Eti Simba Chawene atapangiwa kazu nyingine Bashungwa alie omba mlima wa Kagera wapewe wanyarwana Kwa ajoli ya mifugo yao .Hapa kuna haja ya kutafakari uasalama wa wazawa wa nchi hii
Tudai katiba mpya ni ya muhimusana maana hii tuliyonayo inampa mamlaka makubwa Raisi kila mtumishi wa serikali anamteua yeye nchi ya teua teua ndomaana maendeleo hakuna kilakitu Raisi hakunalolote
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Wizara ya Mambo ya ndani inahitaji mtu makini sana
Safi mama naona Kuna kitu kizuri kinakuja 🎉🎉🎉🎉
Waooo Dr, Janabi
Masauni kachelewa kung'olewa!!
Sasa kangolewa au amebadilisha ugaliii ulikua tupa kuleee
@RomanMwinyi Kwani kabaki wizara hiyo hiyo? Basi hajang'olewa kabakizwa!
Alisubiri UCHAGUZI upite
Ongera sana mama Samia Kwa maono makubwa mungu akufanyie wepesi kwenye harakati zako za kujenga nchi
Mtahongera mpaka lini
Kila ck hongera zisizo na matunda
Kwa Bashungwa wizara ya mambo ya ndani hapo mama nimekuelewa
Hapo kachezaaaa
Hii nini sasa mzee magamba kuwa waziri michezo,bora wazee mstaafu
Bashungwa wapi hujateuliwa, mmh afya tu na uraisi sasa 😊
Kabud anaoendeza kuwa mambo ya nje
Kwa nn mawaziri wasiteuliwe kulingana na taaluma zao? Uteuzi wa bila kijali taaluma hauwezi kulita ufanisi katika utendaji.
Taifa la mikopo
Hapa mama nimemuelewa
Hadhari alikuwa anamuangusha sana samia watu wanapotea na yeye hana habari
Mbona naona wachezaji ni walewale kilicho badilika ni mfumo nikajua atawateua watu wanao weza hata kukomesha utekaji alah hamna kazi apo
Kwa bashungwa nisahihi nikijana msikivu nadhani ataliwajibisha jeshi la police nimuungwana kwa kweri lazima tumpe maua yake
Amen yuko vizuri
Kabudi kabudi mmh
Mbombo ngafu 😂
Katiba inakwepwa!!
Hawa wazee kama kabudi wangepumzika wabakie kua washauri tunataka vijana
Wameapa kufika humohumo
Nijambo lauzuni kubadilisha kilawakati chagua wapya wasominiwengi
Huyu masauni pumbavu kabisa aende tu hafai kbs
Huyo Afande mama Kaganda alifaa kuwa Rpc
Sio RPC anafaa kuwa IGP
Eti Simba Chawene atapangiwa kazu nyingine Bashungwa alie omba mlima wa Kagera wapewe wanyarwana Kwa ajoli ya mifugo yao .Hapa kuna haja ya kutafakari uasalama wa wazawa wa nchi hii
Mmmmmm nchi ya maiti zinazotembea ndio maana rais anaziba masikio ya watanzania wakimshauri
Alienacho ataongezewa
Kwakweli mama haeleweki
Amehamishwa ili aende akaharibu huko nako
Teuzi zakila wiki kaaaa
Huu Ni mchanganyo
Tudai katiba mpya ni ya muhimusana maana hii tuliyonayo inampa mamlaka makubwa Raisi kila mtumishi wa serikali anamteua yeye nchi ya teua teua ndomaana maendeleo hakuna kilakitu Raisi hakunalolote