JAMBO NA VIJAMBO | MBOYOYO KABETI KWA HELA YA MAMA MKWE...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025
  • JAMBO NA VIJAMBO | MBOYOYO KABETI KWA HELA YA MAMA MKWE...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 226

  • @kassimrajabu56
    @kassimrajabu56 Год назад +32

    Wow😂😂😂😂😂!!! Nilifikiri kipindi kimekufa kumbe wamerudi upyaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @clichytraveller6897
    @clichytraveller6897 Год назад +27

    We are happy to see you guys again I love this team

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 Год назад

      Walikuwa wanaonyesha wapi na sasa hivi wanaonyesha wapi asante

  • @mathewkunyekwa8931
    @mathewkunyekwa8931 Год назад +16

    Nawakubali mnooo,hasa huyu maneno mengi

  • @sajdatomar6025
    @sajdatomar6025 Год назад +11

    Mwanamke hajui kuongea kipemba bora tafuteni lafudhi nyengine yakuongea kipemba kdg kinawapiga chenga 😮 mtaharibu kipindi but mko vizuri sana love from zanzibar

    • @shaibhasan9233
      @shaibhasan9233 Год назад +3

      Huwez kuwakosoa haooo wanajua sanaaaaaaaaa

    • @VintanDismas-dy2qk
      @VintanDismas-dy2qk Год назад +1

      Unataka aongeee kipema kip maan Zanzibar kubwa kwahvy tulia

    • @sajdatomar6025
      @sajdatomar6025 Год назад +1

      @@VintanDismas-dy2qk kipemba ni kimoja tu hakuna vipemba viwili haujui ndio mana unatoka povu sasa mm ndio kwetu huko ndio mana mana nimesema hawajui so unataka ushindane na mwenye lugha yake or

    • @sajdatomar6025
      @sajdatomar6025 Год назад

      @@shaibhasan9233 wasikosolewe km nani na wanakikosea nawenye tunaojua tunajua ndio mana tumesema km wanakosea hawajui so

    • @naseebjoseph5330
      @naseebjoseph5330 Год назад

      Huna akili😂

  • @maswarramadhan6462
    @maswarramadhan6462 Год назад +9

    Nmefurah sanaaa mmerud tenaa mi ni fun wenu wa kwanza kabisaa🔥🔥🔥

  • @baysadam235
    @baysadam235 Год назад +4

    Nawapenda snaa jambo n vijambo endeleeni kutuleteya madude🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @abubakariibrahim5375
    @abubakariibrahim5375 Год назад +2

    Hawa jamaa awajawai kuniangusha ata siku moja walikua kimya nikahisi wamepotea 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg Год назад +12

    🤣😂😂😂😂😂😂mboyoyo is always my no 1

    • @VictoriaYongola
      @VictoriaYongola Год назад +1

      Same to me ety pesa yenyewe ya mama mkwe😂😂

  • @naniyesamson5238
    @naniyesamson5238 Год назад +4

    You guys nawakubali sana💥💥 the talent and creativity ni balaa🙌

  • @shukurumboherwa7191
    @shukurumboherwa7191 Год назад +5

    Siku mingi sana atuwaoni kipindi kyetu kipendwa ❤❤

  • @TeamKRX
    @TeamKRX Год назад +6

    Wananikera wamepotea 🎉❤ mpaka nimewasahau nimeshtuka nikawabonyeza

  • @frankjohachim5405
    @frankjohachim5405 Год назад +3

    Wali wa izi kazi it's back again 😂😅
    Jogolo jogolo odiba mieeehh🙌🙌
    Nawakubali miaka ya cobe One love from Iraq bagdad 🇸🇾🌍✌️

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 Год назад

    Awaaaaaa jamaaaa nomaa nilijua wasaf wamemalizana nao kumbe nilikuwa cjuiii k2

  • @hamzasogodo
    @hamzasogodo Год назад +9

    One of the best comedians

  • @mtallitv9995
    @mtallitv9995 Год назад +2

    miamba imerudi tenaaaaaaaaa jambo na vijimambooo

  • @khalidibero
    @khalidibero Год назад +2

    Kama yeye na mama kilakshari kumbe ni mke na mume. Safi sana hawanaga ngendembwe.

