Masjid Riyadha Nairobi
Masjid Riyadha Nairobi
  • Видео 35
  • Просмотров 54 285

Видео

WTAKAO FILISIKA SIKU YA KIYAMA {Sheikh Abdulrasheed Al Hilaly}
Просмотров 4019 часов назад
jumma khutbah october 25
MASIKU KUMI BORA {SHEIKH RATIB}
Просмотров 1719 часов назад
MASIKU KUMI BORA {SHEIKH RATIB}
KUMWAGA DAMU YA MWISLAMU Imam Zakaria Abdallah
Просмотров 3321 час назад
KUMWAGA DAMU YA MWISLAMU Imam Zakaria Abdallah
PALESTINE NI KADHIA YETU
Просмотров 407 месяцев назад
PALESTINE NI KADHIA YETU
TUZINGATIE HAYA BAADA YA RAMADHAN Sheikh Ali Shekuwe
Просмотров 888 месяцев назад
TUZINGATIE HAYA BAADA YA RAMADHAN Sheikh Ali Shekuwe
Ramadhani yaisha yapi ya kuzingatia {Sheikh Ali Shekuwe}
Просмотров 748 месяцев назад
Ramadhani yaisha yapi ya kuzingatia {Sheikh Ali Shekuwe}
TARAWEH Ustadh Ibrahim
Просмотров 3238 месяцев назад
TARAWEH Ustadh Ibrahim
JE UNA SIRI BAINA YAKO NA ALLAH ? SHEIKH ALI SHEKUWE
Просмотров 898 месяцев назад
JE UNA SIRI BAINA YAKO NA ALLAH ? SHEIKH ALI SHEKUWE
MWEZI MTUKUFU RAMADHAN
Просмотров 678 месяцев назад
MWEZI MTUKUFU RAMADHAN
VIPI TUJI ANDAE NA RAMADHAN IMAM ZAKARIYA ABDALLAH
Просмотров 719 месяцев назад
JUMMA KHUTBAH IMAM ZAKARIYA ABDALLAH
MAMBO MATATU ITAKAYO KUA SABABU YA KUMUINGIZA MTU MOTONI {SHEIKH RAMADHAN MWANGI}
Просмотров 649 месяцев назад
JUMMA KHUTBAH MAJID RIYADHA NAIROBI
MAKHAWARIJ JUMMA KHUTBAH {SHEIKH ALI MUHSIN }
Просмотров 589 месяцев назад
MAKHAWARIJ JUMMA KHUTBAH {SHEIKH ALI MUHSIN }
ILI MTU AATHIRIKE NA IBADA SHEIKH ABU HAMZA
Просмотров 3610 месяцев назад
Maghrib Darsa Masjid Pumwani Riadha
HATARI YA KUM KUFURISHA MWISLAMU SHEIKH ALI SHEKWE
Просмотров 9310 месяцев назад
Juma Khutbah Masjid Riyadha
KUMUOGOPA ALLAH SUBHANAHU WATAALA Sheikh Abubakar
Просмотров 10210 месяцев назад
KUMUOGOPA ALLAH SUBHANAHU WATAALA Sheikh Abubakar
Mtume Muhammad ﷺ ndiye Mfano Bora wa Kuigwa kwa Wanadamu USTADH IBRAHIM
