BARZANJI MAULIDINI Sheikh Said Bafana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 362

  • @Abdulnassir-n6n
    @Abdulnassir-n6n 5 месяцев назад +5

    Nilichogundua masheikh wakianswar au ahlu Sunna waljamaaa.....wanajielewa na wanajuwa wanachofanya Masha.ALLAHOOO....bafana

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Год назад +20

    Sheikh wangu said Bafana nakupenda kwa ajili ya ALLAH

  • @GoodluckPaul-wf9gn
    @GoodluckPaul-wf9gn 3 месяца назад +1

    Alhamdulillah. Mwenyezi MUNGU azidi kukujaalia kheri InshaAllah . Umetoa darsa kubwa sana.

  • @KharidMrisho
    @KharidMrisho 2 месяца назад +1

    mashaallah shekh said bafana nakufatilia sana allah kuweke akujaze kher

  • @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
    @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Год назад +12

    Umezungumza maneno matam sana Allah akuhifadhi

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Год назад +10

    Maashaa Allaah Shekh kwenye hii dkk ya 6 umeongea kitu muhimu sana kwa watu ili wakijuwe, kwani huu ndio ukweli unao waweka wazi hawa wazushi na kuthibitisha kua lengo lao kwenye hii Dini ni uchafuzi nasio kufwata kile kilicho thibiti

    • @RamaRashid-t4h
      @RamaRashid-t4h Год назад

      Nenda kasome acha kupelekeshwa 😅😅😅😅😅😅

  • @AbdullyHamid
    @AbdullyHamid Год назад +5

    Mashallah habib mwenye kuskia n mweny mazingatio atazingatia allah ata tuongoza kwa ujumla inshallah

  • @sir-lymwethebest1028
    @sir-lymwethebest1028 Год назад +11

    Shukran sheikh said bafafa ALLAH AKUHIFADHI

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 Год назад +1

    ManshAllah cheikh wangu mwishi wa Dunia njia tuaona maulid yanavunja rekodi zamani maulid yanakua ni balaa tupu

  • @AbuldrhamNdongaIbrahim
    @AbuldrhamNdongaIbrahim Год назад +7

    Maashaallah shekhe Allah akuhifadh

  • @Mamiisalehe
    @Mamiisalehe 2 месяца назад

    AlhamdulillAh Allah akujaze kheirii sheikh inshaallah 🤲❤

  • @FadhiliWere
    @FadhiliWere Год назад +20

    Marshallah nimefatilia mbaka mwisho Alhamdhulillah nitashikana na Sunnah

  • @ConfusedPeacefulLake-nh8qm
    @ConfusedPeacefulLake-nh8qm 2 месяца назад

    yaa Allah tujalie imani na Yakkin sisi sote

  • @AbdallahsalehjafferElchunu
    @AbdallahsalehjafferElchunu Год назад +9

    Sheikh bafana may ALLAH protect you from jinn and bad mankind

  • @Abdulnassir-n6n
    @Abdulnassir-n6n 5 месяцев назад

    Namshkuru ALLAHU.....nimezaliwa Baba angu ni answari. Ahlu Sunna waljamaaa

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura Год назад +2

    Ma Shaa Allah
    Darsa lenye manufaa

  • @Semayoteyote
    @Semayoteyote Год назад +5

    JazakaAllah Sheikh said Allah akuhifadhi..... naomba unifanyie dua??

