Joan MUNGU akupe vipawa vya baba Yako Marco N'a vile Mungu amupe maman yenu muzazi maishi marefu awapanguze machozi na awalee katika woga wa Mungu Sasa Mungu alimupenda baba yenu Marco kuliko ninyinyi na alipemupenda kuliko watu wote Mungu Ndiye baba wa yatima n'a Ndiye Bwana wa wajane e'bu maman Joan utazame Tofauti kama vile mumeo alivyo kuimbiya FUMBO na kabla yote ilitokeya kisha kifo kyake Amini tu Mungu wako maman Joan mambo yote imekuwa Tofauti Ila Mungu hâta kuacha kamwe Watoto hawa watawa baraka kwako utalipwa usipo zimiya roho. Mimi ni mu Congo Ila mpaka Léo natoa machozi nikisema watu Wazuri wanaenda mbiyo Napokuona maman Joan najuwa Marco alikupenda sana Ila Mambo yakawa Tofauti na mawazo yake Mungu wa Mbiguni akupe nguvu mama na familiya yote Musipungukiwe kitu Siku zote za maisha yenu Ila Jophet iyiii upendo uliyo ishi n'a kuwa nayo kwa Ndugu Yoko Marco usiachiliye Karama ya hawa watoto wa Marco kwani Marco kupitiya hawa watoto ni pamoja nasi Uwashike waendeleye mbele kuimbiya mungu kama Marco baba yawo Ila Marco kwa utumishi alikuwa na zungumuza kifo chake Ila Sisi kama wanadamu hatuku tambuwa anasema Nini Lalikini alijuwa mwisho wake. Hâta iyi nyimbo ya Akida alizani atashuudiya nguvu za Mungu kumuponya lakini ilikuwa Tofauti..... Reste in pice Marco ❤❤❤❤ Tutakupenda daima
😢Wabarikiwe
Huu mwimbo umeniliza Mungu akulinde❤
Mung u akupeleke mbali
Huu wimbo unanibariki sana 🥰

Unaimba vizuri sana mjukuu wangu keep it up
Wow Muumbaji awatunze watoto wazuri
😢😢 Mungu azidi kuwatunza
Mungu awapandishe viwango vya juu watoto wazuri Mufikie malengo mema
Mungu bariki
God bless you
Daaa mungu awatunze na kuwabark
Nice song 🎉🎉🎉
Mungu akupe afya kijana wetu uishi katika kumpendeza mungu🙏🙏 Ameen mdogo wangu
Hakika mungu kwetu ni kila kitu hata wakat wa huzun❤❤❤
Duh 😢 Mungu wambingun endelea kuwalinda hawa watoto na Mama yao❤
Like a father like son be blessed ❤❤❤
This is the work of God I love this from kenya.may God bless you abundantly ❤
Like father like son😢😢😢😢❤❤❤
Nawafunika kwa damu ya Yesu wa nazareti mwana kondoo aliyechijwa
God with you alwayz.
Well done Yusuph Mazengo. You are truly going places. Where is your Mum? I hope she is fine.
Good. Work
❤❤❤❤❤❤❤❤
Good bless u!!!❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ndivyo akuavyo
Mungu awabariki Sana
Amen
Very nice song.continue with the Same spirit.
Mungu ni wayatima
Emungu mwafinike kwa bawa zako
❤❤❤❤
mungu hawabariki watoto sijui tuseme nini ndio asante kwa babayenu kwa malezi mema waliwajia kabla atoke nduniani
Wishing you the best baby Joseph
Mungu abariki kipaji mtoto wangu
Aliko baba anafurahi Sana umemuwakilisha vyema❤️❤️❤️
🎉🎉🎉🎉mungu akupe talent keep going on
God bless this kids of Marco and stand with them in everything they do
Hongera sana mtot mzur mungu awe nanyi amen
Everything works for the good of those who trust him.Dada take courage in Jesus.Marco is alife
Mtoto umleyavyo
Wonderful 💖🙏🙌
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana keep it up utafika mbali😊😊😊😢😢❤❤❤❤❤❤😊😊
Japhet kazi ni kwako hapo juu ya uyu mtoto ana kitu kikubwa.. Mungu amtunze hakika
Mungu akutie nguvu usonge mbele
God be with you
Vizuri sana
Mbarikiwa sana
May our God bless thee all