Japhet Zabron - Umenipigania (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 302

  • @SifaVano
    @SifaVano Месяц назад +66

    Ubarikiwe sana wimbo Nzuri kweli pia htakaye soma comment hii Ubarikiwe pia❤🎉🙏

  • @PaulineMmani
    @PaulineMmani Месяц назад +16

    Umenipigania n unazidii kunipigania bwana kwa kila jambo... Kenyans let's show someone love to our brother again with likes ❤

  • @chefabby3800
    @chefabby3800 Месяц назад +16

    Eagerly awaiting.🇦🇪🇰🇪...congratulations for hitting 100k subscription 👌👌God bless

  • @ritiaskayanda
    @ritiaskayanda Месяц назад +48

    Waliopiganiwa na Mungu si tuseme AMEN 🙏

  • @Innocent-Km-z8z
    @Innocent-Km-z8z Месяц назад +7

    Mungu wangu Asante Baba kama siyo wewe ningekua wapi Leo ,acha NIKUSIFU NIKUABUDU Baba

  • @ElizaWambui-x1s
    @ElizaWambui-x1s Месяц назад +6

    Kabisa Mungu amekupigania💪 walikusema mambaya sana ,,,,Kenya 🇰🇪 is proud of your work Kaka Japheth 😍☺️ Tunakupenda❤saana,Injili iedelee Hongera kqa kazi nzuri🎉....Wale wakutoka Kenya 🇰🇪 pita na like

  • @miriamsambu6712
    @miriamsambu6712 Месяц назад +2

    Be blessed, Japhet ....I wish you knew your inspiration inside me. Keep up🎉

  • @Daicytoorop1
    @Daicytoorop1 Месяц назад +3

    Japhet my all time gospel artist 🎉
    Wow nlingoja huu ❤❤❤❤❤❤❤❤
    Asanti Mungu 🎉❤❤❤

  • @reinfridajohnakangumisa9752
    @reinfridajohnakangumisa9752 21 день назад +3

    Asante kwa kutufariji tunapitia mitihani migumu na majaribu ya maisha na dunia. Tunakuombea usimame imara na huendelee kumtumkia Mwenyezi Mungu

  • @eunitahobegi9089
    @eunitahobegi9089 Месяц назад +13

    Sijawai pata like since niingie uku ,nipeeni hata moja😢

  • @SaraMangena-s8x
    @SaraMangena-s8x Месяц назад +2

    Japhet zabron Mungu akubariki sana haki nyimbo zako zimekuwa faraja sana kwenye Maisha yetu

  • @JAPHET--PATRICK-official
    @JAPHET--PATRICK-official 13 дней назад +2

    Kaka Mungu akuzidishe kwa unyenyekevu wako haujivuni kaka 🙏🏻🙏🏻🙏🏻✔️

  • @MetrineNganasa
    @MetrineNganasa День назад

    Amen Mungu amenipigania kweli his blessings has been sufficient to throughout 🙏

  • @HappyNess-p2d
    @HappyNess-p2d 11 дней назад

    Wimbo nzuri mtumishi mungu akujaze nguvu uendelee kueneza neno lake🙏🙏🙏

  • @KilasiL-w3w
    @KilasiL-w3w 14 дней назад

    Kweli kabisa hata mimi nakiri Bwana umenipigania,ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ❤

  • @marymessay2768
    @marymessay2768 Месяц назад +2

    Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu songa mbele

  • @OnsateNyakundi
    @OnsateNyakundi Месяц назад +7

    Kijana barikiwa sana nikiwa hapa nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Lilian-j8e
    @Lilian-j8e 18 дней назад

    Hongera sana mtumishi 🙏🙏 Mungu azidi kukuinua kwa kazi nzuri

  • @ShukuruBitorwa
    @ShukuruBitorwa Месяц назад +1

    Glory of God my brother ❤❤❤❤❤ Munngu azidi kukupiganiya🎉🎉 and blesse your family from Burundi 🇧🇮

