑✈️
What a song!! God prepared Marco and has left a seed. Japheth water this seed and God's time you will be blessed. Pole sana. God will never leave this family has orphan but the spirit of God is with you
We thank God whole granted him Grace of having his own blood children before al these ❤❤❤❤ Glory be to God, crying but happy at the same time see the dp of a young boy who going to walk in the Light of Jesus Christ as his own dad did❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pôleni kwa kumpoteza baba mzazi, Mwenyezi Mungu awe mfariji kwenu, basi tulimpenda sana lakini Mungu amempenda zaidi nakumuita mbiyo, tunayo matumaini kuonana asubuhi kwa ufufuko wa kwanza kristo anapo Rudi.
Watoto hawa wana sauti za malaika . Mungu awabariki.
MUNGU naomba uachilie Neema kwa watoto hawa na mama yao Amen
Amen
Amen
Team smart girls let's gather here and lift this young Marco to another level for the sake of there dad and mom appreciation 👏👏🙏
Ni juzi tuu nimeona mtoto yule mdogo wa Fanuel Sedekia amegraduate nilifurahi sana... watoto Mungu ndiye baba wa yatima hatawaacha...❤ Mungu awatunze amina🙏
IPO channel gan hyo ya mtoto wa fanuel sedekia
we believe that huyu wa marco pia atagraduate maana naamini Mungu atajalia we know our jesus can never lie🙏🙏 #Mungu kumbuka hili familia
Jaman Mungu awabariki
May Jesus our Redeemer continue blessing this family. Jesus never fails.
Ipo chaneli Gani hiyo my😊
Keep going young ... so proud to have you 🙏
Nice song 🎉🎉🎉
I declare in the Name of Jesus Christ,you will succeed,you will prosper .Long life is your portion to you,your other siblings and your dear mum.You will not lack anything good in Jesus Mighty Name
Naomba tu japhet ashikilie huyu marco Joseph junior aendelee kueneza injiri . Like father like son may God bless this family 🙏
Amen
Amen amen 🙏🏽
Bora hata alizaa vitoto vyake vizuri jmnnnnnnn🥲🥲
Marco Joseph ndy huyu tunakupenda Sana mungu yuko na nyinyi msiogope atawafunika na mabawa Yake kama vile kuku ufunika watoto wake
BWANA akutunze mtoto mzuri Mungu akawe faraja yako katika kipindi hiki kigumu❤❤
Everything works for the good of those who trust him.Dada take courage in Jesus.Marco is alife
In the name of the powerful lord
Kwenye ulimwengu wa roho miaka ya mbelen Hawa watoto watawasha moto wa injili na kueneza wokovu kwa fujo sana 💥🔥💥 🕊️🕊️🕊️🙏🙏
Ncy video blessed song aki jose blessed
Alijitahd kupata watoto mapema hakika ameacha ata kumbukumb kupitia watoto hawaa 😢 wakati mwingne kuwah kuzaa Kuna faidaaa zakeee
🎉🎉🎉🎉mungu akupe talent keep going on
Mungu yu pamoja nanyi..endelezeni huduma ya Baba yenu..Marco Joseph Bukulu
Hongera sana mtot mzur mungu awe nanyi amen
Amen Hakika ninyi ni jeshi kubwa sana shambani mwa MUNGU,
Well talented NYC song and beats keep the good work baby boy God will provide and protect you🙏🙏
Mungu awabariki na kipaji Cha baba yenu muiendeleze injili ya Bwana
Watoto wetu, Mungu atawashikilia, tunawaombea . Mungu atawajazia pengo la baba.
Poleni sana
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakaookuwa mzee! Safi sana wazazi wa Joseph
Mungu ndiye baba kwa mayatima na mume kwa wajane. All shall be well 😢😢🙏🏿🙏🏿
Katoto kazuri endeleza kipaji Cha baba ako❤
MUNGU akusaidie katika kipaji chako hakika Familia nzima ni waimbaji Mungu awabariki sana tutaimba mbinguni sauti hii iwepo
Joan MUNGU akupe vipawa vya baba Yako Marco
N'a vile Mungu amupe maman yenu muzazi maishi marefu awapanguze machozi na awalee katika woga wa Mungu Sasa Mungu alimupenda baba yenu Marco kuliko ninyinyi na alipemupenda kuliko watu wote
Mungu Ndiye baba wa yatima n'a Ndiye Bwana wa wajane e'bu maman Joan utazame Tofauti kama vile mumeo alivyo kuimbiya FUMBO na kabla yote ilitokeya kisha kifo kyake Amini tu Mungu wako maman Joan mambo yote imekuwa Tofauti Ila Mungu hâta kuacha kamwe
Watoto hawa watawa baraka kwako utalipwa usipo zimiya roho.
