Acheni scholarship zisizokua na mashiko ukifanyiwa ubaya Mwenyezi Mungu yeye ndio mwenye elimu ya kujua either kukupata au usikupate na sio eti mpaka Mwenyezi Mungu aruhusu ndio ukupate na kuwa mitihani kwako bila ya shaka mitihani kwa Mungu ni yeye akitaka atakupa kwa hali yoyote iwe maradhi utajiri nk
Masha allah mungu akubarikii
ALLAH AKUTANGULIE ❤
Mashallah mwenyezi mungu akuzidishie ilimu. Hiyo nikweli
Allah akupe hifadhi yake sheikh said bafanaa
shukrani.ya.shehk.mashaalla 36:15
Akhy assalaam alykum warrahmatullah wabrakaat, muendelezo wake uko wapi akhy? na Mwanzo wake