Nakupata vizur Joel nanauka ila boss wangu ni mtu kupenda mawazo tofauti na majibu yake changamoto iliyopo ni kwamba ana penda muda mwingi kumfuata na mm sipendi kumfuta fuata any time maana yake ni sawa na kujipendekeza
Juzi nimeulizwa na bosi wangu kuhusu mauzo ya siku via skype, Urassa mpaka sasa tumetoa ngapi? i delayed to answer and baada ya dk 5 nikamwambia sorry i will answer you shortly and he was like, Unatakiwa uwe na hizi taarifa kichwani. Now I've got new light in my eyes . Ahsante kaka Joel
Mfano unapokuwa na boss unamweleza matatizo ya kitu halafu hakusaidie na anakaa kimya huku akiangalia pembeni ni njia ipi unaweza kuitumia akakusikiliza ama akasaidia kutatua matatizo.
kaka joel unafundisha vzuri ila swala hili la kumshawishi boss ni kuendelea kuwa mtumwa maishani tufundishi maana ya kujikwamua kutoka kwa boss na sio kumfurahisha. maboss wa kibongo ubinafsi mwingi utamfanyia kazi miaka nenda ludi na uko pale pale yye anaongeza biashara zake usitundishe hvyo
Mimi nafikiri bosi hapa si mtu alokuajiri tu hata mtu unayefanya nae kazi au unaye mpa huduma ,mfano mteja wako akiwa anajua kuwa wewe huwa uko updated kuhusu bidhaa ni rahisi kuja kununua kwako. Mtu unayefanya nae kazi atapenda kukuona wewe unasifa alizotaja bro hapo juu
Wewe ujielewi joel yupo vizuri sema tuu wewe umedandia piki piki kwa Mbele babu Wewe ukiweza kumshauri boss wako maana yake wewe ni mtu mkubwa kuliko yeye apo baadae heshima muhim ili ufanikiwe Aiseee chali yangu
Mimi ninatatizo kidogo iko hivi sio kwamba mimi sio muongeaji napenda sana story kwa mtu ambae nimemzoea ila changamoto ipo kwa boss wangu huwa nikiwa katika kazi huwa sipendi kupiga story na boss kwa kuhofia pengine anaweza kunifukuza kazi napia tu mimi huwa napenda tu binafsi nikiwa kwenye kazi yoyote ile napenda nifanye kazi tu nasio boss anizoee huwa sijui naon aje vile,sasa wakati mwingine nampa boss wakati mgumu sasa sijui nitatizo ama vp nisaidie mawazo
Mm boss wangu yupo katika aina ya 3. Asante sana kwa hizi tricks kakaangu Mungu akubariki
Nakupata vizur Joel nanauka ila boss wangu ni mtu kupenda mawazo tofauti na majibu yake changamoto iliyopo ni kwamba ana penda muda mwingi kumfuata na mm sipendi kumfuta fuata any time maana yake ni sawa na kujipendekeza
Bro Joe, hongera sana, lile somo la aina za baba uliupiga mwingi, unatusaidia sana kuwa jamii bora, keep it up,
Action oriented and process oriented. Afuu Boss mpyaa aisee nashukuru kanikuta mshakufahamu na kubadilika
Shukran bro
Uko juu Mr*
Mimi ninafanya kazi za yumbani. Asante nimejufunza kitu na nitakifanyia kazi
I love you bro,nakufatilia sana,nimeanza kuona matokeo katika yote ninayofatilia kupitia wewe,bosi wangu anapenda sana kujali wateja.
Asante nmejifunza mengi joell si kila mtu anapenda unachokifanya
Nashukur sana mawazo yako broo
Dah!
umenifungua sana Naukaa,
Safi Sana
wakwangu ni idea oriented ➕ process
Safi sana!
Toka nianze kusikiliza mafunzo yako kiukweli nimekuwa wakubadilika kila itwapo Leo mungu azida kukutuza kwakile unacho fanya
Ok
Action oriented
Thanks brother ❤️🎉
Thanks dr brother❤❤❤
boss wangu anapenda vitendo haswa na uwe mshap katika kufanya shughuli
Asanteh mkuu
Asante sana.mbona boss wangu yuko kimia sana , asemagi sana . sasa vipi naweza mshawishi ?????