  • @issai.ibungu
    @issai.ibungu Год назад +4

    These fellas so maddest talents ❤❤ #we’rehereforsupport&laughters 🎉😂

  • @wazirmasokola5951
    @wazirmasokola5951 Год назад +5

    Tumewamiss sana aisee hongereni kwa kulejea😂😂😂

  • @PascoPai
    @PascoPai Год назад +2

    Mbona hushangai mbwa wanavalishwa chupi uko mjini 😅😅😅😅😅

  • @Ibrahimkamara-kz1er
    @Ibrahimkamara-kz1er Год назад +3

    Mtabaki kuwa Juu sana mnajua hadi mnakera 🙌🙌🙌🙌🙏

  • @saidykaswiza9991
    @saidykaswiza9991 Год назад +3

    Nawakubal sana vijambo na vimambo😂😂😂🤣🤣🤣👏👏

  • @jamesmghase3252
    @jamesmghase3252 Год назад +10

    Jamaa wamerudi❤

  • @Vayon7
    @Vayon7 Год назад +2

    Daaah Bora maana niliwamiss sana pelemende na kazola

  • @issaothmanhamis4857
    @issaothmanhamis4857 Год назад +1

    Mumetisha sanaa mwambaa the kids

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 Год назад +1

    Muongzen tx dullah ktk Chama Chenu cha pombe

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 Год назад +1

    Helllow show yng no 1 tanzaniaaa siwez pita bila kuwatch 😍😁😀😂🤣😆😆😃😄🤣😋🥰😘🥴😍

  • @musambaruku6661
    @musambaruku6661 Год назад +1

    Mbona anaRoho mbaya chana amenichoma huku nimemuacha huku nimemuacha alaf ananichoma ndevu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Год назад +4

