Why am i crying 😭..Bwana leo nazibeba shukurani zangu nazileta kwako.ninao muujiza ktk maisha yangu bwana umetenda na wala sii moja.kwa muujiza huu niacheni niende kwa baba nikaseme japo asante.indeed this is a nice song.wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪gonga likes za Japhet zabron tukisonga❤🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen. Wacha niende kwa baba nikaseme asante…baba yule aishiye juu mbinguni . Siyo binadamu. Asante Baba kwa yote . Japheth, kipawa cha utunzi Mungu alikupa kwa kweli.
Samahan naomba kuulize Kaka Japheth wa zabron Hivi Ile nyimbo ya Akida Ipo tyr au bd Maana Ninaona Live Tu Mkiwa Kisumu By the way Napenda Sana Huduma menu zabron singas 🎉🎉🎉🎉🎉
I love you so much, my dear brother keep going. Keep moving forward me keep you all safe. You and your family bless your songs. Appreciate it. You good with your career.
Amen .... Gratitude is a virtue...we are surrounded by miracles on daily basis....but we need to learn to be thankful....for it is only Christ without him we are nothing...thank you for the wonderful song❤
Wow amazing ♥️🎉🎉 this song is touching indeed keep up may God protect you always and grant you wisdom, strength and be blessed man of God you are doing a good job much love ♥️ ♥️ from Kenya we love you
Woow nice song zabron am blessed this year has been tough to us as family Lossing our loved one and many bt through this song I know shida zangu zitakoma, rest in peace Marco and my uncle Eric
Kama unaamini japhet ni MTUNZI na mwalimu wa zabron singers group tupia like
Ndo nini Sasa Ndugu 😅😅😅
😢
Point brother
Kenya tunaita song writer
@@RopLeonard1Talented guy
Kwa hakika mungu yupo pamoja nanyi kwa maana nikisikiza nyimbo zenu huwa na barikiwa mungu azidi kuwa bariki ili nanyi mbariki wengine.AMEN
Shida zinazo tukumba ni nyingi, Ee Mungu sema tu shida zetu zitakoma. Mubarikiwe sana Zabron Singers
Kenyans let's gather here.
His songs are blessings.
Kimi Kabisa!
I'm the first gospel artist to like this good gospel music video... Wapi likes zangu
Why am i crying 😭..Bwana leo nazibeba shukurani zangu nazileta kwako.ninao muujiza ktk maisha yangu bwana umetenda na wala sii moja.kwa muujiza huu niacheni niende kwa baba nikaseme japo asante.indeed this is a nice song.wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪gonga likes za Japhet zabron tukisonga❤🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
i listen to this song almost everyday
Indeed mungu amefanya miujiza
Wababa wote duniani Mungu awape maisha marefu yenye furaha na amani. Halafu nawaomba musiweke vitu rohoni mkapata pressure bure. Nawapenda wababa wote
Amina
Be blessed sister ❤️🔥 hakika MUNGU amefanya tena na atazidi kufanya🙏👏
Amazing song 🇰🇪 we love you Japhet God is taking you far
God bless you Zablon singers. Poleni sana kwa msiba. Mungu awafariji especially mjane. Tuna waombea. Japheth, Ahsante kwa wimbo huu. Mubarikiwe sana.
From Kenya 🇰🇪
This song has been a blessing for me today as I wait for my bundle of joy. I can't wait. Thank you LORD🙏🙏
Asante sana muimbaji ❤ niache niende imenipa amani moyoni🎉 nimeshukulu sana Asante baba mungu
Japheth kwa wimbo huu yaani nimebarikiwa sana sana Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu
This song is a blessing to me.....i cant start a day without listening to it...... Japheth for real you are talented Kenya twakupenda kaka❤❤❤❤❤
Who is still here in Nov,2024. Gonga comment jamani. Let's go!! ❤❤🎉🎉😮😮😅.
🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu akubariki sana japhet zabron
Mungu abariki vipawa na Kalama ya watoto Hawa mungu azidi kuwa siimamia juu ya Kalama mliyo nayo amen❤❤❤❤❤
Poleni sana ndugu Japhet kwa ku mpoteza mmoja wenu!! I’m so sad from Congo 🇨🇩
Nawapa poleni sana mungu awape wepesi wakati huu mgumu
Mungu akuepushe na kila baya mdogo wangu Japhet❤
Amen.