  • @jacintamueni7896
    @jacintamueni7896 Месяц назад +1

    Hakika Bwana umenipigania nasema asante all the way from kenya🇰🇪🇰🇪🙏🙏 barikiwa kaka

  • @CheropViolah
    @CheropViolah 27 дней назад +1

    This song speaks to me yooh❤❤❤ Asante sana mungu wangu umenipigania, ubarikiwe zaidi Japheth❤❤

  • @Nana-tq8sx
    @Nana-tq8sx 27 дней назад

    It has been God all along ❤❤,thank you Lord

  • @boazire
    @boazire Месяц назад +1

    much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @JescaMensa
    @JescaMensa Месяц назад +1

    Ubarikiwe san brother mungu akupe maisha marefu ap duniani yenye baraka tuzidi kubarikiwa na nyimbo zako 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏

  • @MmMm-j4d3t
    @MmMm-j4d3t 26 дней назад

    Napenda Jimbo Zak japhet❤❤❤ munch akusaindie sana

  • @jenipherkasaine2133
    @jenipherkasaine2133 27 дней назад

    Hata sasa bwana unazidi unipigania sijui niseme ni nini ❤amen

  • @juliusmakula1659
    @juliusmakula1659 Месяц назад +1

    Hongera sana,wimbo mzuri sana.Ningependa uwe na korabo na Joel Lwaga.

  • @StevenKwilasa
    @StevenKwilasa Месяц назад +2

    Wimbo mzuri sanaa na wenye ujumbe Bora sana ubarikiwe sana kaka na mtumishi wa Mungu japhet zabron tutaishi kukuombea baraka na mafanikio siku zote

  • @sambasdayouths-kenyenya5938
    @sambasdayouths-kenyenya5938 Месяц назад +1

    So powerful keep going brother Japheth ❤

  • @elizabethchemutai1212
    @elizabethchemutai1212 Месяц назад +1

    Umbali huu Baba umenipigania nashukuru. Mungu akutumie Kama chombo bali ni yeye anaongea ndani mwako kaka.

  • @germainebindu1097
    @germainebindu1097 Месяц назад +1

    Wow wow kabisa Mungu wangu nasema Asante ❤❤❤❤❤

  • @sirsimutv7674
    @sirsimutv7674 Месяц назад +2

    HATUPOI HATUPOIIIII, Zidi kusonga mbele Kamanda Wa Yesu💪
    #Sir.Simu

  • @barakaabel6737
    @barakaabel6737 Месяц назад +2

    barikiwa sana mtumishi Mungu awe pamoja na mipango yako

  • @ElizabethOuma-mx9vf
    @ElizabethOuma-mx9vf Месяц назад +1

    Congratulations. Japhet nikisikiliza 😮nyimbo zako , nothing else matters. Unaniweka karibu na Mungu zaidi. Asante kiongozi wetu. ❤❤❤😂🎉🎉😮😅😊😮😊. Turning up all the way from U .S.A.

    • @japhetzabron1881
      @japhetzabron1881  Месяц назад

      Amen

    • @ElizabethOuma-mx9vf
      @ElizabethOuma-mx9vf 27 дней назад

      Japhet, it seems like you've come along way. Remember that,the past is the past. Jana imepita, nakesho is not even promised. You inspire zaidi. Let's go!😂❤😅😊🎉😂 still here in USA 🇺🇸 🙃 🙄 ❤️ 😀 😎 🇺🇸 🙃 🙄 ❤️ 😀 😎 🇺🇸 🎉😮😅

  • @aselaabeli853
    @aselaabeli853 Месяц назад +1

    Ameeeeen unatoa nyimbooo nzr saaan Kaka japhet mungu azidi kukuinua kwa viwangooo vya juuu saaaanaaaaaa uzidiii kutubarikiiiii kupitiaaa nyimbooo🙏🙏🥰