    Kumbee mpo jamani mlikuwa kimyaa sana kipindi nakipenda hichi like hapa 🤣🤣🥰🥰🥰

    • @janetahmed6948
      @janetahmed6948 Год назад

      mi nazani wanafanya kazi kwa mda ukiisha wanatulia nilikua nawa miss

  • @bleezytalentmusic5912
    @bleezytalentmusic5912 Год назад +3

    Ni furaha sana kuwaona tena tunaomba msipotee ghafra

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 Год назад +2

    Aisé mwaka mzima nimesubiri noma sana hongereni kwa kurudi kwenye game

  • @officialnuhu8163
    @officialnuhu8163 Год назад +11

    Cha uroho bhana😂😂😂😂

  • @paulalove1223
    @paulalove1223 Год назад +4

    Nyimbo zao nazipenda wananikumbusha mbali😂😂

  • @saraperrymwase4035
    @saraperrymwase4035 Год назад

    Ila maneno kumi dahhh ananifurahishaga sanaa

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Год назад +2

    Bora Mlivyorudi... Chibu Usiwaondoe Hawa Tafadhali

  • @paul1985ization
    @paul1985ization Год назад +3

    Safi sana. Niliwamiss hawa jamaa sana

  • @abduldihomba1632
    @abduldihomba1632 Год назад

    Huyu jamaa anakuaga mlaku Leo anasema apunguziwe chakula manaake kwanza ncheke😂😂

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 Год назад

    Mlikua wapi tuliwamisi saana my favorite mboyoyo

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Год назад +8

    nawapenda awa jaman wapo vile vile awa edit ata rangi Zao 😊

  • @leylarajabu5
    @leylarajabu5 Год назад +2

    Ety akupe taraka yako tuondoke zetu😂😂😂

  • @yasintadavid1296
    @yasintadavid1296 Год назад +2

    Bora mme ludi tulikua tume wamiss 😁😁😁😁😁

  • @KennedyAday-wy8es
    @KennedyAday-wy8es Год назад

    Kipindi pendwa tanzania kimerejea mamb n 🔥🔥🔥🔥

  • @eliasmasanja5672
    @eliasmasanja5672 Год назад +3

    Wakaliii waa hiziii mamboooo🙌🙌🙌

  • @sissoalfred7259
    @sissoalfred7259 10 месяцев назад

    Welcome back

  • @audifacejosephat7071
    @audifacejosephat7071 Год назад

    Tuliwamis sana welcome back

  • @mathiasshayo6348
    @mathiasshayo6348 Год назад +1

    Yaani unaongea kama umedondoka kwenye mgongo wa Punda😂😂😂😂

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 Год назад

    Nyie wavuta bangi nawakubali kinyama🎉

  • @wadhifakandila415
    @wadhifakandila415 Год назад

    🔥🔥😂 hawatumii nguvu kuchekesha lakini utacheka tu....😂😂

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 Год назад +2

    😂😂😂😂cha uroho bhna et na mm ndio ua lenyewe

  • @jamadajuma54
    @jamadajuma54 Год назад

    U guys mnajua sana, hila ww mboyoyo ww zaid ya sana unajua sana 😂😂😂😂😅

  • @vionjo4735
    @vionjo4735 Год назад +2

    Dah huyu yesu😂😂😂😂

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr Год назад +4

    Kam mwanao mazembe mkutnishe na yanga watamnyoosha, kwako kolo fc 😀😀😀

    • @kassimdrake9527
      @kassimdrake9527 Год назад

      Kama mwanao ni uto mpe🦁 atamtia pumbu kwenu studio

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Год назад +2

    Kwa mkapa hatoki mtu ila sio kwa raja Casablanca 😢😢

  • @kingIdrisaAthuman
    @kingIdrisaAthuman Год назад +1

    Hawa nilijua wamekula mtaji wamebaki na faida kumbe bado wapo bhana 👆💟

  • @nelsonnikodem1100
    @nelsonnikodem1100 Год назад

    Wanajua vzr sana

  • @najalinanyambo3971
    @najalinanyambo3971 Год назад +1

    Cha uroho wangu jamani nilikumic,

  • @hamispazi4413
    @hamispazi4413 Год назад +6

    Kwa Mkapa hatoki mtu ila sio kwa Raja Casablanca"😅😅😅😅😅

  • @daudmwalimu971
    @daudmwalimu971 Год назад

    Mboyoyo ni noma mimba kabeba yeye😁😁

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 Год назад

    Wazee wa kazi💯💯

  • @klexshotsofficial2850
    @klexshotsofficial2850 Год назад +2

    Namimi ndio ua lenyeweeeee😂😂😂😂😂

  • @abrahamumusa2229
    @abrahamumusa2229 Год назад

    Am very happy for today

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889 Год назад

    Nawapenda hongera wcb kwa kutuletea tena

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv Год назад

    Huyo dada huwa namkubal sana yaan😂😂😂

  • @Richesfam
    @Richesfam Год назад +3

    Kiswahili cha ule actor anaye portray YESU, mbona Kikali? Sikielewi 😮. Kiswahili kigumu

  • @richarddominick3172
    @richarddominick3172 Год назад +1

    Mboyoyo my Favourite

  • @ismailkupaza5612
    @ismailkupaza5612 Год назад +1

    Mboyoyo nikupe tusi gani 😂😂

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 Год назад

    Fenesi linaitwaje kwa kingeleza😂😂😂😂😂😂

  • @emmanuelnjera4707
    @emmanuelnjera4707 Год назад

    Moto wa jehanamu😀😀😀

  • @rajabuomy487
    @rajabuomy487 Год назад +3

    I love you

  • @kelboykarimu8908
    @kelboykarimu8908 Год назад +1

    Wasafi mnachapa xna kazz

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 Год назад +1

    Majiraniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii))))))))))))))))))))))))))))) shangwe lemerudi tena huku 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kwame1706
    @kwame1706 Год назад

