Refurbished means that the product was used, deemed defective, recycled or returned for some reason, then tested and repaired by the manufacturer or a third party before being sold again. To sum it up, all refurbished products are used, but not all used electronics are refurbished.
@snashtz Mambo vipi brother? Ebhana me nimekuelewa kinoma noma sema naomba utupe elimu kidgo kuhusu simu zilizokuwa na pin dot. Ni jambo lenye utata kdgo
Kaka naomba review za behind the scenes za movie mbalimbali maan niliona Ile sound track ya game of thrones Ilinivutia sana lkn ckujua kam ilitengenezwa vile pia naomba ufnye review ya eSIM kutoka Airtel @snash
Wafanyabiashara huwa wanasaidiana na si kila mtu huwa anabaki na stock, kwahiyo mteja akiulizia bidhaa / Simu duka ambalo tayar limemaliza stock huwa muuza duka husika huenda kwa jiran na kuchukua kuja kumuuzia mteja anaweza ongeza hapo elf 10,000 tuu kama faida na ndo ile kauli ya ngoja tukachukue store huwa inasemwa lakin wengi hawana hizo store bali wanaenda kuchukua duka ambalo bado lina bidhaa husika na hushambulia hivyo mpaka bidhaa zinakwisha soko zima.. Zaid sana mzigo ukiwa hot cake wapi wafanyabiashara wengine huenda na kuzinunua zote na kuongeza faida na kuuz kwa kujidai bila presha
ukiona umekaa na mzigo kwa muda mref ivo bas we biashara ipo kushoto kwako a year? mhh sasa maan ya average sales kwako ina maana gan? na ma simu yenyew yanashuka bei kadri siku zinav zd kwenda
Bado kaka unaendelea kutudanganya tuu coz umebase kwenye IPHONE na SAMSUNG tuu. Kaka kumbuka kuna kina Tecno, Infinix ambapo kuna majamaa wanauza mpka leo hii anayo Tecno Pop3 na pop5 mpya anauza ipo dukan kwake haizijatokaga ss izo ni refurb au mpya na haaijawah kuuzwa kwa yoyote
Haipo refurb hiyoo, sio mpyaaa ,mpya inaitwa non active na inakua na apple warranty ndani inayosoma tokea treh ulonunua simu,nenda kawauliz hii simu ni non active,na warranty itasom kuanzia leo mpk trh km y leo mwakan afu uone jibu lao😂😂

Kama haijapita 6month baada ya tolea jipya una asilimia kadhaa za kupata mpya ila after hapo kuipata ni nadra hata ukienda apple store wenyew watakuambia out of stock and if wana stock ya refurb watakwambia its official apple refurb na package zake huwa tofauti na za mpyaa
Snash samahan Kuna watu uwaga wananunua cm used ichi za wenzetu na kuja kuziuza uku na uwa Wana SEMA n used wakimaamisha imetumika na mzungu vp awo used Dubai phone
katika vodeo yako yote umeshindwa kumcrush jamaa kwa facts unazunguka mle mle aliko pita yeye fanyen deep reviews ya kitu kabla hamjakaa mbele ya kamera
Unyama sana bro usimaindi nasiwengine ndotumejuwa zaidi kupitia wao
Refurbished means that the product was used, deemed defective, recycled or returned for some reason, then tested and repaired by the manufacturer or a third party before being sold again. To sum it up, all refurbished products are used, but not all used electronics are refurbished.
Snash nakubali sana, nilikua naomba pia uweze kutupa review ya zile LED TV za kufunga ukutani tunazipataje
Mimi nakupataga sana we kijana...
We umetupiga tu apo Unajibishia mwenyewe
Naomba utuonye review ya samsung note 10 plus
Brother refurb na simu mpya unaweza kutofautisha vip...???
Khaaaa sasa unataka usibishiwe kwa fo you think uko perfect sana
Naomba video review ya gari aina ya Audi Q5 model 2010,2011 na hizi latest za 2019 mpaka 2022.
