MISSION IMPOSSIBLE [39]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии •

  • @Abdulntomola
    @Abdulntomola 2 месяца назад +17

    Urafiki wa kwel ni wa ngwengwe na chado master alieona hili gonga like hapa

  • @PascalineNdatimana
    @PascalineNdatimana 3 месяца назад +28

    Jamani ngwengwe namupenda sana anajuwa wenye zimungu akufikishe mbali sana

  • @MisangaNassoro
    @MisangaNassoro 3 месяца назад +21

    Nice wapendwa wa chado masta mauwa yenu kwa ufuatiliaji 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @abbasouko3143
    @abbasouko3143 3 месяца назад +592

    Kipande cha Gwegwe kimenisikitisha sana kweli mama ni mama kama kweli unamkubali mama piga like

  • @HemediMbwana-b7u
    @HemediMbwana-b7u 2 месяца назад +4

    Wee chado master AK Mr kitengo kaka ummeuwa sana ii noma sjapata ona andagraund kutowa kama Ii inaduma mpaka 2030 kama marioo mungu azidi kuwapa uzima

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 3 месяца назад +70

    Waliotoa machozi pale gerezani kwa mama ngwengwe na mwanae tujuane kwa udhuni😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @vyukusengenelly7668
      @vyukusengenelly7668 2 месяца назад +1

      Me hapa nimelia kwauchungu 😢😢😢😢😢😢

    • @PpPp-nv7gf
      @PpPp-nv7gf 21 день назад

      Mimi hapa nipo nafuta machozi😢😢😢

  • @annaki318
    @annaki318 3 месяца назад +143

    Oooooh ghafla nashtuka nashika simu yangu nawasha data. Naingia RUclips chapuu nakuta channel yangu ya chado masta film tayari imeshaachia chuma ichooo nasikia sauti ya ngwengwe ikimuita mama gerezani napata hisia Kali sana kama mzazi😢 congratulations chado masta chuma kimetulia❤❤❤

    • @TaussiMansoor
      @TaussiMansoor 3 месяца назад +2

      🎉🎉

    • @KulwaJonas-k8p
      @KulwaJonas-k8p 3 месяца назад +2

      Kama ulvotulia ww

    • @SamouOman
      @SamouOman 3 месяца назад +2

      😄😄😄umeua my love💯🌹🌹🌹

    • @BeatriceMussa-y4b
      @BeatriceMussa-y4b 3 месяца назад +2

      Shenzi kweli wewe😂😂😂😂😂

    • @annaki318
      @annaki318 3 месяца назад +2

      @@BeatriceMussa-y4b hahahahah Ila imenyooka bwana

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 месяца назад +286

    Yeyote hatakae soma hii comment na kulike mungu akufanyie wepes ukifa uende pepon ,,,,,,🤲🤝🙏🙏🙏🤝🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲

  • @mwanaishahamadi-lb1oy
    @mwanaishahamadi-lb1oy 3 месяца назад +12

    wazii mpka kieleweke uyo askali ndo afungwe hanifa atoke 👏👏

  • @SwaumMapunda
    @SwaumMapunda 3 месяца назад +42

    Baba ngwengwe akiwa anaaajibika kumtoa mzazi mwenzie mama ngwengwe🎉

    • @akidaomary556
      @akidaomary556 3 месяца назад +2

      mh kwel chado ndo baba wa ngwengwe 😂

    • @MimahKenzer
      @MimahKenzer 3 месяца назад +3

      Me mbona nadhni n yule alokuja kuzngumza n Dady

    • @TausRaj
      @TausRaj 3 месяца назад +2

      ​@@MimahKenzerme pia naisi

  • @KassimSalim-f4d
    @KassimSalim-f4d 3 месяца назад +9

    🔥🔥sikuping chado jesh Kam jesh haun mbambamba mzigo on trending nakubal familia mnaweza San au bhasi tu😅😅

  • @NuruAbeidAbeidNuru
    @NuruAbeidAbeidNuru 3 месяца назад +22

    Masikini mama ngwengw 😢😢😢nyieee mama yuko ndani lkn nafikiria kama mwanaye amekula