Просмотров 17610 месяцев назад
Mtume Muhammad ﷺ ndiye Mfano Bora wa Kuigwa kwa Wanadamu USTADH IBRAHIM
MITIHANI MI 5 YA DUNIA UTA KUMBANA NAYO Sheikh Hassan Ahmed
Просмотров 11310 месяцев назад
MITIHANI MI 5 YA DUNIA UTA KUMBANA NAYO Sheikh Hassan Ahmed
SIKU INAPO PITA KUNA PUNGUA SIKU KATIKAN MAISHA YAKO (SHEIKH MUHAMMAD ADAN SAGANA)
Просмотров 6211 месяцев назад
SIKU INAPO PITA KUNA PUNGUA SIKU KATIKAN MAISHA YAKO (SHEIKH MUHAMMAD ADAN SAGANA)
JIFUNDISHE ELIMU YA DINI SHEIKH YAHYA
Просмотров 68Год назад
JIFUNDISHE ELIMU YA DINI SHEIKH YAHYA
UNDUGU MMOJA DINI MOJA SHEIKH ALI MUHSIN SHEKUWE
Просмотров 126Год назад
UNDUGU MMOJA DINI MOJA SHEIKH ALI MUHSIN SHEKUWE
ANA WAPENDA NAO WANA MPENDA Ustadh Ibrahim Abu Ismail
Просмотров 107Год назад
ANA WAPENDA NAO WANA MPENDA Ustadh Ibrahim Abu Ismail
MTU KUWA NA MSIMAMO WA UWONGO [SHEIKH RAMADHAN]
Просмотров 115Год назад
MTU KUWA NA MSIMAMO WA UWONGO [SHEIKH RAMADHAN]
ALIE WAJIBIKA KUTOA ZAKAH [Sheikh Hassan Makoha]
Просмотров 43Год назад
ALIE WAJIBIKA KUTOA ZAKAH [Sheikh Hassan Makoha]
TAHFIDH MAJENGO WE HAVE A NEW HAFIDHA
Просмотров 1 тыс.Год назад
TAHFIDH MAJENGO WE HAVE A NEW HAFIDHA
DUA NA ADHARI ZAKE KATIKA KUHAKIKISHA NUSRA JUMMA KHUTBAH USTADH IBRAHIM (PACK ROAD MASJID)
Просмотров 98Год назад
DUA NA ADHARI ZAKE KATIKA KUHAKIKISHA NUSRA JUMMA KHUTBAH USTADH IBRAHIM (PACK ROAD MASJID)
HAMZA HASSAN CANDIDATES MOTIVATION TALK
Просмотров 209Год назад
HAMZA HASSAN CANDIDATES MOTIVATION TALK
SHEYTWAN HUMPAMBIA MTU MAOVU
Просмотров 143Год назад
SHEYTWAN HUMPAMBIA MTU MAOVU
KUONESHA UNDUGU | PALESTINE 🇵🇸 JUMMA KHUTBAH Sheikh Salim Shaaban
Просмотров 261Год назад
KUONESHA UNDUGU | PALESTINE 🇵🇸 JUMMA KHUTBAH Sheikh Salim Shaaban
UCHAFU WA LGBTQ \\LAAANA ILIO WAPATA QAUMU LUT Ustadh Ibrahim Abu Ismail
Просмотров 378Год назад
UCHAFU WA LGBTQ \\LAAANA ILIO WAPATA QAUMU LUT Ustadh Ibrahim Abu Ismail