  • @UpendoKaila-m5d
    @UpendoKaila-m5d Месяц назад +1

    Unaimba vizuri sana, Mungu azidi kukufunulia mafunuo mengi zaidi maana nabarikiwa sana nyimbo zako nikiwa Kahama

  • @happinesmushi8799
    @happinesmushi8799 Месяц назад +1

    Nakiri umenipigania bwana. Ubarikiwe Zabron

  • @AnnaSillo-mn8mq
    @AnnaSillo-mn8mq Месяц назад +3

    kwa neema ya mungu tumefika hapa tunasema asntee bwana kwa kutupiganiaaa🙏🙏🙏🙏

  • @Flavy_Mochami
    @Flavy_Mochami Месяц назад +2

    Amen. Much love from 🇰🇪

  • @michaelayubu9456
    @michaelayubu9456 Месяц назад +1

    Mungu akubariki San mtumish wà Mungu .pia napenda kutoa pole nyingi San kwa kundi lote la Zabron singles kwa kutokwa na Kaka yetu Maiko .Mungu awe mwongozo zaidi kwa yote.AMEN

    • @KisuuSheila
      @KisuuSheila Месяц назад +1

      Am very blessed ,nice 🎵 🎶 brother

  • @selphineakinyi
    @selphineakinyi 21 день назад

    I just love this voice and the message, to God be the Glory

  • @danielwekesa6655
    @danielwekesa6655 Месяц назад +1

    Ubarikiwe mtumishi following from kakuma turkana kenya🎉🎉🎉🎉

  • @KeziaFalaja
    @KeziaFalaja Месяц назад +2

    Ila nimewamiss zabron singers wimbo mpia wenu mkiwa pamoja

  • @MakwegaPaul
    @MakwegaPaul Месяц назад +2

    Mai favorite verse Hata Sasa BWANA nakiri umenipigania niseme nini na nikupe nini zaidi ya kusema Ahsante

  • @MartinTimothy-pm3ti
    @MartinTimothy-pm3ti Месяц назад +2

    Mungu awe na wewe daima mtumishi wa mungu

  • @JoyceMadasi-ks8bj
    @JoyceMadasi-ks8bj Месяц назад +1

    Yesssss 😍😍😍😍😍amenipigania kweli

  • @vionahgesare2517
    @vionahgesare2517 12 дней назад

    This song needs more than this wakenya jamani tuko wapi

  • @Migapogospel678
    @Migapogospel678 Месяц назад +6

    Na mim nimepaganiwana munguu
    Hujawai niangusha kwweny mavazi .
    Una heshima na Utu kwa watu wote
    Mungu akutunzee,
    Akupiganiee kweli kweli Hadi maduii wajutee
    Uwepo wetu na mungu hapa Duniani

  • @MISANAGOSPELSINGERS
    @MISANAGOSPELSINGERS Месяц назад +3

    hongera japhet Maua yako hayo🎉🎉🎉

  • @Kipchumbaboaz7
    @Kipchumbaboaz7 29 дней назад +1

    Bwana ni mwema sikuzote❤ anatupigania Kila wakati

  • @minguinhoalberto8684
    @minguinhoalberto8684 Месяц назад

    From Mozambique ❤
    Sweet song
    Love all your songs ❤.

  • @BeritahWambani
    @BeritahWambani Месяц назад +2

    Ameen mungu aendelea kubarikiwa mtumishi .

  • @JadenMeshack
    @JadenMeshack Месяц назад +1

    Tunaopiganiwa na Mungu tuna kila sababu ya kusema Asante Mungu ❤

  • @NiyubuntuAisha
    @NiyubuntuAisha Месяц назад +5

    Songa mbele bro Marco angekuwa kwahuyo wimbo😢😢😢😢

  • @PatienceKambale
    @PatienceKambale Месяц назад +1

    Ubarikiwe na Mungu Japhet

  • @elizabethmasalu9444
    @elizabethmasalu9444 11 дней назад

    Nabarikiwa sana! Msalimie sana Oberd Kazimili

  • @RestutaSebikwekwe
    @RestutaSebikwekwe Месяц назад

    What a beautiful 😍 song and beautiful Voice ❤️Asante baba kunipigania 🙏🏼🙏🏼🙏🏼Amen 🙏🏼🙏🏼

  • @florangaiza
    @florangaiza Месяц назад +1

    HONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU, PIA HONGERA WAKENYA KWA UPENDO WENU.