Umeeleza vizur sana bro🔥🙌
I like ur explaination bro
Thanks
Mwanzo kabisa
MZEE WA FACTS
Kaka umeeleweka naomba review ya Toyota landcruiser Lc 300 gxr ya 2023
Snach kaka ongelea kuhusu push up board
Mimi nataka simu ndogo android yenye uwezo zaidi ipi
Umetisha sana bro ila kuna kitu umenkelewesha kuhusu stika ya warant ya refub japo natumia refub na mimi ila nilitoa stka
Kuna mduka kama sharaf haya ruhusiwi kuuza refurb na used its mpya tyh na wana cm ad s22utra unataka useme sio
Tunatamani tujueee kuhusu issue za satellite 😊 fanya review ya role ya satellite
I need refurbished phones from Dubai . I need to know where can I get some
Kaka me naomba elimu kuhusu internet imeanzia wapi na inafnyaj kazi
fact, ni kweli binafsi nimeshakutana na hiyo ishu ya refublish ilikuwa s22, nimerejesha, na nimeamua kuchkua latest s23
Kaka fany review ya redmi 11 pro naomba
Powa powa
@snashtz Mambo vipi brother?
Ebhana me nimekuelewa kinoma noma sema naomba utupe elimu kidgo kuhusu simu zilizokuwa na pin dot.
Ni jambo lenye utata kdgo
Ila watu ni wabishiii daaaa
Hawawezi kuelewa kaka hatakama mpya lakin so ya mwaka huuu so mpya hiyo 😂
Wewe jamaa ni muongo
Kwaiyo hata tecno spark 10 pro ya mwaka jana saizi ni refub sio new??
Kaka naomba review za behind the scenes za movie mbalimbali maan niliona Ile sound track ya game of thrones Ilinivutia sana lkn ckujua kam ilitengenezwa vile pia naomba ufnye review ya eSIM kutoka Airtel @snash
Unakuta mtu kanunua simu iliyokua discontinued kama iPhone 8 Iko full boxed Halafu Anasema mpya. Hakuna kitu kama hicho.
Kaka oppo nazo vp 1:20 😊
iOS 18 now is out. Waiting your amazing review our lovely brother. SNASH♥
Ebwana broo mm naomba kujua kuhusu izi sim aina ya Aquos water proof yake inaweza kukaa kwenye maji kwa muda gani
One Love❤
Kuna w2 awaelewi tu ata uwachape awaelewi tu broo hapo umetsha sna
Wameisha elewa broo maan sisi wabongo tunaamin uongo kuliko ukweli😂😂
😂😂
Broo snash umesema haiwezekan kukaa na Stoke mwaka mzima !! Sasa what if kama biashara imekua mbaya na nna simba Dukan bado mpya
Kabisa mzee,
Hujui biashara kaka .. biashara haina ku assume
Kama haijatoka na ni mpya haijawahi kutumia hutasemaje?
Wafanyabiashara huwa wanasaidiana na si kila mtu huwa anabaki na stock, kwahiyo mteja akiulizia bidhaa / Simu duka ambalo tayar limemaliza stock huwa muuza duka husika huenda kwa jiran na kuchukua kuja kumuuzia mteja anaweza ongeza hapo elf 10,000 tuu kama faida na ndo ile kauli ya ngoja tukachukue store huwa inasemwa lakin wengi hawana hizo store bali wanaenda kuchukua duka ambalo bado lina bidhaa husika na hushambulia hivyo mpaka bidhaa zinakwisha soko zima..
Zaid sana mzigo ukiwa hot cake wapi wafanyabiashara wengine huenda na kuzinunua zote na kuongeza faida na kuuz kwa kujidai bila presha
ukiona umekaa na mzigo kwa muda mref ivo bas we biashara ipo kushoto kwako a year? mhh sasa maan ya average sales kwako ina maana gan? na ma simu yenyew yanashuka bei kadri siku zinav zd kwenda
Broo naomb review ya samsung xcover 5 nataman xan kuiona maan mimi ni mutumiaji wa hiyo simu plz ilet kaka🙏🙏🙏
Unyama
Sure bro
Umetisha bro
umeongea ukwel boss
Namba ufanyie review ya sm za vivo
Hapo unatupiga na kitu kizito mzee 😂😂😂.