Комментарии

  • @MayraFeisari
    @MayraFeisari 19 часов назад

    Mashaallah ntashikamana nasunnah

  • @ShabaniHamis-u9l
    @ShabaniHamis-u9l Месяц назад

    mashaallah Allah Akupe afya ili tuendelee kupata elim

  • @AbduliKilungula
    @AbduliKilungula Месяц назад

    Chuma icho nakuombea Dua yoyo anaye kuangalia kwajicho baya kwasababu ya kuongea ukweli basi yeye ndo ahangamie unaongea Haq na Allah anawapenda waliosimama juu ya haki allah akuifahidhi kwajili ya dini yetu tukufu..

  • @ConfusedPeacefulLake-nh8qm
    @ConfusedPeacefulLake-nh8qm 2 месяца назад

    yaa Allah tujalie imani na Yakkin sisi sote

  • @Mamiisalehe
    @Mamiisalehe 2 месяца назад

    AlhamdulillAh Allah akujaze kheirii sheikh inshaallah 🤲❤

  • @MARLIYAMOHAMED-qc5is
    @MARLIYAMOHAMED-qc5is 2 месяца назад

    ❤❤❤❤

  • @KharidMrisho
    @KharidMrisho 2 месяца назад

    mashaallah shekh said bafana nakufatilia sana allah kuweke akujaze kher

  • @SaidiHaji-ni3ih
    @SaidiHaji-ni3ih 3 месяца назад

    Mawaidha mazuri Sana mashaallah

  • @MwaleniAmri
    @MwaleniAmri 3 месяца назад

    Sheghe mm nipo Tanzania je unapokea vijana

  • @MwaleniAmri
    @MwaleniAmri 3 месяца назад

    Allah akulipe kutupa elim

  • @GoodluckPaul-wf9gn
    @GoodluckPaul-wf9gn 3 месяца назад

    Alhamdulillah. Mwenyezi MUNGU azidi kukujaalia kheri InshaAllah . Umetoa darsa kubwa sana.

  • @JumaMwangolo-b2k
    @JumaMwangolo-b2k 3 месяца назад

    mashallah shukran sheikh wangu

  • @oruko4773
    @oruko4773 5 месяцев назад

    Alhamdulillah

  • @Abdulnassir-n6n
    @Abdulnassir-n6n 5 месяцев назад

    Nilichogundua masheikh wakianswar au ahlu Sunna waljamaaa.....wanajielewa na wanajuwa wanachofanya Masha.ALLAHOOO....bafana

  • @Abdulnassir-n6n
    @Abdulnassir-n6n 5 месяцев назад

    Namshkuru ALLAHU.....nimezaliwa Baba angu ni answari. Ahlu Sunna waljamaaa

  • @Abdulnassir-n6n
    @Abdulnassir-n6n 5 месяцев назад

    God bless you ustadh Masha.ALLAHOOO

  • @darajanida
    @darajanida 6 месяцев назад

    kama alipiga myeleka mbona yeye ndo alojikojolea kwenye kiti

  • @darajanida
    @darajanida 6 месяцев назад

    sasa aendelee mbele vipi wakati suala halija jibiwa

  • @alimuhsin2995
    @alimuhsin2995 7 месяцев назад

    Allahumma Baarik....best I heard on Palestinians struggle indeed Palestine ni Qadhia yetu

  • @abdulkareemsimba
    @abdulkareemsimba 8 месяцев назад

    My favorite sheikh ❤ Tabarakallah

  • @HarunIsmail-bi8lk
    @HarunIsmail-bi8lk 8 месяцев назад

    بارك الله فيك

  • @Salimsaid-nk1qv
    @Salimsaid-nk1qv 8 месяцев назад

    Waelimishe masheikh wanaotetea mambo yasiokuwa na dalili

  • @ShamsiDihombanya-m4k
    @ShamsiDihombanya-m4k 9 месяцев назад

    Shekh Allah akuifadhi na akujaliie mwisho mwema inshaallah

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 9 месяцев назад

    Quran na Sunna ♥️♥️

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 9 месяцев назад

    Sheikh hebu kemea ulevi ,riba ,zinaa ,dhulma,uongo ,itakua vizuri

  • @SabraAbdilnasir
    @SabraAbdilnasir 9 месяцев назад

    Mashaallah mashaallah shekhe wangu Allah akuhifadhi

  • @murkemadmar3840
    @murkemadmar3840 10 месяцев назад

    Jana nimesikia kisa cha Miraj shekhe flani asema mtume alipofika mbinguni alimuona Allah kama vile mimi na wewe na pia mtume alifika ilipo arsh ya Allah akiwa na viatu na hakuambiwa avue viatu kuonyesha utukufu wake kwa Allah. Watuwa bid

  • @naswiharashid7166
    @naswiharashid7166 10 месяцев назад

    Masha Allah sheikh wangu asante sn

  • @OmarAbdulrahman-uk2fh
    @OmarAbdulrahman-uk2fh 10 месяцев назад

    Wewe saidi hujitambui kubwa zima hujielewi

    • @innocentmusa7660
      @innocentmusa7660 8 месяцев назад

      Jadili hoja, wacha uburukenge haumjui mwenyezi Mungu na haki zake juu yako wewe na wala haki zake Mtume (s.a.w) juu yako yeye huzijui Je elewe mwanzo!