  • @hasanulbaswari6804
    @hasanulbaswari6804 Год назад +3

    الله يعطيك العافية والسلام في ٱمور حياتك يا شيخنا الفاضل❤️

  • @Abdulnassir-n6n
    @Abdulnassir-n6n 5 месяцев назад

    God bless you ustadh Masha.ALLAHOOO

  • @MayraFeisari
    @MayraFeisari 16 часов назад

    Mashaallah ntashikamana nasunnah

  • @farakhanmohamed
    @farakhanmohamed Год назад +3

    Swadakta ya sheikh bafana

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 Год назад +6

    Umenena vzr shekh bafana...mtoto wa bachu yuko sawa

  • @JumaMwangolo-b2k
    @JumaMwangolo-b2k 3 месяца назад

    mashallah shukran sheikh wangu

  • @SabraAbdilnasir
    @SabraAbdilnasir 9 месяцев назад

    Mashaallah mashaallah shekhe wangu Allah akuhifadhi

  • @shaibuyahayaupette4351
    @shaibuyahayaupette4351 10 месяцев назад

    Mashaalah ,sheikh Allah akulinde

  • @arafatshaban9217
    @arafatshaban9217 11 месяцев назад

    Thank you good massage may Allah reward

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb Год назад +3

    MASHA ALLAH
    NGOJA HAKI IBAINISHWE ALLAH AKUJAZE KHERI SHEKHE WETU

  • @yusufadanmoha311
    @yusufadanmoha311 Год назад +3

    Asante Sheikh wetu

  • @ShamsiDihombanya-m4k
    @ShamsiDihombanya-m4k 9 месяцев назад

    Shekh Allah akuifadhi na akujaliie mwisho mwema inshaallah

  • @Hamad10Salafi
    @Hamad10Salafi Год назад +1

    Na baada ya ule mjadada WATU wa Maulidi wakawa wanasherehekea kwa istzahi hili kumfanyia vitimbi Bachu
    May Allah guide us all

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 Год назад +1

    Inna lillah wainnaa ilaihi Raajiuun.Hawa...
    Tuweni wakweli mashekh zetu...
    Kuweni na Inswaaf...
    Shekh Bachu aliinuka akaawacha Mjadala we unasema kijana kashindwa kwenda Mbele jamani tusiwe warongo...
    Bachu angejibu ili yule Saidi aende mbele...

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 Год назад +1

      Said alijibiw ila yy alitak ajibiw anavotak yy mana kambiw jibulake halipo kweny vitab ila km angeuliza vzur angejibiw kwa akil ya mt ndio mana aliambiw mfano kazaliw leo ng'ombe anavichwa 7 alaf ww umulize shekhe nn hukmu ya huyu mnyama mwenye vichwa7 kupitia vitabu apo shekh atajib halipo kweny vitab. Ss yy alitak aseme cjui ss ndio nn km lipo ww c litaj ndio mana kagandia pale

  • @naswiharashid7166
    @naswiharashid7166 10 месяцев назад

    Masha Allah sheikh wangu asante sn

  • @ShabaniHamis-u9l
    @ShabaniHamis-u9l Месяц назад

    mashaallah Allah Akupe afya ili tuendelee kupata elim

  • @MohammedHabeeb-r6i
    @MohammedHabeeb-r6i Год назад +3

    Sheikh wallah hawa watu wanajua ukweli lakini wanashindwa kutetea hakika ni vibur tu allahu mustaan allah awaongowe na awaonshe njia ya haki

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Год назад +3

    JAZAAKA LLAAHU KHEIR SHEKH,ALLAH AKUBAARIK SHEKH NA UMRI WENYE KHERI

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official Год назад +12

    shaikh bafana Allah protect you ❤❤

  • @SamirKaba-u1c
    @SamirKaba-u1c 11 месяцев назад

    Shukran sana sheikh tumelewa sana bidah ni mbaya sana

  • @SaidiPepo
    @SaidiPepo Год назад +1

    Nyiye ahlu Sunnah

  • @MwaleniAmri
    @MwaleniAmri 3 месяца назад

    Allah akulipe kutupa elim

  • @costerhoshan6755
    @costerhoshan6755 Год назад +8

    Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Год назад +3

    Maulidi sasa hivi yamekua disko dancer,........

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Год назад +4

    Mashallah
    mashekh zetu
    Bidaaa hii itaondoka tu kama ilivyoondoka 40 katk umisiba.
    Leo hakuna 40 na khitma ! hii n kaz za Ahlu sunnah kaz zenu zina manufaaa

    • @RamaRashid-t4h
      @RamaRashid-t4h Год назад

      Khitma ipo na zitaendelea kuwepo tatizo hamJa soma Niwatu wakukaririshwa njoo tanga 33:54

    • @ruzatuntajadin1274
      @ruzatuntajadin1274 Год назад

      Je saa za mazishi huletwa ustada atoe darsa nusu watu chini wengine mbali kilio watu walizana hakuna asikiaye jee waqti wa mitume na maswahaba ilikuweko?
      Lakini kukisomwa Qur'ani kuka khitimishwa na kisha ma tawasul na kumswalia Mtume watu wote watikia kwa umoja mpaka alofiliwa hupunguza kuliya nae atikiya kimyaa watu

    • @abdulqadirrafiq6704
      @abdulqadirrafiq6704 2 месяца назад

      @@RamaRashid-t4h Mtume alifanya khitma?