Kaka oppo nazo vp
Bro naona umesahau mziki wa Colona byashala inachangamoto zake unapanga changamoto inapangua
Kwanavyomjua mbongo bado atabisha tu apo , il kwakupita wew nimejua wauzaj simu wanapiga ela kinomanoma wanatuuzia refurb kwa bei ya simu mpya
What i know simu ikiwa status yake ni discontiuned means hapo production ndio hsifanyiki tena, acha kutupanga 😂😂😂😂😂
Mbona namba zao sizioni
Na Kuna anae faham kuhusu hizi Samsung zenye dot
nakubal🎉
Thanks
Watu wa DC una tutega Sanaa Shazam
Uongo mtupu
Ukwel ni upi au wew nd hujui bora ukae kimya
We ni hatar
Bado kaka unaendelea kutudanganya tuu coz umebase kwenye IPHONE na SAMSUNG tuu. Kaka kumbuka kuna kina Tecno, Infinix ambapo kuna majamaa wanauza mpka leo hii anayo Tecno Pop3 na pop5 mpya anauza ipo dukan kwake haizijatokaga ss izo ni refurb au mpya na haaijawah kuuzwa kwa yoyote
mwanang wwe umenena aisee big up
Mbna hao unaowaongelea ndo kabisa kil mwak wanatoa mpya na za zaman zinapotea njoo kariakoo ukiipat techno pop3 mpya nakup pop8 bure😂
@@athumanijoseph3042😂😂😂e waongo nyie
Asanteeeeeee
Ni kwel san
Na zile unakuta zipo sealed box na cmu ni ya mwaka jna
Nyingi ni refurb au Active ila sio non active
Unachobisha ni nn sasa hapo kuna maduka stock haiishi sababu ya bei zao njoo arusha kwa benson utapata iphone x mas mpya kabsa
😂
😂😂😂
Kuna kitu huyu jamaa naye haelewi,anadanganya umma.
Haipo refurb hiyoo, sio mpyaaa ,mpya inaitwa non active na inakua na apple warranty ndani inayosoma tokea treh ulonunua simu,nenda kawauliz hii simu ni non active,na warranty itasom kuanzia leo mpk trh km y leo mwakan afu uone jibu lao😂😂
Na hizi simu unakuta mtu ametumia halafu anakuambia anaenda kutop up hii inamaana gani
Mbona wanajiita used Dubai phone afu Wanauza rifabu hii imekaaje
Sipmple!
Refurbished yyt ilianza kuwa used kwanza..
Kumbe usomagi comments ndo Mana hujui washabiki wako wa damu
ulikuwa the tech 360 ukatuambia jamaa wana genuine phone kuanzia iphone 12 na kuendelea mwakajana hii imekaaje nayo...??
bro stock huwa zinabaki tu inawezekana labda n chache sana
Wafanyabiashara huwa wanasaidiana na si kila mtu huwa anabaki na stock, kwahiyo mteja akiulizia bidhaa / Simu duka ambalo tayar limemaliza stock huwa muuza duka husika huenda kwa jiran na kuchukua kuja kumuuzia mteja anaweza ongeza hapo elf 10,000 tuu kama faida na ndo ile kauli ya ngoja tukachukue store huwa inasemwa lakin wengi hawana hizo store bali wanaenda kuchukua duka ambalo bado lina bidhaa husika na hushambulia hivyo mpaka bidhaa zinakwisha soko zima..
Zaid sana mzigo ukiwa hot cake wapi wafanyabiashara wengine huenda na kuzinunua zote na kuongeza faida na kuuz kwa kujidai bila presha
Snash pamoja imeeleweka
Tupe Review ya hacker na scammer
Tuchambulie tofauti zao
Kwahiyo Bro snash hata nikinunua simu Apple store simu iliyotoka mwaka Jana bado ni refurbished?
Kama haijapita 6month baada ya tolea jipya una asilimia kadhaa za kupata mpya ila after hapo kuipata ni nadra hata ukienda apple store wenyew watakuambia out of stock and if wana stock ya refurb watakwambia its official apple refurb na package zake huwa tofauti na za mpyaa
Snash samahan Kuna watu uwaga wananunua cm used ichi za wenzetu na kuja kuziuza uku na uwa Wana SEMA n used wakimaamisha imetumika na mzungu vp awo used Dubai phone
Zinakua hazijabadilishwa chochote ila nyingi za dubai zinakua zimerekebishwa ndo izo ni refurb ila wanaita used dubai kuepusha complication
Ila snash kuna watu wakutengeneza copy 😄
Shazam movie DC
Shazam
katika vodeo yako yote umeshindwa kumcrush jamaa kwa facts
unazunguka mle mle aliko pita yeye
fanyen deep reviews ya kitu kabla hamjakaa mbele ya kamera