  • @MariamNjeri-g2q
    @MariamNjeri-g2q 10 месяцев назад

    Masha Allah Shukrn kwa ukumbusho

  • @matatureborn9082
    @matatureborn9082 10 месяцев назад

    Mashallah

  • @shaibuyahayaupette4351
    @shaibuyahayaupette4351 10 месяцев назад

    Mashaalah ,sheikh Allah akulinde

  • @arafatshaban9217
    @arafatshaban9217 11 месяцев назад

    Thank you good massage may Allah reward

  • @uthmanmaalim2680
    @uthmanmaalim2680 11 месяцев назад

    inategemeya umeelewa aje

  • @SamirKaba-u1c
    @SamirKaba-u1c 11 месяцев назад

    Shukran sana sheikh tumelewa sana bidah ni mbaya sana

  • @mahabubamahabuba714
    @mahabubamahabuba714 Год назад

    lakini hicho kiswahili kiviti unenacho chanini ?? sikunena kiswahili chako ukaeleweka vizuuuri

  • @mahabubamahabuba714
    @mahabubamahabuba714 Год назад

    MashaAllah mada mzuri hiyo ya kuhimiza umoya Mungu akubariki na akujazi kheri

  • @SharifuHamisi-yw1dx
    @SharifuHamisi-yw1dx Год назад

    Hamjui mtume huuyuu ufahamu nao nirizki tumswalieni mtumeee sanaa

  • @RamadhaniKingazi-l6t
    @RamadhaniKingazi-l6t Год назад

    Kwakweli naona sheikh wanimalizia banlde langu bila tija, ,

  • @twalibsaid2614
    @twalibsaid2614 Год назад

    Jamani mtume hakumsomea mke wake mama khadija quran alipokufa ! Wewe ni hatari sana hufai kuitwa shekhe , wewe shekhena naile dua inao waombea waliokufa ambao dua yenyewe ni quran inasema , Rambanaa ighfirlanaa wal ikhwaaninaa sabakunaa lil iman , hio ni dua nani quran

  • @adamkanja6449
    @adamkanja6449 Год назад

    Mashaallah and Alhamdulillah

  • @twalibsaid2614
    @twalibsaid2614 Год назад

    Wewe nenda ukasome lugha yakiarabu huwashinda , barzanji wamjua wewe hio lugha ni yake kisha amesoma fani nyingi sana shida hamuelewi na hamuamini utukufu wa mtume kwani mtume ni kama mtu wakawaida kwenu, lakini mtume aliswalisha mitume wote masjidil Aqsaa , na asia na maryam sajabu kuhudhuria mazazi ya mtume, mtume ameamrisha sio kufanya sio kila ambalo hakufanya ni kila ambalo ameamrisha mfano , kusoma juzu mzima kila swala ya tarawehe mtume Hakufanya nyinyi mawahabi mnafanya , kushika quran na huku huswalisha waisoma mtume hakufanya , mashindano ya musabaka ya quran na kulipa washindi pesa mtume hakufanya mawahabi wafanya , kwahivo bidaa ikifanywa na nyinyi hufaa na wangine haifai , mnatabu sanaa

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 Год назад

    Dini mmepokea mmesoma kwa watu WA maulidi sasa na wewe andaa yako kama bachu useme kama nyinyi mnapinga kitu basi pinga kwa staha zamani yalikuwa hayapo haya ila nyinyi ndio mlio leta haya mngekatazana nyinyi kwa nyinyi kwahiyo watu wa maulid wako sahihi ila hapo shekh kama kauli rajih hakuna chuo chochote duniani cha sheria kilicho sema mwezi uwe ni mmoja tu Hakuna tofauti hadith ya kurayb ndio rajih shekh kasome ili uwone usahihi na arafa ya idi adh ha ndio sahihi maana idi zote zilikuja mwaka wa pili kabla ya hija sasa unapo toa fatwa ujue sasa inakuaje useme arafa ni mwezi WA dunia nzima je walikuwa wakichinja nini na walikuwa arafa hakuna au maana hija ilikua haipo na idi ya kuchinja ipo sasa wewe shekh huoni kama sheria ya kufunga arafa na kuchinja ilikuepo