  • @AgnessMirisho
    @AgnessMirisho 3 месяца назад +6

    😀cheusi na bonge litawakta jambo na raundihiiii chado atamuuwa kbs

  • @HatibuRajabu-p5q
    @HatibuRajabu-p5q 3 месяца назад +18

    Askar anajua sana kacheza poa

  • @ElizabethWanyama-j3g
    @ElizabethWanyama-j3g 3 месяца назад +9

    Pole Sana ngwengwe mum atatoka ila cheusi unaweza hiyo position ya humpea

  • @IreneIsambi
    @IreneIsambi 3 месяца назад +48

    Asante sana kwa kutuwaishia movieee🎉🎉🎉

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 3 месяца назад +9

    Chado umecheleweshea sana afande kibakuli,ungempa zachemba kidogo😊

  • @ScolaMlelwa
    @ScolaMlelwa 3 месяца назад +35

    Mungu anazidi kuwatia nguvu zaidi kwa kazi nzuri

  • @JamilySamson
    @JamilySamson 3 месяца назад +33

    Naitaji goma lako chado nalikubali sana nalipataje🎉🎉🎉 mkali

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 3 месяца назад +9

    Gwegwe ako sini sana juu ya mama kwakweli hakuna kama mama ❤❤❤❤

  • @annyjunior-f2f
    @annyjunior-f2f 3 месяца назад +11

    daah iyi movie nayipenda bala❤❤❤

  • @NajmaShaban-v8p
    @NajmaShaban-v8p 3 месяца назад +13

    Eeeeh kikofia kajeleta mwenyew😂😂😂😂

  • @RoseSamwel-s1s
    @RoseSamwel-s1s 3 месяца назад +22

    Hii movie n Kali aseee so pw chado master hongera hadith nzur

  • @abelmweri8744
    @abelmweri8744 3 месяца назад +18

    Wakali wa hizi kazi❤❤❤keep it up good work Mr chado

  • @Lovenesszani
    @Lovenesszani 3 месяца назад +17

    Hio part y mwisho Nilitaka kucha Sema nko kwenye kikao cha familia nyanya nimjamzitoo angehisi namcheka yy😂😂😂😂😂

  • @MariamLawrence-h7l
    @MariamLawrence-h7l 3 месяца назад +16

    Ila cheusi et dem amekubuhuu unajua kunifraisha😂😂

  • @LevinaBasil
    @LevinaBasil 3 месяца назад +12

    Kaz nzuri jmn na I love u chado❤❤❤

  • @ArafaReally
    @ArafaReally 3 месяца назад +15

    Namuonea huruma sana ngwengwe akiwa anaishi bila mama atapata tabu sana

  • @YusterProtasy
    @YusterProtasy 3 месяца назад +57

    Ila cheusi kwenye iih movie anachokitak ni kifo 😂😂😂😂👐

  • @barakatupatu
    @barakatupatu 3 месяца назад +27

    Mungu wabalik kila wanae fuatiria hii muvi ❤😂🎉😢😮😅😊

  • @SkeetoSsaa
    @SkeetoSsaa 3 месяца назад +15

    Daah nimejickia vibaya ngwengwe jaman 😢😢

  • @RamaRamwendo
    @RamaRamwendo 3 месяца назад +10

    Kazi ndzuri sana nimeipenda nafatilia thamsilia yenu kutoka Kenya mtanashart vibe naomba like zenu

  • @danitotiburciomatias6334
    @danitotiburciomatias6334 3 месяца назад +39

    Cheusi nankubali😂😂😂 oyaaa time cheusi gongeni jamani from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @EzekielKyara-i1x
    @EzekielKyara-i1x 3 месяца назад +238