    • @darajanida
      @darajanida День назад

      ​@@abdulqadirrafiq6704 je mtume s.a.w alifanya mashindano ya.kur ani

  • @mwanakomboabdala-bt4po
    @mwanakomboabdala-bt4po Год назад +5

    Naaam

  • @HarunIsmail-bi8lk
    @HarunIsmail-bi8lk 8 месяцев назад

    بارك الله فيك

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 Год назад +4

    shekh waongea swahihi kabsa

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 9 месяцев назад

    Quran na Sunna ♥️♥️

  • @SaidiHaji-ni3ih
    @SaidiHaji-ni3ih 3 месяца назад

    Mawaidha mazuri Sana mashaallah

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 Год назад +4

    Sema watu bid'aa wakiambiwa ukweli huwa wanaumwa sana......wengine wakishajua ukweli wanaona kukubali haki ni hali ya kushindwa

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 Год назад +2

    SHEIKH MSELEM ALIWAAMBIYA NYINYI MAWAHABI HAMUTAKI KUSOMA MWATAKA KUTUKANA WATU

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 Год назад +4

    مشاالله

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 Год назад +1

    Ustath said amewanyoosha hawa mawahabi imewauma sana

  • @abdallamohammed6069
    @abdallamohammed6069 Год назад +1

    Mungu awaongoze mawahabi

    • @thabitisaidi6334
      @thabitisaidi6334 Год назад

      Acha kukurpka ongea kwa hoja acha kuwaita watu wasunna mawahabi kwa sbabu wahabu niktika majina ya allaha acha kumkosea mula wako adabu

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 Год назад

      ​@@thabitisaidi6334utakuwa mzee wa maulid 😂😂

    • @SamirKaba-u1c
      @SamirKaba-u1c Год назад

      Amin amin amin
      Nimeitikia amin Kwasababu ulipo sena mungu awaongoze mawahabi
      Mungu najuwa ulikusudia Allah,
      Na mimi nawaombeya dua watu wa bidah
      Na Nyinyi watu wa bidah Allah
      Awaongoze muache bidah za maulid na zingine
      Mje kwanye suna

  • @SharifuHamisi-yw1dx
    @SharifuHamisi-yw1dx Год назад +1

    Hamjui mtume huuyuu ufahamu nao nirizki tumswalieni mtumeee sanaa

  • @AbdallahKabury-ig7kk
    @AbdallahKabury-ig7kk Год назад +4

    Swahihi

  • @mohammedwedding6530
    @mohammedwedding6530 Год назад +1

    Yaumu na Leila na kiyama ni siku tofauti.
    Yaumu ni mchana wa siku ya arafa kwa mujibu wa muandamo wa mwezi.
    Leila ni usiku usiojulikana 21,23,25,27
    Kiyama ni kisimamo na kadri yake anaijua Allah.

  • @OmarAbdulrahman-uk2fh
    @OmarAbdulrahman-uk2fh 10 месяцев назад +1

    Wewe saidi hujitambui kubwa zima hujielewi

    • @innocentmusa7660
      @innocentmusa7660 8 месяцев назад

      Jadili hoja, wacha uburukenge haumjui mwenyezi Mungu na haki zake juu yako wewe na wala haki zake Mtume (s.a.w) juu yako yeye huzijui Je elewe mwanzo!

  • @oruko4773
    @oruko4773 5 месяцев назад

    Alhamdulillah

  • @fadhilizomboko459
    @fadhilizomboko459 Год назад +2

    Mash'allah

  • @rahmaMohamed-op9mk
    @rahmaMohamed-op9mk Год назад +1

    Mashallah,ukovizuri,mnajitambua

  • @HusnaTanga
    @HusnaTanga Год назад +2

    Ewe allah nifanye niwe mwenye kufata haki na kuicha batwr

  • @mohamedmasanga9134
    @mohamedmasanga9134 Год назад

    MISIKITI YA GHOROFA TUIACHE TUJENGE MISIKITI KAMA ALIOJENGA MTUME SAW PALE MADINA NDIO SUNNAH TUACHE BIDAA

  • @Buddy9072
    @Buddy9072 Год назад +1

    س: تخصيص الأموات؟
    ج: إذا خصَّهم لا بأس، كان النبيُّ ﷺ كثيرًا ما يُضَحِّي بذبح الشاة عن خديجة، يتصدق بها عن خديجة، ويقسمها بين صواحبات خديجة بعد وفاتها رضي الله عنها.
    Hizo kwenye fatwa za Binbaz

