Mashallah sheikh Allah akupe siha na afya njema inshallah kheri alhamdulilah Leo tumeongeza fatwa nyengine ya kuhusu kujitiharisha hedhi na janaba pamoja shukran
Sheikh hamis hujamjibu bi Atiya vp kuhusu kuendelea kufanya jimai kipindi cha ramadhan wakat ukisikia adhanq ya Alfajiri uendelee hii haitoingia hukumu ya kufungua mwezi wa ramadhan na itabidi uilipe miezi miwili mfululizo

Muwafikirie na wanawake wanachoka nao
Sheikh hamis hujamjibu bi Atiya vp kuhusu kuendelea kufanya jimai kipindi cha ramadhan wakat ukisikia adhanq ya Alfajiri uendelee hii haitoingia hukumu ya kufungua mwezi wa ramadhan na itabidi uilipe miezi miwili mfululizo
Tatizo wanawake wengi hawendi madarsa
Wanaume jee mambo mangapi yatawaingiza peponi