Asante
Axant kwa kutuelimisha bwan nanauka Ila ile video ya timiza malengo Sikh ya pili siioni
Boss wangu anataka kuona vimefanyika haijalisha vimetumia au vitatumia kiasi gn ilimradi ameona kimefanyika
Hata mimi katika kazi zangu napenda mfanya kazi wangu awe hivyo hata kama atatumia garama kubwa fresh 2
Anapenda ushauri ata kama kazi aliyokupa haijaleta matunda.
Uko vemaa ,ubarikiwe Joel
Mi boss wang ni mtu napend san mawazo inafikia kipind awezi kutoa mamuz kma mmi sipo na ananipend kwa kua cjawai kumuangosha kwenye kutoa mawzo
👍 Asante
Juzi nimeulizwa na bosi wangu kuhusu mauzo ya siku via skype, Urassa mpaka sasa tumetoa ngapi? i delayed to answer and baada ya dk 5 nikamwambia sorry i will answer you shortly and he was like, Unatakiwa uwe na hizi taarifa kichwani. Now I've got new light in my eyes . Ahsante kaka Joel
Na 5
Well said. Process oriented.
Asante sana
Hakika
thankuu for the wonderful tips bro.
Bosi wangu anapenda kupewa mawazo na kujua mchakato was swala hilo
Kweli bro
mm naona boss wang kabeba zote ulizosema
Madini
anapenda vituvifanyike bila kujali utafanyaje ilakifanyiketu
Mfano unapokuwa na boss unamweleza matatizo ya kitu halafu hakusaidie na anakaa kimya huku akiangalia pembeni ni njia ipi unaweza kuitumia akakusikiliza ama akasaidia kutatua matatizo.
kaka joel unafundisha vzuri ila swala hili la kumshawishi boss ni kuendelea kuwa mtumwa maishani tufundishi maana ya kujikwamua kutoka kwa boss na sio kumfurahisha. maboss wa kibongo ubinafsi mwingi utamfanyia kazi miaka nenda ludi na uko pale pale yye anaongeza biashara zake usitundishe hvyo
Tupo wengi sana so atuwezi wote kuwa maboss na pia kaka Joel anatoa elimu nyingi sana ambazo zingekufaa ww kua boss
jifunze kumjua boss wako, ukijua siku moja nawewe utakua boss
Mimi nafikiri bosi hapa si mtu alokuajiri tu hata mtu unayefanya nae kazi au unaye mpa huduma ,mfano mteja wako akiwa anajua kuwa wewe huwa uko updated kuhusu bidhaa ni rahisi kuja kununua kwako. Mtu unayefanya nae kazi atapenda kukuona wewe unasifa alizotaja bro hapo juu
Wewe ujielewi joel yupo vizuri sema tuu wewe umedandia piki piki kwa Mbele babu Wewe ukiweza kumshauri boss wako maana yake wewe ni mtu mkubwa kuliko yeye apo baadae heshima muhim ili ufanikiwe Aiseee chali yangu
Clips zinakuwa lower volume.
Ni ck ya tatu tangu nianze kukufatilia, nimejifunza vitu vingi sn asee, kuhusu boss wangu ni action oriented
Bro Mungu akuongezee Hekima unafundisha vizuri uyasemayo kuhusu maboss ni ya kweli kabisa na wengi wao hujiona wapo sawa na kusahau yao ya nyuma
🤝
Me wakwangu anaitaji uwe karibusana na wateja wake
Hapo kwenye 5 nipo kila kitu lazima nimwambie ngoja ni hakiki
✍️
Mimi ninatatizo kidogo iko hivi sio kwamba mimi sio muongeaji napenda sana story kwa mtu ambae nimemzoea ila changamoto ipo kwa boss wangu huwa nikiwa katika kazi huwa sipendi kupiga story na boss kwa kuhofia pengine anaweza kunifukuza kazi napia tu mimi huwa napenda tu binafsi nikiwa kwenye kazi yoyote ile napenda nifanye kazi tu nasio boss anizoee huwa sijui naon aje vile,sasa wakati mwingine nampa boss wakati mgumu sasa sijui nitatizo ama vp nisaidie mawazo
Uko Sirius sana na unachokifanya wakati mwingine hata boss hujifunza kwa wafanya kazi wake
Which audience are you targeting Bro, Be smart.
Dnt cauution our mentor he is knowledgeable and this knowledged cuts across
Kweli kabsa