Mimi ni mu Congo Ila mpaka Léo natoa machozi nikisema watu Wazuri wanaenda mbiyo
Napokuona maman Joan najuwa Marco alikupenda sana Ila Mambo yakawa Tofauti na mawazo yake
Mungu wa Mbiguni akupe nguvu mama na familiya yote Musipungukiwe kitu Siku zote za maisha yenu
Ila Jophet iyiii upendo uliyo ishi n'a kuwa nayo kwa Ndugu Yoko Marco usiachiliye Karama ya hawa watoto wa Marco kwani Marco kupitiya hawa watoto ni pamoja nasi
Uwashike waendeleye mbele kuimbiya mungu kama Marco baba yawo
Ila Marco kwa utumishi alikuwa na zungumuza kifo chake Ila Sisi kama wanadamu hatuku tambuwa anasema Nini
Lalikini alijuwa mwisho wake.
Hâta iyi nyimbo ya Akida alizani atashuudiya nguvu za Mungu kumuponya lakini ilikuwa Tofauti.....
Reste in pice Marco ❤❤❤❤
Tutakupenda daima
Mungu watu wanakutumikia ndo wanaenda kwa nini..😢 hii familia walinde ktk jina la Yesu
Mungu akubariki mtoto na akusaidie ufike mbal uendeleze kipaj cha baba ako
japhet familia hiyo sasa ipo mikonon mwako 😂
Wakuzwe Ki muziki kwenye sana
Huyu mtoto ni WA Marco j bukulu abaye alianga juzi katika Kwa zabron singers...namwobea mungu azidi kama bbake jina la bbake liendelee lisisaulika ❤❤❤❤nyimbo zenu sana 🙏 bwana piga in it....💋💋💋💋💞💞💗💞🙏🙏🙏🙏
Pole mwanangu kwa kupitiy kipindi hiki kigumu bb enu nimungu wambinguni milele atawalinda 😢😢😢😢😢🙏😭
Vizuri sana
Mungu ndiye baba wa yatima tunawaombea hakika atawatunza watoto wazuri.
May heavenly father grant you much blessings kids keep up the spirit
Ukimlea mtoto kwenye maadili mazuri inapendeza sana 🙏🙏🙏
Ooh Dear Lord protect this Angels that the legacy of Sir Joseph continue in his offsprings this hurts so deep we've cried asked questions but Lord takw control. Be the father to them
Mungu awatue nguvu watoto Kwa kuchukua kipaji Cha baba
Jamani inauma lakini ukiona hao watoto kuna faraja ya pekee, Mungu awapiganie watoto wazuri
Wahoo! What an amazing children. Keep on lifting 🫴 your parents up. Stay strong 💪 for your mom. We serve an awesome God. Stay blessed. Love ❤️ your good spirit.🎉❤😮😮😮❤❤
You are Amazing young boy with brother 😘 sister.May God protect you all.
I'm back here after this angel's 1st song 2021 God bless you baby boy 🥰😇, Shalom 😇.
May God console your hearts 🙏 during this trying moments 😢💔😭, rest in eternal peace Marco 🙏.
Mungu zidi kuwapa nguvu ya kueneza injili kupitia nyimbo kwa familia yote ya zabron singer
Oooh his father left them Marco Joseph zabron no more 😭😭💔💔😭😭😭
Lord protect this kids and their mum
Wimbo mzuri, Mungu amlaze marco mahali pema peponi.
Such a sweet and lovely voice jamani hapa hamna tofauti yoyote na babaye may God guide and protect you and your family baby boy
Eee Mungu uwalinde na uwabariki hawa watoto.
Nyie watoto. Mungu si awabariki sana mfike mbari. Mnaujasili sana
Bwana ni mwaminifu atakutendeeni kqa kadri za rehema zake na upendo wake . Azidi kuwadumisha kumfahamu katika utoto wenu,ujana na uzee!
A good lesson indeed to all married men. ensure you have left a legacy within your territory when your departure time shall come. Good work and R.I.P our brother now the fruits of your own seed ,they have taken over. Glory be to God.