    Wanaoamini Chado Master ni Baba ake na Ngwengwe LIKE hapa

  • @GidrafKamau
    @GidrafKamau 3 месяца назад +25

    Aki hii imekua addictive sana❤❤🎉

    • @GidrafKamau
      @GidrafKamau 3 месяца назад +1

      Kenya umetuteka MR CHADO

  • @VanessaPascaline
    @VanessaPascaline 11 дней назад +1

    Napenda saana iyi filamu yangu chodo nyinyi ni namba moja kabisa ❤

  • @JeannetteBlessing-r8t
    @JeannetteBlessing-r8t 3 месяца назад +14

    🎉🎉🎉 chado km chado ongera sn na zidi kupambana kwenye movie zako🎉🎉

  • @ZayNiyonzima
    @ZayNiyonzima 3 месяца назад +14

    ❤❤kazi nzur mnoo mnajitahid mpewe maua yenu ❤❤❤

  • @Nasirkhalfan
    @Nasirkhalfan 3 месяца назад +6

    nakubali ngwengwe ❤❤ kitengo ❤❤❤ anae wakubali wana awa gonga like apaa

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 3 месяца назад +28

    Stori za chado na ngwengwe bwana 😂😂😂😂😂 kama kimtu kizima😂😂😂

  • @michaelmsouth45
    @michaelmsouth45 3 месяца назад +32

    Gonga Like nyingi kwa ChAdo Master✊🏽. #KAZI_NZURI

  • @AmaniNicholus
    @AmaniNicholus 3 месяца назад +1

    Big up too sana chado master ❤na wote waigizaji katka hii moveee 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuko nyuma yako sana we as Kenyan ❤❤❤❤

  • @SwaumuNurudin-tl4zf
    @SwaumuNurudin-tl4zf 3 месяца назад +20

    Jamani uchungu wa mwana aujua mzazi jamani mama gwegwe

  • @happydominic2145
    @happydominic2145 3 месяца назад +13

    😂😂😂 ila bonge na cheusi mnachokitafta mtakipata soon.

  • @G3toBoiz
    @G3toBoiz 3 месяца назад +14

    Unajua cheus nilisahau kama anaigza leo nimekutana nae dukan nikiwa na dem wangu huyo dem ni mtoto wa jilan ake cheus amenisalimia nikamzingua namchukia kwenye mov had live ninamatatzo me cheus mbeya san

  • @AngelKibasa
    @AngelKibasa 3 месяца назад +24

    Movie tamu sana hii daah Asante kwa kutuwaishia leo pambana bro

  • @SERGEDEPAUL
    @SERGEDEPAUL 3 месяца назад +14

    Wa kwanza kutoka Congo 🇨🇩 naombeni like zenu jmn

  • @DEVISTERSIGALA
    @DEVISTERSIGALA Месяц назад +1

    Daaah ngwengwe umenikumbusha mbali sana leo dah nakukubali dogo❤❤❤ Ngwengwe🎉🎉🎉

  • @MaisaraMasoud
    @MaisaraMasoud 3 месяца назад +9

    Leo Moto kiasi chado master usilale jamani

  • @AnnastaziaVicent
    @AnnastaziaVicent 3 месяца назад +7

    Kikofia Leo umenifhlahisha 😂😂I ngwengwe jamani pole mama ataluditu

  • @albertmwachiru-u3x
    @albertmwachiru-u3x 3 месяца назад +17

    Mm nahisi hyo gwegwe na chado n mtu na mtoto wake.

  • @jdjdhhdhdh7099
    @jdjdhhdhdh7099 3 месяца назад +58

    Assalam alaikum nduguzanguni waislam.wakristo bwana yesu asifiwe mubarikiwe mulio fanikiwa kuwa wq kwanza ambao nao mumechelewa 😃😃musiwaze tuko pamoja team chado hoyeeeee🎉🎉🎉

    • @zuwenaali3698
      @zuwenaali3698 3 месяца назад +3

      Km ni muislam bas hutakiwi kusema yesu asifiwe.

    • @AliyahRayhani
      @AliyahRayhani 3 месяца назад

      Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 месяца назад +1

      Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @BAZUMWESHNDEREBA
    @BAZUMWESHNDEREBA 3 месяца назад +5

    Asiyefunzwa na mtoto ufunzwa na jela 😂😂😂❤ love to you mum

  • @Mwanamisiabdhulrahman001Said
    @Mwanamisiabdhulrahman001Said 3 месяца назад +11