Wacha niende kwa baba nikaseme asante…baba yule aishiye juu mbinguni . Siyo binadamu.
Asante Baba kwa yote .
Japheth, kipawa cha utunzi Mungu alikupa kwa kweli.
Daaa!!! MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA, AMEN, POLENI WAFIWA
watu mnachanganya aliefariki sio huyu😀
Kabsa nyimbo zake huyu Japhet zinanibariki na kunifurahisha sana mno
Mungu wetu ni mkuu sana, naye anastahili kuabudiwa na kushukuriwa kwa yote anayotutendea katika maisha yetu.
Asante Mungu
Samahan naomba kuulize Kaka Japheth wa zabron Hivi Ile nyimbo ya Akida Ipo tyr au bd Maana Ninaona Live Tu Mkiwa Kisumu By the way Napenda Sana Huduma menu zabron singas 🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akubariki sana kama munafalijik kwajimbo kama mimi gonga like
You are indeed a blessing to many of us!i thank God for the far he has brought me.
Is it true what I have just read......then Heaven has gained a beautiful voice😢😢
Yes
its marco joseph not japhet look alike brothers
Aki mbona mnachanganyikiwa? Japheth yuko hai.
Asante mwalimu. You rock. Any kind of music you touch is always uplifting. Bravo Japheth. Your brother is smiling with you in heaven ❤❤❤😢😮😮🎉🎉🎉🎉❤
Amen mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki sanaaaaa ❤❤❤❤❤❤
Niache niende kwa baba nikaseme japo asante🔥
Nice song
Poleni sana dungu mulioachwa na mtumishi wenu marico ila mlagotu mungu atawaonyesha na nyimbo mtaedelea kutoa vzulitu
hii song kesho ntakua wa kwanza naingia nayo kwa ndoa yangu proud of you bro
Asante sana kaka ,utanitumia clips
MUNGU awatangulie ktk ndoa yenu
Mungu akutangulie kitika hili
Wow❤
My song after permanent Job...my prayer
Mumenibaliki kabisa kweri wimboo mzulii🎉
poleni Sana kbs wa pendwa wetu MUNGU wetu mwenyewe awatiye nguvu Sana kbs
Kutoka nchini Kenya, shukran ziende Kwa Mungu muumba Kwa tenzi nzuri
Mungu awe faraja kwenu jamani na awape tumaini👏👏💔💔😭😭
Watching this song after learning of the sad news may God comfort this family 😢😢😢
It's not him ni Marco zabron ndo ametuacha
@@carolmatika8905 yaa just praying for God's comfort to the family
@@vinnyomosh563 yar soo sad
Kuna mtu namtafuta pia na simwoni,,,,, continue resting in peace marco
I love you so much, my dear brother keep going. Keep moving forward me keep you all safe. You and your family bless your songs. Appreciate it. You good with your career.
Amen .... Gratitude is a virtue...we are surrounded by miracles on daily basis....but we need to learn to be thankful....for it is only Christ without him we are nothing...thank you for the wonderful song❤
Ametenda mengi sana huyu Mungu.
Wacha tu nende mimi nikamshukuru.
A great energizer brother, tumps up ,May God bless you brother ❤
Wimbo wabariki sana, japhet keep up the good work usifunjike moyo
Wow amazing ♥️🎉🎉 this song is touching indeed keep up may God protect you always and grant you wisdom, strength and be blessed man of God you are doing a good job much love ♥️ ♥️ from Kenya we love you
Woow nice song zabron am blessed this year has been tough to us as family Lossing our loved one and many bt through this song I know shida zangu zitakoma, rest in peace Marco and my uncle Eric
😢pole sana sana Wana zabron singers kwa kumpoteza mmoja wenu,patrick from kisii kenya
Unaweza,,mungu akuzidishie nguvu zaidi y akueneza injiri,,aamen
Hii song ingekuwa na zile sauti za zabron zote ingekuwa kitu ingine ilike it ❤
Mungu akubariki sana japhet.nyimbo zako hunijenga na kuniinua sana
Theres a place I've loved in this song😢
Especially in a season im learning gratitude 🙏
I don't to regret
Poleni japhet na familia. Mungu awafariji.
Pôle sana ndugu zangu mungu awa fariji.