  • @ElishaMichael-d3v
    @ElishaMichael-d3v Месяц назад +13

    Unaetazama video hii Mungu akbarik ww na familia yako🙏

  • @Belinda-p7o
    @Belinda-p7o Месяц назад +1

    Ubarikiwe sana bro wimbo Iko sawa

  • @anastasiawangari-o2s
    @anastasiawangari-o2s Месяц назад +1

    Very encouraging song, mungu azidi kukupandisha

  • @violetbonareri9015
    @violetbonareri9015 Месяц назад

    Your voice soo angelic, and the song,oh my God ,God bless you for blessing us with your songs

  • @MamaMalcolm523
    @MamaMalcolm523 Месяц назад

    The Zabrons mmenyamanza sana,tunangoja sana,Japhet fanya kitu

  • @rosebungei893
    @rosebungei893 Месяц назад +1

    Amen Hakika yesu umenipigania. Asante sana.

  • @LovelyArmadillo-zu7xy
    @LovelyArmadillo-zu7xy Месяц назад +2

    Ata sasa Mimi mungu amenipigania

  • @ezekielwilliamtz
    @ezekielwilliamtz 29 дней назад +1

    Mungu azidi kukubaliki @japhat zabron 🙏

  • @NaomiFelician
    @NaomiFelician Месяц назад +1

    Ubarikiwe kwa wimbo mzuri sana👏👏

  • @jacquelineharerimana8693
    @jacquelineharerimana8693 Месяц назад +1

    Kweri Mungu ni mwema anatupigania kila dakika.Asanteni Mungu wangu❤❤❤

  • @dorothyndege4555
    @dorothyndege4555 Месяц назад

    Hata sasa BWANA amenipigania sana. Nakiri kusema asanteee🙏🇹🇿

  • @JacklineMinayo
    @JacklineMinayo Месяц назад

    Ameeeeen🎉🎉🎉🎉be blessed 🙏🙏🙏 your songs they just make me be strong

  • @saidshija7563
    @saidshija7563 Месяц назад

    Top and outstanding singer
    Japheth
    Wimbo mzuri sana,Mungu akubariki sana - nabarikwaa sanaa♥️♥️🌟

  • @abigirlchiedzamatondo5858
    @abigirlchiedzamatondo5858 Месяц назад

    Amen ,what shall i render unto the Lord for all his benefits ❤❤❤

  • @anastasiawangari-o2s
    @anastasiawangari-o2s Месяц назад

    Umenipigania kweli,Oooh my God can't get enough of this song

  • @MagretWanjera-ph1wb
    @MagretWanjera-ph1wb Месяц назад

    Huo wimbo unanitia nguvu Santa God bless you japhet

  • @stevenangwenyi7509
    @stevenangwenyi7509 Месяц назад

    Congrats for 100k subscriptions ,keep going brother.. more love from Kenya.

  • @EdinamatenguLunza-w3i
    @EdinamatenguLunza-w3i Месяц назад

    Keep it up,i love your songs and for entire zabron singers 🙏🙏🇳🇦🇳🇦

  • @naima-qz8mi
    @naima-qz8mi 25 дней назад

    Mungu akuongoze nyimbo Nzur2 sana

  • @feleshaatello
    @feleshaatello Месяц назад

    Wow congratulations brother for hitting 100k subscribers......wimbo mzuri sanaa.... watching from Kenya be blessed ndugu

  • @WinfridaBoaz
    @WinfridaBoaz Месяц назад +1

    Acha watu waseme wanayosema lakini kusudi la Mungu kwako litatimia tu.

