UKOSEFU WA AJIRA ZANZIBAR WAPELEKEA WASOMI KUFANYA HAYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 окт 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 62

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 месяца назад +16

    Kazi Zanzibar kwanza uwe na kadi ya CCM uwe na pesa ya kuhonga uwe mwenyeji yaani uwe na mtu kinyume na hapo kakojoe ukalale😂😂😂😂😂😂😂

    • @rahimahamad1016
      @rahimahamad1016 3 месяца назад

      Huu ndio ukweli mtupu kwa zanzibar viongozi njaa nyingi na viongozi wengi elimu ndogo

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 3 месяца назад

      Ni kweli

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 3 месяца назад

      Hiyo kwel kbs mm mume wangu ana kila kitu kaambiwa anataka kaz atoe million 2 ndo apate kaz iyo kwel kama huna pesa na mwenyej na ladi ya CCM ukakojoe ukalale kwel

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 3 месяца назад +9

    Mfanyabiashara wa Zanzibar hawezi kuimarika kwa sbb vikwazo vingi katika biashara

    • @wakwetu2444
      @wakwetu2444 3 месяца назад +1

      Na makodi yamezidi.

    • @MaryamAlli-is1jg
      @MaryamAlli-is1jg 3 месяца назад

      Wapo waliotajirika Kwa biashara hapa hapa Zanzibar muombe mola wako Kwa sana nawe upate

    • @MaryamAlli-is1jg
      @MaryamAlli-is1jg 3 месяца назад

      ​@@wakwetu2444Kila mtu na riziki zake alizokadiriwa

  • @rahimahamad1016
    @rahimahamad1016 3 месяца назад +3

    Zanzibar wanaogopa wasomi wazur (wakiona tu GPA yako ni kubwa hawakuajiri), mabosi hawataki challenge kisa anaona unampita ki level ya kielimu na kitaaluma. Pia ajira zimekua na siasa nyingi at anaulizwa sheha kwani mlisoma wote?, jambo jengine udugu mwingi zanzibar na hawa utumishi ni mafisadi wakubwa hawa wanauza nafasi matangazo mengi wanaoajiriwa hata hawaendi kwenye interview.

  • @YussufSuleiman-i5i
    @YussufSuleiman-i5i 3 месяца назад +5

    Pamoja na hayo ila zanzibar bado Kuna ubinafsi katika kazi watu wanajiriwa kindugu tofauti na bara

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 3 месяца назад +2

      Acha uongo kila sehemu ipo tembea uone

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 3 месяца назад

      Kabisa😢

    • @YussufJuma-i4v
      @YussufJuma-i4v 3 месяца назад

      Mm nipo Oman nipo na mwenzangu ni mtu wa bara kasomea unesi hajapata ajira kaamuwa kuja Oman kufanya kazi kwa waarabu.

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 3 месяца назад

      @@YussufJuma-i4v mwambie atafute kazi za uenesi zipo nyingi omani dubai saudia n.k afanye Application mtandaoni

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 месяца назад +7

    Zanzibar mzunguruko wetu mdogo lakn biashara tunalipa Kodi nyingi

    • @wakwetu2444
      @wakwetu2444 3 месяца назад +1

      Raisi aondoshe kodi katika chakula. Na aongeze kwenye ulevi na vitu vya anasa.

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 3 месяца назад

      Naam ​@@wakwetu2444

  • @SleimanMsellem
    @SleimanMsellem 3 месяца назад +4

    Siasa za Zanzibar pia ni sababu tena kubwa

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 3 месяца назад +10

    Haki za wanawake zimeleta upungufu wa ajira yaani wanawake wemepewa vitengo nyeti hadi maisha ya wanaume yamekua magumu

    • @x7hia
      @x7hia 3 месяца назад

      Pole sana 😂,Wewe mwanaume mzima unalilia kuajiriwa ,JITATHMINI

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 3 месяца назад

      Uko sahihi sana hata kama baadhi ya watu watakubeza. Lakini pambana kwenye Plan B, utatoboa tukijaaliwa. ❤❤❤

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 3 месяца назад

      ​@@x7hiaUkweli utabaki kuwa ukweli tu.

