Putin aomba radhi kwa Rais wa Azerbaijan kutokana na ajali ya ndege katika anga ya Urusi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 4 дня назад +13

    Vizur sana putin kwa kuomba msamaha kwa mwenzako ❤❤

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 4 дня назад +5

    Marekani 😭😭😭

  • @NeemaGumbo-k5n
    @NeemaGumbo-k5n 4 дня назад +10

    Nawashangaa mnao waona warusi ni wazur mzungu ni mzungu tu hata awe mrusi ndio hao haotu

    • @dorcaskarago2876
      @dorcaskarago2876 4 дня назад +1

      Kwanza mrusi ndiyo mbaya sana afadhali marekani kidogo kunahaki ya weusi

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 4 дня назад

      ​@@dorcaskarago2876Haki gani wewe kenge

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 4 дня назад

      🙏🙏🫡🫡🫡🇹🇿

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 4 дня назад

      ​@@dorcaskarago2876Haki ya mashoga???

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 4 дня назад

      Subiri mumeo akuletee chakula ule 😂😂

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 4 дня назад +1

    Awa wazungu nao wanafell wapi wanajua kabisa kam anga sio salam kwann waruhusu ndg kupita anga hil😢😢

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 4 дня назад +1

    Uungwana🔥🔥

  • @XaveryBillings-w1t
    @XaveryBillings-w1t 3 дня назад

    ingekuwa israel au marekani ungesikia wale nguruwe wa dini toka manka na medina

  • @WaziriHassan-u2d
    @WaziriHassan-u2d 4 дня назад +1

    Acheni kupigana banae

  • @harrietsanga5483
    @harrietsanga5483 4 дня назад +1

    Akili za watanzania mhhhhhh

  • @boscomakala.3923
    @boscomakala.3923 4 дня назад +1

    Amini usiamini hapa kuna kitu kililengwa bana sio bure kuishambulia ndege ya abiri maana ingekuwa n bahati mbaya kweli tokea vita ianze ndege ngapi za abiria zimepita iyo ange.....mm nakataa bana sio bahati mbaya hii.

    • @nakeidepaulo2766
      @nakeidepaulo2766 4 дня назад

      Apa Kuna mtu alikuwaa analengwa ndan ya ndege not coincidence

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 4 дня назад +3

    Kumbe kaitwanga mwenyew

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 4 дня назад

    Hiyo anga sio salama kwa usafiri

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 4 дня назад +4

    ndege kubwa iyo marecan inatakia nini kuingilia nchi za watu wengine yeye aoni kila siku anauwa watu watoto wadogo na wanawake maluuni mkubwa iyo vita ya ucrein nani kaileta uyo kafir mkubwa nauyo raisi wa ucrein apigwe boom moja ishe ucrein basi

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 4 дня назад +4

      Kama ambavyo huwezi andika vizuri ,ndio na Putin hawezi hicho unachokiomba😂😂😂😂

    • @ProJays
      @ProJays 4 дня назад +1

      Utasikia wengne wanaunga mkono nchi flani vita ni vibaya sana wengne uhumia ata hawausiki n lolote

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 дня назад

      Mwanga ww utakufa na husda zako

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 4 дня назад +1

      Ucrein na marecan hizi nchi zinapatikana bara gani,😂😂povu jingi hata kuandika hujui au unaandika kutumia miguu 😂😂

    • @pinielefraem4159
      @pinielefraem4159 4 дня назад

      Kwanza ncheke😅😅

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 3 дня назад

    Ingekua ndo US imefanya haya 😂

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 4 дня назад +7

    Angekuwa Israel..ungeskia kelele za watu wa dini Fulani...

    • @husseinc
      @husseinc 4 дня назад +1

      Kwanini ukraine inafanya vitendo vya kigaidi?

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 4 дня назад

      @husseinc Kati ya Urusi na Ukraine aliyevamia nchi ya mwenzake ni Nani

    • @husseinc
      @husseinc 4 дня назад +2

      @@omondiowino7875 unazijua silaha za maangamizi nyuklia na genge la ugaidi nato?

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 4 дня назад

      @husseinc Magaidi wa kiislamu ndo wanaongoza Kwa ugaidi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 дня назад

      Balaa

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 4 дня назад

    Duuuuuh

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 4 дня назад +1

    Huwoni ubatili, hawondiyo waliyaangusha, warusi niwauwaji

  • @kingboypodcast
    @kingboypodcast 4 дня назад

    Vyovyote vile itakavyokuwa ni sawa tu,wacha wapigane

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 4 дня назад +1

    Putin anajielewa hizo nifitna ya marekan

  • @josephineatieno8486
    @josephineatieno8486 4 дня назад +2

    Ingekuwa netanyahu aisee UN kikao na maandamano kibao

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 4 дня назад +2

    Ndio mjue vita ya Ukraine imewavuruga Urusi mpaka wameidungua ndege ya abiria😂

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 4 дня назад +2

    hi yote sababu ya American na wazungu wenzake puttin maliza ucrein yote iishe kabisa

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 4 дня назад +1

    Putin na Netanyau ni wauaaji wakuubwa ila ni vile tu kuna kikundi cha watu wa hovyo wanaona ni haki wanachokifanya😢😢

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 4 дня назад

    Inamaan izi coment zoote hapo akuna binadam alisikitishwa na watu walikufa kama wanayama amna kabisa ila nyie akili za sisi watanzania jamn