eSim ni nini ? Inafanyaje kazi ? Je ! Tanzania Tunahitaji ?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 75

  • @heisren_vii201
    @heisren_vii201 Год назад +3

    Mawakala kazi hawana tena

  • @Mkinga_og
    @Mkinga_og Год назад +6

    Snash nilikuomba unichambulie display za sinu.
    Oled, amoled, ips lcd, dynamic amoled, p_oled, ziko nyingi tu snash fanya ivo mkuu maana wengi hawaelewi ipi ni bora zaidi, na hata kwa ulinzi wa macho

  • @emanuelmhagama8193
    @emanuelmhagama8193 Год назад

    noma 😮mzee nakubali umeelezea vzr, ila saut yako nk millad kabisa

  • @brown24photography
    @brown24photography Год назад +6

    eSIM ije tu mapema tushachoka kuomba vipini vya kutolea line😂

  • @NixonAnderson1997
    @NixonAnderson1997 Год назад +1

    Great content.

  • @princejesan5823
    @princejesan5823 Год назад

    Asante sana kwa maelezo yako bro me Nina swali, je kama nimependa njee ya inchi inakuwaje na pia esim inamadhala gani

  • @ananiakajembe449
    @ananiakajembe449 Год назад

    Umetisha

  • @ayubugeorge2168
    @ayubugeorge2168 Год назад

    Hii nzuri aiseeee

  • @EmanuelKitaly
    @EmanuelKitaly 10 месяцев назад +1

    Samsung note 20 ultra 5g inauwezo wa esim?

  • @misetv6219
    @misetv6219 Год назад +1

    nzuri sana hiyo tunaihitaji bongo

  • @selestinemelkiory8149
    @selestinemelkiory8149 Год назад +6

    Je e-sim inaitaji Internet kwenye kupiga /kupokea or kutuma sms kama vile whatsapp or itakuwa ina operate as line ya kawaida like network-bars zinasoma vema then free to uses anytime ,regardless una access ya Internet or not ?

    • @movemdawote
      @movemdawote Год назад +1

      jana nime weka esm unyama una tumia kama lain ya kawaida tu nime weka airtel bado voda

  • @petermaico8613
    @petermaico8613 Год назад

    nmekua wa kwanza ku view na comment

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 Год назад +2

    Hyo rain ya kwanza kabisa ilkuwa inakaa kwenye simu gani🤔

  • @uteledigital
    @uteledigital Год назад +3

    Ungekua Una Mention Chini kwenye Description Gears unazotumia like Camera, Lens, Light na wapi mtu anaweza nunua au wewe mwenyew kuwa unauza ungepata wateja pia Bro...😊

  • @NGUFUSALOMI
    @NGUFUSALOMI Год назад +3

    Pixel 4 and later: All phones work with eSIM. Pixel 3a

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 5 месяцев назад

    Dah! Maendeleo. Mimi naona ipo haja ya Isim iletwe Tanzania

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 Год назад +2

    Jamaa bonge ya mtangazaji mi nimefatili unavyoongea kwa umakin kuliko iyo e.sim

  • @mohamedhamis6604
    @mohamedhamis6604 Год назад

    Good work bro

  • @riksonforever1169
    @riksonforever1169 Год назад

    Napenda kuwa hapa cause napata elimu

  • @wessdj8753
    @wessdj8753 Год назад +2

    Sasa snashi kwenye bio huwe unaweka link za hao watu ilituweze kuagiza vitu make mnasema tu ! Mtu flani harafu hatuoni link sasa amuoni mnatupa kazi jamani ? tunaenda google uko tuna kuta wakina snashi nitume kama 100 hatuerewi tumtume nani katika hao wakina snash wenye google imewaleta !!!

  • @waforo
    @waforo Год назад +1

    Naombeni support yenu

  • @petermaico8613
    @petermaico8613 Год назад +1

    sasa ukilogin kweny device kama 3 ukipigiwa inakuaje

  • @samviron8435
    @samviron8435 Год назад +1

    Kwa case ya majina na contacts inakuaje au yanaendelea kuishi google?

  • @samjr2510
    @samjr2510 Год назад +1

    Mhuu aseee nawaza paswrd za email tuu zenyewe hatujii je izo esim tutaweza kshika izo paswrd za esim😳😳😳😳

  • @justnchars2859
    @justnchars2859 Год назад +1

    Snash iyoo ecim haina mitandao yan kma voda tigo ow yenyewee ni mitandao yotee..?

  • @mjumbeshukuru
    @mjumbeshukuru Год назад +3

    AIRTEL Wameleta Hio Huduma

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb Год назад +4

    Duuuuuh
    Mimi ni msanii mchanga naomba sapoti yako kwa kuangalia video zangu kwa kubonyeza picha yangu hapo pembeni kushoto, naomb dak zako 3 tuh, maana mim bila wewe si kitu 🤸🤸💓💕💕🙌💓