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 9 месяцев назад

    Sheikh hebu kemea ulevi ,riba ,zinaa ,dhulma,uongo ,itakua vizuri

  • @abubakarramadhan1716
    @abubakarramadhan1716 Год назад +2

    Laaaaaailaaaaaaha illallaaahu dini imekosa watu waluiongelea kiudilifu ila lila mtu anataka kujulikana nakundi lake liipate kua juu mungu tusaidie

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 Год назад

      We fafanuwa km wanavofafanuwa wenzio usiseme kundi tu

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Год назад

      Kasema wewe ukiijua haki igaganie mpaka tone la mwisho

  • @uthmanmaalim2680
    @uthmanmaalim2680 11 месяцев назад +1

    inategemeya umeelewa aje

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Год назад

    Ushirikina ndani za kwasidah za almighrania suudaniyah
    كرَّ صلّى اللَه عليك يا بني
    يا مزيل الغمِّ والكربى
    كلُّ هم أنت تفرجهُ
    إن وفا للعجم والعربي
    وإذا ما الخطبُ أمَّ لنا
    زحتهُ أيضاً كذا النكبى
    فاغث يا خير غوثٍ بدا
    واجل كربا عمَّ من حقبى
    وارحنا من عنا سيّدي
    من عنا الدنيا والأخرى يا بني
    واجعل الأوقات جمعاً صفا
    صحبةَ الأهل وصحباً حبى
    وباخرنا انل راحةً
    بزحامٍ لاعنا نصبى
    وانحنا من هولها سندى
    وإلى الجنّات سُق طلبى
    ومقاما بالجوار نل
    لك يا طه وذا مطلبى
    وصلاةُ اللَه تغشاك مع
    الك الصحب ومدا ما صبى
    هام فيكم وانشدَ المرغنى
    كرَّ صلّى اللَه عليك يا بني
    شرح ومعاني كلمات قصيدة كر صلى الله عليك يا بني
    قصيدة كر صلى الله عليك يا بني لـ محمد عثمان الميرغني وعدد أبياتها أحد عشر.
    عن محمد عثمان الميرغني

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Год назад +3

    sheikh upo sahihi masahaAllah

  • @khadijaahmed2331
    @khadijaahmed2331 Год назад +3

    Jazakallah kher alf marra naomba tupate mtu atutengezee translated copies in kiswahili n English ya kile kitabu cha barzanji😊

  • @AbdillahAlly-q6j
    @AbdillahAlly-q6j Год назад +1

    Hata huyu nae kashatumwa na mayahudu kuja kuharibu dini subhanallah

  • @alamoodyfauzi9658
    @alamoodyfauzi9658 Год назад +3

    Hata wasiokua waislamu wanamsifu kipenzi chetu mtume MUHAMMAD (SAW)vizuri zaidi ya baadhi ya waislamu, watu kama ;
    J. H. DENISON
    SIR THOMAS CARLYLE
    MICHAEL H HART
    PRINGLE KENNEDY
    LAMARTINE
    Prof. K. S. RAMAKRISHNA RAO
    SIR WILLIAM MUIR

  • @issayunus2395
    @issayunus2395 Год назад

    Ustadh, soma na usome saana ustadh.

  • @omarshaban4735
    @omarshaban4735 Год назад +2

    Wazushi wa maulidi wamefurunga dini

    • @akidahamad142
      @akidahamad142 Год назад

      Na babu yako alikua mzushi maana alikua anafanya maulid au

    • @omarshaban4735
      @omarshaban4735 Год назад

      @@akidahamad142 hata mm nilikua mtu wa maulidi lakini niliacha

  • @SeifRupatu
    @SeifRupatu Год назад +2

    Wewe jamaa unajioonaa unaweza kumteteaa bachu. Jamaa wametoaa nafasi uende wewe au uwaalike popootee watajuaa wakina ustdh saidii

  • @SeifRupatu
    @SeifRupatu Год назад

    Wewe achaa uongooo. Hujawahii kumuoonaa sheekh Samir Wa Tanga akiwakemeaa mashiaa

  • @Buddy9072
    @Buddy9072 Год назад +5

    Shekhe....wasema hiyo Nuru imetoka mahali ya aibu, yaani Mtume alikuwa kwenye sehemu aibu, ama kweli fahamu zikiwa saqimu fikra huwa ndogo. Ama kweli Nuru ilienea kwa mazazi yake Bwana mtukufu mpaka Shaam lakini masikitiko Nuru hiyo haikuwafika mawahabi. Maskini wasikitisha

    • @Buddy9072
      @Buddy9072 Год назад +1

      وَأَنْتَ لَمَّا وُلِدْتَ أَشْرَقَتِ الأَرْضُ وَضَاءَتْ بِنُورِكَ الأُفُقُ فَنَحْنُ فِي الضِّيَاءِ وَفِي النُّورِ وَسُبُلُ الرَّشَادِ نَخْتَرِقُ ....

