Namshukuru sana Mungu kwaajiri yako mama yangu.Tangu saa tisa usiku nimeamka ilinijiandae kwa maombi.Nimekutana na ujumbe huu wa ajabu nimetiwa nguvu kubwa kitu ambacho nilikua naambiwa na Roho mtakatifu.Naomba maombi kwaajiri ya taarifa zangu ili kuponya mipango yangu hata kama niwatu wa kalibu wanao weza kufuatiliwa.barikiwa.
Namshukru Mungu kwa mafundisho yake kupitia mtumishi wake,nimejifunza,ee Mungu naomba uweke lijam yako kinywani mwangu nisiwe mtu wa kuongea ongea ovyo,bali nikae zaidi kwenye neno la Mungu na kuongonzwa na Roho mtakatfu.
Kunawakati nilikua nakwenda kwenye maombi kanisani saa kumi usiku nilikutana na mwanga kama radi wakati hakukuwa wingu lolote alafu ni msimu wa kiangazi, nikasikia ndaniyangu kamela unafuatiliwa.Bwana yesu anipiganie.
Nilipata mchumba church kumbe alikua ajente aliekua akitumika na mchungaji, nkazaa naye mtoto baada ya 2monthy alitoroka na mtoto. Nlipo wafatilia alitaka kuniangamiza lakin Mungu akaniepusha. Maombi yenu yanfikie plz
@@faridamndeme2751 amina,kuna maombi tutafanya online..na waliopo karibu tutakuwa na kambi ya maombi tegeta tarehe 29 nov mpaka 1 Dec.. Tegeta kwa mawasiliano zaidi 0712699762
mmh huyu ni mm kabisa sina.siri ya kwangu kabisa hata kwa mambo ya kiroho jaman mm huwa kama nawashwa mdomo na katka eneo la maendeleo kwanza ndio napigwa sana kwasabu ya kusema jambo kabla sijalifanya.
Dah hii ni kweli kabisa Mungu anirehemu na anipe mwanzo mpya Be blessed mtumishi
@@floradavid5216 amina amina
Hee umenigusa dada Asante mungu atusaidie vinywa vyetu barikiwa mtumishi
@@PendoPendos amina
Amina. Mungu anisaidie kutunza mambo yangu. Mtumishi barikiwa sana.
@@hellenfifi8952 amen
Mmmhhh!!!!! Mungu wa ajabu, ujumbe mpana sana! hakika nimejifunza kitu kikubwa sana. Amina mungu akubariki mama.
@@ibrahimusizya amen
Namshukuru sana Mungu kwaajiri yako mama yangu.Tangu saa tisa usiku nimeamka ilinijiandae kwa maombi.Nimekutana na ujumbe huu wa ajabu nimetiwa nguvu kubwa kitu ambacho nilikua naambiwa na Roho mtakatifu.Naomba maombi kwaajiri ya taarifa zangu ili kuponya mipango yangu hata kama niwatu wa kalibu wanao weza kufuatiliwa.barikiwa.
@@uziasinkamba7380 amina karibu
Nashukulu mtumishi wamungu Mimi Mimi nimeyaona nanilipewa habari nakweli vitu vyangu haviendi mungu akubari sana
Asante mtumishi ni kweli kabisa unayosema pia tunaomba uzungumze juu ya mapambo
@@valentinanduku8718 amina Valentina
Namshukru Mungu kwa mafundisho yake kupitia mtumishi wake,nimejifunza,ee Mungu naomba uweke lijam yako kinywani mwangu nisiwe mtu wa kuongea ongea ovyo,bali nikae zaidi kwenye neno la Mungu na kuongonzwa na Roho mtakatfu.
@@agnessmateru6256 amen
Kusikiza huu ujumbe wa mungu ni neemaa🙏barikiwa sana mtumishi
@@mkalma-i4q aminaa
Be blessed woman of God More Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@BettyadhiamboAlara yes amen
Asante mama kwa ujumbe mzuri..Mungu akubariki
@@liliangodfrey2379 amen
Asante sana nimejifunza kitu Mungu akubariki sana
Amen amen
Amen amen, Wewe ni Baraka sana kwetu wanawake.
@@daynessmushi3322 amina nashukuru mzidi kuniombea
AMEN AMEN,ubarikiwe sana mutumishi,nimejifunza sana asante sana.
