Mungu kamwe haruhusu laana ya baba aliyetelekeza mtoto kwa makusudi na jeuri impate huyo mtoto katika maisha yake. Haipo! Watumishi wakati mwingine mnaongea ya kwenu tu
Ni kweli lkn ungemsikiliza vzr Pr Wala usingekua na hii hoja..... Wewe Fanya sehemu Yako Kama mtoto tofauti za wazazi wako usiziingilie ...samehe saba mara sabini....maana mzazi hakosei wewe ndo unatakiwa uwe mdogo ufiti kwa mzazi wako...hata kama alikukosea Kitu Gani Cha kutisha endelea kumtii isije kukupata laana katika Amri kumi za Mungu...waheshimu...
Yaaaaa, ndugu mbona unaweka wasi wasi Kubwa ndani mwangu? Huyo kapitia kama tulioyapitia pia na babangu. Na babangu yupo hai laini hawaishi pomoja na mamangu. Sababu aliowa sana wake wengine hadi Sasa anaishi na MKE mwingine. Sasa hapa Kuna Kitu nimejifunza fulani kuhusu kusamehe na kuachilia yote yalio moyoni mwangu juu ya babangu.........
Amen
Usipofanikiwa baba hakutafuti kwahio wanapenda mafanikio sio mtu
Kwel kabx mm nilishawahi kwenda kumtafut baba polin kigom tok shinyang lakini baada yakuonana nae maish yasha badilika bisa
Yakabadilika kuwa mazuri bila shaka si ndio ndugu au ilikuwaje🎉
Mungu kamwe haruhusu laana ya baba aliyetelekeza mtoto kwa makusudi na jeuri impate huyo mtoto katika maisha yake. Haipo! Watumishi wakati mwingine mnaongea ya kwenu tu
Ni kweli lkn ungemsikiliza vzr Pr Wala usingekua na hii hoja.....
Wewe Fanya sehemu Yako Kama mtoto tofauti za wazazi wako usiziingilie ...samehe saba mara sabini....maana mzazi hakosei wewe ndo unatakiwa uwe mdogo ufiti kwa mzazi wako...hata kama alikukosea Kitu Gani Cha kutisha endelea kumtii isije kukupata laana katika Amri kumi za Mungu...waheshimu...
Kusema mzazi hakosei siyo sawa
Baba aliye mtelekeza mama yangu siwezi kumuacha salama akiniletea Shobo anachezea hata mitama sipendagi mazo mimi
Wape wape vidonge vyao
Yaaaaa, ndugu mbona unaweka wasi wasi Kubwa ndani mwangu? Huyo kapitia kama tulioyapitia pia na babangu. Na babangu yupo hai laini hawaishi pomoja na mamangu. Sababu aliowa sana wake wengine hadi Sasa anaishi na MKE mwingine. Sasa hapa Kuna Kitu nimejifunza fulani kuhusu kusamehe na kuachilia yote yalio moyoni mwangu juu ya babangu.........
MUNGU akusaidie sana ndugu
Amina
Amina