    Nipenda hii part ya mwisho ❤ muscheleweshe

  • @robertonesmo6439
    @robertonesmo6439 3 месяца назад +21

    Aya semeni tena leo nyie ndo wa kwanza kuview 😂

  • @sadamuall8249
    @sadamuall8249 3 месяца назад +16

    Alio Gungua kua Chado.... na Ngwengwe Mtu na babake nani..... 😂😂

    • @NeemaLuambano
      @NeemaLuambano 3 месяца назад

      Mbn mnaridua rudia tu baba ake ngwengwe babake ngwengwe tumewachoka

    • @MaryanMaryam-lc1et
      @MaryanMaryam-lc1et 3 месяца назад +1

      ​@@NeemaLuambano😂😂😂 unakumbushw

    • @TausRaj
      @TausRaj 3 месяца назад

      ​@@NeemaLuambanomxwiiiii toka apa nenda kwa Clam Vevo usituchoshe

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 месяца назад

      ​@@NeemaLuambano😂😂😂

  • @AllymohamedyAbdallah
    @AllymohamedyAbdallah 3 месяца назад +8

    eti kubadilisha umbea kuwa pesa ahahahaaaaaaa bonge ❤❤❤❤❤❤

  • @Maneno-e9f
    @Maneno-e9f 3 месяца назад +34

    Katika skuzote Leo ndo nimewah kidogo dah hata like Moja namim basi

  • @MugishaLuckson
    @MugishaLuckson 3 месяца назад +103

    Haya wa kwanza Léo naomba like kutok kwa chado💯

  • @HabonimanaOdette
    @HabonimanaOdette 3 месяца назад +1

    Chado uyooooo masta yuko vzr kweli kweli stori inaenda fresh kbx😂😂😂😂😂

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 3 месяца назад +9

    Chengaaa umejipelek mwenye hat bila kutumia jashooo

  • @Dee_ano
    @Dee_ano 3 месяца назад +1

    mwamba kaua sana namuona chado akiwa baba mzaz wa ngwengwe aliezaa nae miaka kadhaa iliopita leo kakutana nae tena,
    movie za bongo km ramli za waganga wa kitanzania shida uwajue tuuu

  • @anniesylivester4100
    @anniesylivester4100 3 месяца назад +12

    Bonge na cheusi mbavu zangu😂😂😂😂😂😂😂🤣

  • @SaadaFaki
    @SaadaFaki 3 месяца назад +1

    Hongera chado napenda Kaz yak yani ikipita siku cjaona muendlezo wake naumia❤❤❤

  • @AbaidiiniNgweti
    @AbaidiiniNgweti 3 месяца назад +20

    Chado master yupo vzr sana katika kutunga story zake mung ambaliki na awabariki wote wanaosoma hii comment tuseme amen 🙏

  • @BarakaDavid-uq8xc
    @BarakaDavid-uq8xc 3 месяца назад +19

    Chado master kaka tunakupa tunzo ss mwenyew uku uku😂

  • @nasramajaliwa1338
    @nasramajaliwa1338 3 месяца назад +95

    Jamani jamani zamu yangu Leo ngonga like hapo master chado kazi kazi

    • @mishy_wizzy
      @mishy_wizzy 3 месяца назад +3

      wewe nawe kwan izo like zinakusaidia nni ushamba tu

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 месяца назад

      ​@@mishy_wizzy😂😂😂

    • @RajabFeruzi
      @RajabFeruzi 3 месяца назад

      @@mishy_wizzy Kwan ugomv jaman

  • @VenanceAnyigulile-y3c
    @VenanceAnyigulile-y3c 3 месяца назад +18

    Muhimu sana kutazama vya nyumvani 🫡🫡🫡heshima zifike kwenu wote wachezaji wa Mission Impossible ❤

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 3 месяца назад +13

    Mapema ndio i likey 🥰🥰🥰

  • @saidiadallah-ol8lh
    @saidiadallah-ol8lh 3 месяца назад +21

    Dah vip kama chado ni baba ake mzazi na ngwengwe

  • @m.calfan8435
    @m.calfan8435 3 месяца назад +5

    254❤❤chado ndio big wa masela.....kama unabisha nitusi

    • @batuli-n8e
      @batuli-n8e 2 месяца назад

      Team genz teama ruto

  • @VinciBenzo
    @VinciBenzo 3 месяца назад +3

    Ngwengwe big up bro... hivyohivyo mpaka uende universally bro ❤❤mob love kwako ngwengwe

  • @mishy_wizzy
    @mishy_wizzy 3 месяца назад +27

    mtu unakazana naomba like kama wewe ndo chado vile sema mpeni like chado 😢

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 2 месяца назад +1

    Nimelia sana hiki kipande cha ngwengwe na mama yake hapo sero team strong gonga like hapa. Tum each a wazazi wetu nyumban ama watoto zetu kuja kutafuta ughaibun kwa ajir yao..... Team gulf