    • @babinhoelninho5416
      @babinhoelninho5416 Год назад

      Kutokuelewa ni shida maaa maneno hayo ni kwa barzanji peke yake,Allah atuongoze

    • @Buddy9072
      @Buddy9072 Год назад

      @Babinho huyo Barzanji mwamjua lakini ama mwamsikia Bafana na Bachu wakimtaja na nyinyi mwamtaja tu?

  • @KhuluudHamouda2380
    @KhuluudHamouda2380 Год назад

    Kapige magoti uisome Lugha ya kiarabu upate kuelewa mambo vzr.

  • @mansulesuleyman6217
    @mansulesuleyman6217 Год назад +1

    Swali liko pale pale sema sijui

  • @mansulesuleyman6217
    @mansulesuleyman6217 Год назад +1

    Mzee rudi ukasome

  • @MwaleniAmri
    @MwaleniAmri 3 месяца назад

    Sheghe mm nipo Tanzania je unapokea vijana

  • @salimjawas8123
    @salimjawas8123 Год назад

    Tumia ilimu yako vizuri, ilimu nayo ni rizki. Chunga manena yako Bafana. Yasije yakakuangamiza kaka.....

    • @omadal1
      @omadal1 Год назад

      Kwa kweli sio umuhimu wa kuoneshana ubabee wa kukosowana kwa mambo yasiyo muhimu wakati tunawacha mambo yalo muhimu, kama huyu sasa Bwane Bafana na wengineo kwanini hawatumi muda wao kwa mambo muhimu ya jamii?

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 Год назад

      Leta na wewe elimu yako 😅😂

    • @rashidbanza7840
      @rashidbanza7840 6 месяцев назад

      ​@@omadal1elimu muimu niipi iyo tuambie

  • @Auf-uh3jq
    @Auf-uh3jq Год назад

    Wewe shekhe kusema msikiti mbele yangu simakosa kwa ilmu mantiqia
    Nafkiri hujasoma mantiq
    Munatushangaza kweli mukoshasoma kiarabu mushakua maustadh

  • @saleherashid2262
    @saleherashid2262 Год назад +1

    kashindwa Muhammad Bachu si angejibu halafu aone elimu ambayo ingetolewa halafu hao mnaowahukumu hamuwakuti hata robo na ni Mashekh ambao washatangulia mbele za haki mkiwasema watajirekebisha lini

  • @mohamedmasanga9134
    @mohamedmasanga9134 Год назад +1

    Dini ni ya Mungu umesema kweli na mwenye kujua nani kapatia na nani kakosea ni huyo mwenye DINI yaani Allah SW lakini kila sheikh ukimsikiliza utaona anajivutia upande wake anaoamini na wanao comment pia wameegemea upande wanaoshabikia kumbe sasa Allah ndie HAKIMU kwa aliepatia na aliekosea basi tumwachie Allah ahukumu sio sisi kuwa majaji ni makosa

    • @babiddi8620
      @babiddi8620 Год назад

      Watu wana takiwa kuelimishana

  • @SaidiPepo
    @SaidiPepo Год назад

    Nyie sio ahlu sunnah

  • @aminaali5139
    @aminaali5139 Год назад +2

    Jua pia ni moja tu tena lina muanga na twafuata jua kuswali kwanini tusiswali ulimwengu mzima soteniii kibla ni hichohicho 😂😂😂 mwapotezwa na mitandao wazuka wakubwa zamani watu walikua na utulivu hakuna fitna za mitandao kasomeni jamaniiii hatari sanaa mtu hana ilmu ajifanya ana ilmu huyu ni fitna ulimwengu mzima

  • @MARLIYAMOHAMED-qc5is
    @MARLIYAMOHAMED-qc5is 2 месяца назад

    ❤❤❤❤

  • @Buddy9072
    @Buddy9072 Год назад +1

    Jee shekhe....hizo aya za adhabu na za minyororo, ukizisoma zinayo thawabu kwa kila herufi....ama hizo aya hazina thawabu, maana kuna mushkil hapo....