  • @SamirKaba-u1c
    @SamirKaba-u1c Год назад

    Wambie watu wa bidah

  • @maawymuhammad6779
    @maawymuhammad6779 Год назад

    Sasa mas-ala ya mwezi ukitaka kuyafananisha na qiyaamah, sasa ww wataka kusema kwamba kuna baadhi ya nchi watapata qiyaamah masaa kadhaa tu?!?!?! Kisha maana ya neno yaum ni mchana peke yake haikusanyi na usiku, sasa wewe vipi uje na hoja ati yaum iwe moja peke yake dunia nzima na ilhali kuna nchi kama kina island, wao ikifika wakati wa baridi huwa mchana wao ni masaa matatu, na kuna nchi ziko mbele yake kwa masaa zaidi ya kumi na moja kama kina new zealand, ina maana hawa pia mchana wao ni mmoja ama..... Tabu yenu mawahabi nyinyi mwapeleka vitu kwa vichwa venu tu si ungesoma basi ukajua ndo ukawakhutubia watu lakini ilmu ndogo ai ya dini wala dunia kisha wataka kutoa fatwaaa Utaulizwa na Allah juu ya hilo usione maskhara maskhara tu!!!! Madhehebu yote yamekubaliana kwamba arafah ni tarehe ya tisa kwa mwandamo wenu, sasa tufuate ma'ulamaa wakutegemewa ama tufuate fatwa ambazo hazijijui mwanzo wala mwisho?!?!?! Tuoeni hadithi wapi mtume alisema arafah ni moja tu!!!! Tuepeni hadithi ama hata qauli za wanazuoni?!! Arafah ni neno lenye maana tatu wala si moja 1)Jabalu 'Arafaat-mlima wa arafah 2)Yaumu 'Arafah-siku ya arafah 3)Wuquuf bi'arafah-kisimamo cha arafah Hivi ni vitu vitatu tafauti ambavo mawahabi huvipinga pasi na dalili Kisha mbona Allah kwenye Quraan alisema; يسئلونك عن ٱلْأهلّة Wanaulizana kuhusu miandamo si mwandamo Allah hakusema يسئلونك عن ٱلهلال Huu ji uwazi kuonesha kwamba miandamo yatafautiana ijapokuwa mwezi ni mmoja duniani lakini michomozo yake ni tafauti Kisha alafu sisi huwa twafuata mwezi wa matla' (horizon) yetu ambayokwamba ijmaa' ya wanazuoni walioko sasa wamekubaliana kwamba ipi kisheria, wewe leo wawadanganya waislamu ati hakuna mambo kama haya, tuwafuate wanazuoni tukufuate wewe!!!!!! Tafadhali ulieipost hii video hebu mwoneshe huyu said bafana hii comment yangu ikiwa kweli yeye ajiona aeza kuradd kiilmu!!!!!!

  • @othmanabeidy4460
    @othmanabeidy4460 Год назад

    Mashaa ALLAH

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura Год назад

    Ma Shaa Allah Darsa lenye manufaa

  • @abushelkhramadhani6363
    @abushelkhramadhani6363 Год назад

    Wewe hauna dalili yoyote njaa tu hiyo wasoma maulidi wasoma arubaini Wana dalili wewe hujui umekaa arubaini ngapi kwenye.tumbo la mama yakooo hatuoni ushahidi wowote.unatoa watapatapa tuu na njaa yako ili ujulikane Kama mtoto wa nacho kakimbia.kiti Cha Moto ingiza watu kwenye.uchamungu utazungumza mpaka kiyama wapenzi wa.mtumi.tutaendelea kusherehekeya.maxazi.yake mpaka kiyama

  • @hasahm1995
    @hasahm1995 Год назад

    kweli ...... waliobashiriwa janna....hawakufanya maulidi na walikuwa wakimpenda zaidi kuliko sisi sote......... maulidi ni upuzi tu

  • @rashidmuhammad7054
    @rashidmuhammad7054 Год назад

    Mashallah, her qiraa is so beautiful.one day will be there.