@@LorineOgola-ro7jd amen amen
Kweli kabisa Dada umenifunza kitu, MUNGU akubariki.
@@marymasele5186 amina
Naked truth ,may God help us to seal our mouth to our secrets
@@NellyDeborah77 amen
Amen umenifungua masiko ubarikiwe.
@@BernadethaMwita be blessed
Mungu naomba katika Jina la Yesu ninavyosikiliza hili somo nirudishiwe vyote nilivyoibiwa. Amen Asante sana kwa somo kubwa hili
Ubarikiwe.
@@annijulius4953 amina
Mimi nabarikiwa saana sababu yote umeongea nimimi kabisa na Mungu anisamehetu saaana piya ubarikiwe sana mjakazi
@@salimajosephine1673 amee
Mungu akubariki kwa hudima binafsi nimejifunza kitu Mungu anisaidie
@@FranciscaRashidy amina
Amena Kubwa MUNGU akubariki sana tumeshukuru kwa maubiri yakunjenga
@@MasokaEnoke amina
Ukweli dadangu mimi binafsi nime hadhirika sana asante kwa hili somo
Pole sana
Mungu akubarki mno hili somo linanihusu mimi kabisa hakuna rafiki mwaminifu kabisa
Amen
Ujumbe mzuri,barikiwa sana
@@heriethmwanguya433 amen amen
Ameen, Asante kwa somo zuri Mungu azidi kukubariki 🔥
@@agnesaron7108 amina
Amen mama ubarikiwe sana
Nimejifunza kwakweli
@@BeatriceMgumba aminaa
Asanteh mama kwa ujumbe mzuri
@@faithchalalika amen
Ubarikiwe sana mama
Aminaa
Amen Amen Hallelujah,nimebarikiwa Sana
@@rosemarymwanitega7926 aminaa
Amen mama barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@@Estapius amen
Amina sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa na SoMo hili
@@PendoNyorobi amen
Kunawakati nilikua nakwenda kwenye maombi kanisani saa kumi usiku nilikutana na mwanga kama radi wakati hakukuwa wingu lolote alafu ni msimu wa kiangazi, nikasikia ndaniyangu kamela unafuatiliwa.Bwana yesu anipiganie.
@@uziasinkamba7380 iyo kamera ina maana kuna mahali uliwapa uhalali wakakuekea kamera
Mbona kama roho mtakatifu anaongea na mimi Mungu akubaliki sana mtumishi wa Mungu
@@alinependo-bk4jj amen
Amen mtumishi wa MUNGU
@@AmbeleMwakihaba aminaa
Ameen amen barikiwa sam mutumish wcMungu
@@abigaelmwadena2262 amen
Ameen. Somo hili limenigusa sana
Amen
Asante sana
Well said ❤
@@heriethsoderqvist9806 amen
Asante ibarikiwe
Amen
Bwana Yesu nitenge na pepo la kuongea ongea ovyo,amina
@@agnessmateru6256 amen
Barikiwa mtuimishi
@@IkundaZephania amen
Mungu azidi kutenda makuu kwako
@@djmackmovies. aminaa
Ubarikiwe sana mtumishi
Amina
Amen nimebarikiwa sana
@@RehemaRehema-g6r amen
Nilipata mchumba church kumbe alikua ajente aliekua akitumika na mchungaji, nkazaa naye mtoto baada ya 2monthy alitoroka na mtoto. Nlipo wafatilia alitaka kuniangamiza lakin Mungu akaniepusha. Maombi yenu yanfikie plz
@@Hellen-gw5cb pole sn nipigie 0712699762
Asee Pole sana
Ulipata mtoto wako?pole sana,endelea kuomba sana.
Barikiwa sana mama mtumishi.
@@RoseMayige-gn9qb amina amina
Asante Yesu kwa mafunuo haya
@@valentinanduku8718 amen
Be blessed
@@NellyDeborah77 amen
Ameeeeeen Ameeeeeen mama yani umenifunza kwa kweli BWANA naomba nifunze kufunga kinywa
@@YESUNIBWANA84 amina
Amen Amen barikiwa
@@gracemuthoni1658 amen
Amen mama kwa mafundisho
@@lydianjau648 amen
Mtumishi unahudumu kanisa gani mkoa gani?
