Ni kweli mafundi inaweza kuwa sababu lakini moja kati ya sababu kubwa ni wamiliki wa gari unapojaribu kumpa elimuekuhusu hitilafu ulioiyona anaweza kukwambia hii ninayo zaid ya miaka 2 ABS inawaka we achananayo,ilihali ushamuelezea kila kitu je unafikiri ninikifanyike ikiwa mmiliki anakua na ujuzi kuliko Fundi endapo utampa maelezo na maelekezo ya usalama wake pamoja na gari?