Jahazi Modern Taarab - Kijiba (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 95

  • @asyamohammed5091
    @asyamohammed5091 Год назад +10

    Hamtak mtu apate na afanikiwee lazima roho idateee mchanganyikiweee..... Mnakijibaa cha kifyatee lazimaa muhumiweeee mnanikunjiaaa nisipatee rizik kwangu isiweeei isiweeeeee mungu ni wakwetu soteee kivp yangu yasiweeee hahahahahaaaaaaaa maneno mbukwaaaaa maneno kuntuuu asantee sanaa mfalme mzee yussuf muimbaj sina shakaa naee mana hajawah kuharib wakumwitaa fatma nyoro mtoto wa kizanzibar umeupigaa mwingiii sa anaa ngom la kwendaaaaaa

  • @mzeeyussuf
    @mzeeyussuf  Год назад +8

    Ahsanteni sana

    • @Mzuri_002
      @Mzuri_002 Год назад +1

      Mzee Yusuf tubwagie album nzima tufurahi tafadhali❤

    • @shaukatashiq137
      @shaukatashiq137 Год назад

      Wewe ndio KING 🤴 hakuna mwengine kwa taarab

  • @mudathirykagawa1714
    @mudathirykagawa1714 Год назад +2

    Mfalme hujawahi Kumkosea MCHARUKO kila utakayompa size YAKE HASWAAA❤❤❤

  • @asyamohammed5091
    @asyamohammed5091 Год назад +2

    Weeee huyu dada kila nyimb anayo imbaa inamshindaa mwenziwee hatarii sanaaa pambeee asaaaaaaaa naonaa rahaaaaaaaaaaaaaa

  • @HasaniSalim-l9g
    @HasaniSalim-l9g Год назад +7

    Sawa mzee yusuph hapo umetunga nyimbo mwimbaji sina shaka naye

  • @amourdaani
    @amourdaani Год назад +3

    Asanteee mcharuko maneno yanaeleweka hii ndio jahazi tunayoitaka sasa.

  • @LaylatSalehe
    @LaylatSalehe Год назад +1

    Pambeeeeee mnooooooooo❤

  • @abrablack
    @abrablack Год назад +5

    Mnanikunjia nisipate, riziki kwangu isiwe, ila Mungu ni wa kwetu sote, kivipi yangu yasiwe.

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 Год назад +3

    MASHAALAH nzuri sana CONGRATULATIONS. Jahazi Morden Arabi💞❤💞❤💝💝❤💞💞💝💝❤❤💞💞❤💝❤💞

  • @MteuleMzumba
    @MteuleMzumba Год назад +1

    Uwewewewe chumkua iyooo mungu c mjomba enuuu uweweeeee

  • @boscobika8569
    @boscobika8569 6 месяцев назад +4

    Mungu awabaliki saana napenda nyimbozenu sana nawapenda

  • @rehemahamis4638
    @rehemahamis4638 Год назад +2

    Hongera sana kipenzi changu 💕💕 nyimbo nzur sana

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 Год назад +3

    Sauti kinanda vimetulia hadi raha....mzee umeupiga mwingi sana tulimiss muziki wa taarab kama huu....Hii ndo taarab sasa!!!!

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Год назад +9

    Nimekua wa kwanza❤tafadhali kama unamkubali fatma original mtoto wa kizanzibari nyimbo zake gonga like apa👌👌

  • @AMIR_MANGISI
    @AMIR_MANGISI Год назад +2

    Fatma Mahmoud katika ubora wake

  • @JumaBano-b1i
    @JumaBano-b1i Год назад +1

    Hongera sana rafiki yangu nyimbo nzuri

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Год назад +3

    Atari nyimbo nzuri funga mwaka sante da odo aisha kwa updates ya wimbo mpya ❤❤❤❤❤