Wow I'll love forever 🎉🎉🎉keep saoring higher bebii and bebi wa bebii
🎉🎉🎉🎉🎉 Mwalimu wa walimu mkali wa hizi kazi ubarikiwe sana mwanangu
Every morning lazima nsikize this song as the day flow peaceful 🇰🇪
Thanks bro for blessing me with this song this morning
It's tru God is with us hallelujah
Wow.. Am blessed and blessed.. Niwache niende kwa baba🥰🥰🥰🥰🎉
Continue with that sprit japhet I like ur song stii waiting new song kutoka kwako napenda nyimbo zako infact
Happy sabbath,Japheth your songs bless and strengthens me dad by day
It's 5:53 morning
Naiona baraka ya uzima
Big talent umebeba
Keep on songa mbele
Mafunuo mapya unatupa ❤❤ 🇺🇸
Nimebarikiwa na wimbo huu mungu awabariki sana zabron singers
Who knows if this was the prophecy about Marcos departure?
Thought of that too ......
kaka hongera sana ww ndo zabron singers mwenyewe sasa barikiwa sana kk
All the way from Keñya .....I love this song.. Japheth you are a blessing to Many of us
Glory be to God, thanks Zabron singers for the touching and encouraging song, there is no one like you God,Amen,be blessed all.
Japhet never disappoints. .....nice vocals
❤
Dhaa faraja sana
I love your song bro am from kenya
Ahsante ndugu japhet wimbo nzuri inawabadilisha wengi
Mungu wa mbinguni akubariki mtumishi wa mungu nyimbo nzuri sana
Shetani Niache niende, niende kwa baba, nikaseme asante, amenishindia vita!
Mungu aendelee kukubariki kijana wetu......,
Wacha twende tukazitoe shukurani zetu kwa miujiza hii iliyozidia
Polen sana,kaz ya mola Haina makosa japo kwetu huacha kovu linalouma muda wote
A God who never fails thanks to Him,He will remain our pillar 🙏🏿🙏🏿japhet ubarikiwe
Wacha niende nikamshukuru Mungu nimetoka mbali 🎉
❤namshukuru bwana kwa kutupea waambaji walio na melodi nzuri kama Hawa🙏🙏na kunipea NAMI pia wakati nikahishi kusikiza hizi melody 😊😊❤❤
may our mighty give strength watu wa zabron singers na msipoteze matumaini
Wimbo huu unanipendeza saana my favorite gospel song
Afadhali yeye ameenda kumshukuru Muumba wake. Apumzike Kwa amani. Mungu awape faraja wafiwa wote
Huyu you hai,mwenye ameaga dunia .I Marco na huyu anaitwa Japheth
I always listen to this song 100tyms daily nice one from kenya
Hujawahi kosea mate wangu,,MUNGU azidi kukuinua juu zaidi kwa ajili ya utukufu wake
Barikiwaaa
Hakika kazi ya Mungu haina makosa
Nyimbo nzuri sana hakika nimebarikiwa sana
Poleni san wapend ila mung Bado yup
Condolences from south Africa 😢😢we give thanks for everything to the Almighty
Pole Sana kwa msiba mungu aendelee kuwa tumia
Mungu akubariki tunakupenda Wimbo mzuri
Hngera mdg wang hta mbuyu ulianza kama mchicha mungu akufungue zaid
May God comfort your family.......Japhet let your brother rest in peace 😭😭😭😭🙏
Kwa muujiza huu,Mungu nasema Asante 🙏🏿🙏🏿🙌🏿
polen sana mungu awatie nguvu atawap mlango wakutokea
Asante Yesu. Ninazileta shukrani zangu zote
Khai unajua nyimbo zingine unaeza jiimbia ww mwenyewe bax uko kwa baba mwambie asante😢
Sio huyu ni ndugu yake Marco 😢
Barikiwa sana kijana wa Yesu🙏🙏👏👏
Utabiri wa hali.wa juu.
This Man of God is something else
Hongeren sana❤❤❤❤❤❤❤ wakat wa mungu ukifika hakuna wawakupigaa kamwe
God has won my battles. Nimeenda kwa baba.
Uwiii huu wimbo una ujumbe mzuri sana 😢
May the heavenly father proceed directing you brother
Baraka kwa hii choir na mtunzi wao wa nyimbo