    Duchu nakubali sana

  • @godfreygodwin7413
    @godfreygodwin7413 Год назад

    Akipenda boga aaah

  • @luqmanasensio9916
    @luqmanasensio9916 Год назад +5

    I love you😂😂😂😂

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 Год назад

    Anaye mkubali mboyoyo like hapa

  • @paulmeshack1198
    @paulmeshack1198 Год назад

    Ebu ngoja nan huyo kaomba kupunguziwa chakula😂😂😂😂

  • @MaikoYesse-h8d
    @MaikoYesse-h8d Год назад

    😮mpokimya Sana shida nn??😮😮😮

  • @aliyshemweta9753
    @aliyshemweta9753 Год назад

    Niliwamiss aiseeeeeh 😂😂😂

  • @rhoidakalinga3043
    @rhoidakalinga3043 Год назад

    Kumbe bado mpo nikajua kipind hiki akipo tenaa kuwapend sanaaaa😂😂😂😂

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Год назад

    ah Mbona mmetuacha sana mlikua wapi?

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Год назад

    Well come BACK

  • @hatwabiswalehe262
    @hatwabiswalehe262 Год назад

    Moto Moto unawaaaaaka

  • @khadijamkambala2446
    @khadijamkambala2446 Год назад +2

    😂😂😂😂😂eti mnafika mbali ivyo

  • @georgesaid1208
    @georgesaid1208 9 месяцев назад

    talented

  • @KayagoAziza
    @KayagoAziza Год назад

    Jamani tulikuwa tumewamis ila napenda zile za chakula

  • @Lewinglovbi6699
    @Lewinglovbi6699 Год назад

    Yumew wa miss jmn😂😂😂

  • @thomasnachenga795
    @thomasnachenga795 Год назад +2

    Mama kilakshali mi shabiki ako

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 Год назад

    Jamani rudisheni ile na hii ni panya book nimesemaje vile 😅

  • @kassimdrake9527
    @kassimdrake9527 Год назад

    Na mm ndio ua lenyewe😂

  • @castolaban
    @castolaban Год назад

    Wamerudiiiiiiiiiiiiiiii😁😁😁✌️

  • @adinankojulianko219
    @adinankojulianko219 Год назад +1

    Kazola Leo Anasema chakula kingi?

  • @ijotechinvestment1191
    @ijotechinvestment1191 Год назад

    Chezea kubet nini🎉

  • @rosemikael8110
    @rosemikael8110 Год назад +1

    😁😁Iyo clip ya mwisho ni hatari

  • @sheilaporomoka8079
    @sheilaporomoka8079 Год назад

    Chauroho Fala sanaa

  • @alinotilucamoris6189
    @alinotilucamoris6189 Год назад

    Kazowa🤣🤣🤣🤣akipenda boga apende na uwa lake, na mimi ndio uwa lake🤣🤣🤣🤣

  • @henryabisalami4646
    @henryabisalami4646 Год назад +5

    Handcap.😂😂😂

  • @vicentlaphael771
    @vicentlaphael771 Год назад

    Eti Sura nzitooo ka madida🤣🤣🤣🤣MBOYOYO🤣🤣

  • @omarykitua3843
    @omarykitua3843 Год назад

    Mwaka huu mimba nimebeba mie😂😂😂😂😂😂nyiee

  • @kelbertkiza8233
    @kelbertkiza8233 Год назад

    Mboyoyo ka beti pesa za mamake mkwe 😂😂

  • @nelvinoplaystation
    @nelvinoplaystation Год назад

    Mista bien

  • @vom84
    @vom84 Год назад

    Dah nimefurah hawa wapuuz kurudi, wananitoaga sana stress