Mpango Mkakati | Uwekezaji wa Hisa | Abbas Kimvuli | Orbit Securities | Money Talk

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 7

  • @gabrielraphael-ff5km
    @gabrielraphael-ff5km 11 месяцев назад +1

    Asante sana kwa elimu
    Tafadhali naomba link ya kujiunga kwenye group

  • @husseinramadhani1345
    @husseinramadhani1345 Год назад

    Asante kwa elimu nzuri, tuna omba link tujiunge ili tupate elimu zaid na hatimaye tuwekeze

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  Год назад

      Karibu sana. Hapa chini nitaweka link ya kukupeleka kwenye group la WhatsApp ambako utakutana na wataalamu wengine katika eneo hilo la uwekezaji.
      chat.whatsapp.com/L2tymoswMv6LLUYVnX8QdI

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j Год назад +1

    Balance diet pia unajipangia kwa mfano siwezi nunua kiatu ama shati la kuzidi bei fulani hata likiwa zuri kiasi gani...

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  Год назад

      Ahsante sana. Ni kweli kabisa. Hii inaweza kuonekana ni kawaida lakini ni hekima kubwa sana kuelekea uhuru wa kifedha.

  • @gabrielraphael-ff5km
    @gabrielraphael-ff5km 11 месяцев назад +1

    Asante sana kwa elimu
    Tafadhali naomba link ya kujiunga kwenye group

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  11 месяцев назад

      Karibu sana.. Unaweza jiunga kwa link hii: t.me/elimu_ya_uwekezaji_bure