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 3 месяца назад

      Na hilo ni tatzo

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 месяца назад +4

    Serikali inajitahidi kuiba na sio kutoa ajira😂😂😂😂😂 kwanza Serikali ya Zanzibar ipo na ubinafsi kazi wanapeyana wao kwa wao wallahi ukibisha fatilia😢

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 3 месяца назад

      Kweli tunajionea kw macho ytu

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 3 месяца назад

      Kweli!! Kuna
      1. Ubinafsi
      2. Uchama
      3. Rushwa
      4. Economic cycle

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 3 месяца назад

      Hakuna kubisha hapo iyo uhakika kaz zinaenda kwa mjuano na pesa ata usome mpk ufike wp hupat kama huna mwenyej na pesa aa yaguju

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 3 месяца назад +3

    Blue evonomy

  • @SaidHamad-fo7ze
    @SaidHamad-fo7ze 3 месяца назад +1

    Mm nazani pafanyike mapinduzi ya Viwanda ili Ajina ziongezekee,

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 3 месяца назад

      Hawataki ilo Tanganyika mjomba na ndio maana huoni kujegwa

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 месяца назад +1

    Kufanya kazi kupitia akili yako mwenyewe hiyo ndio kazi ila ukifanya kazi kwa mtu kusjiriwa au kutumwa huo ni utumwa kazi ni kujifanyia kazi.uhuru furaha na utulivu

  • @suleimanmuhiddin5363
    @suleimanmuhiddin5363 3 месяца назад +4

    Ajira za CCM2

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 3 месяца назад

    Ni siku nyingi huwa nasema hii elimu tunayosoma ishapitwa na wakati kitambo tunahitaji kufumua mfumo wa elimu kuanzia primary hadi chuo kikuu tuanzishe mfumo ambao hiyo elimu utakaipata ikusaidie kweny shughuli zako, jambo jengine siasa zinatusumbua na pia zanzibar hatuna wataalamu wa kufuatilia mwenendo wa mambo yetu, kwa mfano zanzibar Kuna ukuaj mkubwa wa watu hivyo cha msing serikali ichangi mfumo wa elimu na pili itowe mazingira rafiki ya kufany shughuli kwa watu wake hp kijio kitapatikana

  • @muhidinimohd1470
    @muhidinimohd1470 3 месяца назад

    Ajira no tatizo kubwa hapa ulimwengu so la muhim tusichaguwe kazi vijana muhim iwe ya halali to

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 3 месяца назад +3

    Serekali ndio kikwazo kikubwa hakuna chengine

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 3 месяца назад

    Zanzibar ilitakiwa kuweka na vyuo vya ufundi badala ya utitiri wa vyuo vikuu, baadae kuwawezesha vijana kujiajiri mwenywe na kuwawezesha kwa vifaa kupitia mkopo. Leo hii vijana wengi wana elimu kubwa ila ajira ni ndogo.
    Pia wazazi nao wabadilike kifikra, naelewa hapendi mzazi amuone mwanawe a arudi nyumbani mikono ya kijani wake imeshafuka kwa girisi ila kiukweli Taifa bila ya vijana wenye skills za ufundi hilo sio taifa lenye mwelekeo mwema. Bomu limetengenezwa sasa msubiri liripuke maana vijana wenye madegeree kila mwaka wanaongezeka kuhitimu na wanaongezeka vijiweni😢😢😢

  • @kanaanrajab1102
    @kanaanrajab1102 3 месяца назад +1

    Bsi mshe shape mahtaj ya jamii tngu form one cause hapo nd mziz ulokuwepo.

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 3 месяца назад

    Viwanda hamna raw material zipo ila ccm haiwezi kufanya mageuzi ya viwanda kwa sababu tanganyika ndio wenye mamlaka mfano bandari iko wapi munazinguwa ccm

  • @arthurherman-rn8ko
    @arthurherman-rn8ko 3 месяца назад +1

    BRO !!! Africa is Africa 🌍 ( we can change that ) here in Africa Hata Usome Mpaka uwe na P.H.D but know Jobs u, know why?! Because the Government Can Produce JOBS YOU NEED TO BE SMART ON THIS GAME NOT UNLESS YOU WILL DIE HAS SOMEONE INJECT YOU RAT POISON