  • @YnnahAlaka
    @YnnahAlaka 3 месяца назад +14

    Wa kwanza leo❤❤

  • @abdallahmunga8187
    @abdallahmunga8187 3 месяца назад +2

    Chado umeweza kazi Safi mkuze dogo ngwengwe ywaja freshy kwenye game mkomaze

  • @MisBarua
    @MisBarua 3 месяца назад +7

    Nakubali bwana ❤😂😂😂afu ngwengwe mamake wa kambo kidem jau 😂

  • @YeriKahindi
    @YeriKahindi 3 месяца назад +2

    Mr chado yaani nzuri kama kawaida...❤❤❤❤🎉

  • @SamweliNgandi
    @SamweliNgandi 3 месяца назад +15

    mimi nataka kujua jina la hii singer ya dj nani like zakutosha wanangu

  • @GeofreyAnderson-k4m
    @GeofreyAnderson-k4m 3 месяца назад +29

    Wote mnaopenda hii muvi kali gonga like

  • @SaphinaSaidy
    @SaphinaSaidy 3 месяца назад +7

    Kazi nzuri sana chado

  • @CrytonyJeremiah
    @CrytonyJeremiah Месяц назад +1

    uwezi nikamata mimi kwa kitambulisho cha nida nakubali sana blo chado unajuwa sana❤❤❤❤

  • @RajabFeruzi
    @RajabFeruzi 3 месяца назад +31

    Hatmae leo nimekua wa kwanza like please

  • @SafariMichael-r2m
    @SafariMichael-r2m 3 месяца назад +1

    Kaka chado cheus mzee wa misumali ngwengwe na wengine munaweza so pw hamkosei kazi zenu❤❤❤❤

  • @MargretRobi-po8zq
    @MargretRobi-po8zq 3 месяца назад +10

    Wakwanza mimi ❤❤❤

  • @RechoReuben
    @RechoReuben 3 месяца назад +1

    Chado masta tunaliwa mbs zetu kuna watu wanatuekea vtu vyao iwa bango la mission imposible muendelezoo fanyia kazi hilo jambo..

  • @JaguarEscobar
    @JaguarEscobar 3 месяца назад +4

    ✊✊✊huna kazi mbovu chado mmnyaaaaaaaama

  • @SamuelKatama-b6r
    @SamuelKatama-b6r Месяц назад +1

    Mshikaji Chado kwanza wanibamba vile unaongelesha askari,,,pokezi kwako❤🙏🙏🙏🙏

  • @DicksonNassary-pg4tq
    @DicksonNassary-pg4tq 3 месяца назад +38

    Machale yana nicheza kwamba chado ni baba yake ngwengwe gonga like kama unamawazo kama yangu 😂😂😂😂😂 unyama sana chado

    • @Salmakikuli
      @Salmakikuli 3 месяца назад

      Yan me nimehs mda bora ww hata umesema yaweza kuwa

  • @MasungaOg-wj3re
    @MasungaOg-wj3re 3 месяца назад +18

    Namba Moja

  • @Rayce-j8m
    @Rayce-j8m 3 месяца назад +4

    😂😂😂😂😂😂cheusii kazi nzr sanaa
    Yani mm kbs siwezagi kugandishaa umbeya mm

  • @EzraTech10
    @EzraTech10 3 месяца назад +20

    wamwisho leo

  • @jdjdhhdhdh7099
    @jdjdhhdhdh7099 3 месяца назад +38

    Ila cheusi Anapta tabu Sana 😃😃😃😃🙌umbea hatutaki uzembe yani ananikosha hatri

  • @JudithGoldwinn
    @JudithGoldwinn 2 месяца назад +1

    Chado we msaidie mtoto jaman na mungu akubariki

  • @MichaelCharo-v7y
    @MichaelCharo-v7y 3 месяца назад +13

    Namkubali sana ngwengwe

  • @MattyJohn-c9y
    @MattyJohn-c9y 3 месяца назад +3

    Jmn cheus mmbea haaa!!!! Yn umbea unamuwasha km mwanamke mmmh!!

  • @NatashaKidamangu
    @NatashaKidamangu 3 месяца назад +3

    Daaah chado nakukubali sana ❤❤❤

  • @FridaNdigonje-i2n
    @FridaNdigonje-i2n 3 месяца назад +1

    Yan nmependa sana hamchelewi mko vzr sana jmn pongezi zenu kazi iendelee

  • @SalamaMusayi
    @SalamaMusayi 3 месяца назад +13

    ❤❤❤❤ tume ipata tayari❤❤❤

  • @salummkumbe5694
    @salummkumbe5694 3 месяца назад +11

    Leo nami naomba like