  • @mohammedwedding6530
    @mohammedwedding6530 Год назад +2

    Naam wamezungumza wanyama na anayefahamu jinsi walivyozungumza ni aloandika abyati tunamuamini kwa miaka yote iliyopita na inayokuja sio wewe unayetafsiri na ufahamu wako.

    • @earthmanhassan656
      @earthmanhassan656 Год назад

      Sio kwa hasira wala kukejeliana alhabib, naomba hadith swaheeh shekhe langu. Nahofia nisiwe miongoni mwa watu watakomkadhibisha Mtume Wetu Swalla Allaahu Alayhi Wa Sallam
      ((من كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار)) متفق عليه
      ((Atakayeniongopea makusudi basi ajitayarishie makazi yake motoni)) [Al-Bukhaariy Na Muslim]
      Ukiwa umeeneza mambo hayo na hali unajua kuwa si sahihi, basi tambua kuwa ushaingia katika walioelezwa ndani ya Hadiyth hiyo

  • @omarytobaomary7148
    @omarytobaomary7148 Год назад +3

    Mashallah masheh wanaosema ukweli kama wwe ndio tunawaitaji

  • @MamuIssa-s7p
    @MamuIssa-s7p Год назад

    Wallah ikiwa upo kwa lengo la kujfunza utayaelewa haya maneno ila ukiwa ni mshabiki hutayafaham

    • @Buddy9072
      @Buddy9072 Год назад

      فقد روى الإمام أحمد في مسنده عن العرباض ابن سارية، عن النبي صلى الله عليه وسلم، قال: إني عبد الله في أم الكتاب لخاتم النبيين، وأن آدم لمنجدل في طينته، وسأنبئكم بتأويل ذلك: دعوة أبي إبراهيم، وبشرى عيسى قومه، ورؤيا أمي التي رأت أنه خرج منها نور أضاءت له قصور الشام، وكذلك ترى أمهات النبيين صلوات الله عليهم. ورواه الحاكم وصححه، ووافقه الذهبي.
      Naomba mtafute Bafana akueleze hii hadithi au akudhaifishie pia ni sawa. Kisha ndio upime munayoelezwa na hawa watu yapo ama ni uzushi???
      Hayo aibu ni yapi ama urongo ni upi???

    • @SabraAbdilnasir
      @SabraAbdilnasir 9 месяцев назад

      Nikweli kabisa mdogo wangu

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj Год назад

    Munaogopewa kwa sababu wapotoshaji nyinyi mawahabi

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 Год назад

    Nyue ht mssem nin tushakushttukien mnalipw na mayahudi muuchafue uislam

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v Год назад

    Duuu.
    Kwa kupinga hayo maulid vitu vingi vizur vyapatikana katika maulidi maidha mazur yanatolewa qruani tukufu itasomwa na wanaume wanakaa peke yao na wanawake pekee
    Wakichangamyika ndo vibaya.
    Shekh twakupenda kwajili ya ALLAH
    Waislam wote nawapenda kwajili ya ALLAH bila kubagua dhehebu

  • @casmiliyndunguru6110
    @casmiliyndunguru6110 Год назад +1

    Nyie leo mahabi inaacha kuzungumzia zinaa imekithir mitaani mnazungumzia maulid

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 Год назад +1

    Sasa ukiongea lazima utie chumvi ili ukubalike

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 Год назад +3

    Msaidie bas kujibu swali la bachu wacha kutuletea balbala zako

    • @diagfinamix1861
      @diagfinamix1861 Год назад

      Bado hamja zi jibu hata zile za Tanga mnadai kujibiwa ka kwenu ka moja tu ,

  • @MtandaKibari-zm4bj
    @MtandaKibari-zm4bj Год назад +1

    Saidi bafana naona hata kichefu chefu kukuangalia unaongea utumbo tu ndugu yangu

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 Год назад

    PAKA WA BACHU AMEZUNGUMZA KWA KUSHINDWA KWAKE NA USTADH SAID

  • @mohammedwedding6530
    @mohammedwedding6530 Год назад +2

    Nuru ya mwenyezimungu imeenea alipozaliwa bwana na sio kama unavyotafsiri na unavyofahamu kwa uchafu wako na ndio maana upo kwenye kiza kwa ufahamu wako finyu.

  • @saleherashid2262
    @saleherashid2262 Год назад +2

    Mwenyewe hapo upo kwenye Bida'a hiyo maiki Mtume hakutumia