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 3 месяца назад +4

    Zanzibar bado tumelala,tuna utalii mkubwa sana ila vijana wamejikita zaidi kwenye ajira za serikali, fursa nyingi zinachukuliwa na wageni kwenye sekta ya utalii sababu hatuna vigezo

    • @idarous09
      @idarous09 3 месяца назад

      ata ukisoma uwo utalii kaka angu kazi bure awo wa nje wakija ndio wanaopewa kipaumbele kuliko hata wewe mzawa tulize sie tuliosomea hiyo sekta mpaka sasa tunahangaika juuu ya hilo ajira hakuna wa morogoro anasamiwa akija kuomba kazi za utalii mwenyeji anaachwa

    • @idarous09
      @idarous09 3 месяца назад

      ile trenee ukienda kuomba pia huipati utamaliza hoteli zote za unguja pia huipati achilia mbali iyo kazi

    • @MaryamAli-rs4rr
      @MaryamAli-rs4rr 3 месяца назад +1

      Hata usomee nini kubali ajira ngumu wengine tumejiajir wenyewe

    • @MohdMohd-y4w
      @MohdMohd-y4w 3 месяца назад

      Fursa kama huna pesa huwezi kuitumia chichote unachotaka kuifanya lazuma upate pesa

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 3 месяца назад +1

    Tatizo la ajira kwa sasa ni dunia nzima huku nilipo wapo vijana wengi hawana ajira wanalala tu mimi ndo nimetoka Zanzibar nimekuja kuwapikia na kuwafulia

  • @MaryamAli-rs4rr
    @MaryamAli-rs4rr 3 месяца назад +1

    Ajira ngumu sana wengine tumemaliza tokea 2013 tunapambana tu

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 3 месяца назад

    Serikali haipo kwa ajili ya raiya kupata unafuu wa maisha bali wapo kwa ajili ya madaraka tuu nkunyonya raiya

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 3 месяца назад +1

    Ubinafsi umezidi znz ajira kwa watu wenye msimamo fulani😂serikali niyakila raia chama ni cha mtu binafsi acheni ukiritimba mbele ya Allah muwe na jawab----?

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 3 месяца назад +3

    Msmungunye maneno ajira wapewa wageni

  • @jumasabour5886
    @jumasabour5886 3 месяца назад

    Mindset ytu mtu akimliza kusoma tu anafikiria ajira serikalini kitu ambacho sio sahihi. Ukizingatia wasomi ni wengi ukilinganisha na nafas. Ukifika level ya degree maana yake unamawazo mapena na unasoma vitu vingi ambavyo vinakujenda kulingana na mazingira.
    Tukumbuke kua nyumba na gari mzuri zinamilikiwa na wafanyabiashara .

  • @bshhdxgdhjjdhd7627
    @bshhdxgdhjjdhd7627 3 месяца назад +2

    Achen umwinyi

  • @PiliHakimu
    @PiliHakimu 3 месяца назад

    Usidanganye watu Zanzibar bado tupo nyuma sana

  • @MohdMohd-y4w
    @MohdMohd-y4w 3 месяца назад

    Sio mpite chuoni mpite maskulini

  • @ChainesBoufee
    @ChainesBoufee 3 месяца назад

    Watu wataenda kuchomwa kw uongo wao .

  • @mussiyussu5993
    @mussiyussu5993 3 месяца назад

    Rushwa nyingi mpaka hati miliki za viwanja mnashidwa kutoa ila jirani yangu mzungu yeye amepata haki miliki, jamani mbadilike raia hasaminiwi hata kama alichanga pesa yake halafu akanunua kiwanja inauma sana.

    • @mussiyussu5993
      @mussiyussu5993 3 месяца назад

      Wapi tunaweza kusikilizwa kero zetu hati miliki haipatikani kihalali, Rais Mwinyi kama unauchungu na raia wako basi hio ndio habari, serikalini wizi kibao wanaorudisha nyuma juhudi Zako tuko tayari tukupe majina, huwezi kuekeza rushwa imekisiri kwa wanyonge

  • @PiliHakimu
    @PiliHakimu 3 месяца назад

    Mbona ww hujaenda uko tabora