  • @Dollar_queen
    @Dollar_queen Месяц назад

    Nice song be blessed Japhet ❤❤❤❤❤

  • @juliusyenga1109
    @juliusyenga1109 Месяц назад

    Ujumbe mzuri....... #Barikiwa!

  • @KarieemWaewa-om5rc
    @KarieemWaewa-om5rc Месяц назад +1

    Ohhhh my god. Nyimbo nzuuuri❤❤❤❤

  • @alicemugisha7948
    @alicemugisha7948 Месяц назад +3

    Asante Bwana umetupiganiya sasa tuseme nini zaidi ya kukushukulu😭😭😭asante Zebron Kwa wimbo Mungu akubariki saaaana unatufariji myoyo❤❤❤❤

  • @amosjogoro4219
    @amosjogoro4219 Месяц назад +1

    Wimbo makini sana big up sanaaa

  • @GodfreyMsangawale
    @GodfreyMsangawale Месяц назад +1

    Nakili mungu umenipigania mungu mkuu naomba niangalizie zaidi katika magumu yangu ,mungu ulie mkuu naamini utazidi nipigania🙏🙏🙏🙏

  • @jenifferkavivi675
    @jenifferkavivi675 Месяц назад

    Wimbo mzuri, Asante Baba kwa kutupiganiya ,
    Bariki sana kaka 🎉🎉🎉

  • @EvelynNakhuba
    @EvelynNakhuba Месяц назад

    There's no other God!only you Jesus🙏🙏🙏🙏

  • @Rajula-t7n
    @Rajula-t7n Месяц назад

    My brother in christ you are such a blessing to many souls, may our Lord bless you and the entire zabron singers family. Much love from 🇰🇪

  • @ZainathBwigaye-f9i
    @ZainathBwigaye-f9i Месяц назад

    Hongera kaka japhe wimbo una ujumbe mkubwa na mzuri sana ubarikiwe sana mtumishi

  • @MakwegaPaul
    @MakwegaPaul Месяц назад +2

    Akii kweli amekupigania Even kututana na wakuu

  • @konemelau9068
    @konemelau9068 Месяц назад

    Hakika hata sasa Bwana ametupiganiya🙏 barikiwa sana bro MUNGU azidi kukuinuwa zaidi na zaidi

  • @mirriamkwamboka7079
    @mirriamkwamboka7079 Месяц назад

    God bless you for this anointing song

  • @mcbrayungvj905
    @mcbrayungvj905 Месяц назад

    Watching from Kenya like tukisonga

  • @reginamarwa8636
    @reginamarwa8636 Месяц назад

    Wooooow......Asante kwa injili nzuri ktk uimbaji boraaaaaaaa.amina.........

  • @debolankurunziza9468
    @debolankurunziza9468 Месяц назад

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Sina Cha kusema zaidi ya kusema Asante Yesu kwa kunipigania

  • @takelight6196
    @takelight6196 Месяц назад

    Kila mara namsikiliza nyimbo zako Huwa zinanibarik sana hakika ni kwel Ametupiginania neno kubwa ni Asante

  • @TheRacetoChosen
    @TheRacetoChosen Месяц назад

    🕊️❤️Just in Time ❤️🕊️ Nisipo shukuru Bwana kweli niwe mtumwa!!!umenipigania.

  • @naomikerubo3549
    @naomikerubo3549 Месяц назад

    Amen, love you Japheth!❤ you always put my feelings into song.

  • @viviankemunto4435
    @viviankemunto4435 Месяц назад

    Sauti nayo ulipewa kaka mungu awalinde kwa ajili yetu tunabarikiwa na kazi yako na zabronsingers ❤❤

  • @mapendonikola
    @mapendonikola Месяц назад +1

    Amen hallelujah hallelujah 🇨🇦🇨🇦🇨🇦