  • @ZainabShango-ls3pz
    @ZainabShango-ls3pz Год назад +2

    Mashallah nyimbo pambe🔥🔥

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 7 месяцев назад +1

    Mzeee umerudi tena aisee❤

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf Год назад +1

    Naona kinawachomaeee kinawakereketa

  • @hidayahshabani3379
    @hidayahshabani3379 Год назад +2

    Utajua hujui eeee, asantee mzee Yusuph utunzi murua

  • @IdayaMgaru
    @IdayaMgaru Год назад +3

    nakuombea mzee uimalike zaidi❤tumemis midundo

  • @NouratiOmary
    @NouratiOmary Год назад +2

    Nyimbo nzuri sana

  • @sadikjuma5519
    @sadikjuma5519 Год назад +5

    Hatari !! Hii ndo Jahazi bwana! Kazi safi.. Mcharuko apo sawa👌. Much love from Kenya❤

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 Год назад +2

    Nzuri mnoo nyimbo yangu niisikilizayo masaa yote

  • @MamaSamir-j7q
    @MamaSamir-j7q Год назад +2

    Fatma waambie hao wenye roho zakwanini kijiba charoho kitawasakama to

  • @malikimlisho2306
    @malikimlisho2306 Год назад +2

    Anakuwambia nawajua mambo zenu kuwachukia wenzenu Sina hamu🙌🔥🔥hii kibok ya mahasid wote... Wee Fatma weeeh👌🤌.. @Mzee Yusuph Wewe ni kichwa na sio mkia miaka miaaa... apo sasaaa🔥🔥🔥

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 Год назад +2

    Mzee tutupe vitu tiktok ili twende sawaaaaa mjini ❤

  • @keykariabu701
    @keykariabu701 Год назад +2

    Kweli dada sauti tamu nayo ulipewa...Mcharuko 💯

  • @mishimishimusa3182
    @mishimishimusa3182 Год назад +2

    Mnanikunjiaa nisipatee nyimbo 👌👌

  • @RamadhanHamis-r8u
    @RamadhanHamis-r8u Год назад +1

    Hatali mzee

  • @MgeniShaban-hs8nb
    @MgeniShaban-hs8nb 8 месяцев назад +1

    Asante jamani wewe dada

  • @amourdaani
    @amourdaani Год назад +3

    Sipati picha ya khadija Yusuf sauti ya kasuku itakuaje maana jahazi hakuna kazi mbovu.

  • @kisoso890
    @kisoso890 6 месяцев назад +1

    Haluuuuuuuuu hatari sana ❤❤❤❤❤

  • @ashahosseniashahosseni
    @ashahosseniashahosseni 2 месяца назад

    Atariiiiii❤❤❤

  • @SabrinaHchopeta
    @SabrinaHchopeta 7 месяцев назад +1

    Balaaaa na nusu❤️‍🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rukiakassim9894
    @rukiakassim9894 Год назад +2

    Team jahazi ndio kusemaa
    Taarabu zao ajab sanaaaaaaaaa❤❤❤❤

  • @kingsolomonsele9967
    @kingsolomonsele9967 Год назад +1

    Yani huyu mtoto hatari. Fatma upo vizuri ❤❤❤❤

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 Год назад +1

    Kesho mapemaaa kwenye sabufa yaani kuusikiliza masaa 24

  • @ibrahimBakari-b4j
    @ibrahimBakari-b4j 9 месяцев назад +1

    Atariiiiiiiiiii ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @SaumuSefu-ip9vh
    @SaumuSefu-ip9vh Год назад +2

