Tabia 5 Za Kuepuka Ambazo Zinaathiri Ubongo Wako Bila Wewe Kujua - Pr David Mmbaga

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 56

  • @anitamhina1780
    @anitamhina1780 22 часа назад +1

    Yote unayosema ni kweli!🙏

  • @VeronicaYenga
    @VeronicaYenga День назад +1

    Shukrani sana

  • @SarahKendi
    @SarahKendi 8 дней назад +2

    Thanks pastor God bless you karibu meru kenya

  • @KabalizaMarko
    @KabalizaMarko 18 дней назад +5

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mahubiri mazuri. Mungu akupendi nguvu zaidi na akubariki.

  • @petermushi8266
    @petermushi8266 День назад

    Asante sana

  • @JustusRevelian-om8bm
    @JustusRevelian-om8bm 9 дней назад +2

    Asante pastor Kwa elimu

  • @upendoshoo6840
    @upendoshoo6840 17 дней назад +3

    Nashukuru kwa ushauri wako

  • @irenemwanri3023
    @irenemwanri3023 13 часов назад

    It's true husalimii mtu.wanakushangaa

  • @KIJANAMAENDELEO
    @KIJANAMAENDELEO 19 дней назад +2

    AMEEN 🙏🙏🙏🏧🏧✈ ndege hiyo chukua ni yako Rohoni

  • @mwl.mushionlinetv5925
    @mwl.mushionlinetv5925 17 дней назад +2

    1. Kukaa muda mrefu. Baada ya Kukaa dakika 15-30, nyanyuka tembea.
    2. Kutokujichanganya na watu. Lack of Socialization
    3. Kutolala vya kutosha. Masaa 7-8
    4. Msongo. Chronic Stress: Moyo uliochangamka ni dawa.
    #Tabia zinazoathiri Ubongo 🧠
    🙏

  • @GraceZunda
    @GraceZunda 16 дней назад +2

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @SalmaNsabaha
    @SalmaNsabaha 15 дней назад +2

    Najifunza sana kupoteze ila nashindwa

    • @hamasikatv
      @hamasikatv  14 дней назад

      endelea kujitahidi taratibu unaweza usikate tamaa

  • @kennysabai5695
    @kennysabai5695 12 дней назад +2

    Namwelewa

  • @RebecaKamwela-j1g
    @RebecaKamwela-j1g 19 дней назад +1

    MUNGU akubariki sana pastor!

  • @HELENAMBUNGU
    @HELENAMBUNGU 16 дней назад +2

    Ahsante sana Pastor

  • @BarakaMrindoko-cd3jd
    @BarakaMrindoko-cd3jd 18 дней назад +1

    Asante mchungaji

  • @GetruderMfinanga
    @GetruderMfinanga 20 дней назад +2

    Mndughu wangu.

  • @harunnghwenu1697
    @harunnghwenu1697 19 дней назад +1

    ASANTE pastor

  • @GetruderMfinanga
    @GetruderMfinanga 20 дней назад +2

    Nakuekewa sana kaka yangu Mmbaga

    • @AliceNyaga-z5n
      @AliceNyaga-z5n 18 часов назад

      Nifuate kwa channel yangu tafadhali

  • @SimionKatambale
    @SimionKatambale 14 дней назад

    Nakubaliana nawe Mchungaji barikiwa sana

  • @BestinaCleti
    @BestinaCleti 20 дней назад +10

    Like apa kama umemwelewa coment ya kwanza

    • @hamasikatv
      @hamasikatv  14 дней назад

      asante kwa kuendelea kujifunza

  • @LadislausyStanislausy
    @LadislausyStanislausy 19 дней назад +2

    Kazi yako njema

  • @CharlesKimu
    @CharlesKimu 5 дней назад +3

    Be blessed peasant of God🙏🙏

  • @agnesfrancis1519
    @agnesfrancis1519 18 дней назад

    Barikiwa pastor.

  • @IsackEmmanuel-f1t
    @IsackEmmanuel-f1t 15 дней назад +1

    Kweli kabisa mchungaji

  • @marthajames-fn7nm
    @marthajames-fn7nm 16 дней назад +1

    Endelea kuhekimishwa zaidi pr, ukawe mbaraka kwa watu.

  • @DonflightZone
    @DonflightZone 9 дней назад

    ❤❤

  • @DeusMavulolio
    @DeusMavulolio 9 дней назад

    Saf karibu tdm

  • @GBhahat
    @GBhahat 15 дней назад +1

    🤦‍♀️🙏SOORY MTUMISHI, JUST NOW GOD HAS GIVES ME THE ANSWERFROM I TIMOTH 4:6" OF YOU HIVE INSTRUCTUON TO THE BELIEVERS YOU W'LL BE A GOOD SERVANT OF CHRIST JESUS...)8" PHYSICAL EXRSISE HAS SOME VALUE, BUT SPRITUAL EXRCISE IS VALUABLE IN EVERY WAY,BECAUSE IT PROMISES LIFE BOTH FOR THE PRESENT AND FOR THE FUTURE ")UBARIKIWE ZAIDI MTUMISHI KWA VISSION HII

  • @LemburisKivuyo-co8rv
    @LemburisKivuyo-co8rv 10 дней назад +1

    Mimi nimejifunza kitu

  • @CharlesKengere-b5e
    @CharlesKengere-b5e 16 дней назад

    Kweli ci kua najua.😮

  • @GilbertRobert-yv8mr
    @GilbertRobert-yv8mr 16 дней назад +2

    Basi ata iyo ibada iwe fupi lisaa tuuu inatosha

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 13 дней назад +2

    Mojawapo ya mafunzo ya kijeshi Kuna wiki 6 kutokulala usiku na mchana vipi kuhusu iyo Kuna madhara yoyote??

  • @FurahaSanga-c5c
    @FurahaSanga-c5c 15 дней назад +1

    Sasa pastor kama mafuta ya alizeti sio mazuri ni mafuta yapi yanafaa zaidi

    • @RoseMwakibete-qx8pw
      @RoseMwakibete-qx8pw 13 дней назад

      Na mm nahitaji kujua coz ndo mafuta ninayotumia na nilijua ndo sahihi ki Afya sasa na yenyewe so mazuri yapi yanafaa kwa Afya

  • @bethawuor3385
    @bethawuor3385 13 дней назад

    Hata simu ni sawa?

  • @davidkiptanui7576
    @davidkiptanui7576 15 дней назад

    Dini gani ya kweli pastor? Hebrew 4 vs 7 _10

  • @ShidaKimwaga
    @ShidaKimwaga 10 дней назад +1

    Sasa sababu ya kusikia sauti masikioni nini inanitesa

    • @brightonnziku8032
      @brightonnziku8032 8 дней назад

      Kama unasikia sauti ambazo hazina chanzo cha sauti inaweza kua shida ya kisaikolojia wahi upate ushauri.

  • @MuhindoEmmanuelronald
    @MuhindoEmmanuelronald 16 дней назад +1

    Shalom wapendwa.
    Halafu nikiwa Nina tatizo la kukosa usingizi nifanyeje ?

    • @hamasikatv
      @hamasikatv  14 дней назад

      Tazama hii video hapa chini pastor ametoa majibu 👇👇
      ruclips.net/video/bPjvtXhdvyw/видео.html

    • @AliceNyaga-z5n
      @AliceNyaga-z5n 18 часов назад

      Nifuate kwa channel yangu tafadhali

  • @HELENAMBUNGU
    @HELENAMBUNGU 16 дней назад +1

    Ahsante sana Pastor