@@aminankinda amen
@@aminankinda mim ni mama mch Kanisa lipo Tegeta Kibo complex karibu sana 0712699762
Mtumishi mungu akubaliki niniwamba pia kuna watu wanatembea na mapepo na hayo ndio chanzo cha matatizo ukiongea wanadikila wanafanyia kazi
@@fidelfidel-jz4iw amina
Mtumishi ubarikiwe
@@rhodamahembe3206 barikiwa
Amen mjakazi wa Bwana
@@luenachannel ahsante
Kwel kabisa mama
Amina ant
Amina anti Mag
Asante yani mimi niriamini watu wa mukanisa nawaerezea mambo yangu ivisasa yamegeuka kipigo kwangu. Nikweli dada
@@NdarusanzeLeonidas pole sn
Kabisa
Amen
Ubarkiwe
Amina
Amen 🙏
@@AliBosskubwa-w3v amen
Mungu akubariki sana
@@machozikasimu amina
Ameeeeen Yesu wetu kwa neno
Amen amen
Nimebariwa sana nikiwa Kenya
@@essymaish4790 amina amina
Amen mtumishi
@@AfirenAfiren amen
Mama mchungaji tunaomba uwe unaelekeza kanisa lilipo🥺
@@agnessantony7105 amina kanisa lipo Tegeta kibo,panda gar za bunju shuka,kibo complex the nipigie 0712699762
Amina mama Asante kwakutufungua Mungu. akubariki
@@rebecahosea4849 amina
Ubarikiwe sana ujumbe mzuri umekuja kwa ajili yangu
Amina amina
Yani najiona kabisa taarifa zangu zimedakwa😢htr.
@@sekikigosi8265 inabidi uzifute wasizipate kwenye kambi yao
Very true
@@JesusismyLord-o5u yes yes
Ndio mana Asante YESU
@@faridamndeme2751 amen
Aminaa
@@nellydeborah943 amen
❤
HAKI NAKUSHUKURU LEO NMEJIFUNZA KITU SIKUWAHI JUA TOKA NMEZALIWA
Amina
Amen amen amen
@@Jane-tn5qq amen
Amen
@@Annaibrahim-J amen
Amina
Amen
❤❤❤❤amina
@@utakatifunahaki5095 amina
Mungu anisaidie sanaa
@@joycehenry3491 amen amen
Naomba mungu anirehemu
@@rahelmnkondya4992 amina
Aminnn
@@LATIFAJOSEPH-h5q amima
Aminnn 15:09
@@LATIFAJOSEPH-h5q amin
Nimejifinza kitu
@@essymaish4790 amina
Ameni
@@JohanesJester amen
Sasa tufanye nini kama tupo sehemu ambayo sio sahihi na huduma tulikuwa nazo na zinakandamizwa na maisha tunayo pitia
@@faridamndeme2751 amina,kuna maombi tutafanya online..na waliopo karibu tutakuwa na kambi ya maombi tegeta tarehe 29 nov mpaka 1 Dec.. Tegeta kwa mawasiliano zaidi 0712699762
Nikweli mwana wa MUNGU
@@RehemaMtono amen
@@Nenolamaarifa Amen amen tunaendelea kujifunza mengi kutoka kwako barikiwa sana
Ameeeeen Ameeeeen
@@helenmdee4004 amen
Ameeeeeeeen
Amen
Amen Amen 🎉
@@sekikigosi8265 amen
Naam
@@ObedJKatunzi amina
Naomba.yamba.yako.mmy
@@VeronikaMalugu +255712699762 karibu maa
mmh huyu ni mm kabisa sina.siri ya kwangu kabisa hata kwa mambo ya kiroho jaman mm huwa kama nawashwa mdomo na katka eneo la maendeleo kwanza ndio napigwa sana kwasabu ya kusema jambo kabla sijalifanya.
@@agnestunu5527 pole sn
Amen naomba mniunganishe Kama Kuna group la kutuma Link
@@AnnaZabron-d5p nitafute kwa 0712699762
Bwana apewe utukufu kwaajili ya sauti ya mama yetu
@@KauyeMadiga amen
Asante sana Mama Pastor Obed Mungu aendele kuongezeka kwako.
Amen Mchungaji
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen amen
Mungu akubariki sana
Amen
Ameni
@@MonicaAlexander-u2r amen amen
Amina
Amen
Amin
@@Daudimakaza-s1v amen
Amen
@@dorineonyango amen
Amen amen
@@liliangodfrey2379 amen Lily
Amen amen amen amen
@@BeatriceMgumba ameni