  • @asifiwemwasimba4933
    @asifiwemwasimba4933 Год назад

    Daaah ila hii eSIM inatuhitaji sana wa bongo

  • @jephonaplatinumz8475
    @jephonaplatinumz8475 Год назад +1

    Kina sie tunaosajili lain kaz inaenda kufa ivi ivi

  • @Jamestar001
    @Jamestar001 Год назад +1

    Snashtz everrr

  • @thadeo10hag_
    @thadeo10hag_ Год назад +1

    Ok

  • @mishentown3259
    @mishentown3259 Год назад +2

    Nimekuelewa mwamba

  • @faustinemakona-vj9gj
    @faustinemakona-vj9gj Год назад +1

    Kwa bongo itafika lini mkuu

  • @BarakaMwaipaya-un4le
    @BarakaMwaipaya-un4le 9 месяцев назад +1

    kaka kwani techno spark 20 plo Ina e sim???? 🤔

  • @ebenezerjohn2917
    @ebenezerjohn2917 Год назад

    Big mind

  • @JosephSimon-m5d
    @JosephSimon-m5d 8 дней назад

    Sasa mbona halotel sioni qr code na tunawezaje zipata hizo qr code za halotel

  • @salumalswawafy9701
    @salumalswawafy9701 Год назад +2

    Unaweza tumia e sim 1 kwa no. Za mtando 2 tofaiti?

  • @princemwandu
    @princemwandu Год назад +1

    Samahani kaka ni iphone 14 tu ndo zinatumia esim au hat iphone xr

  • @mosessimkoko9364
    @mosessimkoko9364 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🙏

  • @mssgaintoo4321
    @mssgaintoo4321 Год назад +1

    2 in One Apple computer napataje

  • @matoyzlatimore303
    @matoyzlatimore303 Год назад +8

    Naombeni like zangu

  • @kulwaa.utwagani3101
    @kulwaa.utwagani3101 9 месяцев назад

    Je simu yenye mbili mitandao tofauti, nikiweka esim Tigo, je laini ya Airtel nikiweka sehemu yake itasoma?

  • @isayafrank7636
    @isayafrank7636 Год назад

    Leo wa 3 pepelesha bendera snash

  • @elias4810
    @elias4810 Год назад +1

    Je unaweza unganisha zaidi ya mtandao mmoja kwenye profile moja ya esim

  • @ItzJb10
    @ItzJb10 Год назад +1

    💜💚

  • @kabaitijunior2642
    @kabaitijunior2642 Год назад +1

    E sim unaweza tumia kwa namba mbili tofautiii

  • @Jouniorkids_
    @Jouniorkids_ Год назад

    Sawa

  • @mahamudhimu7934
    @mahamudhimu7934 7 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @charlessekidia
    @charlessekidia Год назад

    Nimekuelewa nipe hiyo

  • @henrylee_hd
    @henrylee_hd Год назад

    je sim mtu akipigiwa na sim card ipo kwenye simu mbili tofauti

  • @imanlyimo4427
    @imanlyimo4427 Год назад

    Unaweza kutumia esim moja kwa mitandao tofauti

  • @HamisHemed-yl5ke
    @HamisHemed-yl5ke 7 дней назад

    NDO MANA WAZUNGU KWENYE MOVIE ANANUNUA SIMU AWEKI LAINI ANAPIGA 😂😂😂😂

  • @swaloweddingcollection
    @swaloweddingcollection Год назад

    Braza apo umenifungua ndio maana sichoki kufuatilia video zako nakubl san snxh

  • @stephano3497
    @stephano3497 Год назад +1

    Fanya review ya airpods za Infinix

    • @mizikiyachuga3255
      @mizikiyachuga3255 Год назад +1

      Airpods ni za apple tiu sema pods. Airpods,mac air, iphone,ipad,ipod, mac book, Mac tosh, ni trademark za apple ink.

  • @abuj4really323
    @abuj4really323 Год назад

    Hii tunaiitaji sana

  • @IconIcon-yz5vm
    @IconIcon-yz5vm Год назад +2

    Daa technology inaalibu ajira sana sasa hawa vijana free lenser vp 😅😅😅

  • @Ernestmush
    @Ernestmush Год назад +1

    Kwanin 3a pixel haina redio

    • @thomas004
      @thomas004 Месяц назад

      Kwanini yeye ndo mwenye kampuni?

  • @nyottaboy6967
    @nyottaboy6967 Год назад

    Mkuu unaposema unaweza kulog in kwenye kifaa zaidi ya kimoja je ukipigiwa inakuwaje hapo

    • @wessdj8753
      @wessdj8753 Год назад

      Siuna pokea au ulitaka indelee kuita 😂🤣 !!

    • @raymrash
      @raymrash Год назад

      @@wessdj8753 🤣🤣🤣

  • @benniebernad2810
    @benniebernad2810 Год назад

    Vip kaka tofaut ya 4G na LTE ni nn

  • @NGUFUSALOMI
    @NGUFUSALOMI Год назад +1

    HATA GOOGLE PIXEL KUANZIA PIXEL 4, ZINA SUPPORT eSIM

  • @abuj4really323
    @abuj4really323 Год назад

    Je sim ikipotea au kuibiwa unaweza kuipata

  • @esackingstudio9701
    @esackingstudio9701 Год назад

    Kaka msaada natamani utueleweshe kidogo kuhusu movi ya ( Prince of Persia the sands of time )

  • @mthename8759
    @mthename8759 Год назад

    Snash

  • @moudys
    @moudys Год назад

    Umepotea mwamba

  • @JosephEleneus
    @JosephEleneus 7 месяцев назад

    Esim IPO tayal nazan kwa tg au vd