    Nyimbo safi

  • @sabrinachopeta786MISTON
    @sabrinachopeta786MISTON Год назад +3

    Mtaniua hatari sana 🔥🔥🔥 sanaaa

  • @Hawamhamedmbegu
    @Hawamhamedmbegu Год назад +1

    Kinandaa sasaaaaaaaaa

  • @ZeitunMasha
    @ZeitunMasha Год назад +1

    Sauti yako kinanda,hapo chacha

  • @IsegeAlphonce
    @IsegeAlphonce Год назад +3

    Jahazi limetuwa majini na nchi kavu❤❤❤❤hatree

  • @EmmanuelWandera-l9b
    @EmmanuelWandera-l9b Год назад +3

    Hatari 🎉❤

  • @malikimlisho2306
    @malikimlisho2306 Год назад +2

    Aiweeeh jahazi ndio hii bwan🔥🔥🔥

  • @DavidMollel-i6g
    @DavidMollel-i6g 6 месяцев назад +1

    Mamb

  • @mamamtaa7006
    @mamamtaa7006 Год назад +1

    Haswa kipi kino watatizaaa 💃💃

  • @ZeitunMasha
    @ZeitunMasha Год назад +1

    Hapo yes

  • @tunusefu2018
    @tunusefu2018 Год назад +3

    Ngoma lakenda ❤❤❤

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 Год назад +2

    Huku kwetuuuu kweupeeee ❤❤❤

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 Год назад +1

    Jahaz moja tu

  • @newking6497
    @newking6497 4 месяца назад +1

    😍😍😍❤️🔥

  • @HawaYusuf-ik1ps
    @HawaYusuf-ik1ps Год назад +1

    Santhaaaaaaaaaaa❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rukiakassim9894
    @rukiakassim9894 Год назад

    Kibaoo kitamuu sanaaaa

  • @khanniebaraka6047
    @khanniebaraka6047 Год назад +1

    Video itoke❤❤

  • @MariamRiziki-so1ic
    @MariamRiziki-so1ic 7 месяцев назад +1

    Nampataje plz nataka aje kwa harusi yangu

  • @AbbasOmar-f1q
    @AbbasOmar-f1q Год назад +1

    Babaalaahaa jahazi lileeee

  • @salimbahmad
    @salimbahmad Год назад +1

    safi sana

  • @junaitharjamal3761
    @junaitharjamal3761 Год назад +1

    Hatariiii na nusu

  • @maryleensatti2378
    @maryleensatti2378 Год назад +1

    Sanitha 🍓🍓🍓❤

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 Год назад

    Nyimbo tamu sana

  • @haramuzali9116
    @haramuzali9116 Год назад +1

    Jahazi❤

  • @NelhamCloudAccountants
    @NelhamCloudAccountants Год назад +1

    Karibu tena🥰🥰🥰🥰🥰

  • @kingkhalifasimile803
    @kingkhalifasimile803 Год назад +1

    🔥

  • @Mzuri_002
    @Mzuri_002 Год назад +2

    We mcharuko weeee🎉🎉🎉❤❤❤nakuaminia

  • @semenibakiri
    @semenibakiri Год назад +1

    🔥🔥

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel Год назад

    Mpitie na kwangu jamani sapoti zenu nyinyi watu

  • @HusnaHassan-qg8pl
    @HusnaHassan-qg8pl Год назад +1

    ❤❤❤❤🎉

  • @ruckymohd
    @ruckymohd Год назад +1

    Wa pili miye😂😂😂

  • @fatmaomar5764
    @fatmaomar5764 Год назад +1

    💯💯💥💥

  • @sitigakurya7305
    @sitigakurya7305 Год назад +2

    ❤❤❤

  • @Hawamhamedmbegu
    @Hawamhamedmbegu Год назад +1

    Tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @haykaofficial7427
    @haykaofficial7427 Год назад +1

    Mbona ghafla sana 😂😂😂 mjini kuchele

  • @ashooeamohammedkhamis7742
    @ashooeamohammedkhamis7742 Год назад +2

    🔥🔥🙌

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel Год назад

    Pambe tu.... ila hio intro ikianza kama sio clean version

  • @LaylatSalehe
    @LaylatSalehe Год назад +1

    Pambeeeeee mnooooooooo❤

  • @OmanOman-ru1kn
    @OmanOman-ru1kn Год назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @ShaniMdoe
    @ShaniMdoe Год назад +1

    ❤❤❤❤

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Год назад +1

    ❤❤❤

  • @dotochachama5934
    @dotochachama5934 Год назад +1

    ❤❤❤

  • @rechalmshana1293
    @rechalmshana1293 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