DEUSDEDITH AKIWASHA INSHU YA DPW MBELE YA LISSU, ACHANGISHA MCHANGO WA GARI LA LISSU, TEMEKE YAITIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 май 2024
  • #TANZANIA: Deusdedith Soka akiwasha mbele ya Lissu inshu ya Bandari na DPW, achangisha mchango kwaajili ya kununua gari la Lissu, Temeke Mwembe Yanga aitika.
    Zaidi: • DEUSDEDITH AKIWASHA IN...

Комментарии • 5

  • @AyubuSimpasa
    @AyubuSimpasa 21 день назад +3

    Kuanzia leo mimi na familia yangu ccm kwa heli chadema nipeni kadi

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 21 день назад

    Huyu jamaa ni mfano mzuri sana wa kuigwa na vijana wengi hasa kwa kipindi kama hichi

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 19 дней назад +1

    MCHANGIENI SHUJAA TUNDU LISSU

  • @froma3732
    @froma3732 20 дней назад +1

    Wewe usidsnganye watu hkn Ilikuwa m6 Sasa m25

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 20 дней назад +1

    Kweli vijana wengi wamekua wachawa wa Mama kisa kununuliwa na vipande vya pesa ..nikutojitambua nakujua wajibu wao😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮 ahsant sn kaka umenena vijana wengi tumefanywa wapumbavu