❤❤😢😢E Mungu wakumbatiye watoto hawa nauwakuze vizuri❤❤❤
Mungu abariki kipaji mtoto wangu
Gold voice baby ... From kenya
haki mungu hawa tatoto watakuaje na babayao ashatangulia mungu mpee furaha siku zote
Pole sana mtoto wetu. Mungu awe nanyi
Mungu awabariki sana aendelee kukuza vipaji vyenu🎉❤🤝🙏
Mungu awe kiongozi mwema kwa kipindi hata milele 🙏🙏
UBARIKIWE SANA KIJANA MUNGU AZIDI KUKUTUMIA.
MZAZI WAKE PIA MR-MARCO JOSEPH UBARIKIWE KWA KUMPATIA KIJANA WAKO MSINGI MZURI WA KUMTUMIKIA MUNGU.
@Sir.Simu Tv🧑✈️
Huu wimbo unanibariki sana 🥰
May God bless you abundantly little boys 🙏🙏🙏🙏
Katika uimbaji NAKUOMBEA Mungu aende nawe mtoto kama vile alienda Na baba yako,
Japhet kazi ni kwako hapo juu ya uyu mtoto ana kitu kikubwa.. Mungu amtunze hakika
Mungu mungu awabariki awape maisha marefu sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishiufilembarisana amen
May God bless you kids and your mother 🙏u are in the hands of God orphans and widow are special to God amen nice song u will make it 🙏 ❤ 🎉🎉🎉
Mungu wangu mbona hvo marco na watoi watazia wapi
What a song!! God prepared Marco and has left a seed. Japheth water this seed and God's time you will be blessed. Pole sana. God will never leave this family has orphan but the spirit of God is with you
We thank God whole granted him Grace of having his own blood children before al these ❤❤❤❤ Glory be to God, crying but happy at the same time see the dp of a young boy who going to walk in the Light of Jesus Christ as his own dad did❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I can't believe this oh God giving them wisdom in Jesus name Amen
MUNGU awabariki
He's a shining star, tumwombee tu Uzima.
Mungu akutie nguvu usonge mbele
Ee mungu saidia awa watoto na iki kipaji,,,rip well our legend
God bless you little angels. You are going far; you will carry forward your father's legacy in the Kingdom of God. Barikiweni sana!!!!🙏🙏🙏
God bless you little ones 🙏
Kila niki angalia hawa watoto nashindwa kujikaza naumia mno😭🙌
Katoto kadogo kashakua yatima😢😢aky Mungu usiwaache.
Yatima na agali na mama....kuachwa na baba aina maana ashakuwa yatima
Mungu akutunze na akubariki ufike mbali katika karama yako pia kwenye masomo pia tunakupenda❤❤❤❤❤
Wishing you the best baby Joseph
Mungu akulejesee kipawa cha baba yako,,go,,go baby boy🙏🙏
God bless this children, to prosper
Barikiwa sana na mungu atawainua milele pamaja na mama yenu
God's doing... He's great
Mungu akubariki sana mtoto mzuri mungu awe nawe siku zote
Amina mkua mkimpendeza Mungu na wanadamu Mungu awafariji daima..😢
Mungu aendelee kuwa upande wenu mna hazina kubwa ya kipaki
Mungu awabariki watoto hatakama baba alisalimu amri
mungu akubariki wangu mkuwe mkimpendeza mungu na wanadamu pia baba yenu ameondoka lakini amewarishisha fani nzuri
Kwa iyi dunia yani nikua namasomo yakirasiku tukowapangaji kbs nimeyokwa namacozi kuona watoto wadogo kama haw kuacwa nabb wawoo akaondok kbs😢😢
Mungu akutunze mtoto mzuri kwa kipaji chako
Like the father Like the kids. Watching from Uganda.
May God bless you❤
BWANA AWABARIKI SANA watoto wazuri na awe faraja kwenye kipindi hiki kigumu mnachopitia .
Mungu awabari watoto mnasauti nzuri❤
Well done Yusuph Mazengo. You are truly going places. Where is your Mum? I hope she is fine.
❤❤❤❤❤the Lord is always with you kids❤❤❤❤
Pôleni kwa kumpoteza baba mzazi, Mwenyezi Mungu awe mfariji kwenu, basi tulimpenda sana lakini Mungu amempenda zaidi nakumuita mbiyo, tunayo matumaini kuonana asubuhi kwa ufufuko wa kwanza kristo anapo Rudi.